Тёмный
No video :(

WAZIRI BASHUNGWA ATINGA NYUMBANI KWA MZEE ALIYEMPA MAGUFULI KUKU "ALISEMA NIKAMUOE MAMA YAKE" 

Uhondo TV
Подписаться 592 тыс.
Просмотров 86 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

10 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 202   
@aloycesamba998
@aloycesamba998 3 месяца назад
Mh bashungwa hongera sana,kwa kumkumbuka huyo mzee , mungu akubariki sana
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 3 месяца назад
Nitafurahi sana huyu mzee akijengewa nyumba ana moyo wa kipekee sana
@tyivbra
@tyivbra 3 месяца назад
Ety katamiwa mingi lete hapa😂😂😂 very humble na ndo utanzania wety haswa😂
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k 3 месяца назад
Mh.Bashungwa Tunza hiyohekima ambayo mwenyezi Mungu kakutunuku. Ubarikiwe sana, na abarikiwe Mh.Dr.Samia Suluhu Hssan kwa kukuteua kuwa waziri.
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 3 месяца назад
Aaaah aaah! Mama adija jiandae 😂😂😂.Huyu Mzee namkubali sana muongeaji na mcheshi. Lakini wafanye mpango wamuwezeshe mzee hata basi wamjengee nyumba nzuri hata ya chumba kimoja maana anajari sana maendeleo ya wengi kuliko ya kwake mwenyewe.Mungu amjalie sana mzee na mtani wangu Waziri Bashungwa 🎉🎉🎉
@anandemungure2500
@anandemungure2500 3 месяца назад
Mhe. Bashungwa Mungu akubariki sana. I am so overwhelmed indeed. Ukigusa maisha ya wahitaji basi Mungu naye hushughulika na maisha yako pia. Glory to God 🙏
@boscokikoti
@boscokikoti 3 месяца назад
Bashungwa anafaa kuwa raisi baada ya mama Samia kumaliza muda wake
@gracethomas683
@gracethomas683 2 месяца назад
Na haonekani kama anaigiza yupo real ndo nachompendea hapo…..
@kinasaba
@kinasaba 3 месяца назад
Mh. Bashungwa na Mzee wa Jogoo Hongereni sana. Mnasaidia sana kutuunganisha wananchi na serikali yetu. Mh. Bashungwa Mungu azidi kukulinda, na kukuongezea hekima na busara katika utendaji wako.
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 3 месяца назад
Mzeee Mwenyezi Mungu akutunze mno ,japo una cacomedy ndani nimekupenda mama Amina imba kdg hapo
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 месяца назад
😂mama Khadija jiandae
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 3 месяца назад
🇹🇿Yeah!kazi nzuri mhe.waziri hongera sana tuendelee kuijenga Tanzania kila kona ipendeze.
@christfamilychurch-cfctanz4270
@christfamilychurch-cfctanz4270 3 месяца назад
Tuna watu wazuri sana katika hili Taifa ila wamefungwa mikono!!! May the Living God bless you Hon. Innoocent Bashungwa. Nimebarikiwa sana kwa kuona Makazi ya Mzee wetu!!!
@PatrickSaid-zz6gf
@PatrickSaid-zz6gf 2 месяца назад
Indeed
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 3 месяца назад
Mzee mstalabu sana ❤ muenyezi Mungu akulinde kuakila jambo
@Ashrey82
@Ashrey82 3 месяца назад
Alhamdulilah 🙏 Kuna watu Wana roho na wamezaliwa na vizazi vya Mungu na sio vya nyoka! Hongera sana waziri kwa kujali Hali za watu wengine!
@stephanojmafumbira5369
@stephanojmafumbira5369 3 месяца назад
Mama Khadija jiaandaee😂😂
@misanjolivigha2396
@misanjolivigha2396 3 месяца назад
MHE. BASHUNGWA nakupongeza sana kwa kumtembelea Mzee KIMBWEMBWE a.k.a. Mzee wa Jogoo wa Somanga- Kilwa huko mkoani Lindi.Hakika Mhe. Waziri BASHUNGWA nakuombea kwa MWENYEZI Mungu akubariki sana kwa kujitolea kutaka kumfanyia "JAMBO" la "UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI" baba yake "RAIS".
@user-ye4qx9py6x
@user-ye4qx9py6x 2 месяца назад
Mzee mchesh ady raha me nimependa sana mama adija jiandae
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 месяца назад
BABA MAGUFULI TUTAKUKUMBUKA DAIMA MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA PEPONI AMINA
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr 3 месяца назад
Haya yote tunayoyaona ni matunda j.p.m ameliacha Taifa na viongozi wenye upendo,nahuruma, bashungwa, na makonda mungu awalinde sana endeleeni nahuo moyo matunda mutayaona
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
Mungu akubaliki sana mzee kwa moyo wako na Waziri safi sana. Kweli na kuku tulimuona ❤❤❤❤👍👍👍👍🙏🙏kwa kumbuka mzee huyu.
@benatusmarwa8360
@benatusmarwa8360 2 месяца назад
Damu ya Magufuli ina inatembea ndani ya vijana wake hawa. Asante Bashungwa.
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 3 месяца назад
Dah mzee yuko vizuri namkubali na Bashungwa Mwenyezi Mungu akubariki ubadilishe maisha ya huyu mzee hiyo dua sio ndogo imemfikia Mwenyezi Mungu haina unafiki wowote imetoka moyoni haswaaa
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 3 месяца назад
Mzee huyu ana upeo mkubwa angekua kijana angekua chawa mzuri sana,Kwa kweli nimependa sana,bashungwa mwambie mama nyumba itajengwa fasta
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 2 месяца назад
😀😀
@alfeshhassan4181
@alfeshhassan4181 3 месяца назад
Masha allah nmeisklza hii video hadi namhisi huyu mzee natamn angepew nyumba nzuri tu apo apo na sio kujengew tu kw sbb utachlewa ujenzi kutokana umri wake...allah amhifadh na amjaalie umri mrefu aamn ya rabbal almn❤
@markmushi8940
@markmushi8940 3 месяца назад
Nimependezwa sana na uyu babu mungu amtimizie ndoto zake
@rukizatv1421
@rukizatv1421 3 месяца назад
I real like this minister!
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 3 месяца назад
Ni faraja sana kukumbuka wazee hawa, hongera mh, Bashungwa ubarikiwe sana
@user-ob9nu5dp1s
@user-ob9nu5dp1s 3 месяца назад
Ma shaa Allah Alhamdulillah mwenyezi mungu akuzidishie wepesi Ameen Mzee wangu
@shaban6644
@shaban6644 3 месяца назад
Hapo tumepata funzo la Subra Kwa mze wetu. Hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri.
@emmanuelkivenule875
@emmanuelkivenule875 3 месяца назад
Amen 🙏
@shababemnangwambe2137
@shababemnangwambe2137 3 месяца назад
haswa
@saranduruma7990
@saranduruma7990 3 месяца назад
Jmn daah Mungu akupe raha ya milele huko ulko magufuli tunakukumbuka sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
❤❤ Kweli hiyo nyumba sio nyumba.Mungu akujalie waziri.👍👍🙏🙏
@jumakinonono-jj4zy
@jumakinonono-jj4zy 2 месяца назад
Hongera mzee kwamoyo mzr nimefurah sana pale uliposema nilimuomba magufuli ajenge hospital ingawa mm maisha yng sio mazur ila achana nayo
@salhaomar5382
@salhaomar5382 3 месяца назад
Mjeengeeni nyumba nzuri sasa. Anajitoa kwa upendo wake
@user-es7jx9vx4v
@user-es7jx9vx4v 3 месяца назад
Hongera sana, mh waziri
@grationkato7658
@grationkato7658 2 месяца назад
Safi sana bashungwa ndio maana nakuelewa kijana wa watu.hauna bayaaaaaa mungu akupe nguvu.
@frankthadeo1679
@frankthadeo1679 3 месяца назад
Nafurahi sana kuona vijana wa humri wangu wakiwakilisha vema kama huyu bashungwa Mungu ampe afya njema kwa kuwakumbuka wazee
@khamisshee803
@khamisshee803 3 месяца назад
MashaAllah Muheshimiwa Bashungwa ALLAH akulinde kwa kila Baya Amin Amin Amin AKA BACHUCHU MOMBASA 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@soudsoud7330
@soudsoud7330 3 месяца назад
Mzee wa jongoo yuko vizuri sanaa..eti tuishie hapa hapa tuombe dua sasa😂
@bryanmuoki6250
@bryanmuoki6250 3 месяца назад
Watching from Kenya. Asanteni kwa kumheshimu mzee
@mahendekaramadhan2948
@mahendekaramadhan2948 3 месяца назад
Mhe Bashungwa mwana(mzee kimbwembwe) kasema siku akitangulia mbele ya haki hakikisha unaenda kumzika , kumbuka umeweka ahadi hutakiwi kuivunja. Kwa kutekeleza ahadi hio utapata baraka zake.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Mungu akulaze mahali pema peponi ndugu Magufuli
@mohamedlugongo
@mohamedlugongo 2 месяца назад
Mashallah mheshimiwa bashungwa Allah akuongezee palipo pungua insha-Allah 🙏🙏
@EagerBirthdayCake-zh8xb
@EagerBirthdayCake-zh8xb 3 месяца назад
Bashungwa nakupenda sanaa... Mdogo Wangu uko makini mnoo Mungu akuzidishie Inshallah.
@user-ru6ct4rh3t
@user-ru6ct4rh3t 3 месяца назад
Mama Yangu Samia tambua unamajembe Yafuatayo: Jerry Silaha, Bashungwa, Biteko. Hii ni Kwa Mawaziri.Sifamu kama Kuna mawaziri wengine. Ila kama itakupendeza. Dorothy Gwajima arudi afya. Madudu ni mengi mama yangu.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 месяца назад
Bado tunao watu wema na huruma kwa jamii makonda ali hapi jerry silaa biteko majaliwa bashungwa doròthi alikuwa anajali sana MUNGU awainue zaidi katika kulitumikia taifa lenye viongozi wenye ubinafsi
@cbegram6161
@cbegram6161 3 месяца назад
Hata yule mpina na kabudi wako fresh. Sema kabudi hatuoni mkazo wake Madini yake anaishi nayo, lakini huyu biteko namuona kama ni raisi ajaye
@evaristmakanza8305
@evaristmakanza8305 2 месяца назад
Hongera sna Mh Mashungwa kwa Moyo wako mzurii
@daudpius130
@daudpius130 2 месяца назад
Hongera sana waziri bashungwa kwa kuwakumbuka hao wazazi wetu
@henrymruma9260
@henrymruma9260 3 месяца назад
Huyu mzee ni hazina ya nchi ana madini ya kutosha
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
Mze ana roho Nzuri kweli kila anapo kutana na viongozi anaombea jami na hajiombee yeye. Nimependa Mze wangu 😢😢
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 3 месяца назад
Dah!!! Ninoma mzeee yuko vizuri
@SalumonEustace-cl4mk
@SalumonEustace-cl4mk 3 месяца назад
Nimeipenda sana ziara ya namna hiii Mh. Waziri pongezi kwako kwa kumtembeleaa mzee huyu na kumjulia hali nyumban kwakee na kujionea mazingra anavyoishi pamoja na familia yake.., viongozi wengine igeni mfano wa namna hiii msipite barabarani na misafara yenu hiyo haitoshii watembeleeni hata wananchi majumbani mwao mwone maisha halisi
@gracethomas683
@gracethomas683 2 месяца назад
Kimbwembwe naomba tu alete miwa watu wale jamani mpaka mzee kasema kuna makamanda huku😂😂😂
@anandemungure2500
@anandemungure2500 3 месяца назад
Bashungwa kazi nzito mwanao kakupa itunze hiyo imepigwa muhuri tayari
@JohnSebuge
@JohnSebuge 2 месяца назад
Mama Khadija jiandae.
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 месяца назад
Amiin yarabily liallamina Allah takabalin duaa yarabiy Allah awafanyie wepes ujenz wa nyimba yake uishe kwa haraka innshaa'Allah
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 3 месяца назад
Waziri Mungu akulinde ktk Wizara hii hudumu
@erastokweka3010
@erastokweka3010 3 месяца назад
Mzee ana busara sana
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy 2 месяца назад
Huyu Bashungwa jamaa Mcheshi sana utadhani sio Waziri ajashtuka madaraka mungu aepushie mbali ata kama anakua uraiani anaweza kusavaival safi sana
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
Huyu mzee anaupendo sana
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 месяца назад
Makamanda wanatafuta miwa 😅😅😅😅😅💪
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 2 месяца назад
Habari hawana😅
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 3 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kazi nzuli wazili, fanya kitu kwa uyu mzee itakua falaja kwa watanzania😪😪😪😪
@JosephatMushi-ne9hn
@JosephatMushi-ne9hn 3 месяца назад
Hizo BARAKA ulizozichota hapo Mzee kubwa mno.
@fadhilihezekiah3435
@fadhilihezekiah3435 3 месяца назад
Mno
@anethkasase
@anethkasase 2 месяца назад
Waoo safi kuwagusa wahitaju umenena jambo la kuhusa moyo wa mzee Mungu akuwezeshe mh bashugwa
@mandomediasolutions7045
@mandomediasolutions7045 3 месяца назад
Mh Bashungwa Hongera sana
@neemareuben311
@neemareuben311 3 месяца назад
😢😢😢😢😢😢😢😢nimemiss magu jaman
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 3 месяца назад
Kazi nzuri ❤❤
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 месяца назад
Huyu mzee anaroho njema sana na anaupendo na watu wake wa karbu maana pindi alipoonana na magu angeliomba ajengewe nyumba ila aliomba hospitali
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
Tena daraja liwe refu na kubwa. Mama Hadija jiandaae😁😁😁👍👍❤❤
@patrickmuvendi142
@patrickmuvendi142 3 месяца назад
Hongera sana wazuri!
@BENALDKILEO
@BENALDKILEO 3 месяца назад
We mzee kimbwembwe umegonga palepale nilipokuwa napaona
@baloz8974
@baloz8974 3 месяца назад
Hebu mm sijapona kaka nifahamishe
@Juliusmganga4734
@Juliusmganga4734 3 месяца назад
Mheshimiwa Bashungwa ni kiongozi wa aina yake, ana unyenyekevu wa hali ya juu, hana majivuno, haweki cheo mbele. Ubinadamu uko mbele. Mungu amjalie uzima, hekima na uzima.
@UjenziTv_
@UjenziTv_ 3 месяца назад
Kazi Iendelee..
@Allyhujjat
@Allyhujjat 3 месяца назад
Mungu akuzidishie waziri bushungwa umefanya kitendo cha kiungwana sana na mzee mbwembwe ni mmoja wa wazee wenye busara sana mungu akuweke inshala ntafunga safari kuja kukusalimia kunako na majaaliwa sisemi lini lkn ntakjja inshala
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 3 месяца назад
Babu amechangamka🤣🤣🤣🤣🤣
@muury9723
@muury9723 3 месяца назад
nmeangalia nmeskia furaha sana asant sana Bashungwa
@kispotm787
@kispotm787 3 месяца назад
Maamini raisi magufuli na baba wa taifa mwalim Nyerere Bado wopo hai Bado mii
@mohammedibakiri5335
@mohammedibakiri5335 3 месяца назад
Mzee anachangamka huyu manshallah
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 месяца назад
Mzee...kibwebwe.....uko na IMANI..... MUNGU amekukumbuka Iwe heri kwako
@user-ng9ps3lo4u
@user-ng9ps3lo4u 2 месяца назад
Good job waziri
@anselmimarandu2293
@anselmimarandu2293 3 месяца назад
Amina. Kweli bashungwa una hekima mnoo. Na huyu mzee busara tele. Mungu atangulie kila kona. Amina.
@sarahkadugu4367
@sarahkadugu4367 3 месяца назад
Omukama akwebembele, kumkumbuka huyo Mzee. Mbarikiwe sanaaaa
@user-br7sf6ey9t
@user-br7sf6ey9t 3 месяца назад
Mungu akutunze daima milere mweshimiwa kaka angu bashungwa umetenda vizuri sana
@abdullahmhina2207
@abdullahmhina2207 3 месяца назад
mzee anasema ulijuaje mama adija jiandae 😅😅😅
@user13375
@user13375 3 месяца назад
Si vyema ,tukawa tunafurahia uhuru wa inchi hii mbila kukumbuka mikoa na maeneo yaliyo pigania uhuru kama vita vya majimaji maeneo hayo yanahitaji kuboreshwa sana.
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 2 месяца назад
Wazalendo wanabaki kuwa masikini na wenye dhamana wanatoa ili warudi madarakani waendelee kutawala
@AdamMohamedi
@AdamMohamedi 2 месяца назад
Inshaalah mh. Waziri huo ndio uadilifu anaoutaka alah tabaraka wataala kuwafanyia kher watu mnao watawala Alah akupe malipo mazur Dunian na akhera
@Veni584
@Veni584 3 месяца назад
Mjengeeni nyumba huyo ni historia tayari
@salummussa1139
@salummussa1139 3 месяца назад
Ni kweli
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 3 месяца назад
Mzee wangu ni mcheshi mno mzee wa somanga....hongera sana
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 месяца назад
Ndio mjue hela mnazoiba muone hayo ndio maisha wanayoishi watanzania. Acheni wizi kuweni waadirifu.
@ISSA-up3zq
@ISSA-up3zq 3 месяца назад
Amina
@neemareuben311
@neemareuben311 3 месяца назад
I love you bashungwaaaa❤❤❤❤
@fridasanga2494
@fridasanga2494 2 месяца назад
MUNGU akutunze waziri Bashungwa .mfanyie jabo huyo babu yetu.
@tatutumbi4640
@tatutumbi4640 3 месяца назад
Mungu akupe mema mengi Mh. Bashungwa.
@geofreythomasi2710
@geofreythomasi2710 3 месяца назад
Swahiba wangu kimbwembwe usinisahau Jamaa yangu
@shahaupunda301
@shahaupunda301 3 месяца назад
Mzee anajuwa history cna nikweli vita ya majimaji haikuanza songea ilianza kibata tarafa ya kipatimu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 месяца назад
Mzee Kimbwembwe anafahamu vizuri historia ya hivyo vita kwa sababu ilianza maeneo hayo hayo ya Kilwa wanapoishi na mababu zao ndiyo walioianziaha hiyo vita. Cha kusikitisha wajanja wachache wamebadilisha historia kwa kuandika uongo eti imeanza Songea jambo ambalo sio kweli. Vita iliratibiwa Kibata na chokochoko ya kumuinguza vitani mjerumani waliianzishia Somanga maeneo ya Simu kwa kufyeka mashamba yao ya pilipili na pamba na kuwaua askari wa kijerumani hapo Somanga kwenye boma lao ndipo wajerumani wakakasirika wakatuma jeshi na mapigano yakaanza rasmi na kuenea kusini kote hadi Songea na maeneo ya mkoa wa Pwani na Morogoro.
@MwesigePoul-bg4jd
@MwesigePoul-bg4jd 3 месяца назад
Bashungwa unafaa kuwaraisi watanzania huu niuzalendo kula chakula naawa wazee nifulaa kwaawa masikini ccm oyeeeee
@moristumain8599
@moristumain8599 2 месяца назад
Huwa napenda sana jinsi huyu Waziri anavyopiga stori na wananchi
@eliambowe2576
@eliambowe2576 3 месяца назад
Mama dija jiandae ❤
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 3 месяца назад
Sala nzuri nimeipenda. Umewaombea viongozi
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 3 месяца назад
Hongera waziri
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 3 месяца назад
Kama huyu waziri atakuwa mzalendo daima, Mungu nafasi kubwa sana hapo baadae. Namkubali sana
@paulgasper7863
@paulgasper7863 2 месяца назад
Wazuri bashugwa ikikupendeza mh Rais huyu mtu anafaa kuwa wazir mkuu kwa kipindi chako Cha awamu ya pili
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 2 месяца назад
Nimeipenda story hii
Далее
SHEIKH IZUDINI AMTUNZA SHEIKH OTHMAN MAALIM
14:58
Просмотров 10 тыс.
Sevinch Ismoilova - Xayollarim 18-Avgust 19:00 Premera
00:19