Тёмный
No video :(

NILISALITI MAHUSIANO YANGU /AMETUMIA PESA ZANGU NYINGI/AMEKUWA APOKEI SIMU ZANGU MWAKA WATATU SASA.. 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 141 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 474   
@ninacuteninacute2567
@ninacuteninacute2567 3 года назад
mwamba nimemuelewa xn thn mfundishe huyo diva jinsi ya kfny kz cz anaharibu brand ya m2 na hujui mpk kufika hp amejitengeneza vp ili aweze kupata hy heshima, kwa namna hy unajiharibia kpnd kwnn icwe km mwanzo ita w2 uliza maswali kawaida thn waache waende na ujinga huo umeuanza kwa lava lava ndy ukaendelea mpk xx unawakata w2
@moonvoice98
@moonvoice98 3 года назад
You really smart kaka Ramy , jamani wanawake before going straight kwa kitu unachokifanya thinks twice , our big dada love usiwaruhusu watu kama Hawa wachungunze first bhna waharibu kazi
@irenejoshua6936
@irenejoshua6936 3 года назад
Iki kipindi n usenge mtupu kila cku n drama duh
@laurancejumanne6355
@laurancejumanne6355 3 года назад
Dada huyu jamaa tapeli najua ukimuangalia smart huwezi amini na utahisi huyo dada anajipendekeza
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 года назад
Wangapi wanakwerwa na diva katika hiki kipindi
@likeothers2498
@likeothers2498 3 года назад
@edinajuma9170
@edinajuma9170 3 года назад
Yaan Diva anazingua kweli
@glorylema
@glorylema 3 года назад
Alianza vizuri lakini anaenda anapishana na na mshahara
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Yani mmi nipo kwenye maombi kifungw hiki kipindi
@Michoarbah
@Michoarbah 3 года назад
tengenezeni cha kwenu
@stephaniejeremiah8584
@stephaniejeremiah8584 3 года назад
Hii ya mwalim subira na gudluck gozbert clauds matapel
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 года назад
Kitu nisichokipenda kwa Diva huwa analazimisha mamb mpk unakereka Thanks Ramy
@moviezakutafsiriwatv
@moviezakutafsiriwatv 3 года назад
The guy is smart Sana! He did it! Kabisa psychology yake inasema hahaha
@tumainiedgar08
@tumainiedgar08 3 года назад
😂😂😂😂😂😂yes he did
@oyay2821
@oyay2821 3 года назад
Even if he did it you don't do that on air. These celebrities have suffered to brand themselves and in one stupid program they destroy brands
@dufandaqueen1617
@dufandaqueen1617 3 года назад
Diva anaalibu brand zawatu wallah
@maryamali6310
@maryamali6310 2 года назад
Asante romy
@pintymelodytz913
@pintymelodytz913 3 года назад
Diva Unazingua Sana Tena Sanaa unaharibu Brand za Watu Halafu unamkatisha mtu kuongea
@marthageorge559
@marthageorge559 3 года назад
Rommy asante kwa kutuchambia mtu👏👏
@florarose1626
@florarose1626 3 года назад
💀😂😂😂😂😭
@rahelihaule
@rahelihaule Год назад
Deviiii khaaaaa
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 3 года назад
Wadada wakenya nawapenda sana wanajua kucare ila hawa wakaka na hb wa tz niwezi ndo mana tunataka kuolewa na wakaka wenye Sura person kaone ka ramy kalivyo kaizi shenzi type sisi wadada wembamba hatuna uwongo wala umbeya mfyuuuuuu we dada njoo nikuonyeshe shell za tz
@bettyobedy8938
@bettyobedy8938 3 года назад
😂😂😂 nmecheka alivo sema mm si mdate msichana mrefu mwembamba khaa.. Jaman
@aminaabbe3395
@aminaabbe3395 3 года назад
😂😂😂😂😂
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Anamjua na amemdate so ni excuse tu
@oyay2821
@oyay2821 3 года назад
Huyo ndie mwanamme halisi, ukiletewa upuuzi wewe kana
@kpetres2872
@kpetres2872 3 года назад
Inauma🤣🤣🤣
@elizabethcharles5910
@elizabethcharles5910 2 года назад
🤣🤣🤣🙈 wanawake wembamba tunashida
@ZawadiBirya
@ZawadiBirya 3 года назад
Rami mwongo. Kaja juu sana.
@habibusofa4222
@habibusofa4222 2 года назад
Jamanii didaa nampendaa sanaa sanaa mario naombaa unisaidiee nipo dom
@habibusofa4222
@habibusofa4222 2 года назад
Naitwa dayana
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 3 года назад
Atakua ka chatr na wale wezi wamitandaoni masikini pole, but #Rammy anajielew sana
@sakinamsangi3077
@sakinamsangi3077 3 года назад
Good girl stay at home and you will find a man of your dream
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 3 года назад
Diva anakosea naanamuharibia diamond radio yake ujinga ujinga tu halafu diva mjinga sana anadhan sifa
@priscadaniel6459
@priscadaniel6459 3 года назад
Hatari
@isackmaturo7331
@isackmaturo7331 3 года назад
Nimekupenda bure ramy diva na hyo dada hawajielewi
@maryemmanuel5735
@maryemmanuel5735 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AKnExckrl4c.html..
@edithmunga3589
@edithmunga3589 3 года назад
Wah, 😲
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 3 года назад
Hiki kipindi ni cha mapenzi au kuharibia watu brand zao... Unazingua Diva
@semenitheclassic
@semenitheclassic 3 года назад
ROMMY anadanganyaa!! Dah!
@stevenprosper250
@stevenprosper250 3 года назад
mzee kanunue fire exsh.... moto
@m.kvideoproduction5271
@m.kvideoproduction5271 3 года назад
Anaefanya iyo k2 ni mgombanishi anachokifanya sio sawa
@annatieno5550
@annatieno5550 3 года назад
Huyu jamaa n fala,,,anajifanya mjuaji.....
@cotctvshow3553
@cotctvshow3553 Год назад
Ili Li ramy hamna kazi pumbavuu
@maryanmaxmud3290
@maryanmaxmud3290 3 года назад
Ila nyie wa kenya msi tusumbue bhanaa khaah tanzania hatu pendi kerooo jmn
@kijanaamdide4482
@kijanaamdide4482 3 года назад
Diva napendagaa kipindi, but umechemka sis rammy anapeleka kipndi leo na unamskiza tuu, 1 kama namba angekua haijuwi hapo sawa,but fwatilia hiyo stry off da cameraz utulete ukweli kwa show.
@rukkynassor2279
@rukkynassor2279 3 года назад
Diva keep it up.ur best .mm napenda kipindi chako nakifatilizia kutoka kenya.kusema hiyo no ni ya pahali pake pa kazi kumaanisha anamjuwa
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 2 года назад
Ndo mana kibibi kwenye huba anakunyosha Sana ukomeeeeee
@JefreyKings
@JefreyKings 3 года назад
This whole thing looks planned to me...hii inakaa strategy ya kufanya huyu msee aongelewe ndio brand yake ikuwe na mileage
@rocktravel9851
@rocktravel9851 3 года назад
I texted him this morning,kwenye simu inaonyesha msg ya mwisho ilikua January! Msipende kuharibia watu Majina wtf!!
@pax6447
@pax6447 3 года назад
Still watching niione🤣🤣
@elicegeorge9991
@elicegeorge9991 3 года назад
Diva mbwa unaponza watu
@selinajohakim7303
@selinajohakim7303 3 года назад
Mimi nahisi diva anawapanga hao watu sio bure ila sio poa
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Kweli
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 года назад
Diamond fany uitimue hii taka taka Diva
@evenabwire1860
@evenabwire1860 3 года назад
I wonder why ladies embarrasse themselves like this.😭😭😭😭
@janethjustin5256
@janethjustin5256 3 года назад
Yaaan wanatuhaibisha sana
@florarose1626
@florarose1626 3 года назад
💀😂😂 washindweeeeeee
@franckbarloni6462
@franckbarloni6462 3 года назад
Sasa hii wsafi tv kama ni wasafi radio imekua police station washamba wanakuja kustaki ma kesi yao ya uupuzi muambie huo mshamba kutoka kenya aachane na ramy
@halimahomar9474
@halimahomar9474 3 года назад
Kuna wanawake wanapend San kujidhalilisha subhanaallah yote Kwa sababu ya umaarufu au nn haswaa
@hadijamasanja7771
@hadijamasanja7771 3 года назад
Yaan huyu dada mtangazaji huwa akikutana na waswahili wenzetu wa kawaida anajishaua sana kuchanganya sana kingereza kwenye maongezi ila leo alivyokutana na wanaoongea kingereza kizuri imebidi awe mpole anatamka mojamoja tu. Badilika bwana tumia kiswahili lugha ya taifa au ukiamua kutumia hiyo kingereza basi tumia chenyew tu hatupendi unavyochanganya.
@edinaedson2890
@edinaedson2890 3 года назад
Kweli rammy anaongea ukweli hau watu wa aina hiyo wapo weng wanaharibu sifa za watu
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 года назад
Ramy pay the money you took from that young lady stop beating about the bush
@kevoooochagga392
@kevoooochagga392 3 года назад
Ndo lugha gan hiyo😆😆😆
@brightjosephat6910
@brightjosephat6910 3 года назад
Mwenzangu hii lugha hapana🤣🤣🤣🤣
@raymondmasanja6735
@raymondmasanja6735 3 года назад
Yoooo diva unazngua bhn acha udwanzi interview gan izo unaleta
@Djerickenya
@Djerickenya 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@yusufujoshua5091
@yusufujoshua5091 3 года назад
I. Like their. Language
@shalbec3232
@shalbec3232 3 года назад
It called Swahili well tanzanian version of Swahili because there are some countries that speak Swahili in Africa and all of them speak Swahili differently with different accent,slang and words it just like Spanish and English there are different ways of speaking it
@anithagodwine7025
@anithagodwine7025 3 года назад
Aiseee kuna wakati nawaza diva nd anawapanga awa watu co bure mtu awez kujitoa kenya hiv hiv watakuwa wanapnga n diva n diva anawalipa
@suleimanaljazir8319
@suleimanaljazir8319 3 года назад
something have noticed is that this show was meant for kiki period
@lifestyle8569
@lifestyle8569 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣rammy hatudate sisi wasichana warefu wembamba, jamani Rammy na venye we ni crush wangu😂😂😂😂😂😂
@oyay2821
@oyay2821 3 года назад
Don't worry dear mimi nipoooo
@lifestyle8569
@lifestyle8569 3 года назад
@@oyay2821 Ahsante dear😘
@lucybaya3183
@lucybaya3183 3 года назад
Waaah wamefika kenya wacha kuebisha kenya
@daudsam3146
@daudsam3146 3 года назад
AIBU YAKE MAMAAAEEEEEE KALIWA KIBOGA NA WENGINE ANATAFTA KIKI MAMAAAEEEEE
@jumakapola419
@jumakapola419 2 года назад
Mapenzi sio pesa tatizo binadam wengi wengi wanafosi mapenzi kwa kutumia pesa ilo ndio tatizo analo tumia hamo kwa kajala
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 3 года назад
Wasanii wasio elewa mana ya brand watakuja nakukubaliana na ujinga huu, alafu usanii wa kuimba ,movie ni identity sasa ukiichafua hairudi tena.
@katsuvakamatedaniel7893
@katsuvakamatedaniel7893 Год назад
Sasa uyu Diva nayé mutu hovio sanaaaaa ku haribiya watu
@khadijaabdallamasoud7690
@khadijaabdallamasoud7690 3 года назад
Rommy yupo sawa sana udhahid ni muhimu
@eliadaniel216
@eliadaniel216 3 года назад
Ipo siku ngumi za gafla zitapigwa hapa subirini
@fatmaamissi7251
@fatmaamissi7251 Год назад
Wanawak wa Kenya wanapeda saan wanaume wa Tanzania
@joaniceraps6084
@joaniceraps6084 3 года назад
The guy has several numbers awache kudanganya he conned the lady
@dickyjaphet39
@dickyjaphet39 3 года назад
Itafika kipindi wasanii watakataa interviews, unakosea sana alf pia unashusha brand ya kipindi, ingetokea mara moja sawa sasa hizo series za madem wenye malalamiko za nn??? unazingua parefu diva
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 года назад
Mimi naona kama ndoto..huyu diva sijui ana laana? Mapenzi yao unataka uwasuluhushe ww
@margarethndyamkama5537
@margarethndyamkama5537 3 года назад
@@masalakulwa7601 diva mama mjumbe😁😁😁
@emmanuelandrew9941
@emmanuelandrew9941 3 года назад
SURE
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 года назад
Diva dada kipindi kizuri ila ukae ukijua umekuja muharibu wasafi hapo unamharibia Ramy my dear sirious wasafi jiangalie
@aishasaidy3744
@aishasaidy3744 3 года назад
ni kweli kabisa yan hii co sawa
@yussufrabba2282
@yussufrabba2282 3 года назад
Mimi nasema hiyi ni kiki ya movie 😂😂😂wabongo mmeshindikana
@victoriapaul114
@victoriapaul114 3 года назад
Ushauri wangu hiki kipindi Wekeni Wanasheria....
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 года назад
Yani DIVA hovyo kabisa unaharibia wasafi
@emanuelsima-uz8ml
@emanuelsima-uz8ml Год назад
inakera
@mercypeter162
@mercypeter162 Год назад
Kipindi cha Hovyo. Kipindi chako kisifanyike sababu ya kuharibu hishma ya watu ambayo wameijenga kwa miaka mingi. Huyo mschana Kama amewai kumpenda basi ilikua Ni usiku alizidiwa kiu. Simba akiwa na njaa anakula hata nyasi. SO huyo binti asijiabishe bado Ana nafasi atafte bwana Kwa kutulia sio kulazimisha kujulikana
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 года назад
Diva unakosea sana aise unawadhalilisha sana watu..nyoko wewe
@patrickmacharia6849
@patrickmacharia6849 3 года назад
Shemeji lipa deni ..mahari zenyewe mujamaliza kulipa huku kenya .mumekuja kukopa Tena ...Sheenzii shenzi
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 3 года назад
Tena nyie wanaume Wa Kenya Ndio Wa shenzi kama jibwa jizi fyuuuuu, nawa hukia kama nini
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Umalaya wake umemponza angetulia yangemkuta na bado atapeliwa sana na anamke huyu kka 😂😂😂
@summerrose8439
@summerrose8439 3 года назад
Gaai huyu si wetu, she sounds Zimbabwean.
@mwaminishakalili6996
@mwaminishakalili6996 3 года назад
😂😂😂😂😂😂chakike kabisa 😂😂😂bora huyu hajasahau charge 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 года назад
Huyu demu mbona kama amekutana na wale matapeli wa mtandaoni.
@irenematari6218
@irenematari6218 3 года назад
I know rammys gal from Kenya si huyu na ni mrembo sana she's my friend
@najashrk3738
@najashrk3738 3 года назад
Diva diva unafeli unafeli
@eveakinyiochiengeveakinyio1360
@eveakinyiochiengeveakinyio1360 3 года назад
If he's innocent as he claims why can't he give this lady a chance to talk...wanaume watanzania wauni sana
@idarousyussuf7512
@idarousyussuf7512 2 года назад
Khaa kwaio kwakua ampi nafasi ndio amefanya kwel kwann u think negative n not positive . Si anajitetea ttzo wanawake wengi ni malaya na ukiangalia icho kijinamke ndio alijitongozesha
@idarousyussuf7512
@idarousyussuf7512 2 года назад
Ss kama angekua amefanya kwel angetaka number zioneshwe
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 3 года назад
C fresh !
@chibubinladen7115
@chibubinladen7115 3 года назад
Jaman kwel lakin
@luckkelvin6908
@luckkelvin6908 2 года назад
Kadiva kapumbavu kweli kana haribu heshima za watu hata uhakika hakuna kanarusha hewani
@conjestarmwashy
@conjestarmwashy 3 года назад
unaharibia kenya jina 😏😏😏
@galary8688
@galary8688 3 года назад
Umeonaee ywatuchafua
@kakaokitomary5027
@kakaokitomary5027 3 года назад
Dada za hi jamani hii aibu mapaka vyombo vya ahabari unapomtaka mtu anagalia hadhi yako maana Zaid ya Apo tegemea bahati mm nimeangalia Ila awafanani Wala kuendana ili huyu Kaka awe na huyu dada wazuri wote wawe wameondoka tz zaidi ya Apo aaiwezekani
@conjestarmwashy
@conjestarmwashy 3 года назад
@@kakaokitomary5027 kweli kabisaaa huyu Naye anatafuta mambo yake kwenda na Remy,, lakini sidhani kama anaenda kufaulu
@johombu9302
@johombu9302 3 года назад
diva wamufungiye anazarawisha wasanii
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 3 года назад
Diva unazingua...hiyo sio kazi iliyo kuleta hapo
@likeothers2498
@likeothers2498 3 года назад
galis hadate mschana mwembamba😅😅
@griffinschire9695
@griffinschire9695 3 года назад
Wakenya Sio waongo...
@agathathobias8690
@agathathobias8690 3 года назад
Nani kasema na utapel wanao
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
Diva kipindi kizuri but unakiharibu unadhalilisha watu kwanini?sioni kama sawa unawaharibia watu majina yao, ukitaka hivyo wafahamishe kabla kisha wakiridhia then unafanya nao kipindi.😏😡🇨🇭🇹🇿
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 года назад
Wanaume shikamooni! Acheni utapeli wanaume, msiongopee wadada na kula pesa zao jamani!
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Kwani wanalazimishwa umalaya wake ndo ulimfanya aliwe psa zake
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 года назад
Ila diva acha huo ujinga rafiki yangu
@tttv7135
@tttv7135 3 года назад
Vimeumana
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 3 года назад
Diva kipindi chako ni kizuri ila ukiendelea na hii ujinga utaharibu kila kitu
@thedmomo6350
@thedmomo6350 3 года назад
Hadi asira kabisa
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 3 года назад
Very true sisi wengine si watanzani lakini tunafuatilia hii kipindi lakini hizi drama Hazina maana
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 года назад
Very true
@sylviaquentin9724
@sylviaquentin9724 3 года назад
Anakuharibia jina kweli kbs
@fredymasese5181
@fredymasese5181 2 года назад
Diva katika hili ajifunze bhn anaboa huwez peleka kpnd on air wkt huna uthbitsho wowote kama ni kwel
@samsonkibona7376
@samsonkibona7376 3 года назад
bongo movie hii sirz inaitwaje plz
@sophiambassa5111
@sophiambassa5111 3 года назад
🤣🤣🤣
@muurock2177
@muurock2177 3 года назад
Zungumzeni kiswahili nyinyi
@fridahjoseph4656
@fridahjoseph4656 3 года назад
Diva mm nakulaum ww juu hizi vitu unazitunga .baada ya kunogewa hili kiki ya lavalava na lulu
@abdulkareemamry2043
@abdulkareemamry2043 3 года назад
Diva unaleta ujinga kazini kama ni mimi nakubutua na lidada lako mnataka kutudhalilisha wanaumee PUMBAVUUUUU NA ROBO DIVAAAAAA
@alexjonas2575
@alexjonas2575 3 года назад
Kimeumana ila sema diva anapenda uchonganishi sana
@khamisally7550
@khamisally7550 3 года назад
Wamezoeshwa kiki na boss wao. Hakuna jipya hapa na usenge huu. Hii ni kiki tu. 😀😀😀😀😀😀😀
@lydiachepkosgei2398
@lydiachepkosgei2398 3 года назад
Waja kutuaimbisha wanawake wa kenya tunajienshimu sana peleka umalaya mpali
@kaboyiimmaculate4129
@kaboyiimmaculate4129 2 года назад
Alafu nimeisha ona mtu akisema ukweli mtu anakua mkali sana ndio ulikula hela yake
@etandaomba557
@etandaomba557 3 года назад
Wasani wengi wanazowea kutumia ma number zisizo julikana na wana ibia sana na bingine pesa
@khadijaabdallamasoud7690
@khadijaabdallamasoud7690 3 года назад
Sio wasanii ni matapeli tu hao wanajifanya wao ni wasanii
@etandaomba557
@etandaomba557 3 года назад
@@khadijaabdallamasoud7690 Ni wao sababu wanatumia ata video call unamuona ,na wanazoweya kupigia tu Ma binti
@esterderiki6505
@esterderiki6505 3 года назад
Umalaya wenu namkome
@hudsonphortine9399
@hudsonphortine9399 2 года назад
Diva kazi unayo
@fathiafathia8701
@fathiafathia8701 3 года назад
Diva jinga
@bonamaluli4962
@bonamaluli4962 3 года назад
Hicho kipindi kinakufa muda sio mrefu huo ni uzalilishaji
@sabahiali6021
@sabahiali6021 3 года назад
Sana
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 года назад
Nyinyi hamuelewi, diva anajaribu kutoa msaada na haingizi mtu bila ridhaa ya msanii mwenyew, na hizi vitu hufanyik hata nje pia na kwa wanao sema kipindi kitakufa mi nawapa tu msemo wa simba "f*ck all haters"
@official_neemamlay180tz
@official_neemamlay180tz 2 года назад
😲
@alisalum2023
@alisalum2023 3 года назад
Nice pindi
@hishamchege9091
@hishamchege9091 3 года назад
Hamna rammy anamjua Huyo demu...macho yake rammy inaonyesha anamjua..anazuga tu huyo ramny😂😂
@ratifamudy1369
@ratifamudy1369 3 года назад
Safi sanaa kaka ndio mwambie diva hao wanawake hawana akili wamechoka kukaa mtaani ndo wanangangania watu maarufu kama nyie
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 3 года назад
uyu ni muzungu sio mkenya asiseme yy nmkenya😳😳😳 uwache kuchokoza Remi mbona Aukai glas yake kujipendekeza kwa mtu uta umia wewe mdada
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 года назад
Wacha ushama huyu ni mkenya!!!sisi kizungu twajua nyininyi hamtaki kizungu mwataka kiswahili mkiona mtu yuwazungumza kizungu unasema ni mzungu mzungu gani mweusi
@linahcharles3981
@linahcharles3981 2 года назад
This lady is not from Kenya. Actually ako na asili ya kiganda kabsa na wakenya na kiki wapi na wapi khaa Dada mdai mwenyewe uko na usiharibie Kenya jina
Далее
Cristiano Ronaldo Surpassed Me! #shorts
00:17
Просмотров 10 млн
WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI SINGIDA.
4:47
Просмотров 2,1 тыс.
Cristiano Ronaldo Surpassed Me! #shorts
00:17
Просмотров 10 млн