The little guy ni moto sana kwa solo 🔥🔥🔥🔥🔥the big guy aremain tu kwa vocals.... anyway it's my guys nawapeda sana na napeda bidii yao...may God continue lifting you guys keep trusting lord na mtaeda bali... mungu akiwainua msiwai shikwa na kiburi kaa wegine wetu apa...we love you guys
Am happy how these boys have embraced every challenge and supporting one another. Ninisi itheake akataaana nundu wa vitiii wa syana iii. Mungu azidi kuwabariki na kuwainua
Imagn lipua senior aliacha vijana lower classes sasa atapata wanaume kama hawa😂😂😂😂,imagn furaha itakua na huyo mzee,kitolongwe uyu ni musyawa"like father like sons "