Yan hawa jamaa huwa wanaimba kisomi na mistari yao unatakiwa kuisikiliza kwa makini na kuitafakari ndo uielewe.....! Nawapenda daima hawa jamaa weusi!💖
Huwa nafuatilia na kuwakubali sana hawa jamaa. Ila huu wimbo ni noma. ¶¶Kupenda penda ni kutokujua kupenda bali kupenda chini hiyooo..... ....Kisa mitungi na mdudu, kisha miguu juu, kujizolea waduduu si nikufanya maduduuu.....¶¶
Hakuna zaidi ya kumimina like kila mstar ni habar tosha na kuijumlisha yataka kujua hesabu....twende kwapamja mapenzi ni kama una dem.....................na kuchit ni km una dem........
All way from mineapolis Minnesota, its a king of vina john makini and nikiwa Wapili , I'm the first one to play this shit in USA , fire 🔥 , bilo tiger from mineapolis Mn
hata kama wasanii wana jaribu kumkataa diamond. swaga zake zaku shevu na kuweka koti begani zimekubalika.gonga like kama umelitambua hilo.ila ngoma Kali.
Kiruu hatari sana jomba nairudia rudia kuisikiliza saut juu hadijiran zangu wananiona chizi hata hawaielewi Kwan nipo nchi Zawatu hila Hawa wazungu wameikubali mdundiko kwani ipo kiswazi kinoma
Sikatai Kuona watu wanataka comments zao watu wa like...Lakini...usiombe likes....just put your comment down...and let the readers decide what they liked.....Kila mtu anasema" gonga like kama blah blah blah. .c'mn...ina kua boaring. ..haya gonga like kama umeipenda comment yangu...REALLY!...just like a comment that you like..no need to like shit rather than the video it self or rylics ...unless someone made a funny or educational or either to point a specific thing with the time...or duration in the video about something they so...period. ..GONGA LIKE ....GONGA LIKE. IT'S STUPID ....grow up guys .