MUNGU wa mbinguni akutunze bro nanauka, umenifungua macho Sana pia lazima nitaipambania vision yangu sitochoka na pia nitakuwa mvumilivu Sana + work hard...all in all GOD FIRST.
Mwenyz mngu akulinde na kukutunza kaka Joel, hakika kila siku najifunza Mambo mapya . Maneno yako yananipa nguvu furani hivi ya kiroho🙏🏽🙏🏽. Be blessed 🙏🏽
Sir Joel ukwel nakupenda, asante kwa kazi zako znanifaa uko kwajili ya MTU kama MM record my name Mercy Elias I will be most differ than others all in my areas
I wonder where was I all this time to not watch this video, am touched In a different way , I promise to be back for testimony 2025 Thank you Mr Joel , receive God’s blessings