Тёмный

"NILIPATA MILIONI 100 WA KWANZA KUMWAMBIA ALIKUWA DIDA" - JIKE LA CHUI 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 23 часа назад
Inaonyesha dida alikuwa mtoaji sio mchoyo alikuwa na huruma...basi mungu amsamehe kwa madhambi yake na mungu amfanyie wepes kwenye kaburi lake amuondolee adhabu ya kaburi.Mwenyezi Mungu alitanue kabuli lake aliangaze na kabuli lake liwe miongoni mwa viwanja vya pepo inshallah amin
@TatuKimario
@TatuKimario 4 часа назад
Amin
@Gulfnas1
@Gulfnas1 21 час назад
Ni wazi dida alikua mtoaji bila kujali chochote!! Note: wema hauozi na zambi haisahauliki Mungu akurehem Dada
@khadijabbykhadijabby1389
@khadijabbykhadijabby1389 День назад
Pole snaa 😢😢😢
@subyshaban
@subyshaban 20 часов назад
Watu wa aina yake wengi mioyo yao ni safi na wenye huruma sana
@castoriarogatus3675
@castoriarogatus3675 6 часов назад
Daah😭😭 kwelii vizur havidumu jaman
@salomewandya7257
@salomewandya7257 15 часов назад
😢😢😢😢
@mariamibrahim5337
@mariamibrahim5337 19 часов назад
Kwakweli naamini kweli mlikua karibu maana nakumbuka nilikua na shughuli y mdogo wng nikamuimba dida awe MC lakini alikwambia ww ndo uje alikupa tenda maskini ukaja kuifanya shughuli yetu
@HamisiMkunkwa
@HamisiMkunkwa Час назад
Watu wa aina hi kama Dada Didah hua hawaishigi miaka mingi kwani mungu anajua huenda akatleza ko anawachukua mapema ili aware sitaiki yake dada didah mumzika kwa amani
Далее
🔴#LIVE: MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM I 8-10-2024
2:43:34