The short guy and the last guy are blood brothers. The last guy is a hip hop killer in Tanzania. He has another hit called "Don't bother" featuring AKA. Check it
Duuuuuhh nyie weusi sasa mmeshindikana..hii game ya hiphop mkaifanyie marekanii. Unyama mwingi humu ndani mpaka nashindwa kugawa marks. #Weusi #ChamaTawala #Twawala
Kikosi Kazi Hatari Sana Wameijibu Hii Kitu Jino Kwa Jino Mamaye . Hatari Sana . Hawa Weusi Hamna Kitu . Mambo Ni Ufundi Kama Wajina Wangu Robinoh Shenzi Unjuuu Hahahahaha
King izz,,nahuyunae mbimbixhi mbonakama Nikki,,oyaa wajomba hamna mbaya kwangu asee,,fido vato panya 1000,tu ndomana haixhi kudis kundi na kumwandama joh makin kipenzi cha watu