Тёмный

NGUVU YA MSAMAHA, na mtumishi wa Mungu Bienvenu WANZIRE 

Bienve Ministries online
Подписаться 1,8 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Mungu kwa uwezo wake mkuu, anaweza kutendea mwanadamu kila kitu kizuri, Mungu ili abariki mwanadamu, haitaji ushauri wa mtu yeyote, amesema kwenye Biblia, msiposamehe hamtasamehewa ; ina maana Mungu anauliza ruhusa kwako, ukiisha samehe ndipo Mungu pia atakupa msamaha.
Matayo 6:14-15
mara nyingi wanadamu tunashindwa kuona mkono wa Mungu katika maisha yetu sababu ya kushindwa kusamehe,
unapo tazama video hii, Mungu akukumbushe wapi ulishindwa kusamehe, baadae uweze kutoa msamaha kwa alie kukosea na utaona atakavyokutendea makubwa maishani mwako.
usikose ku subscribe channel hit, ku share ili tuendelee kubarikiwa kwa pamoja.
kwa mawasiliano, maoni au ushauri, tupigie kwa +255687925538 +255652451063. fb: bienvenu wanzire. instagram: bienve ministries online

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@estherfaidamalkia4021
@estherfaidamalkia4021 2 года назад
Amen
@kush_kidy97
@kush_kidy97 3 года назад
Ameeen
@emilymasinde4907
@emilymasinde4907 10 месяцев назад
Wonderful message, nimebarikiwa sana
@catherinekembi1241
@catherinekembi1241 2 года назад
Amen Mungu akubariki sana mtumishi
@elodykavira7488
@elodykavira7488 2 года назад
Amen amen
@regnethsangwa4635
@regnethsangwa4635 Год назад
Amen
@gloriaglorieusemugoli9949
@gloriaglorieusemugoli9949 2 года назад
Amen
@africantraditionalcultures7147
@africantraditionalcultures7147 2 года назад
Nice
@elodykavira7488
@elodykavira7488 2 года назад
Ndio ndio ile ni kweli kabisa
@upendombwile103
@upendombwile103 3 года назад
🙏🙏🙏
@eliyakisebengo5071
@eliyakisebengo5071 3 года назад
Amina
@merveilleajabu
@merveilleajabu 2 года назад
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@banzamukalay5396
@banzamukalay5396 3 года назад
Amen 🙏 🙏, msama,ni dawa ya kuponya tatizo ya kutoelewana,na ku kubaliwa
@furahapaul1949
@furahapaul1949 3 года назад
Amen
@ancillakabanyana658
@ancillakabanyana658 3 года назад
Amen.
@annonciataumingabire1460
@annonciataumingabire1460 3 года назад
Ubarikiwe
@annabuxay3968
@annabuxay3968 2 года назад
Mungu akubariki ,nami nimebarikiwa
@zackjacob1140
@zackjacob1140 3 года назад
Ujumbe huu umekuja kwangu kwa wakati sahihi ubarikiwe
@alvinbernad6549
@alvinbernad6549 4 года назад
Amina
@eugenwalisindo675
@eugenwalisindo675 3 года назад
Amina
Далее
Провал со стеклянным хлебом…
00:41
Unafahamu kwamba MSAMAHA huanza kabla ya UPENDO?
38:29