Тёмный

NIKIKUANGALIA USONI NAJUA KILA UGONJWA UNAKUSUMBUA || SHEIKH SHARIF ALBASHIR 

SHALBA OnlineTV
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@musashiundu
@musashiundu 9 месяцев назад
Subhaanallah hawa ndo madajjal . Mche Allah ewe sheytwaan Shariff. Hizi Ni tabia za manaswara. Wacha kuwahadaa watu. Huu Ni mswiba mkubwa katika dini ya uislamu.
@husseinhabibuiddyhusseinhabibu
@husseinhabibuiddyhusseinhabibu 9 месяцев назад
duh ata mashehe washakua matapeli kama wachungaji inna linlah laji un mungu atunusurutu
@786Birhu
@786Birhu 10 месяцев назад
masha Allah...🎉🎉🎉 more and more dhawa kwa huwezo wake Allah.
@SakinaSadik-j3l
@SakinaSadik-j3l Год назад
Masha Allah Sheikh pia mie nahitaj dhuwaa nko na matatizo😢😢😢
@Kimanga_Official
@Kimanga_Official 11 месяцев назад
Mashaallah
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi 11 месяцев назад
Mashallha
@ammyabeid9574
@ammyabeid9574 5 месяцев назад
Pia si katika uislam kutaja matatizo ya watu hadharani. Na ndio maana hata hopsital daktari hukaa na mgonjwa pekee au na ndugu wakizungumza.
@ammyabeid9574
@ammyabeid9574 5 месяцев назад
Matatizo. Ndugu zangu waislam hiyo ni lamli. Na lamli ni ushirikina. Moja ya alama ya mshirikina ni kujua usiyemuambia. Allah atuongoze
@shufaahamza847
@shufaahamza847 3 месяца назад
Tena unauliza Yale mambo ya ndani mbele ya hadhara muche Allah ndugu watu Wana shida wanakubalitu lkn huo simsahada ni uzalilishaji
@joycebongo9275
@joycebongo9275 11 месяцев назад
Mashallah sheikh hata mimi nahitaji dua naomba namba yako nijue nitakupata wapi
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 2 месяца назад
Acheni ushirikina na utapeli
@OmarChangu
@OmarChangu Год назад
Sheikh pia mimi naitaji duaa nko na matatizo
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 8 месяцев назад
Fala kweli hili yani huo utabir hata mi nafanya kuna vitu mtu yoyote anavihc
@shufaahamza847
@shufaahamza847 3 месяца назад
Huu mnao fanya niudhalilishaji una anzaje kusema mtu una upungufu wa uwanaume kamili jmn tumche Allah hata km nikweli lkn muhifiye ndugu yako Allah atakuhifadhia na wewe mambo yk bc ht umwabie kwasiri
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 8 месяцев назад
Matapeli hawa wezi washirikina
@JohnjohnMnonjela-br3xl
@JohnjohnMnonjela-br3xl 9 месяцев назад
Mwamposa wa upande wa pili Hawa ni waganga 😅😅😅😅😅😅😅
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 2 месяца назад
Huyu kijana anafaa kuuawa mpumbavu huyu
@TheNas007
@TheNas007 2 месяца назад
Watanzania tuisome dini yetu uislama ili watu kama hawa wasipate nafasi ya kutufanya wajinga na wakatupoteza njia ya Allah hakuna mtu anaejuwa mambo yalio fichikana isipokuwa Allah anayoyafanya huyo anajiita shehe haya mambo hufanywa na waganga wakichawi na washirikina watanzania amkeni niwaulize wa Tanzania watu kama hawa wako wengi kwa miaaka mingi sana wanaotibu watu lakini bado matatizo yanazidi kuibuka hakuna anae pona jamani mkimbilieni Allah ndiye mponeshaji
@ammyabeid9574
@ammyabeid9574 5 месяцев назад
Pia si katika uislam kutaja matatizo ya watu hadharani. Na ndio maana hata hopsital daktari hukaa na mgonjwa pekee au na ndugu wakizungumza.
Далее
SHEIKH SHARIFU MATONGO ATEMA CHECHE MBELE YA DR.SULLE
36:57
KISOMO HIKI NI PIGO KWA WACHAWI
17:55
Просмотров 228 тыс.
MSHTAKIE ALLAH | SHEIKH SHAMS ELMI | KHUTBA YA IJUMAA
27:00
MTAZAME KIJANA MWENYE MAKARAMA
12:45
Просмотров 32 тыс.
MCHUNGAJI ASHINDWA KUMJIBU SHEIKH MWAIPOPO TANGA
41:25