Тёмный
No video :(

Ngoma Nagwa - Kinda Ponda [feat Ntosh Gazi] (Official Music Video) 

NAGWA OG
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

DIRECTOR SAM KAM
PRODUCER MO PLAT
LOCATION South Africa
TRASSPORT GRACE LUMAMBI
C E O GRACE LUMAMBI

Опубликовано:

 

19 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@TALLUBOY
@TALLUBOY 7 месяцев назад
Duh ngoma kari sana umejitaid Sasa ungelikuwa na watu Wenye kukusaidia uko studio Haaaa ngoma ingelikuwa kari Sana lakin sjajua wapi ulikwama but ih korabo hilikuwa kubwa sanaaa
@babylonemabreka8700
@babylonemabreka8700 8 месяцев назад
Keep up Nagwa with Ntosh gazi... Komaa promo ngoma kali inaenda hii ukiikazia promo mzee
@user-qx5tb5po4h
@user-qx5tb5po4h 6 месяцев назад
Big fun of notsh gazi 👍🏻👍🏻👍🏻🇪🇷🇪🇷🇪🇷east africa
@sulexhtechnician7950
@sulexhtechnician7950 7 месяцев назад
Kumbe ngoma nagwa ni mwepesi kwenye dance
@user-ii6ym4wh6r
@user-ii6ym4wh6r 5 месяцев назад
Nangwa ww ni msanii hujafosi
@randhamisi8691
@randhamisi8691 8 месяцев назад
Oyaa uyuu vip mjomba na wajomba zake
@fannyboy_tz2062
@fannyboy_tz2062 8 месяцев назад
Chuma🎉🎉🎉🎉
@hamzaminangu1053
@hamzaminangu1053 8 месяцев назад
Good work kaka
@ChafGang-ez5lc
@ChafGang-ez5lc 8 месяцев назад
Ki2
@kdpretoria780
@kdpretoria780 7 месяцев назад
sjaiona kindaponda mbona
@zilperlameck1211
@zilperlameck1211 8 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉bonge la ngomaa🎉
@Puxladen
@Puxladen 7 месяцев назад
Producing yake sio quality kabisa mix aijakaa unyama sema safii
@mgandotv
@mgandotv 8 месяцев назад
Cha moto sanaaa
@materialcharlie5037
@materialcharlie5037 6 месяцев назад
👌👌👌
@samzirobellah7687
@samzirobellah7687 8 месяцев назад
Allah hatakufanyia wepesi kila kwenye nia kuna njia inshallah 🙏 ❤️ 💖
@ObeidKigabho-qv3nc
@ObeidKigabho-qv3nc 8 месяцев назад
umepatia sana kwenda kushoot nawasauz wenyewe,kuanzia madancer mpaka locations
@mgandotv
@mgandotv 8 месяцев назад
Mnyamaa
@user-up2yr5tk3g
@user-up2yr5tk3g 8 месяцев назад
Ngoma kali mawe juu ya mawe no kupoa
@ibrahimyahyayussuf7947
@ibrahimyahyayussuf7947 8 месяцев назад
Kaza buti baba wakati ndio huu mjoba nangwa
@mbembefilms5379
@mbembefilms5379 8 месяцев назад
Nagwa og my blood kinda ponda
@stephenzerozero
@stephenzerozero 7 месяцев назад
Ngoma nagwa mlingoti chuma bendera upepo ula ula msambamberenya miaka mingi hatuja firimba ulembe haipingwi
@official_kingnabiryOg
@official_kingnabiryOg 8 месяцев назад
Nakubali Ngoma nagwa 🎉🎉🎉
@GundaAtlist-wn9qh
@GundaAtlist-wn9qh 8 месяцев назад
Oya umejamba vitani umestua maadui
@nestorykiyuga74
@nestorykiyuga74 8 месяцев назад
BEAT NI KALI ILA NAGWA AACHE KUIMBA KISHALI SHALI KILA NGOMA .....NDO NINI
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga 8 месяцев назад
Nagwa og Noma 🙌🔥🔥🔥🔥🇲🇿
@makolajiji
@makolajiji 8 месяцев назад
Nagwa og Noma 🙌🔥🔥🔥🔥
@TK_TV.ONLINE19
@TK_TV.ONLINE19 8 месяцев назад
...manina wajibu nahii
@shahasimaishehe1477
@shahasimaishehe1477 8 месяцев назад
Wew mbuz nagw😊
@MpaliandaTVTz
@MpaliandaTVTz 8 месяцев назад
Nagwa hashindwi jambo
@johnclassic24
@johnclassic24 8 месяцев назад
Beat ni nzuri , ila sija penda kazi ya producteur, haku mix vizuri iyi beat ajili beat ina toka aina quality nzuri
@MSHUTIMEDIA
@MSHUTIMEDIA 8 месяцев назад
Weka na wewe yako tuckie 😂😂😂
@fatumaomary6110
@fatumaomary6110 7 месяцев назад
Upo sahihi sauti na beat havishirikia
@sulexhtechnician7950
@sulexhtechnician7950 7 месяцев назад
Beti na voko ipo tofauti anii Sana ilaa ngoma kalii tatizo mix so vyemaa
@davabackup7767
@davabackup7767 8 месяцев назад
Keep it going broo u do it 💪
@galamc1943
@galamc1943 8 месяцев назад
💥💥💥💣
@alvezog_3836
@alvezog_3836 8 месяцев назад
Kazi kazi
@user-kb5yi3pb9p
@user-kb5yi3pb9p 7 месяцев назад
Oya nagwa ww ni the best sana unajuwa sana kuliko muimba sengeli yeyote yule oya bro kaza buti utafika mbali sana Ilove familia
@mrh2812
@mrh2812 8 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Japharyhh
@Japharyhh 8 месяцев назад
Sijaielewa naona twita zinakwaluza ty
@ramadhanhussein6172
@ramadhanhussein6172 8 месяцев назад
Ngoma nagwaaaa
@kdpretoria780
@kdpretoria780 7 месяцев назад
2:12
@mukimingo
@mukimingo 8 месяцев назад
Sound good kingman
@fasheon9359
@fasheon9359 8 месяцев назад
🚀🚀🚀🚀🚀🚀
@user-jw3iq4mt9i
@user-jw3iq4mt9i 8 месяцев назад
🎉😢 oya p
@samzirobellah7687
@samzirobellah7687 8 месяцев назад
🇹🇿🇹🇿💥💯🌍🔥🔥🔥
@EvanceBoy1997
@EvanceBoy1997 8 месяцев назад
@djhajiztz
@djhajiztz 8 месяцев назад
😂😊
@SaidiHamzaRamadan-wr9sx
@SaidiHamzaRamadan-wr9sx 8 месяцев назад
Big up sana bro
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 месяцев назад
Hiyooo garama uliotumia kurekodi na kushoot haiwez kurudi.mziki ni mgumu mm sion kama una kipaji kabisa .huna washauriii mzee
@Semedo13-k5w
@Semedo13-k5w 8 месяцев назад
Bwege ww
@GundaAtlist-wn9qh
@GundaAtlist-wn9qh 8 месяцев назад
malaya wew
@josephjohn8363
@josephjohn8363 8 месяцев назад
Mziki wa sasa hivi hauhitaji kipaji cha hali ya juu, unaweza ukawa na kipaji cha kawaida tu na ukatoboa na kufika mbali sana, hii ngoma kama akiamua kuifanyia promo ni kubwa sana.
@kiatu
@kiatu 8 месяцев назад
⁠@@josephjohn8363Kweli kabisa. Halafu nini maana ya kipaji (talent)? Maana yake ni kujua ama kufahamu jambo bila kufundishwa. Unaweza kujua au kufanya jambo fulani kwa kufundishwa ama kusoma pia, (A talented someone is that one who has a natural ability to be good at something, especially without being taught). Pili kipaji chochote kinahitaji kunolewa, Mfano mzuri ni Harmo ( pamoja na wasanii wengi wengine) hakuwa kama alivyo leo lakin juhudi yake imemfikisha alipo. Naomba vijana waache hii dhana ya kusema fulani Anafanya vizuri sababu ya kipaji tu. Unaweza ukafanya chochote mradi usitake kuwa Diamond ama Harmonize, uwe wewe tu.
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
Просмотров 64 тыс.
Ngoma Nagwa - Wela  (official video)
4:20
Просмотров 50 тыс.
Nagwa - kayakanyaga (Official video)
4:15
Просмотров 42 тыс.
Ngoma Nagwa   KATOTO feat Lolilo Official video
3:42
Просмотров 10 тыс.
Mbosso feat Chley - Sele (Official Music Video)
4:15