If you're reading this God Saw what they did to you. He felt you dealing with it in silence & hurt. He saw how they tried to destroy you. God know it all. But He kept you & watched over you. God has prepared a table in the presence of your enemies. This is your season for blessings and breakthroughs
Nimependezwa na mafundisho haa niko Turkna West katika kambi za wakimbizi. nimfanya kazi wa REF FM community Radio. naomba nicheze mahubiri haa on Sunday
Mungu nifunguwe masikio ya ndani nikawe na roho mtakatifu bali nisiwe na tamaa za mwili mungu nifungulie ufahamu kupitia kwa mahubiri haya ni the name of Jesus Christ nikiamini uko pamoja nami
Nabarikiwa sana na mahubiri yako ya injili kila nikisikiliza mahubiri yako najiona nahama kutoka kiwango kimoja cha imani kwenda kingine! Nguvu na mkono wa mungu uwe juu yako siku zote uendele kumtangaza Kristo yesu. Amen