Тёмный
No video :(

NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI 

Ankojay Simulizi
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 189 тыс.
50% 1

Jina langu naitwa Halima Mohamed Mgaza, nilizaliwa mwaka 1995 katika mkoa wa Kilimanjaro wilayani Moshi mjini. Wakati nikiwa natafakari hayo mabadiliko ya ulimwengu juu yangu nikajikuta naangukia katika jaribu la
kipekee, jaribu ambalo hata familia yangu ililazimika kusimama mbali nami na kufanya subra kimaamuzi iwapo wasogee ama wakimbie moja kwa moja.
Narejea kulitambulisha jina langu mpenzi msomaji wa mkasa huu.
Naitwa Halima Mohamed Mgaza. Tafadhali nakusihi sana ujifunze na kuchukua tahadhari kwa yale yaliyonitokea.
‪@ankojay_‬

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 274   
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 10 месяцев назад
Hata wa mwisho hua anapewa Like na 🎉🎉🎉🎉 yake nipozeni jp kidogo kwa like
@emmanuelmwanginjuguna2480
@emmanuelmwanginjuguna2480 4 месяца назад
Hakuna nga wa misho😂
@bodymsomali3321
@bodymsomali3321 2 месяца назад
Mimi wa pili
@roseraymond4954
@roseraymond4954 10 месяцев назад
Mimi wa Kwanza naombeni hizo like nihangaike nazo😂
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂vip na ww ni shaghara 😂😂
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 9 месяцев назад
Simulizi tamu ila unapoota ndoto jaribu kuzikemea na kujiombea ili yasikupate kama yaliyompata huyo halima mungu simama nasi yarrab 😢😢😢😢😢😢
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 9 месяцев назад
Subhanallah mwenyezimungu atulinde yarrab kuna mambo ya kutisha duniani 😢😢😢😢
@user-ed1zb8lw2j
@user-ed1zb8lw2j 10 месяцев назад
Nimelipenda sana simulizi kabla hata aijaisha imebidi nicoment
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 9 месяцев назад
Naipenda sana sauti ya msimulizi, kuna watu wamejaaliwa na sauti zao. 16.11.23.
@user-pr1uy3sh3o
@user-pr1uy3sh3o 10 месяцев назад
Anko j..sauti yako nzuri ndio yanifanya niwe nakuskiza kila mda nakupenda sana
@ankojay_
@ankojay_ 10 месяцев назад
Nawapenda pia 😍
@aliyhassan6715
@aliyhassan6715 10 месяцев назад
Eeee mambo hy jin tena ndan ya buss like jaman leo wa kwanza ❤❤❤
@evarahma9409
@evarahma9409 10 месяцев назад
👍👍asnte kwa simuliz zuri❤❤
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 10 месяцев назад
Anko jay simulizi nzuri
@user-oe7qe9es6k
@user-oe7qe9es6k 10 месяцев назад
Nimejitaidi leo asante ❤❤❤🎉🎉
@violetmulya
@violetmulya 10 месяцев назад
Wakati mwingine mungu hutuletea ndoto ila tunapuuza ety ni ndoto tw, yafaa tujifunze ukiota ndoto mbaya amka na ukemee hiyo ndo na hai watu hukuonekania kwenye ndoto ni mungu anakufungua macho ili uwajue wabaya wako na ujue jinsi ya kuepuka, kama bado hayajakukumba, tuwe makini sana na ndoto zingine
@Pedeshee01
@Pedeshee01 10 месяцев назад
Maskini ndiyo huwa wanaota ndoto za ajabu tu,sisi matajiri kwanza huo muda wa kuota hatuna.Maskini wamewekeza kwenye mapenzi,ngono na ushirikina.Hata ukimwi umeletewa maskini tu ili uwapunguze
@user-wk7og1wb1o
@user-wk7og1wb1o 10 месяцев назад
Wakwanz Leo jamn like hat 5 zinatoxh ❤❤
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 10 месяцев назад
Nimewahii leo wakwanza nipeni likeszenu
@asmahassan5661
@asmahassan5661 9 месяцев назад
​@@ywydhhd7941mmi ni shaghara my😊
@GraceMathew-ky3by
@GraceMathew-ky3by 9 месяцев назад
Pole xana he imeniuma sana kama mwanamke mwezio
@lindazawadi732
@lindazawadi732 10 месяцев назад
Wakwanza leo 🎉🎉🎉🎉 likes zang please
@victoriangasa
@victoriangasa 10 месяцев назад
Hata nusu saa haijafika watu wamecomment hatr bs tijuana kwenye like ❤❤
@ElizaJames-kp9of
@ElizaJames-kp9of 13 дней назад
Mwenyez mungu tulinde dunia imejaa maajabu san
@violetmulya
@violetmulya 10 месяцев назад
Ankojay you are one in a million Yani ujua kusimulia Ady unakera, ni ankojay tw ambaye hua nasikia faraja pindi nisikiapo sauti yake❤❤❤❤
@ankojay_
@ankojay_ 10 месяцев назад
❤🎉 Enjoy
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 10 месяцев назад
Ahsante sana kwa simulizi
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en 10 месяцев назад
Asante kaka nakuelewa sana
@user-ho7vw6or8h
@user-ho7vw6or8h 10 месяцев назад
Mwenyezi mungu atulinde na majini😢😢😢😢
@EpimackChami
@EpimackChami 10 месяцев назад
Anko jay umetishaaaaaaaaaaaaa
@dullasaid1027
@dullasaid1027 9 месяцев назад
❤❤❤💐💐💐💐💐💐💐 nimeipenda na ina mafunzo mazuri sana pia honger mtangazaj maan umejaliwa sauti moja bomb ana hata umenikosh jaman
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 10 месяцев назад
Wow,naomba likes zenu wapendwa,kazi nzuri sana Anko jay,
@user-mm6ht5bx7d
@user-mm6ht5bx7d 9 месяцев назад
Zuri sana ina kafunzo
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 10 месяцев назад
Hatimae mmetukumbuka wa kilimanjaro❤❤❤❤❤❤❤❤ishisana anko jay unapepoyako chauongo wangu😊😊😊😊😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@user-ll4tm2bk3s
@user-ll4tm2bk3s 9 месяцев назад
I like your voice❤
@user-cl9dz6kk7u
@user-cl9dz6kk7u 10 месяцев назад
Daah pole sana halima yapo hya tunayaona❤❤
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 10 месяцев назад
😊😊ninavyo jua kukesha atimaye juma hiza Leo ametukumbuka Asante anko jay Kwa sauti nzuri
@user-yv9sz1jn5n
@user-yv9sz1jn5n 10 месяцев назад
Pole sana Halima Kwa yote, anko npo ngangari Sana kwa simuliz ya X achilia mambo banaa
@maryamhabibu2405
@maryamhabibu2405 9 месяцев назад
Una sauti nzuri sanaaaaaaaa anko j mungu akupe maisha marefu na yenye furaha tele
@SAMDIZACHARIA
@SAMDIZACHARIA 6 дней назад
Du!!noma sana
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 10 месяцев назад
Good job 👍❤❤❤🎉🎉🎉 mungu azidi kukubariki kila wakati usicheko kutupa vitu moto moto
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 10 месяцев назад
Nisimulizi nzuri na yenye mafunzo Ahsante sana Anko Jay na mwandishi Juma Hiza! Ni kisa chenye mafunzo hasa Imani kwani si kila king'aacho ni dhahabu Ahsante
@user-wq8qd1ny3t
@user-wq8qd1ny3t Месяц назад
Simurizi tamu na yenye. Mafundisho mazuri SANA mungu akubariki ankoJay kwa kuturetea simurizi msuri
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 9 месяцев назад
Inasikitisha sana japo duniani sote ni wapita njia hutujuwi ya Kesho, thank you so much Ankojay
@MwasityTz
@MwasityTz 5 месяцев назад
Anko jay pamoja na madamu rissa hongera kwa simulizi nzr penda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ConfusedOpenStadium-sl1he
@ConfusedOpenStadium-sl1he 8 дней назад
Iseeee siopw mungu atulindee
@DorenCharles
@DorenCharles 6 дней назад
Sauti yako iko vizuri hongera ❤❤❤❤❤❤
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 10 месяцев назад
Asante anko jay kwa kitu kipya🎉🎉🎉
@user-qw7un1nf2f
@user-qw7un1nf2f 10 месяцев назад
Mashallah anko Jay maana kila siku unamapya barka rafiki Allah akubariki sana
@AnelithaMakonya-cy7gn
@AnelithaMakonya-cy7gn 9 месяцев назад
Pole san dada halim mungu akulinde pamoj na mwanao
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 10 месяцев назад
❤❤❤❤🎉🎉🎉asante sana ankojey 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 10 месяцев назад
Asante Ankojay 🙏🙏❤❤❤ big up kwa kazi nzuri
@haleemahhamisi2534
@haleemahhamisi2534 10 месяцев назад
❤❤🎉🎉anko j asante Kwa kigogo kipya hatimae Leo nimetimba kwenye simulizi 😊😊
@fatumahaji-ei5hk
@fatumahaji-ei5hk 10 месяцев назад
Yani anko unajua kubalansi sauti yako kilasekta unaiweza mpataka nahisi nipo na mtu ananipigisha stori asante nainjoi
@everlynmbondo-yh1rm
@everlynmbondo-yh1rm 10 месяцев назад
🎉Nice
@user-lx3bs3iq8t
@user-lx3bs3iq8t 10 месяцев назад
Simliz nzur san❤❤❤❤❤
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 10 месяцев назад
Mamaaa ndonaamka jamani😂😂 sijachelewa sanaa anko jay asante kwa kitu kipya❤❤❤❤
@jacklynmwarabu8211
@jacklynmwarabu8211 10 месяцев назад
Anko jay mm l like your voice
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 9 месяцев назад
Simulizi tamu sanaa.17.11.23.
@Ilham-rc3zm
@Ilham-rc3zm 7 месяцев назад
Kweli Dunia is have many megic 😮
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 9 месяцев назад
shukrani anko j
@terimberekenny
@terimberekenny 10 месяцев назад
Nzuriii
@emmanuelmachibya2034
@emmanuelmachibya2034 9 месяцев назад
Excellent work uncle
@LyidiaSilayo
@LyidiaSilayo 10 месяцев назад
Watu wanalala humu ndani jmn duu ❤❤❤
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@user-dm4so1xd5t
@user-dm4so1xd5t 10 месяцев назад
Love Anko ❤
@user-xv5fw6uk8p
@user-xv5fw6uk8p 9 месяцев назад
Nzuri sana❤
@shamymongola5758
@shamymongola5758 8 месяцев назад
Nice voice unakiti chako mbinguni yaan munguabarki kipaji chako🎉❤❤
@RuthPendael
@RuthPendael 2 месяца назад
Kwl amejaliwa saut
@judikadzo8712
@judikadzo8712 10 месяцев назад
wakwanza jamani Asante sana anko jay ❤❤
@user-ox1ii6cp2t
@user-ox1ii6cp2t 9 месяцев назад
🎉umetisha sana🎉🎉
@user-xn3fd8cf2n
@user-xn3fd8cf2n 9 месяцев назад
Nzur sana🎉🎉
@RichardRichardzawadi
@RichardRichardzawadi 18 дней назад
Broo thanks for the story ❤❤❤
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 10 месяцев назад
🎉🎉🎉 sweet voice 😍 🎉🎉
@user-np8ol7bd4r
@user-np8ol7bd4r 3 месяца назад
Asante sana mabrukiii 👍
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 10 месяцев назад
Waooo ❤❤❤🥀🥀🥀💐💐💐
@Mziwandaa
@Mziwandaa 10 месяцев назад
🎉🎉🎉 Asante ank jay
@user-km5or2zn7t
@user-km5or2zn7t 10 месяцев назад
❤❤❤kozizuri sn ninapenda kazi yako❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 9 месяцев назад
Kweli upo vizuri katika simulizi hongera pia mtunzi.
@user-fq7wf9mu6l
@user-fq7wf9mu6l 10 месяцев назад
Waaaah nimepata leo furaha kumbwa❤❤
@saidhassan8080
@saidhassan8080 10 месяцев назад
Wakwaanza 🎉🎉❤❤
@omerrashed9080
@omerrashed9080 10 месяцев назад
Asate ankojay❤❤❤🎉🎉allah akubariki
@zawadtwahirusuleyman1392
@zawadtwahirusuleyman1392 10 месяцев назад
Cjachelewa sana ❤❤❤
@SkolaRichard
@SkolaRichard 8 дней назад
Najikura tuu nampenda anko jay alaf unaniliza hujui tuu😢
@racheluwda6552
@racheluwda6552 10 месяцев назад
Kazi safi😊😊😊
@hdhjdh775
@hdhjdh775 10 месяцев назад
Nimechekewa kindogo ila na enjoy Anko j thanks 🎉🙏🙏 ❤❤❤❤
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 9 месяцев назад
Simulizi ni pambe kwani tujifuze tunapo safari kuwa makini sio wote ni habiliya unaweza kuyatimba kam dada angu g hapo na pia usiwe walaini Sana kukubali kwenye siku mbili mchunguze kidogo kwani Dunia hii jamani Kuma mambo mengi mnooooooo pole Sana dada halima mlee mtoto wako uwezi kujua sawa eshima kwako mwandishi na Ankojay pamoja sana
@user-mt9qg2br8p
@user-mt9qg2br8p 8 месяцев назад
Napenda sauti yako nzuri kaka mungu akubariki sana
@TwigaofishoOfisho
@TwigaofishoOfisho 2 месяца назад
Anko jay nakupnda mpk nakuiga xauty nyumbani wananicheka nikiongea nawaongelra xauty Yako🙈🙈🙈😘
@CARVERY653
@CARVERY653 10 месяцев назад
Nilisafiri na jini ndani ya bass, inashitua na kuogopesha ila nasikiliza😊😅😂
@Miasa-rz8le
@Miasa-rz8le 10 месяцев назад
Duh kama yakweli haya Dunia inamambo mengi jaman
@RubySamuel-rt8ln
@RubySamuel-rt8ln 10 месяцев назад
Nmechelewa❤❤❤❤❤❤
@AshaAbedi-nw9xd
@AshaAbedi-nw9xd 10 месяцев назад
Nili kumiss we anko ❤❤
@AbdallahNgaleka-fw8pl
@AbdallahNgaleka-fw8pl 3 месяца назад
Natamani na mimi siku nikutane na jini ❤
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 9 месяцев назад
Daaah hivi ni kweli jini anaweza mpenda mwanadamu kweli ila kama nikweli mapenzi yake siniyaajabu juu atakuwa mlinzi mwema hakuna baya litampata mpenzie
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 9 месяцев назад
Ehhhhh, mapenzii yake mabaya Sanah,na Majini wanawivuu sanah Alafu Xaxa Ujue yeye anakuonaaa anaweza Kujificha wewe usimuone ila yeye akuone
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 9 месяцев назад
@@mwanashaali1109 khaah kumbe sijawahi juwa huwa nafikiria ni matani tuu kumbe ni kweli
@reylerreyler2236
@reylerreyler2236 9 месяцев назад
Yeah inawezekanaa
@user-jt6qg2ze4z
@user-jt6qg2ze4z 10 месяцев назад
Anko j anapenda xn simlizi zako nasikiliza kutoka kenya
@ankojay_
@ankojay_ 10 месяцев назад
Ahsante sana
@user-jt6qg2ze4z
@user-jt6qg2ze4z 10 месяцев назад
@@ankojay_ part 2 plz
@Kellyperry947
@Kellyperry947 10 месяцев назад
ᴸᵉᵒᵒ ⁿⁱᵖᵒ ʳᵃᵈᵃ ʷᵉˡᶜᵒᵐᵉ ᵃⁿᵏᵒ ⁿⁱᵖᵒ ⁿᵃʷᵉ ᵐᵖᵃᵏᵃ basi❤❤❤❤
@user-ix2ld7ly8r
@user-ix2ld7ly8r 9 месяцев назад
Msimulizi sauti yako tamu kweli kweli . Hongera dogo.
@mariamjumamussa9292
@mariamjumamussa9292 10 месяцев назад
Asante sana🙏🙏
@anjelinandambuki-fi4ip
@anjelinandambuki-fi4ip 10 месяцев назад
Wa 37 leo nimewahi❤❤❤❤❤
@user-uu3si6dx9b
@user-uu3si6dx9b 10 месяцев назад
Story zako nazipenda sana from oman hilo bas sasa😂😂😂
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 9 месяцев назад
Very stor so much ❤❤
@ankojay_
@ankojay_ 9 месяцев назад
So nice
@DanielyAmbrosy
@DanielyAmbrosy 3 месяца назад
Umetishana anko j kwa simulizi kali
@user-gt2wl6ry3z
@user-gt2wl6ry3z 9 месяцев назад
Ankojay umebarikiwa saut tam sana mash aalwaa naipenda hatar
@user-pb1ug4zr1j
@user-pb1ug4zr1j 10 месяцев назад
Mim nilijua jay anatuhadisia alivosafiri ndo kasafiri na jini kumbe ni simulizi😂😂😂aya twende kazi kipenzi chetu
@user-ow1xh3vx6h
@user-ow1xh3vx6h 9 месяцев назад
😂😂😂❤
@maulidsaid5405
@maulidsaid5405 9 месяцев назад
😂😅
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr 9 месяцев назад
Shukran Anko Jay❤❤❤
@valerieobanya5172
@valerieobanya5172 8 месяцев назад
You sound so good like Jamal wa The Story Book although a bit dramatic
@user-sj3be6hn8b
@user-sj3be6hn8b 4 месяца назад
Anko jay simulizi nzuli sana
@anawiliam-eb4kb
@anawiliam-eb4kb 3 месяца назад
Simulizi zako zote alizowahi kusimulia wewe tangu upo simulizi mix mpaka uku zote nimesikiliza ila Lissa imenishinda kwakweli😢
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 10 месяцев назад
Ahsante ancojay kwa hii simulizi love story 🥰🥰🥰🥰
Далее
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Просмотров 653 тыс.
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 58 тыс.
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 5 млн
UTAJIRI CHUMBA CHA MAITI
2:01:44
Просмотров 67 тыс.
HISTORIA YA NABII ADAM SEHEMU YA 1/2 Animation
9:39
Просмотров 14 тыс.
MPYA: KABURI NAMBA SITA - 1/9 SIMULIZI ZA MAISHA.
54:37
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 96 тыс.
MATESO YA BINTI YOLANDA
3:01:49
Просмотров 45 тыс.
MAIMUNA BINTI KIKONGWE
2:01:27
Просмотров 37 тыс.
RUSHWA YA WACHAWI
2:20:01
Просмотров 38 тыс.