Тёмный

Nilivyokataa kumuoa bint huyu, nikamsaidia kimaisha ila ndugu yake amenidhuru 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 1,6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@josephifanda5626
@josephifanda5626 6 часов назад
Mpaka hapo utaratibu wa kuoa hukuwa sahihi, huku mshirikisha Mungu vzr, ulikuwa kimwili zaidi, haya mambo sio sahihi kueleza hapa,
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 6 часов назад
Hongera uliyemshirikisha Mungu vizuri. Comment za aina hii huandikwa na wapambe wa wauaji.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 8 часов назад
In God We Trust
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 7 часов назад
Ila kumbe wanawake tunalindwa Sana bila sisi kujua,Yani mpaka kumfikia hatua ya kuolewa unakuwa umechunguzwa mpaka sio powa,unachambuliwa hadi unachambuka ,kweli nimeamini kupata ndoa ni kipengele Sirius Sana.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 6 часов назад
Ni mwanaume aliyejitunza tu na mwenye mtazamo mkubwa ndio hufanya uchambuzi wa aina hii. Zaidi ya hayo humfanyia uchambuzi wa kina mwanamke ambaye kwa mtazamo wa haraka haraka hana makandokando na kujua kama ana picha gani. Ila kama wewe ni kiruka njia utakutana na wa kufanana nawe faster. Huyo hana muda huo
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi 3 часа назад
Mc 😂 hatari mshamba huyo mc nakuja mby nimuone
@josephifanda5626
@josephifanda5626 6 часов назад
Kwahiyo mambo yako binafsi, unaanza kuleta mbele ya watu, alafu unamuulizaje kaka mtu umue dada yake? Hiyo ilikuwa ni roho ya unzinzi, wewe swala la kuoa hukupaswa kuuliza watu, ulitakiwa umkabidhi Mungu,
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 6 часов назад
Mimi simwabudu Mungu hewa. Mimi kuwauliza watu wenye nia njema ndio kumuuliza Mungu. Maandiko yafuatayo hayajasema muulize Mungu hewa bali Ayubu 8:8-9 8 Basi, uwaulize, tafadhali, vizazi vya zamani, Ujitie kuyaangalia yale baba zao waliyoyatafuta; (Kwani sisi tu wa jana tu, wala hatujui neno, Kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli tu;) Kwa sisi vizazi vya zamani kuoa halikuwa binafsi na mtu akifanya jambo ovu si binafsi. Bali imeandikwa hivi katika 1 Timotheo 5:20 kusema kuwa; Wale wadumuo kutenda dhambi uwakemee mbele ya wote, ili na wengine waogope. Ila kwa comment hii unaonyesha una maslahi makubwa dhidi ya wanaoniumiza. Yaani haujaona ubaya wao ila ukaona mambo binafsi. Na hata hujui ubinafsi ni nini? Na kumbe ubinafsi ni tendo ambalo hulifanya mtu akiwa peke yake. Yaani halisababishi madhara au faida kwa mwingine. Ila nimeshakujua. Nimejibu tu ili kuwafunza wengine
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 5 часов назад
@josephifanda5626,uwezo wako wa kufikiria na kutafakari mambo,ni dhaifu sana,au hujuwi kilichomfanya mch.Mbarikiwa kufika hatuwa ya kuweka wazi hayo unayoyaita mambo binafsi?.
Далее
ПОНТОРЕЗКА САША BELAIR / ОБЗОР
27:43
Karibu na wewe MUNGU wangu
5:16
Просмотров 23 тыс.
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53
KIJIWENOGWA:WENYE UPUNGUFU TUNAISHI NAO MITAANI
8:43