Тёмный

Ni Wa Thamani - Kwaya ya Yerusalemu KKKT Tumbi - Kibaha (Official Music Video) 

YERUSALEMU CHOIR
Подписаться 815
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Thamani ya maisha yako
katika hii duniia
imepote,imepotea imefutika
Hakika kwa mwonekano
umechakaa umechakaa
umepoteza mvuto kwa ugumu wa maisha na tabu nyingi
Ndugu jamaa na marafiki wamekukimbia wamekutenga
huna pakukimbilia huna msaada tena
umebaki pekeakoo....
SONG COMPOSER: YONA KITILA
Audio Production : JVC Audio Prooduction
Video capturing : JVC Video Prooduction
Video Editor: Fadhili Marandu
Ni Wathamani Vol 2
Song: Ni Wa Thamani
(2023)
Catch Up With Jerusalem Choir Tumbi Kibaha On:
Instagram: ...
/ Whatsapp 0624984154
chat.whatsapp....
Facebook: www.facebook.c...
Twitter:https: x.com/KwayaYer...
Telegram:t.me/yerusalem...
Audiomark:creators.audio...
Boomplay Music: www.boomplay.c...
Spotify:open.spotify.c...
#Yerusalemukwaya#Ni Wa Thamani#MusicVideo.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 79   
@HarunaRashid-h4p
@HarunaRashid-h4p 10 месяцев назад
Mungu awainue kwa viwango vingi mko vizuri
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Amen... usisahau ku subscribe
@Moudykandosa-w6n
@Moudykandosa-w6n 16 дней назад
Ujumbe wenye kutia moyo na kujiamini zaidi hakika mimi ni wa THAMANI.
@noahpeter5689
@noahpeter5689 6 месяцев назад
i will always love this church❤kisima cha baraka tumbi kkkt
@OliverMtweve
@OliverMtweve 2 месяца назад
Hakik Mim niwathami mbele za Mungu 🎉
@kyekundanshau3967
@kyekundanshau3967 10 месяцев назад
Mungu baba endelea kuinua kundi hili la Yerusalem wabariki ktk kazi zao na familia zao
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Barikiwa pia mtumishi
@Mc_neneje
@Mc_neneje 8 месяцев назад
davidi MUNGU akubariki sanaa (drummer )
@emma-vp7ti
@emma-vp7ti 5 месяцев назад
Upendo wa mungu ufurike ndani yetu jamn
@meggyshukia8715
@meggyshukia8715 5 месяцев назад
Ujumbe mzuri sana hakika mimi ni wathamani
@frankyunia1809
@frankyunia1809 25 дней назад
Mungu awabariki Leo tulikua wote kkkt mwakaje Zanzibar
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 25 дней назад
Barikiwa sana mtumishi tuko pamoja endelea ku share na wana mwakaje ... Tulibarikiwa sana pia.
@AnnaPhilimon
@AnnaPhilimon 11 месяцев назад
mungu awabariki sana awazidishie zaidi ya hapo nawapenda
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Barikiwa pia na MUNGU
@laurentwambura2881
@laurentwambura2881 11 месяцев назад
Mungu mwema,kazi nzuri...aendelee kuwakirimia
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Barikiwa Amen.
@uscfsocialinternationalchoir
@uscfsocialinternationalchoir 11 месяцев назад
Jina la Bwana wetu YESU KRISTO lizidi kutukuzwa kupitia huduma yenu... Ujumbe mzuri saaana kutukumbusha jinsi tulivyo wa Thamani mbele za MUNGU... Ahsanteni sana BOAZ (Base guitar) na DAVID (Drummer) kwa kazi nzuri mliyoifanya humu, tunajivunia nyinyi kama zao lililotoka kwetu, na zaidi tunawaombea mfike viwango vingine vya juu sana katika huduma yenu 🙏🙏
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Utukufu kwa MUNGU.... Barikiwa sana.
@neemaratera5717
@neemaratera5717 11 месяцев назад
YERUSALEMU Nabarikiwa Sana na nyie, MUNGU awainue viwango vingine wimbo unaujumbe mzuri Sana sauti zimetulia HALELUYA HAKIKA sisi Ni Wa thamani Sana mbele za Mungu... Mama yangu ELIWANGU FOYA, baba yangu SAFIELI RATERA damu ya Yesu izidi kuwafunika kumtumikia Mungu kuzuri saaana🔥🔥🔥
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Amen ... Tunakutakia pia baraka za MUNGU ziwe nawe.
@irenejohn6909
@irenejohn6909 10 месяцев назад
hii nyimbo mlinitumgia
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Ikuhudumie vyema ...Barikiwa
@helenadoramtera1813
@helenadoramtera1813 5 месяцев назад
Mungu awabariki. KAZI nzuri
@mtelafrmusic3158
@mtelafrmusic3158 9 месяцев назад
Wa thamani is 🔥🔥🔥🔥
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 9 месяцев назад
Amen Barikiwa... Usisahau ku subscribe pia na kubonyeza kikengele hapoo.
@yonamwakyusa
@yonamwakyusa 10 месяцев назад
Tafadhali naomba muongozo kufika kanisani asante
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Tupo Tumbi kibaha.... Ukiulizia hospital ya Tumbi utakuwa umefika kanisani ni majirani na hospital uliza kanisa la KKKT ukishafika tumbi.
@yonamwakyusa
@yonamwakyusa 10 месяцев назад
Asante Toka ninaskia hii nyimbo machozi yafuraha hayaishi kwangu kwaya hii Yesu ameniambia sio watu wakawaida nimalaika wameshuka kupigana na mziki wakidunia ambao umeondoa Uwepo Wa Mungu kwa Watu nyie niurejesho haleleluyaa
@KelvinElifather
@KelvinElifather 11 месяцев назад
🎉🎉🎉 Mungu azid bariki
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Amen...Barikiwa pia na MUNGU
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 9 месяцев назад
Nyinyi ni wa thamani sana mbele za Mungu❤
@gabrielmziwanda8281
@gabrielmziwanda8281 11 месяцев назад
Mungu awabariki Sana Tena Sana KAZI yenu nzuri Sana Yerusalemu kwaya Mungu akubariki shemeji yangu Daniel Anania, Janet Kituo, Safieli Latera pamoja na wajomba zangu Margareta Daniel Anania, Kennedy Daniel Anania Mungu awabariki Sana Tena Sana
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Urukufu kwa MUNGU.... Barikiwa sana.
@TheGospelman24
@TheGospelman24 10 месяцев назад
Wa thamani !!!
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Wewe ni wa THAMANI mbele za MUNGU
@GeorgeChenjela
@GeorgeChenjela 10 месяцев назад
❤❤❤❤
@DorisiMsindo-kn5le
@DorisiMsindo-kn5le 6 месяцев назад
ZAIDI UPENDO WA MUNGU UWEPO MILELE KWA UWEZA WAKE KWA BARAKA KUBWA KWA KUWA CHOMBO CHA MAHUBIRI WATU WOTE WANABARIKIWA AMEIN 🙏🙏🙏.
@emmanuelmussa8103
@emmanuelmussa8103 11 месяцев назад
God bless you watumishi
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Amen barikiwa pia na MUNGU
@hadammushi1074
@hadammushi1074 7 месяцев назад
Hongereni sana Kwa kazi nzuri ya Mungu!
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 7 месяцев назад
Amen....Barikiwa sana.
@mcharvey3578
@mcharvey3578 10 месяцев назад
Anansia got a wonderful voice
@Godfreyvanessa
@Godfreyvanessa 11 месяцев назад
🎉🎉 Tumbi Bonde la Baraka
@RachelMkoma
@RachelMkoma 11 месяцев назад
Haleluya
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 11 месяцев назад
Barikiwen saana watumishi Mungu azidi kuwainua Zaid Nawapenda saana kutoka ZANZIBAR ❤️🔥♥️
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Amen ...Barikiwa pia Wewe ni wa THAMANI
@PatrickZoom
@PatrickZoom 10 месяцев назад
Mbele za Mungu mm ni wa thamani.barikiweni sana Watumishi
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Amen mtumishi
@dorothnyaki9857
@dorothnyaki9857 10 месяцев назад
Hakika ni mfano wa kuigwa
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Barikiwa sana.
@sirnuruminja4746
@sirnuruminja4746 11 месяцев назад
Hongera Sana mmetisha Mungu akawafanikishe katika malengo yenu
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Utukufu kwa MUNGU
@blandinasilas
@blandinasilas 11 месяцев назад
ujumbe mzito ,muonekano mzuri wa video ,mavazi mazuri ya adabu ,kifupi mlichoimba na mlivyo maendana kabisa mzidi kubarikiwa Tumbi mpo vyema
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Utukufu kwa MUNGU
@Sefroza-Magee0320
@Sefroza-Magee0320 11 месяцев назад
More blessings ❤, nawapenda mno,mziki safii,ujumbe mzuri,dah asante,,MIMI NI WA THAMANI🎉❤❤😊
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Barikiwa sana na MUNGU
@Sefroza-Magee0320
@Sefroza-Magee0320 11 месяцев назад
Amen,mtumishi wa Baba,may God keep u higher🙏🙏🙏🙏Yerusalemu choir,in short mmenibless mno,NAWAPENDA ❤
@christopherjoseph7366
@christopherjoseph7366 11 месяцев назад
@mosesmartine6116
@mosesmartine6116 11 месяцев назад
❤❤❤❤
@magnuscosmas6128
@magnuscosmas6128 5 месяцев назад
Amen
@shadrackwilliam8218
@shadrackwilliam8218 10 месяцев назад
Hakika kazi njema sana, Mbarikiwe, msichoke kumtumikia Mungu, hakika nimejifunza umri sio sababu ya kutomtumikia Mungu, ❤❤
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Amen barikiwa sana kwa kutazama kazi nzuri tusaidie pia kusambaza Link kwenye magroup na pia usisahau ku subscribe na kubonyeza kikengele ili upate all updates
@kyekundanshau3967
@kyekundanshau3967 10 месяцев назад
Ni kweli barikiwa mtumishi
@tumainithonya2393
@tumainithonya2393 11 месяцев назад
Hongereni mno,Mungu awabariki,nimefarijika kumuona mkuu wangu Jani Moses akimtumikia Mungu. Sisi ni wa thamani mno
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Amen Barikiwa sana .... Endelea kushare na wenpgine pia wabarikiwe .
@lufungaoscar9368
@lufungaoscar9368 11 месяцев назад
Baraka ziendelee kumiminika kwenu na Mungu awainue Zaid...base guitar na Mpiga drama aise! Sisemi kitu ila Mungu tu awatunze.
@greysonkitio5053
@greysonkitio5053 11 месяцев назад
Kazi nzuri sana, Mungu azidi kuwainua
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Utukufu kwa MUNGU
@janimoses4455
@janimoses4455 11 месяцев назад
Ee MUNGU nifanye kuwa wa THAMANI
@glorycaiser6539
@glorycaiser6539 11 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Barikiwa
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 10 месяцев назад
God bless you servants of God👏👏👏
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 10 месяцев назад
Amen
@mosesmartine6116
@mosesmartine6116 11 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@dottomangana7227
@dottomangana7227 11 месяцев назад
🔥🔥 Great song, be blessed to all singers 🙏
@YERUSALEMUCHOIR
@YERUSALEMUCHOIR 11 месяцев назад
Àsante sana barikiwa na share Link kwa wengine pia wabarikiwe.... Utukufu kwa MUNGU.
@janimoses4455
@janimoses4455 11 месяцев назад
Asante Sana kijana wangu @dottomangama7227 mwanafunzi wangu. Share kwa wengine Zaidi. Barikiwa.
@laanyunidaniel1312
@laanyunidaniel1312 11 месяцев назад
@MadelyneShoo
@MadelyneShoo 11 месяцев назад
Далее
Ufunuo Choir -  Maisha Yangu  (Live Performance )
8:20
Просмотров 996 тыс.
Worship Atmosphere - Anaweza (Official video)
9:30
Просмотров 646 тыс.
Jicho la Tatu -  Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:54
Просмотров 1,1 млн