Тёмный

NILIFIWA NA MAMA WEMA SEPETU HAKUJALI- NATOA HUDUMA ZA MTOTO LAKINI SIPATI NAFASI YA KUMUONA 

Dina Marios tv
Подписаться 282 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 3 года назад
Esma ni mshenzi, anamkomoa mwanae wala hamkomoi Petit.
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Esma anajiona sana
@najma3268
@najma3268 3 года назад
Pole sana petii umepitia wakati mgumu kweli , mungu akutie nguvu Na bado mungu bado anakupenda, wewe ni kijana shupavu sana umeweza kuyabeba yote Na ukakubali Na maisha yanaendelea , hongera sana , Na pole sana kaka
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 года назад
Pole sana Petit man; kikawaida watu au marafiki ukiwapa umuhim wanakuona kama unajipendekeza na matokeo yake hawakuthamini kwa la kheri wala la shari nshaiona hiyo 🙂🙂🙂
@julianamushi3392
@julianamushi3392 3 года назад
Punguzeni kelele na nyie chaa unarukirukia maneno kaa mko mdundikoni buza
@jechaazhar4703
@jechaazhar4703 3 года назад
🤣🤣
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 года назад
Pole kaka. Hata ungemkosea nini huwezi mlipa mtu kwenye msiba
@queenmengisen890
@queenmengisen890 3 года назад
Napenda peti anavongea kma anapozea kigugumiz ivii 🥰
@zou7470
@zou7470 3 года назад
Jamani petit pole sana izo ndo cangamoto ya dunia😭😭😭😭
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 3 года назад
Kwani wema na misiba isiyokua na kiki wapi na wapi Wema anapenda misiba ile yenye mikamera , kujisnap ivoo yn Pole peti, yote kwa yote tunaambiwa tutende wema nenda zako
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 года назад
WASWAHILI UWA HAWAOLEWI WAKADUMU NA UKIZAA NAYE NI SHIDA HAWANAGA AKILI WANAKUFANYA CHUMA ULETE.
@kamaurehema6763
@kamaurehema6763 3 года назад
petty Mungu hutupa majaribu tujue rafiki wa kwelii b strong
@khadijavassardanis3178
@khadijavassardanis3178 2 года назад
Daa inaumaa mungu akutie nguvu
@vanessajames2192
@vanessajames2192 2 года назад
Hebu ulizeni vitu vinavyoeleweka mnamuumiza mwenzenu pole Baba Taraj mwaya
@rehemamapande4680
@rehemamapande4680 2 года назад
Pole petii ni mapito tu mungu anakupitisha, ila sijapenda alichofanya wema
@Adeen.1
@Adeen.1 3 года назад
Daaaah nimeumia Sana kusikia mama kafariki na pingu + hakujua mwanae kafariki aseeee dunia Ina mitihani Sana hii, pole bro tumekuwa tukiwa hukumu Sana watu Bila kuwajua undani wao.
@bakarisakawa6979
@bakarisakawa6979 2 года назад
Inasikitisha sana mtu anaumwa hali ni mbaya bado anapigwa pingu hapana aisee ubinadamu ni mdogo sana
@Adeen.1
@Adeen.1 2 года назад
@@bakarisakawa6979 Sana aseeee😥😥😥
@moreenkasekwa9737
@moreenkasekwa9737 3 года назад
Pole sana kaka umenifanya nitoe machoz du jipe moyo
@devotajoel3730
@devotajoel3730 2 года назад
Ivi nyie hiki kipindi mbona mnakiharibu jaman khaaaaaaaa jaman jaman Yani sitor nzuri Ila Sasa makerele mengi Sana afu havija pangiliwa duuuu
@devotajoel3730
@devotajoel3730 2 года назад
Pole Sana kaka pole Sana daaaa
@kitengegaston6946
@kitengegaston6946 3 года назад
petit pole sana bro mungu akupe nguvu
@sevelinacharles8163
@sevelinacharles8163 2 года назад
Pole Sana Kaka Petty. Najua hiyo situation.😭😭😭😭😭🙏🙏🙏hata Mimi nimeipitia kwa dadaangu kipenzi 😭😭
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 3 года назад
Poleeee sana peti man mungu akupe nguvu inshaaalh my kaka pambana mungu yuko mbele yako nanyuma yako inshaaalh 😭😭😭
@vanessajames2192
@vanessajames2192 2 года назад
Masikini pole ila Wema Mungu anamuona kwanza nlijuaga mna undugu haya
@jechaazhar4703
@jechaazhar4703 3 года назад
Pole Sana kak nmeumia sna😭😭😭
@caritasmbwasi6831
@caritasmbwasi6831 2 года назад
Swebe wewe mbinguni utapasikia...khaaa Si kwa upambe huo khaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 2 года назад
Mmmh yaan machoz tu ndio yananitoka huku jama uyu kaka ni mstarabu mno
@ibel4lf
@ibel4lf 3 года назад
Pole sana Petty
@hawa-luumiwrty3144
@hawa-luumiwrty3144 3 года назад
POLE SANA PETIY😢😢
@jovinangambeki7416
@jovinangambeki7416 3 года назад
Sofi naona mambo yamejibu kibendi kimekuoenda, shingo, pua 😄😄mimba shikamoo
@alineolivia2392
@alineolivia2392 3 года назад
Pole sana petti man that’s life my dear
@zuwenahassan3624
@zuwenahassan3624 3 года назад
Da Dina Umechemka Unamuulizaje Swali km Ilo Jamani watu Tukishakufa Anayejuw ni mungu
@rosejoseph9811
@rosejoseph9811 3 года назад
Pole pitii.mshukuru mungu kwa kila jambo
@agnesmajuramangombe986
@agnesmajuramangombe986 3 года назад
Pole sana petit mungu wa mbinguni akufariji 😭
@mwanakomboiddi5317
@mwanakomboiddi5317 3 года назад
Dah pole sana kaka
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 года назад
Kiani kama Jina LA mtoto WA king Ali
@tatutatu1570
@tatutatu1570 3 года назад
haaaaa hatar sana pole sana pety
@julianamushi3392
@julianamushi3392 3 года назад
Na kukimbizana naye police sentro kila cku jmn duh wema ulichemka ndg
@joycemagessa350
@joycemagessa350 3 года назад
pole kwa matatizo . Mungu akutie nguvu nasubili muendelezo
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 3 года назад
Daa ulipitiy mitihani pole sana mdog wangu
@getrudamichael6216
@getrudamichael6216 2 года назад
Ya dina kubwa jinga yani ambae yupo seriously huyo dada mwingine tu
@angeljasson4376
@angeljasson4376 3 года назад
Kwenye inshu ya serious kuweni series msiwe mnafanya masihara mengi mna boa😒
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Pole sana pititi mwenyezimungu yuko pomoja 😢😢
@s0phialwassa574
@s0phialwassa574 3 года назад
Pole sana kaka
@chaucassim4123
@chaucassim4123 2 года назад
Badooo. Anakuhitaji esma. Ni. Wivuuuuu. Tu
@basmahalshammmari641
@basmahalshammmari641 3 года назад
Pole petit kwamitihan
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 года назад
Pole sana hutosahau mashani mwako hicho ni kidonda pole sana😭😭
@sadabahla7120
@sadabahla7120 3 года назад
Pole Sana petit
@khalossalim3723
@khalossalim3723 3 года назад
Peti uliitwa hadi mbeba mapochi wa wema mara kuwadi leo eti kashindwa kujigawa na wembamba wake Kama fagio lachooni
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
🙄🙄🙄
@nasmos3690
@nasmos3690 3 года назад
😂😂😁😂😂😂😂
@carenalphonce5013
@carenalphonce5013 3 года назад
Dah magumu yasikie kwa mwenzako
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 2 года назад
Pole
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Dah😢
@agnesjohnson2393
@agnesjohnson2393 3 года назад
😭😭😭😭 pole sasa Petiy
@neemaponera2037
@neemaponera2037 3 года назад
Pole saaaaana
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 года назад
UBINADAMU KAZI SAMEHE MWACHIE MUNGU.
@misrahmisrah8761
@misrahmisrah8761 3 года назад
Petit achana nao Leo wanakuona maskini lakini iko siku watakutafuta hao
@ivethaignas603
@ivethaignas603 3 года назад
Swebe sio kwa masikitiko hayo, jamani baba kiani
@anastaziajoseph6702
@anastaziajoseph6702 2 года назад
Pole Sana jamani.ni mitihani ambayo tume umbiwa wanadamu
@merinajuma6948
@merinajuma6948 3 года назад
Daaaaaaah inauma😓😓😓😓 ple Kaka
@vanessajames2192
@vanessajames2192 2 года назад
Umenitoa machozi pole sana umesikini huu aliona msiba hauna kiki
@happinessmwanga4224
@happinessmwanga4224 3 года назад
Inauma jamani😥😥😥😥
@syphroseshazala6854
@syphroseshazala6854 3 года назад
😢
@Helleniification
@Helleniification 3 года назад
Duh
@janemuhumba5823
@janemuhumba5823 3 года назад
Swebe wew jaman 😂😂😂😂 ulivunja nazi
@violethtingo6412
@violethtingo6412 3 года назад
hahahhahah swebe jaman
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 года назад
sooooooo sad petiii😭😭😭😭😭
@zou7470
@zou7470 3 года назад
Ila swedy bwana kituko ety kuna shemeji na shemu🤣🤣🤣🤣🤣
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
KWANINI MAMA YAKE ALIFUNGWA????????
@isunga1964
@isunga1964 2 года назад
Hivi jamni bibi Hindu yuko wapi nilisikia anaumwa anaendeleaje mungu amfanyie wepesi jamani
@mwabutuwisdom9054
@mwabutuwisdom9054 2 года назад
Etii mtt mpyaa😂😂
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 года назад
ila wema nampenda sana but apo mmmmmmmmmmh😳😳😳😳😳😳
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 года назад
KWANI MAMA ALIFANYE MBAKA AKATUMIKIA KIFUNGO JAMAN???
@khadkhad2339
@khadkhad2339 2 года назад
😭😭😭😭😭
@azmedmtwana8135
@azmedmtwana8135 3 года назад
Huyu wema ni mtu wa hivi kumbe duu
@habonimanatina1481
@habonimanatina1481 3 года назад
Kumbuka kaka yungu nigependa awe kwenye kipidi kabisa
@kwisa4899
@kwisa4899 3 года назад
Koma
@captioncapition2574
@captioncapition2574 3 года назад
Mh sikusikitika Tena huko kwa Swebe
@annamadatta966
@annamadatta966 2 года назад
Dina unatakiwa utumie busara katika kuuliza maswali unajua kufiwa we we tena namama?uwe nabusara wakati mwingine
@saramwankemwa5574
@saramwankemwa5574 3 года назад
labda nawewe hukwenda kwenye msiba wababa yake naalifiwa nakaka yake zanzibar
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 года назад
Baada ya dhiki faraji
@chunanachu2529
@chunanachu2529 3 года назад
Kumbe we dina huna akili kumbe
@kitengegaston6946
@kitengegaston6946 3 года назад
rafiki yaje wakiume lokole🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔔🔔😀😀😃😃😃😀😃😀😃😀😃😀😃😉😎😋😉😋😉
@prettyh7509
@prettyh7509 3 года назад
🤣🤣swebe mbeya anavyosikitika, Poole petty kwa yoote kikubwa hapa dunian hakuna la kudum
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 года назад
😂😂😂Ananivunja mbavu huyu swebe jmn
@devotajoel3730
@devotajoel3730 2 года назад
Yani etavy yenu mafujo kama nn khaaaaaaa
@janeeliah2111
@janeeliah2111 3 года назад
Eti wameonana kaa maswali gn ayo
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 3 года назад
Pole sana Kaka 😭😭😭
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 года назад
Kwan wwma anaendaga misibani toka lini
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
😀😀😀
@cuteme4870
@cuteme4870 3 года назад
huyu kaka ana maumivu bc tu jmn
@jasmineshemweta4547
@jasmineshemweta4547 3 года назад
😂😂😂
@ednaJF1028
@ednaJF1028 3 года назад
Huyo esima hafai
@zaitunmtinange3453
@zaitunmtinange3453 3 года назад
Yaan umepita pagumu....mungu akuepeshe petty
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 года назад
🥲Sad story but ina uhondo ndani yake ngoja tukale samaki kwa Aisha alafu tutaendelea 😅😅😅
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 года назад
Huyu esma kumbe mjinga ugomvi wa wazee mtoto kumtia kati haiwezekani
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 года назад
Inalilah jaman mwanaume una suka kama dem kwa staily hiyo inabid mpate hedh pia 😏😏😏
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 года назад
Yaani! Msiba😭😭😭
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 года назад
Ni dread hizo zinazambi gani Dhambi ni kusuka Rasta pekee basi
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 года назад
Mwanaume hajaruhusiwa kusuka wala kuvaa hereni au cheni, ila ameruhusiwa kuvaa pete tena ya fedha au silve
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 года назад
@@mozasaid3869 sio kweli never eleni sawa
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 3 года назад
Wamasai je? C Mila Yao? Hizi Mila za kigeni mnazoona 'appropriate' kwny maisha ya watu c zenu. Kusuka ni desturi ya kiafrika na Kwa taarifa yko kimila c mwanamke ndio mwny kusuka ni mwanaume.
@sophiahussein7876
@sophiahussein7876 3 года назад
Swebe anaongea sana ad anaboa.. Si atulie tupate uhondo asubir zam yake na yy aseme jambo
@getrudamichael6216
@getrudamichael6216 2 года назад
Ya dina kubwa jinga yani ambae yupo seriously huyo dada mwingine tu
Далее
FAHAMU UKWELI KUHUSU PUMU YA NGOZI  -  JIONI YA LEO
30:43
ALI KAMWE AFAFANUA MAANA YA KEY DAY YA YANGA
26:36
Просмотров 41 тыс.