Тёмный

'NI JUKUMU LANGU, NDIO MAANA NILIPOTAMKA MGONJWA AKAPELEKWA KARANTINI"-RC MAKONDA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 74 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 369   
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 4 года назад
Nimeamin watu hatueleweki ni jua au mvua. Juz nimesoma coment tumemponda Leo tunamsifu. Tuzidi kumwomba Mungu atuondoshee hii mitihani peke yetu hatuwez🙏
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 4 года назад
Wati wanafiki tu kotekote
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 4 года назад
Mi naona yupo sawa tu sema sisi binadamu tu uwa tunakuza mambo sioni cha ajabu hapo kawaida tu yupo sawa mkuu wetu piga kazi baba 😍😍😘
@salmaayub61
@salmaayub61 4 года назад
nakupenda sana makonda sijui nikwambie nini maana unajielewa sana sana Mungu akupe maisha marefu sana maana wewe ni mkweli siku zote na wantanzania ukiwambia ukweli hawa unakuwa adui sioni kosa lako apo wewe ndie kaka mkuu wawa kuu wa mikoa yotè
@stevenkyanzi5622
@stevenkyanzi5622 4 года назад
Aisee muheshimiwa nabii hakubaliki nyumbani kwake leo nimeamini hongera muheshimiwa
@braitontweve170
@braitontweve170 4 года назад
Makonda nakupend sana bro kiukweli mti mzur haukos kupigw mawe mungu akubaliki san
@johnmligo6966
@johnmligo6966 4 года назад
Makonda keep it up.... wanakuelewa taratibu watanzania wapogo ivyooo. Mlitaka mbowe na familia yake awaambukize wake zenu ndio muweke hadharani? Watanzania janga hili halijui wewe ni nani ndo mana hata familia za hadhi ya akina mbowe wameupata..... tuache unafiki.
@shollodegeorge9056
@shollodegeorge9056 4 года назад
Mh.makonda wee ni msema kweli daima ndo maana wanakuatack ila mungu atakulinda bro
@josephizengo5912
@josephizengo5912 4 года назад
wee fund sana makonda big up bro
@smarthacker496
@smarthacker496 4 года назад
Kabisaaa
@lsayamapolu7516
@lsayamapolu7516 4 года назад
Makonda juu
@kulwakunemka3286
@kulwakunemka3286 4 года назад
Saafi saana Makonda,hua nakuelewa sana we jamaa,hao wanaokusumbua na maswali ya kichoko ni mashabiki wa Sacco's ya Mbowe tu,upo sahihi na umeeleweka sana
@awamiabbas222
@awamiabbas222 4 года назад
Me binafsi waziri sjamuelewa hapo kwakwel namuona Mh Mkuu wa mkoa yuko sahihi kwani kasemea mkoa wake na halafu huu ugonjwa siy wa kuficha wasilete mzaa kwa hiyo mtu akiumwa aogope kusema au kusemewa mwisho wa siku afie ndani na kuusambaza ugonjwa eee Mwenyezimungu tunusuru waja wako
@JBONLY
@JBONLY 4 года назад
Sasa mnaficha ugonjwa ili watu waendee kuambukizana pol makonda yupo sahihi mtu akipatikana namagonjwa awekwe waz wengine wanaeneza ugonjwa kwa maksud
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 4 года назад
Alichosema wazir wa Afya ni kwamba si ruhusa kumtaja mgonjwa kwa jina kwamba anaumwa kitu Fulani si taratibu za wizara ya afya,ugonjwa ni siri ya mgonjwa na Tabibu
@jumakondo2456
@jumakondo2456 4 года назад
Dc huko vizuri xan piga kazi tunaelewa mungu akubariki hakutie nguvu
@faizebrahim338
@faizebrahim338 4 года назад
Mama waziri ...we tuachie makonda atutajie acha kuleta siasa alichofanya makonda ni kitu cha maana ...tena kwa hili mngekua mnataja majina ili watu wajue nilishakutana na huyo mgonjwa achukue tahadhari .. we unadhani unajua wangonjwa hao wa corona walikutana na watu wangapi mpk kufikia kwenu .... au mnataka huu ugonjwa uendelee kwa kasi
@shadymbuki87
@shadymbuki87 4 года назад
Asante sana mkuu, tumekuelewa zaidi ya sana kwenye hili, CHAPA KAZI.
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 4 года назад
Hata kama mtaona Mh.MAKONDA kakosea kusema na kutaja jina hadharani sawa. Naomba pia mjiulize kwanini familia ya mgonjwa ilimficha ndani hadi aliposema Mh.MAKONDA ndipo ikakili nakuamua kujiweka kwenye Karantini?. Hivyo basi kwa upande wangu naona Mh.MAKONDA kafanya jambo jema kwetu wakazi wa Dar.
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 4 года назад
Hapa ndiyo naiona logic ya kusikiliza pande mbili ili kubalance story. Kama story ingeishia kwa malalamiko kutoka kwa family ya Mbowe bila kumsikiliza Makonda tunge muhukumu bure. Kumbe kama Makonda asinge sema kijana angeendelea kusambaza kirusi mtaani, Kama kweli anawajali watanzania kwanini hakujiweka karantini kama Isabella?
@samwelimashaka8997
@samwelimashaka8997 4 года назад
Uko sawa mkuu
@mamavero4004
@mamavero4004 4 года назад
Sasa hapo tatizo nn jamani ukimwi mfichi na corona kwani mtu umeupata makusudi watu mnakosa uelewa hapa inavyoonekana watu wakiwaona ndugu zao na dalil za corona watawaficha mm naona bora tu kusema hakuna siri hapo huu si ukimwi jamani
@raymondhaule6947
@raymondhaule6947 4 года назад
Makonda yuko sawa kabisa kwani kama Mr tembo anaumwa na amejificha ukasema nimemwona tembo amejifucha nadhani anaumwa kunakosa kwani makonda alijuwaje mtoto wa Fulani anaumwa kama siyo watu wakaribu na Fulani kumwambia kunatembo tumeambiwa anaumwa.na yeye akatuma watu wakachunguze wakamwambia nikweli timemwona tembo anaumwa mwisho tembo akachuliwa akatibiwa mwisho tumwombee mungu akapona unadhani nani. atashukuriwa yule aliye mficha au yule aliye towa tarifa na tembo akatibiwa mwisho we akapona waziri yuko sawa kujibu vile kulingana na kazi yake na mkuu wa mkoa alikuwa sawa kusema vile mbona wanao ficha watoto walemavu tunawasema na kuwaonesha mitandaoni jamani tuweni wawazi
@filminamaga2385
@filminamaga2385 4 года назад
Uko vzr makonda achana na wasiojielew piga kaz baba tuko pamoja na mungu akutie nguvu.
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 года назад
Filmina Maga : ovyooooooooooo, wewe ni mpumbavu kama Bashite, una support ujinga,🤮🤮🤮
@abdulkalimujuma2460
@abdulkalimujuma2460 4 года назад
Madawa yameishia wapi minaona siasatu apo fala wew toa siasa ap umemuona mboetu apo we mzima? Kasome kwanza ndotutakuelewa
@deniseliuter8288
@deniseliuter8288 4 года назад
Mi c support mwanasisa yeyote kwakua wote wanatetea masilahi yao...angalia maisha ya watoto wao wanayoishi Kama sio ya ctarehe......c ccm Wala upinzani....
@aggreymrema3145
@aggreymrema3145 4 года назад
Mimi sio mwanasiasa ila kwa upeo wangu nilivyokusikiliza siku ile ubungo tulikuelewa vizur hukua na nia njema
@mfaumeulenje6734
@mfaumeulenje6734 4 года назад
Sawa makonda anamakosa yake ni kama amefanya uzalilishaji nikosa kisheria ila pia amefanya sahihi bila ya ivyo watu wengi wangeangamia kwa kujificha wangonjwa na kama ingekua kila MTU anaficha kama mbowe tungekua wapi Tanzania kuna wakati Siasa haitajiki kabisa katika maisha ya kihsalama ..baki nyumbani okoa maisha
@kolokokoloko9276
@kolokokoloko9276 4 года назад
Safi sana mhe Makonda
@mathiasalbert329
@mathiasalbert329 4 года назад
Nakubali kazi yako RC
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 4 года назад
Millard Ayo Unatumiwa, Usijifanye Kumhoji Huko Makonda Kulikuwa ni Random, Wewe Unatumia Kihuni Na akina Wahuni Sabaya etc. Wewe Iko Siku Hao wanaokutumia Hutawaona. Je Ni Wagonjwa Wangapi Amewataja Wagonjwa! Huyu Mpumbavu Ni Wangapi Umewataja zaidi ya Mbowe? Millard Ayo Wewe Endeleza Umalaya wako tu!
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 4 года назад
Kama alipewa Taarifa ya Mtoto wa Mbowe Kuwa Mgojwa akiwa Kama Nani? Mkunga au Daktari? Na kama alikuwa na Nia Njema Kwanini Taarifa Hizo asimpe waziri wa Afya? Millard Ayo wewe Malaya Utakuja Kushitakiwa Utozwe Fine Uuze Vijikamera Uchwara Hivyo, Mpaka Vichupi Ndio Utajua Kutumiwa Kuna Mipaka, Acha Kutumika.
@yolamshaban4387
@yolamshaban4387 4 года назад
Ipo siku tutaelewana.....kwamba Mungu ni wetu sote....
@stanleykishiwa9141
@stanleykishiwa9141 4 года назад
Sasa maswala ya kuficha mgonjwa corona ili iweje wakati ni janga la dunia nzima maana corona sio malaria au magonjwa ya zinaa acheni siasi
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Sasa mnaopinga kumshutumu makonda je uyo mtoto wa mbowe sio mgonjwa au kwa vile kamtaja makonda wacheni chuki binafsi mbona alikuwa anauguzwa ndani baadae ndio ametolewa baada ya kutajwa
@neemauhagile702
@neemauhagile702 4 года назад
Makonda uwaziri unakungoja piga kazi baba
@emmanuelmoshi4938
@emmanuelmoshi4938 4 года назад
Mbna ummy hataji majina ya wagonjwa?
@jacksonngwassy8715
@jacksonngwassy8715 4 года назад
True
@philipojmwaipopo949
@philipojmwaipopo949 4 года назад
Wabongo kwa unafiki juzi mlimponda kwenye comments zenu leo mnamwita bright man duuh aisee..viongozi endeleeni kufanya yale mnayoyaona yana faa maana cc raia wenu ni kama popo
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 4 года назад
Kwani walimponda wote
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 года назад
uko vizuri makonda
@charlskpc1103
@charlskpc1103 4 года назад
Big up kwa hili
@paschalmakondo3163
@paschalmakondo3163 4 года назад
Mbowe ni muuuaji nami siku zote na sema ni wakala wa shetani
@hassanmwakatika2129
@hassanmwakatika2129 4 года назад
mama ako ndo muuaji
@simonmgaya2644
@simonmgaya2644 4 года назад
Kama wewe uliondondosha komente hi kamamtotowamboe anacorona mbowekaukosa ? Nakamahajaukosa yupohospto gani mstudanganye sawa
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 года назад
Kuna corona za aina mbalimbali, nyingine ikikupata hauumwi, ila unajikuta tu kuropoka vitu vya ajabu ajabu !!
@mangegervas9651
@mangegervas9651 4 года назад
Gud saana. Kumbe ulifanya saafii
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 4 года назад
Asante sana Makonda,umeliokoa Taifa.
@faizebrahim338
@faizebrahim338 4 года назад
Upo sawa kaka achana na wapumbav wanaoleta siasa kwenye gonjwa kama hili ....
@enjoysoccer1
@enjoysoccer1 4 года назад
Good Makonda
@shijermajebela7038
@shijermajebela7038 4 года назад
Genius
@sahiltvontheline5560
@sahiltvontheline5560 4 года назад
Pauli makonda nambar 1 in Dar es salaam
@nicksonshoo6828
@nicksonshoo6828 4 года назад
Makonda acha kutuzuga akuna alie sawa kwa%100 kubali kushindwa mzee babaa..
@omarykaita43
@omarykaita43 4 года назад
Kwa maoni yangu Mh: Ummy Mwalimu yuko sahihi kwa mujibu wa kanuni za wizara ya afya lakini pia Mh: makonda naye yuko sahihi, kwa Mujibu wa ulinzi na usalama wa wananchi, ni lazima tujue Mh: mbowe ni "PUBLIC FIGURe" ambaye watu wengi huweza kumfuata na kuzungumza naye hivyo ni rahisi kuwaambukiza wengine.
@kelvinkawea6016
@kelvinkawea6016 4 года назад
Big up jembe piga kazi mti wa matunda ndo unapigwa mawe
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 4 года назад
Jinsi ulivyofikisha ujumbe haikuwa nzuri
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 4 года назад
Waziri acha siasa hii Corona siyo ugonjwa hili nijanga la Dunia halina kificho wafiche magonjwa ya zinaa si corona acheni
@pendoeliphas5167
@pendoeliphas5167 4 года назад
Ikili ni nywele kilamtu na zake kwanza huna adabu
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 4 года назад
Taratibu lazima zizingatiwe...kutaja idadi inatosha
@billionmaffia6562
@billionmaffia6562 4 года назад
😀😀😀😀 daaa bongo hii jamani daa sasa anyway lakini
@Gwanchele
@Gwanchele 4 года назад
Ila kiukweli ukiangalia kwa undani Makonda hana kosa
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 года назад
Nothing else
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 4 года назад
uko sawa makonda
@jactonkogoya657
@jactonkogoya657 4 года назад
Makonda upo sahihi bro, huu sio ugonjwa ni janga
@emmanuelmoshi4938
@emmanuelmoshi4938 4 года назад
jacton kogoya kwann ummy hataji majina ya wagonjwa
@kigogozanzibar7074
@kigogozanzibar7074 4 года назад
Makonda anaona mbali Sana
@soccertv293
@soccertv293 4 года назад
Acha ujinga ww
@hassanbakari7360
@hassanbakari7360 4 года назад
😂😂🤣kuna ni wajinga sana dah
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 4 года назад
Hahahaaa "nimewaokoeni acheni ujanja ujanja" safi sana mkuu.
@3minutescrashes421
@3minutescrashes421 4 года назад
Mimi binafsi binafsi Kama Mimi namkubali makonda "MAKONDA BABA LAO" hampambi MTU,MAGONJWA YA MLIPUKO SIYO YA SIRI KAMA MTU BADO KAJIFICHA NDANI YA JAMII KUNA HAJA YA KUMTAJA ILI KUWALINDA WANAOMZUNGUKA,". IPO HIVI ATA ANGESEMA RAIS BADO WANGE LALAMIKA ,"MAKONDA BABA LAO"
@emmanuelmwambambale9931
@emmanuelmwambambale9931 4 года назад
Mh je ww ukienda kupima ukimwi ukagundulika unao alaf dokta akakutaja hadharani utajisikieje?
@3minutescrashes421
@3minutescrashes421 4 года назад
Hujui unachoongea @Emmanuel Mwambambale
@mussajuma1736
@mussajuma1736 4 года назад
makonda upo sawa kabixa bila ww kusema akafanya sili dodoma mbowe angeeneza sana ugonjwa huu mungu tulinde sanaaaa.
@twahayussuf8587
@twahayussuf8587 4 года назад
Mkuuu upo sawa kabisaaaa
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 4 года назад
Wel say mkuu safi sanaa
@paulkisatulusana1142
@paulkisatulusana1142 4 года назад
Makonda upo sawaaaaa Big upo
@ramadhanibakari9480
@ramadhanibakari9480 4 года назад
Mhe. RC kama mbowe alikuwa na mgonjwa nyumbani ungetumia njia nyingine kumfikishia ujumbe. Siyo kuzunguka ukimsema hadharani.
@charlesbaba8820
@charlesbaba8820 4 года назад
Makonda mungu akubaliki sanaaaa
@juniorking7123
@juniorking7123 4 года назад
huyu jamaa ajawahi kukubali kosa
@johnmachibya4777
@johnmachibya4777 4 года назад
Yuko sahihi mkuu wa mkoa fatilieni ameongea ukweli mkubwa sana
@lsayamapolu7516
@lsayamapolu7516 4 года назад
Yuko poa sana
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 4 года назад
Angewaacha wafe tu watu wengine Viburi unawaacha akifa mmoja watajifunza , unaficha kwani ukimwi uwo
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Jukumu gani hilo lakumuanika m2 aradhani hacha masifa piga kazi apunguze kiherehere😂😂😂
@machachedvd7750
@machachedvd7750 4 года назад
Yuko sahihi makonda fahamu hilo
@ombenimshana9162
@ombenimshana9162 4 года назад
Sijui kama neno la ipo siku linatimiaga,likitimia ndipo tutajua ukweli watu
@pilikashinje6765
@pilikashinje6765 4 года назад
Duh!
@eriezarichardmbeya1233
@eriezarichardmbeya1233 4 года назад
Umefika wakati wa MTU kumkataa MTU soo kikichobaki ni kubaki mungu,,,,,,jah one love,
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 года назад
Makonda ni mchochezi mnawakamata kina Esther Matiko. Katika chapa kazi ni huyu Dada. Keep it up.
@ErickAMinja
@ErickAMinja 4 года назад
Well done mheshimiwa ulikuwa ukitimiza majukumu yako ya kiusalama
@hauledernest668
@hauledernest668 4 года назад
Makonda kama kaongea ukwel hivi
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 года назад
Daah makonda uko sawa sanaaaaa
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 4 года назад
Upo sahihi mzee baba wacha wapuuzi wapigekelelee
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 года назад
Achen kuficha ficha ndio maana maambukiz yana zidi 'coz kama mbowe kachanganyika na wa2 hiyo c atar lakn makonda alivyo itaja familia ya mbowe nan asie na akir una fikir ata mkaribia mbowe
@mrdeniskomba2596
@mrdeniskomba2596 4 года назад
Ulichemka brazaaaaa.
@kelpeacedasenior7128
@kelpeacedasenior7128 4 года назад
Makonda yupo sawa sana sasa huyu wa mbowe alikaa ndani half akamfichua sion kam kuna tatizo ila kama angekuwa ameenda karantin half kamtj sasa hapo tungesem makonda ana shida!!!!!
@emmanuelmoshi4938
@emmanuelmoshi4938 4 года назад
Kelpeace Da senior mbn ummy hataji majina ya wagonjwa?
@hanifaalsalamy2935
@hanifaalsalamy2935 4 года назад
Mh makonda upo sahihi kwani watanzania wengi angeambukia corona ni kweli watu wengi hawana uelewa wa covid 19. Tunashukuru kwa hilo mh makonda.
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 4 года назад
Maongez yako na nia yako kwa sasa haikua sawa sawa mwanzo ulikua lengo lako ni jengine na saiz ndio wajiosha
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 4 года назад
Wewe umejuaje?
@j.pproduction6615
@j.pproduction6615 4 года назад
Juz kwel watu waliponda xana lkn ni ufaham tu ndio mdogo, kwel mh mkonda some time anazinguw lkn ktk hili nampa hongera kwa huzijuw kayaokoa maisha wa watu wangap katka mzuko huo.
@stephenemuya8575
@stephenemuya8575 4 года назад
Huyu jamaa ni mjinga tu sanaaa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 года назад
Thus why ur a regional commission, that's fact bro Makonda , Hawa jamaaa sometimes wanajifanya hamnazo Kila kitu wanapinga , jamani tuuache kujifanya mavimpire., Hacha watukane mwisho wa siku mwenye macho , hata dar siku full adabu , hakuna Yale Mambo yazamani, ya Mimi nani..., Piga kazi confidence man.
@josephdogan7650
@josephdogan7650 4 года назад
Ndugu yangu sijajua uelewa wako juu ya Sheria maadiri na utu na taratibu zinazoendesha mambo yetu ya kila sku km taifa. Km ungekuwa unajua ,hakika usingempongeza huyu mdudu. Kifupi ni kwamba hata wazuri mwenye dhamana kamshushua kusomi na kumzodoa. Kifupi huo unaoutetea sio uchapa kz. Haupo ktk vitabu vyovyote vile vya mafundisho ya uchapa kz.. Kuchapa kz kunakoshushia watu heshima utu na kutoa Siri za watu kwenye majukwaa ni ushambenga na utoto km utoto mwingine. Labda nikwambie kitu ambacho alipaswa kufanya1alipaswa kuwasiliana na wazuri au wahusika wa sfya ambao wangeweza kwenda alipo mtoto na kufanya taratibu zote za kimamlaka kumweka karantinii. Kwamfano , kulikuwa na urazima gani wa kuhusisha mtoto wa mbowe na siasa za chadema.hv huyu mtu anawezaje kuwahadaa a Kili kiasi hk
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 года назад
No point hapa wasemaji NI wauguzi na wenye jukumu la kuwaweka karantini wakipatikana +, kuongea kitu kisichokuhusu NI uropokaji wa hovyo, na c maadili.
@kigogozanzibar7074
@kigogozanzibar7074 4 года назад
Makonda katowa Siri ili watu wafahamu
@uledihassan6065
@uledihassan6065 4 года назад
Inshallah tujipange October katika uchaguzi huenda tukapata viongozi wenye mtazamo mpya
@isayamwanjisi2994
@isayamwanjisi2994 4 года назад
Sana mkuu wa mkoa mi nimekupata sana upo vzr sana swala la kikazi nakupongeza
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 4 года назад
Hata Marekani Watu wanafanya Self Quarantine Labda awe amezidiwa. Pumbavu Huyu Millard anauza Utu Mpaka Matako zake!
@marygaspary199
@marygaspary199 4 года назад
Waziri yupo sahihi makonda bhana sijui ana tatizo gani akaombewe ana pepo la kuropoka !
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 года назад
Upo sawa Makonda
@salmapossy862
@salmapossy862 4 года назад
Upo sahihi makonda
@felixmoses9863
@felixmoses9863 4 года назад
Hapo Brother umenena,alikaaje mtaani akati anajua anamgonjwa
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 4 года назад
Hapa TZ hata ukila nyama ya mtu lazima utaungwa mkono na watu kama hawa, ni bahati mbaya sana inamaana hata Mheshimiwa Waziri haumuelewi.
@exaverykalinga1487
@exaverykalinga1487 4 года назад
Mh. Upo sahihi ugonjwa huu cio wa kuficha ficha kwa sasa ugonjwa huu sio wa kuficha tutakwisha.
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 года назад
Exavery Kalinga : wewe ni msemaji wa nani? Acha kuropoka
@joelmsambwa5504
@joelmsambwa5504 4 года назад
Wewe Ugonjwa wowote ule Ni Siri ya Daktari,Muuguzi na Mgonjwa Mwenyewe.
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 года назад
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 4 года назад
Bado tu unabwbwanya
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
Muungwana akivuliwa nguo huchutama....hapo kweli umeliteleza mkuu kukubalii ndo shida....😝🏃‍♀️
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 4 года назад
Majibu mazuri kabisa ,na alikuwa anahakika na anachoongea,hii ni korona sio kisonono.
@sireagle1786
@sireagle1786 4 года назад
Ipo hivi... Taarifa juu ya Afya ya mgonjwa itabaki kuwa siri yake mgonjwa tu na Si vinginevyo na hamna mtu anaruhisiwa kutoa taarifa juu ya Afya ya mgonjwa isipokua akiruhusu mwenyewe iwe hvyo. LAKINI narudia tena lakini.. Taarifa juu ya Afya inaweza kutangazwa kwa public hata bila idhini yake mgonjwa endapo Lengo la kutangaza ni njema kwa afya na usalama wa Jamii. Kwa maana ya kwamba kama afya ya mgonjwa itaendelea kufichwa eti sababu mgonjwa hayupo tyr ijulikane Bas itaenda kuleta madhara makubwa kwa Jamii. Kwahyo hamna maana ya kuufanya siri taarifa ya mgonjwa Kama itakua na impact mbaya kwa afya ya Jamii. Kwahyo makonda yupo sahihi. 0712058189
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 года назад
Siri ya nn acha zako
@sireagle1786
@sireagle1786 4 года назад
Malizia kusoma mwehu wewe
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 года назад
@@sireagle1786 inama zen jichungulie uta muona mwehu
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 4 года назад
Asante Makonda Mungu akulinde nahao wabaya wako chapa kazi
@asaketom9044
@asaketom9044 4 года назад
Mbaya Ni yeye makonda ungekuwa unaenda kutajwa hadharani ungefurahia Bora ungetumia njia nyingine Kama una akili
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 4 года назад
Mheshimiwa waziri usiri wa mgonjwa na Dk sio kwa Ugonjwa huu wa Corona Kote tuko Sawa ila sio kwahilo Uwazi na Ukweli ndio tiba
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 года назад
Kweli ata Ulaya ugonjwa ni siri ya Daktari na mgonjwa kweli wewe ni waziri wa Afya Mama yangu hawa watu wa kuropoka ropoka vichaa kweli manake hao.
@shibilitimedia3312
@shibilitimedia3312 4 года назад
Haukuwa na kosa Mheshimiwa uko sahihi.
@keddlynebonny6462
@keddlynebonny6462 4 года назад
Ndo ataje mtu acha mkumbo
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 4 года назад
Kam ni wajibu wak kwann asiend na timu yak kimya kimya na kumpeleka qarantene had atangaze siyo vzur jmn tusfate mkumbo
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 4 года назад
ila hakutakiwa kutaja jina,kaenda kinyumbe ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
@marcodominico9503
@marcodominico9503 4 года назад
KAMA MLIKUWA NA UHAKIKA MLITAKIWA KUMFATA. KUTAJA MTU KWENYE MEDIA NI KUVUNJA TARATIBU ZA MAADILI
@attunelson8828
@attunelson8828 4 года назад
Kumlinda mgonjwa so kumdhalilisha,halafu haifai kuleta siasa kwenye ugonjwa.
@emmanuelmoshi4938
@emmanuelmoshi4938 4 года назад
Attu Nelson kwann ummy hataji mjina ya wagonjwa?
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 4 года назад
Emmanuel moshi,taratibu za wizara ya afya haziruhusu lazima tuzingatie taratibu na miongozo,ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na tabibu,kwa mfano daktari akamtangazia mgonjwa kua anaumwa ugonjwa fulani kisha mgonjwa huyo akamshtaki Daktar akiwa na ushahidi Daktar anakua na kesi ya kujibu coz kakiuka maadili ya kazi yake,
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 4 года назад
Emmanuel moshi,taratibu za wizara ya afya haziruhusu lazima tuzingatie taratibu na miongozo,ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na tabibu,kwa mfano daktari akamtangazia mgonjwa kua anaumwa ugonjwa fulani kisha mgonjwa huyo akamshtaki Daktar akiwa na ushahidi Daktar anakua na kesi ya kujibu coz kakiuka maadili ya kazi yake,
@kudraahmad6003
@kudraahmad6003 4 года назад
Makonda nakuelewaga sana ,chapa kaz mm Niko mbali na huo mkoa lakin nakukubal baraaaa
@neemamahusho6193
@neemamahusho6193 4 года назад
kweli bhana umeongea Hapo ukweli
@petitonlinetv3142
@petitonlinetv3142 4 года назад
Ni mjinga tuu
@zulikeepitupstronglady9265
@zulikeepitupstronglady9265 4 года назад
Bashiteee ndio maana ulikuwa zero pale Muccobs
@hangompwani3719
@hangompwani3719 4 года назад
Ulijuaje?
Далее
Russian soldiers get chased by Ukraine drone
00:28
Просмотров 65 тыс.
Каха и жена (недопонимание)
00:37
MAHALA ALIPO MAKONDA, SIRI NZITO
2:59
Просмотров 86 тыс.
Russian soldiers get chased by Ukraine drone
00:28
Просмотров 65 тыс.