Тёмный

MWAMBIGIJA Awaambia chadema wamuombe Mbarikiwa agombee mwenyewe Afoka vikali kukataa 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@JohnboscoJasson
@JohnboscoJasson День назад
Ongera sana kwa kazi nzuri na ushujaa wenu , kwani mnaliishi neno la Mungu , msirudi nyuma
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 День назад
😂Nimependa hiyo conversation ya hawa kina mama yaani mke wa mbarikiwa na mtoto Sifa. Mbarikiwe sana 🙏🙏🙏
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z День назад
Safi sana baba mungu akulinde
@DativaDaud
@DativaDaud День назад
Tunaounga mkono Mbalikiwa kuingia bungeni Tujuane!
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 День назад
Nilijuwa niko peke yangu mwenye shauku ya kumuona Mch.Mbarikiwa Mwakipesile akiwa MP(Member of Parliament),naamini ipo siku atakuwa kama atajaaliwa uhai na afya njema,ikibidi awe Mr.President.
@ombendaud5938
@ombendaud5938 День назад
@jacksoncharles5411.Kumbe tuko wengi tunawaza Mbarikiwe kuwa President
@RobertMshiko
@RobertMshiko День назад
Wakiwa kumi bungeni lzima linyooke huku m mbarikiwa. Tundu lisu. Heche.myika.sugu. pambaru. Abdu nondo.mwanamapiduzi. mbowe. Mpina. Nawegine wengi lazima haki iwepo.mwisho rais mwabukusi.madereka.kibatara.na wengine nchi lazima iwe na haki
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 13 часов назад
Hata mimi natamani hivyohivyo
@PolycapySilayo-g9w
@PolycapySilayo-g9w 11 часов назад
Mbarikiwe ongeeni kweli msiogope hatutaishi milele .
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 6 часов назад
🛠️🔧🔨⚒️📕
@danielmwampeta3338
@danielmwampeta3338 День назад
Naunga mkono MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI.
@MAUREENMTV
@MAUREENMTV День назад
Sifa wa yesu mtoto mzuri
@MAUREENMTV
@MAUREENMTV День назад
Mbarikiwa nakupenda bure maombi mingi kwangu please
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 13 часов назад
Mkweli sana halafu ni shujaaa
@Peterchipemba
@Peterchipemba 5 часов назад
Kumwubiri mungu sio mpaka kanisani,,wakija kukuomba kuwakilisha watu sifa uwasikilize,,sauti ya wengi ni sautiya mungu
@domingosnchaca3575
@domingosnchaca3575 4 часа назад
Songa mbele na kazi ya BWANA WETU YESU KRISTO
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 День назад
Mwamba Mbarikiwa haaah Sifa Bujune kweli kazi zitakutambulisha.
@Keave-p5j
@Keave-p5j 11 часов назад
"Tochi ya Mlinzi" kweli hakukosea! alijua kabisa kwamba ulisema 'Allah wakbar' Ukiwa na malengo ya kukubaliwa na Waislamu pia. Kwa malengo ya kisiasa Sasa imekuwa wazi unatamani Kuingia kwenye Siasa 😂😂 Nenda lakini usituharibie Imani Katika Kristo na kupotosha Neno.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 7 часов назад
Kama hakukosea kwa nini hajajibu? Yule kijana ana akili. Alipoona nimemuwekea Clip yote alitambua kuwa alikurupuka kumkabili Mbarikiwa. Amewaacha misukule mnashangilia kupewa pumba
@Keave-p5j
@Keave-p5j 3 часа назад
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Kumbe wewe huna akili. Mpuuzi. Amekuhitaji mfanye mdahalo UMEKIMBIA. NENDA KWENYE CHANNEL YAKE. AMEKWAMBIA UMJIBU ILI MFANYE MDAHALO LAKINI WEWE NDIO HUJAMJIBU MPAKA LEO 😂😂 KILA MTU ANAKUSHANGAA MBARIKIWA
@Ruben-q2r
@Ruben-q2r 3 часа назад
​@@Mbarikiwa_Mwakipesile Huyo Tochi ya Mlinzi nakumbuka alikuja kutufundisha MAKUMIRA UNIVERSITY Somo la Imani, jamaa ana Nguvu za Mungu. Yaani huku anafundisha watu kwenye Viti wakawa wanatetemeka na Vilio😢😢😢😢 Ukumbi wote ukawa na Vilio mpaka akshindwa kuendelea kufundisha. Dah sintasahau hiyo Siku Katika maisha yangu Kuna dada alikuwa anatatizo la Pumu alikuwa anavaa kifaa Fulani, Siku hiyohiyo akatupa kile kifaa
@Cliff756
@Cliff756 2 часа назад
​@@Mbarikiwa_Mwakipesile mbona ulimsifia Cassiani baada ya Tochi ya Mlinzi Kukushugulikia? Ulimuwahi Cassiani Ili naye asione Ili asikuseme si ndiyo ? We Kijana una matatizo sana. KUBALI mdahalo na Tochi ya Mlinzi hutakaa usahau.
@Keave-p5j
@Keave-p5j 2 часа назад
@Mbarikiwa_Mwakipesile Alafu wewe pia ni kijana kabisa, una miaka 40. Pia Wala hajatazama hiyo Link uliyomuwekea. Alishasema hakuna Neno linatosha wewe kujitetea Kwa Ujinga uliotaja kwahiyo hajaona haja ya kutazama Upotofu wako na hiyo Misukule yako uliyoipanga humo ndani​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 День назад
Sifa may daughter be blessed.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 13 часов назад
Ameeeeeen
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 11 часов назад
Hongera kwenu wa Tanzania.
@estachengula3902
@estachengula3902 12 часов назад
Mpo vizuri naunga mkono wagombee ubunge
@furahajimmy4189
@furahajimmy4189 14 часов назад
Mungu awe nanyi namapenzi yake yathibitike.
@amashapatrick211
@amashapatrick211 День назад
Yaaani ccm wakiona hivi wanaumia balaa BABA SONGA MBELE HUNA SILAHA ILA UNA MUNGU NA HAKI INAKUSHUHUDIA KABISA MBARIKIWA NI JITU LINALOOGOPESHA WAOVU WATAELEWA TU
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
(Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni)Bado Hawajasema watasema tu!!.
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Час назад
mbona mama kama amepungua kidogo,,,
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 14 часов назад
Hakuna MTU awezaye kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati moja ,jua mchungaji unaendelea kutokomea kabisaaa ! Mtumikie Bwana mungu wako tu na ya kaisari mpeni kaisari ya Mungu mpeni Mungu !
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 часов назад
Hapo ya Kaisari ni yepi? Tukikataa kujiunga na chama cha siasa bado tumechanganya na ya Kaisari kweli wanadamu mnakera.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 13 часов назад
Msaidie kuhubili injili basi kama kweli wewe ni mtumishi mzuri wa kuigwa nae atakuiga Usiongee kwa komenti ila matendo yako
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 10 часов назад
@@sifawayesu7079 soma Isaya 56: 10_ 15 utapata jibu
@FarajaMalwanda
@FarajaMalwanda 23 часа назад
Mm nawapenda sanaaaaaaa ninyi
@MarsianaHaule
@MarsianaHaule 14 часов назад
BABA HUKO MBELE ITAJULIKANA TUUUU WATAKUFUTA ILI KUOMBA MSAADA KWAKO
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 7 часов назад
Mm hapa naunga mkono
@NikasiMbuya
@NikasiMbuya 7 часов назад
Mwambigija gombea urais
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 День назад
Yesu mwaminifu kwawenye haki huwategemeza
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 День назад
Roho ya Daniel wa bibilia ipo ndani ya Mchungaji mbarikiwa,nina imani Mungu cku moja atamweka katika ngazi ya juu ya Maamuzi ndani ya hii serikali ya Tanzania
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 14 часов назад
Kwer ntawawekea kiti cheenu mbingun
@OscarKasalile
@OscarKasalile 16 часов назад
Hakika nampenda mbarikiwa
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala День назад
Mungu wetu wa mbinguni awe nanyi.
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 День назад
Mbarikiwa aingie bungeni naunga mkono hoja
@kuhaniagapemwasomola.6468
@kuhaniagapemwasomola.6468 День назад
Kamanda Mwakipesile
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc День назад
Nu kweli bira kuingea kuliko kunyamaza baba barikiwe nenda katende haki
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 13 часов назад
Pamoja makamanda
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 День назад
FOR SURE
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 21 час назад
Ccm hats akiongea haki ni uongo mama waongo ao wankuj km kondoo kumbe
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything День назад
👍👊✌️.
@FreeGod368
@FreeGod368 21 час назад
HII PAGE MMECHANGANYIKIWA
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 12 часов назад
Lakini unaifuatilia na kukomenti kama unapoteza mda,pole sanaaaa!!!!
@LuganoMwalwembe
@LuganoMwalwembe День назад
C kwamba hatujui kujibu wengine tunajifunza kunyaza kwakuwa tunajua samani ya utu wa mtu
Далее
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
RC Makonda 'AFANYIWA MAOMBI' Nusura Aanguke!!
3:29
Просмотров 34 тыс.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15