Kmwe we msomi hata kama itakuwa unabachelor education, kwa sababu suali alilokuuliza Dada kuhusu mw,kiti ukakataa yani umepatia kichizi kwa maana ulikuwa mtego huo na umeutegua. SEMAJI LA AKILI NYINGI piga kazi kaka.
YANGA ACHENI UPUMBAVU, NINYI NI WATU WA HOVYO SANA KILA TEAM IPAMBANE KIVYAKE MAKE NINYI MPAKA VIONGOZI NI WATU WA HOVYO SANA MMEKUWA NI WATU WA HOVYO SANA WATU WA KUPOKEA WAGENI NA KUWAAMBIA KUWA FANYENI HIVI
Kwani wewe kolo ni lini umechukua kombe la caf?? Jibu ni kwamba haijawahi. Lakini mbona ni ya Saba zaidi ya zile ambazo zilishawahi kuchukua?? We nae jingalo