Тёмный

NI HATARI! LORD EYES AMCHANA VIBAYA WAKAZI/ HAJAFIKIA VIWANGO VYA KUPEWA HESHIMA YA BONGO FLEVA 

TimesFMTZ
Подписаться 533 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Развлечения

Опубликовано:

 

26 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@nyumbanituthegendaheka7222
@nyumbanituthegendaheka7222 2 месяца назад
Wakazi hata baada ya miaka 20 bado sana...kwa kipi amefanyia kwenye Hip hop huyo mdandia gari tu...Huyu Lord msimchukulie poa...Heshima ya bongo flava wapewe Hardcore Unity pia...Lord legend msimfananishe na mang'aa...watu wanataka kuingia kwenye historia na historia haiwatambui...HU squad watafutajii
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 месяца назад
Umesahau Profesa J
@yaajefwa94
@yaajefwa94 2 месяца назад
I like how honestly he was, WAKAZI bado Sana bado anakazi yakufanya
@frankngajilo7137
@frankngajilo7137 2 месяца назад
Hivi wakazi ndo kitu gani? Kaimba hit gan
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 2 месяца назад
Ni watu Fulani wanaoishi eneo Fulani 😂😂😂
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 месяца назад
Kwel kabisa Hana kitu juu ya mziki bado kinda sana
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 2 месяца назад
Huwezi kumpa wakaz heshimakamahiyo labda apewetuzo shangingi wa bongofreva
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 2 месяца назад
Wakazi is tyipping 😅😅😅😅
@Nasbu-tb6cs
@Nasbu-tb6cs 2 месяца назад
Maelezo yko sijakuelewa kabisa mzee
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 2 месяца назад
Wakaz anangomagani Kali jmn 😂😂😂
@MackameHassani
@MackameHassani 2 месяца назад
Si kwamba Wakazi hana uwezo ila bado sn aiseee😅
@elpadrinotz
@elpadrinotz 2 месяца назад
wakazi 😂😂
@shedrackmutalemwa7310
@shedrackmutalemwa7310 2 месяца назад
Mbwembwe
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 2 месяца назад
Yani kati ya watangazaji wapuuzi kwnye hizi media, nahisi we ni wakwanza, from your hairstyle, personality, clout chasing, content, this whole idea of becoming a presenter sjui umeipatia wap, like who is your role model, do better, dont you wanna be like Zuhura Yunus some day, groooow upppppp
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 2 месяца назад
Glad eez kakujibu vzuri, you go with those maswali ya kipuuzi kwa mtu muingine utatukanwa, mnaaibisha walimu na vyuo mmesoma
@youngtuso3048
@youngtuso3048 2 месяца назад
Hakuna kibaya alichouliza Hapa... Sijui Kama Huko nyuma amewahi kuharibu Lakini Kwa Hapa Leo hakuna kibaya alichouliza.... Usimkatishe Tamaa... Let her do what she feels...
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 2 месяца назад
lordy izzzy akaa terorst
@evansmumo3921
@evansmumo3921 2 месяца назад
Amevaa jacket fake
@fafifurashid1586
@fafifurashid1586 2 месяца назад
vahs not vans mwamba umechunguza sana 🙌🏾
Далее
Yuzzo Mwamba -Chupu Chupu ( Official Music Video )
4:12
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 8 млн
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Serikali Kuu ya Mizuka- FLEX
6:51
Просмотров 73 тыс.
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38