Тёмный

The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI. 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 663 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@nassibmalik9934
@nassibmalik9934 Год назад
Utaishi dunian labda miaka 50 lakini akhera utaishi milele na milele.tufanye mema kwaajili ya kupata maisha mazur
@endtimes9850
@endtimes9850 Год назад
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
@gh7naa
@gh7naa Год назад
@@endtimes9850 mmungu hana mtoto ana mana bee ndugu fatilia mmungu hazaa wala kuzaliwa
@TharsilaAthanas-iu2qf
@TharsilaAthanas-iu2qf 6 месяцев назад
Jaman mung Hana mtoto muwe na adabu kidogo
@kwangahudispensary7238
@kwangahudispensary7238 5 месяцев назад
​@@TharsilaAthanas-iu2qfsisi tunaamini biblia ,,usitake wote tuamn yenu sio sawa.
@KATETIMQ
@KATETIMQ 5 месяцев назад
Hakika
@stevennchambi3212
@stevennchambi3212 Год назад
Kama mimi na wewe tutaacha mademu tukatenda mema, tukamsema vizuri Mwenyezi Mungu na kumsujudu kwa ile kweli na subira. Pigeni likes 20 zitatosha kubadili maisha yetu hapa duniani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@lameckshani9338
@lameckshani9338 Год назад
Si kweli Ila mbinguni watakaoingia ni watakatifu tu,wenye haki walioishi Maisha ya kutokutenda uovu
@mrbill2231
@mrbill2231 Год назад
Sema mimi kimoja tuu! kinacho nisumbua ni kuacha mademu🤔🤔🤔🤔
@derickshady5590
@derickshady5590 Год назад
Mungu aliumba mademu kwa ajili yetu bro, tuache mademu halafu inakuaje?😅
@jimmymeshack8725
@jimmymeshack8725 Год назад
@@derickshady5590 Hahaa bonge la point Mzee tuwaache afu tuishije sasa afu Mwamba anahisi like ndoo zitatufanya Mungu atuhurumie 😅
@zadokasaph5561
@zadokasaph5561 Год назад
May God bless u abudantly Msitafa proffeser Jamali big up.
@meekman1805
@meekman1805 Год назад
Allah atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi. Aaamin.
@Cambarada
@Cambarada Год назад
Allahummah Aamyiin Yarabi
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 Год назад
Allahuma amiin
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 Год назад
Allahumma amiiin
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Год назад
Amiin❤️🥺
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Год назад
Amiin
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Год назад
Mtume Muhammad (swalaallah alaih wasalam)
@JumaLugendo-rk3rp
@JumaLugendo-rk3rp Год назад
Wallah umenifanya nisisimke na umeniongeza kitu Moyoni mwangu niiongeze Imani yangu na Toba zaidi na Ibada zaidi kiukweli Umeniathili Sana story hii
@sahidahamad39
@sahidahamad39 Год назад
Mwanangu unapomtaja Mtume Muhammad basi tafadhali usisahau kumswalia
@JoyceAvua
@JoyceAvua Месяц назад
Sasa yeye na nyinyi ni nanianafakusalia mweziwe😂😂😂😂wacheni utani
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 Год назад
Allah akutunze Jamal Mustafa akufanyie wepesi Kwa kila jambo lililo mbele yako the story book
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Год назад
Maneno yana tia moyo kwa sisi ambao tuna hofu ya Mungu , baba Mungu Wetu kwa huruma yako tusaleye zambi na utupe mwisho mzuri ❤️🙏🏿
@finestmtotowababa7249
@finestmtotowababa7249 Год назад
hata uwe na ofu vp rakini Ile ya kitamani mdiyo itakayo kuchinja😀😀😀😀
@Madphilosopher13-04
@Madphilosopher13-04 Год назад
Maskn
@breezydulla9429
@breezydulla9429 Год назад
Amin
@Saidthebarez89
@Saidthebarez89 Год назад
Hakuna bba mungu.... ni Allah
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 месяцев назад
Peponi wataingia waisilamu tu walio muamini Allah na mtume wake
@theempire4058
@theempire4058 Год назад
Hakuna kipindi kingine nachokiangalia wasafi zaid ya hiki, tujuane kwa like
@ramadhaniomary9241
@ramadhaniomary9241 Год назад
Kwa kweli huyu jamaa anatisha amefanya tafiti za kweli mashaa llahu
@Nangasalim-xn7uv
@Nangasalim-xn7uv Год назад
Unasemaje
@girionpantaleo5881
@girionpantaleo5881 Год назад
Kinakuwaga mda gan na siku gan
@nicholasmutai2082
@nicholasmutai2082 Год назад
Huyu Jamal nimempenda kwa sababu amefanya nikajua vitu ambabvyo sikua najua zina exist🤗pongezi sana Jamal na Mwenyezi Mungu awe nawe kwenye safari yako.
@hassanismail1931
@hassanismail1931 Год назад
Mwenyez mungu atujalie sote binadam tuache maovu
@saidchombo5952
@saidchombo5952 Год назад
Allah nijalie mwesho mwema, pamoja na wake zangu, Amiiina.
@stratonmatei7834
@stratonmatei7834 Год назад
😊 😊. 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 😅😊😊 😊😊😅 😊 😊 😊😊 😊 😊 😊😊😊. 😊 😊 😊😊. 😊 ?. 😊 😊😊 😊😊
@5ffGg-uy7mf
@5ffGg-uy7mf 5 месяцев назад
Amin
@rosegodson4633
@rosegodson4633 Год назад
Ewe mola ulieniweka kwenye tumbo la mamangu, ukanichagua niwe binadam na ukanipa uhai Leo, nakusihi nipe nguvu ya kuzishinda tamaa za Dunia, na unipe moyo safi ili siku nikichora pumz yangu ya mwsho, niione Ile nchi nzur ulioniandalia,. Tamaa isinishinde mm😭
@kosandodo
@kosandodo Год назад
Mola akujaalie Kila la kher
@tanzaniayetuchannel2196
@tanzaniayetuchannel2196 8 месяцев назад
kuwa muislamu kwanza ndo utaiona pepo
@WilbroadWilliams
@WilbroadWilliams 6 месяцев назад
Amina
@shamissayd887
@shamissayd887 Год назад
Katika the story book zooote..basi hii ni Top 1😍😍, hii ni namba 1 👌kwa uzuri, hadi inagonga nyoyo yan🫀
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
True top 🔝 one history book 📙 Ime ni ingia panapo histaili Hakika Jamaal professional wewe ni kwenda pepo moja kwa moja kwa sababu hubagui dini wala kabila una pita inavyo histaili risperct for your my brother's endelea kutuletea madini yenye thamani kubwa kwetu sisi wasikilizaji wako sote tuna tegemeana maana pasipo ww hatu ezi elewa na pasipo sisi huwezi pata sport yetu 💪💪💪
@endtimes9850
@endtimes9850 Год назад
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
Acha ukafiri wewe yohana
@imaniwihenge6331
@imaniwihenge6331 Год назад
Respect professor Jamal
@giftibrahim
@giftibrahim Год назад
Mashallah Allah Atujaalie tuwe miongon mwa waja wa pepon❤🙏
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
Amin 😢
@williampable1699
@williampable1699 Год назад
Huyu jama Djamali ni very creative kabisa, nipe likes kama unakubaliana na mimi👍
@fanitofaustino4108
@fanitofaustino4108 7 месяцев назад
Sana uyu jaama anatisha
@KALIMBULA
@KALIMBULA 4 месяца назад
Allah nijalie pepo njema
@abubakarkhamis1554
@abubakarkhamis1554 Год назад
Assalam alaekum proffers Jamal gonga nondo kaka uko vizuri sana Mungu akuzidishie kipaji hicho
@endtimes9850
@endtimes9850 Год назад
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
You are went astray you dis believer ALLAH have no child 😢😢😢
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa yeye ni mmoja tu
@jumahashim8109
@jumahashim8109 Год назад
Namuomba mungu atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi, amiin.
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
Amii😢
@neemamsaki1111
@neemamsaki1111 Год назад
Ee Mwenyezi Mungu nipe Subrah,hekima yako😭🤲🏾..Ee Mola wetu Tusamehe maovu yetu PEPO yako nafsi zetu ziingie😭🤲🏾🙏🏾.
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
Amiin
@theben6756
@theben6756 Год назад
To God be the Glory 🙏🙏
@mussahiza3888
@mussahiza3888 Год назад
Brother uko very nice kwenye story
@notoriusmax8493
@notoriusmax8493 Год назад
the story book usually teach us many important things God bless you jamal
@Glorydavid248
@Glorydavid248 Год назад
Je hao wahudumu ambao wanatuhudumia tukiwa huko peponi wao hawataki kula raha
@jennylunsinde9770
@jennylunsinde9770 Год назад
Mungu ni mmoja tuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Mrmakavuliv
@Mrmakavuliv Год назад
KAMA UNAAMINI WEWE UTAKUA NI MMOJA WAPO KATI YA WATU AMBAO WATAINGIA PEPONI EMBU GONGA LIKE APAA
@kelvinsinyinza1659
@kelvinsinyinza1659 5 месяцев назад
Kuna mapepo yawili ya wasilamu na wakristo ni ipi una Gongea Like?
@bakaryCMD
@bakaryCMD Год назад
The great professor of all time, Live from west virginia, usa/
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 Год назад
Jamal hakika nakupenda kwa ajili ya Allah ,ushauri wangu naomba tujitahid kumcha Allah kwan jamal unaelim nyingj masha Allah hivyo kufanya dhambi unayo ijua ni mtihan kwakwel
@rayyanabdul955
@rayyanabdul955 Год назад
Jamani tuweni na hofu ya mungu ili tufike uko peponi 🥰😍
@danimark3300
@danimark3300 Год назад
Hiyo pepo ni hadithi za kufikirika Mkuu, haipo hivyooo
@kelvinsinyinza1659
@kelvinsinyinza1659 Год назад
ipi yawa christo awu ya Muhammad?
@khalidkhamis8160
@khalidkhamis8160 Год назад
@rayyan..ni mlango wa peponi
@gh7naa
@gh7naa Год назад
@@kelvinsinyinza1659 mulize na mana bee wa mmungu watakuako upande gani duh huyu jamaa hangalii ukweli mmungu hana pepo mbili wala tem mbili mana bee wake wote ni waislam hakuna nabee alie toka nchi za Europe hata mmoja watu wamebadilisha maneno ya mungu na kufanya watakayo isa na ibrahim na ayob yagob ni waislam walimuogopa mmungu na walikataza mabaya leo dini ziko kibao za ajabu mana bee ndio wanajitokeza hakuna na bee wakati huu ilankufuru imezidi maslahi yao
@gh7naa
@gh7naa Год назад
@@kelvinsinyinza1659 umemuluza swali zuri hajajibu
@robertsimba5081
@robertsimba5081 Год назад
I can't wait to be in heaven...the most merciful GOD forgive me all my sins please
@RamadhanGalgalo-td5ky
@RamadhanGalgalo-td5ky 4 месяца назад
Tunamuomba Allah atujaalie pepo inshallah
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 Год назад
Watu wa peponi watapewa mpaka wataridhika, Allaah nijaalie kua miongoni mwa watu wa Peponi na uniepushe na adhabu yako ya moto. Aamiin 🤲
@زينبعليعبدالله-ز3س
اللهم آمين يارب العالمين 🤲🤲
@yahssinyally9510
@yahssinyally9510 Год назад
Iko pw
@yuscostainless5770
@yuscostainless5770 Год назад
🤲🏾
@justinmwakyasima4792
@justinmwakyasima4792 Год назад
Ameee👏
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 Год назад
Aamina Yaa Rabby🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@innocentmfalme4395
@innocentmfalme4395 Год назад
From kenya, jamal baba lao, kama unakubaliana nami, nipe like..
@princehancesam9892
@princehancesam9892 Год назад
Jaman nikifikiri maisha ya badae mwili wangu unaishiwa nguvu kabisa
@ericahrey-hj8wh
@ericahrey-hj8wh Год назад
😂😂😂
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Год назад
😂😂😂
@MihayoMageta
@MihayoMageta 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂jipange tu, hakuna jinsi.
@davidsosthenes4479
@davidsosthenes4479 Год назад
Mungu ni mwema siku zote kwetu na mwenye huruma sana....Tumsikilize yeye na tuyatimize Amri zake
@kingkiya6640
@kingkiya6640 Год назад
Maa Shaa Allah,,,Ukiskiliza kw makini utakuta sehemu kubwa ya story hii imesheheni maneno Qur'an tukufu kw sababu ndo imefafanua zaid habar za peponi na motoni kuliko vitabu vingine,,, Alhamdulillah tunaomba mwisho mwema yaa Allah
@faridhamad3678
@faridhamad3678 Год назад
Allahumma Amiin
@moreenmoreen376
@moreenmoreen376 Год назад
acha ubaguzi weee
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Год назад
Jamal ukitoa story natamani uzimalize mtavyopenda 👏🇹🇿🇬🇷⚓
@GitoshDan
@GitoshDan Год назад
Kindly Christians and Muslims let's love each other. We won't go separate ways after we die due to having different beliefs. We're all humans and we have the same destiny. I stand to be corrected though.
@josephignas3988
@josephignas3988 Год назад
The problem is with christians ,they refuse the prophecy of Muhammad(s.a.w) by saying he was not sent by God and that Jesus is the only sent , incarnated and behave as both the only begotten son of God and as one self among the three selves of God that work together as God, the point which is blasphemy and not correct(because God is almighty and able who doesn't need and will never need any assistance or help). The correct point is that Jesus is Not God incarnated but is among the prophets to whom God sent them to the targeted group and every group was given a prophecy for warning them about the mercy and blessing to believers and punishment to those who go astray!. But in Islam Muhammad was the one whom Jesus was predicting his coming after him and that he(muhammad) is the last prophet of God and (as in book of isaiah) will come to reveal the warning and punishment to non beleivers and reward to those who believe and unify God only as their creator, provider, forgiver and the only one who deserves being worshiped in righteousness and no one else in accompany with! So if it's just matter of love we love each other because we can't judge ourselves but in front of God there is no balance instead there must be two people, a righteous one who deserves paradise and another one who deserves hell only, no balance no intermediate person in front of judgement day. So it is either you search for a correct way or you refuse it by comforting yourself with a lie.
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 Год назад
@@josephignas3988 Thank you brother for this clarification
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 Год назад
​@@josephignas3988 can a prophet raise mankind on last day? Can a prophet Judge mankind on last day? Can a prophet be the Alpha and Omega? Simply Christianity and Islam is in total contradictory. What Jesus taught and Muhammad taught is totally different. Allah is Tawheed and Jehovah is Tri Un(Trinity), Allah is not a Father for he has no son, Jehovah has Sons and daughters. Alot to say about this. But simply is God of Islam and God Christianity is different completely, so is Islam and Christianity
@Bigsneh
@Bigsneh Год назад
God bless you Professor 🙏🙏
@geraldmollel30
@geraldmollel30 Год назад
Nakubali Prof Jamal "unajua kuelezea na kufafanua mambo ya hadithi mbalimbali" big up xana Prof ✌️✌️
@MaribaNenga
@MaribaNenga Месяц назад
Kweli😂
@zanmedia5225
@zanmedia5225 Год назад
Moja kati ya Elimu muhimu hapa ni kua Yesu ni Nabii na sio Mungu kama wengine wanavyodhani 🙏🙏
@violetsangamysongs1815
@violetsangamysongs1815 Год назад
Yesu ni Mungu ndio ukweli huo
@EliakimjoashJoash
@EliakimjoashJoash Месяц назад
JESUS IS GOD
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Год назад
Professor jamal umeua hongera tunakukubali sana kwa kutupa mambo ya msingi katika maisha yetu
@juniormtei8005
@juniormtei8005 Год назад
Ubarikiwe. unazidi kunijenga ki imani na kujibu maswali yagu. Na ubarikiwe na mungu kuwafuguwa watu akili kupitia yeye
@mustafaivany2041
@mustafaivany2041 Год назад
Nime aza kuisikiya kwasasa kaka sitaki like nataka funzo tu mim🇿🇦🇿🇦
@abdulbishow4034
@abdulbishow4034 Год назад
Pls unapo mtaja mtume wa Mungu mtakie rehma naamani
@JoyceAvua
@JoyceAvua Месяц назад
😂😂😂Watu bwana sasa yeye au nyinyi
@uzungupoint
@uzungupoint Год назад
Sema ukifatilia sana DINI unaweza kuchanganyikiwa🙌
@khamischumu6830
@khamischumu6830 Год назад
Hujui kitu
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Год назад
Sio hajui kitu huo ndo ukweli
@samirajohn6938
@samirajohn6938 Год назад
Kweli kabisa
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Hasa uislam eti pepom tutakuwa tunaongea kiarabu duuh
@mozespatnam7469
@mozespatnam7469 Год назад
🤣🤣🤣
@sultanmedia.666
@sultanmedia.666 Год назад
Always you are up there !!! Nakukubari saana kaka na wish siku moja nipate nafasi ya kuzungumza na wewe ana kwa ana braza Jamaar.
@ashadiramo
@ashadiramo Год назад
👍 Naipenda xna story book,mashallah Mungu akuzidishie 🤲
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Год назад
Pepo ya waislamu nimeipenda buree Mungu wa kweli na haki anijaalie pepo aliyo fundisha ibni abdillah
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 Год назад
Kwa hy ya wngine ni ya kufala. Na dini lenu la kisengesenge
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Pepo ya waislam vituko kwel had pombe zpo
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Год назад
@@revocatuspaulo6716 nyie nendeni mkaimbe mapambio mbinguni lakin msisahau MZIKI N AJIRA
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
@@revocatuspaulo6716 ni lazima utukane? Ndo dini yako inavyo kufunza??? Pole
@amoury1481
@amoury1481 Год назад
@@revocatuspaulo6716 Hivi Wenzetu Upande Wa Pili Wakina Petrol,peter Huwa Mnafundishwa Matusi?Maana Kila Kitu Ni dhihaka
@creoamasy2968
@creoamasy2968 Год назад
Umenifanya nishike Biblia bwan jamal Vifungu unavyotaja bc naenda n wew sambamba🥳🥳
@ahmedmiraji877
@ahmedmiraji877 Год назад
Wallahi nimelia kusikia hi leo, jamal april Mwenyezi Mungu hakutangulie leo katika zte nimepata message vizuri Mwenyezi Mungu hatujalie tuwe watu wako Ameen.
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
Ameeen
@amoury1481
@amoury1481 Год назад
Ameen
@annerose3310
@annerose3310 Год назад
Only God knows God is for all of us
@ummukulthum1268
@ummukulthum1268 5 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akujaalie ww unaesoma comments uwe mmoja kati ya watakaokua peponi na tutakutana huko... kwa kuacha maasi na kutembea katika njia ya muumba Tuseme amiiin
@rebecapolesimon3717
@rebecapolesimon3717 15 дней назад
Amina
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc Год назад
For us Sabbath means rest ( kupumzika na uhitaji wote wa mwili ( fleashly desires) . Ukisoma kiundani biblia ndo utaelewa maana ya sabato, ambayo Mungu aliwaonyesha wanadamu kama ishara na waifanye huko mwanzo ( kupumzika siku Moja ya wiki bila kazi yoyote) na atakayopewa wanadamu baada ya kufa ( Peponi). Ndio maana Yesu aliwaambia wayahudi, kuwa sabato ipo kwa ajili ya mwanadamu, na sio mwanadamu kwa ajili ya sabato ( yaani kuitumikia). Mambo mengi ya agano la mwanzo ( la kale) ni ishara mambo yatakayokuja, ingawa yalifunuliwa kama ya mwilini, ila ni kivuli ya mambo mema ya baadae, na ndio maana Yesu alishindana na wayahudi kwakua hawakumwelewa. Mungu alivyosema alipoumba ulimwengu Siku ya Saba akapumzika, maana yake KAZI yake yote ya uumbaji ilikamilika na hakuhitaji kuumba tena, na akatupa kazi sisi tuzae na kuongezeka na kuijaza dunia. Kwetu sabato ya wanadamu tuliyoahidiwa, ni ukamilifu, na kuwa huru au kuwa mbali na madhaifu yote ya mwanadamu ( mfano dhambi, chakula, magonjwa, kiu, nyege, kuzaa, uchovu, chuki n. K). Na ndio maana Yesu alisema " Njooni kwangu ninyi nyote mtesekao na mizigo nami nitawapumzisha." Ndio maana ukimpata Yesu utakapokufa utakua unaishi, maana utaingia peponi na kuwa huru na mahitaji na tamaa zote za mwanadamu. Utakua kama malaika kama alivyosema Yesu ktk Mathayo 22:30. Njooni kwa Yesu mpate pumziko, msihangaishwe na uongo wa mwanadamu wa jangwani Mwarabu aliyezaliwa miaka zaidi ya 600 baada ya Yesu kuondoka duniani.
@endtimes9850
@endtimes9850 Год назад
Waambie wote wasioamini na kumjua YESU, Kwamba 1 Yohana 4; 2, Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 3, Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Год назад
Chris acha ushenzi, usitusi wasio kutusi, nawe watakutusi, bwege we.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Год назад
kwa akili yako unavyofikiri Yesu na Muhammad wanatofautiana au wanapingana? kwa taarifa yako hawa wote ni damu moja wote uzao wa Abraham yani wametoka mgongoni mwa ibrahimu, ni wajukuu wake wa damu. kasome maandiko mpumbavu we.
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc Год назад
@@rayisadesigns2646 ukileta ushahidi hata mmoja Muhammad ni uzao wa Ibrahim kupitia Ishmael, nitasilimu na kusema shahada kama allah alivyosema shahada. Ila ukifelli kunipa ushahidi wa maandiko au Aya ya Quran, basi utakua umehitimu chetu Cha Ujinga.
@allysuleimanhamis1963
@allysuleimanhamis1963 Год назад
@@Chris-in1vc ushahidi upo Mkuu,ila mambo ya dini ni mambo sensitive sana maana unazaliwa na unaritbishwa dini kutoka kwa waliokuzaa au waliokulea..mfano leo hii mtu akikuita jina lisilo lako hauta feel kama ni wew maana ubongo wako na faham zako hazija sarenda kwa huo wito ila ukiitwa jina lako utajukuta unaitika na unaamini ni wew ndo mlengwa wa wito huo..masuala ya dini ni elimu Pana kuliko elimu tunazosoma darasani..mtu ukitaka kujua ukweli kuhusu masuala ya dini unahitaji kuwa tayari kuupata ukweli na kwa watu sahihi..tatizo kubwa watu hupata elimu ya dini kwa watu sio sahihi regardless kwa waislam au wakristo..watu hupenyeza agenda zao binafsi katika mambo ya dini..siku hizi dini ndo imekua kivuli cha chuki,ugomvi,majigambo,ukatili,uchonganishi maana mtu akijua kusoma na kuchambua bible au Quran kidogo tayari yupo kutengeneza followers utasema yeye ni Muhammad au Yesu(Issa ibn Maryam) Ukitaka ukweli juu ya Muhammad ni nan? Amekuja kwa watu gani? Majukumu yake ni yapi? Na kwanini aliletwa kama mjumbe wa mwisho? Uhusiano wake yeye na Yesu (Issa ibn Maryam? Uhusiano wake Muhammad na Nabii Ibrahim,Ismael na Is-haqah(Isaac)? ..ukweli huo ukiutaka tafuta watu na uwaulize maswali hayo ukiwa tayari kujifunza na sio kwa ubishani! Mungu akubariki upate akupe elimu na uweze kufurahia ukweli na njia ya haqqi..
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 Год назад
Dah Allah atujaalie tuingie firdaus....amin
@michaeljoachim8517
@michaeljoachim8517 Год назад
Acha uwongo bro lugha zote zimeletwa na mungu acha kupotosha watu
@JoashKorir-fb3bg
@JoashKorir-fb3bg Год назад
This is man is actually the best.. I love him 🙏🙏
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 Год назад
God bless you Jamal 🙏 ❤
@AthumaniAbushi
@AthumaniAbushi 4 месяца назад
INSHAALLAH MUNGU atujaalie Mwisho Mwema
@margaretnduati5203
@margaretnduati5203 Год назад
From Kenya,tunakubali sana Jamal,huyu ni legend,kama unakubali nipe like..
@Whiteshow_ke
@Whiteshow_ke Год назад
Jamal ni bazuu
@dennismourice4965
@dennismourice4965 Год назад
He is lied
@beleoneo8395
@beleoneo8395 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xYrqkerpoOQ.html
@justinmnkeni7691
@justinmnkeni7691 Год назад
Amina
@majidimwikumba7795
@majidimwikumba7795 Год назад
​@@Whiteshow_kee😊wr we
@osodojunior3436
@osodojunior3436 Год назад
You've been a bee in my bonnet Jamal I love your story, from Kenya
@camillamillicent
@camillamillicent Год назад
I do appreciate the knowledge you are imparting unto us,keep going jamal
@freddie_mdogo5243
@freddie_mdogo5243 Год назад
very bright huyu jamaa
@piustombili9921
@piustombili9921 Год назад
mbona umeweka coments off kwenye mziki wako wa gospel
@minazi-beachbungalows-zanzibar
@minazi-beachbungalows-zanzibar 8 месяцев назад
😂
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
Ee MWENYEZI MUNGU nakuomba unipe maisha marefu na mwisho mwema ktk hii dunia
@atlastz2263
@atlastz2263 Год назад
Salute sana kaka Jamar nakubar sana simulizi zako unajitahidi kufanya utafiti kabla ya kusimulia
@RutaMazambocharles
@RutaMazambocharles 11 дней назад
Asante Kaka kwakutuelimisha Ila tunaomba utuletehe story book ya Maisha ya watu WA Swaziland maana Mila Zao ningumu kweli
@gdr10
@gdr10 Год назад
0:43 When he was talking about types of people who won't go to heaven I was like bruh are you for real??? 🤣
@pridencia2751
@pridencia2751 Год назад
😂😂😂so you're not going
@Platnumz360
@Platnumz360 Год назад
0:43
@juliusmkwiji283
@juliusmkwiji283 Год назад
😁😁😁
@lulukaslo12
@lulukaslo12 Год назад
😂😂
@sail19
@sail19 Год назад
🕊️🕊️🕊️
@chackydekop3056
@chackydekop3056 Год назад
God bless 🙏🙏🙌 all of us including u Jamal
@samsonhenry3871
@samsonhenry3871 Год назад
Bro tunaomba uwe unaweka english subtitles chini, unawateja wengi sana njee ya Tanzania
@willisonelius4981
@willisonelius4981 Год назад
Safii broo,,,asante kwa kutukumbusha tuliojisahau kama mimi,,God bless you
@vumiliyasaidi3449
@vumiliyasaidi3449 Год назад
Believe it or not, But the time will tell, may ALLAH guide us
@abufatimamohammad3344
@abufatimamohammad3344 8 месяцев назад
Kama sisi wa jamii wa oman 🇴🇲 Tumemkubali jamal the book story keep going 🫡
@maniscamullah6282
@maniscamullah6282 Год назад
Da Allah Ninyoshee Mkono wako safi nami Niwe Msafi Niyatende yaliyomema Ili Niione Pepo Yako
@BrianKamau-qp4rb
@BrianKamau-qp4rb 8 месяцев назад
I love you very much Jamal April,,I've always listen to your advices and put the in action,,thanks for helping us,,brian from kenya
@kassimkandulu2573
@kassimkandulu2573 Год назад
Duuh kweli Duniani, HAKUNA MWENYEJI tuishi kwa kumuongopa MUNGU.
@Fabrice_Bobby
@Fabrice_Bobby Год назад
GOD is good🙏🏾
@decomplex967
@decomplex967 Год назад
Na mimi leo naombeni like zenu apo
@bensonnjenga1623
@bensonnjenga1623 Год назад
Feed us more maestro 🔥🔥
@MichaelKweka-eh6gw
@MichaelKweka-eh6gw Год назад
Peponi mashehe maaskofu wachungaji mapadre wanasheria maaskari majaji mahakimu madaktari hawataona pepo ila malaya walevi wazinzi ndio watakuwa peponi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Mashalah mashalah mashalah mungu atujalie nasisi tuwe wanpepon inshallah...mungu atupende na atupe Kila la heri inshallah...
@adam.cmaginga.4114
@adam.cmaginga.4114 Год назад
Na mtume anajua kabisa kosa alilolifanya ndo maana aliwahasa watu kumsalia mtume..ili labda Mungu anaweza msamehe kupotosha ukweli na kachukua ukweli kiasi ili watu wamuamini na kuchanganya na uwongo mwingi..Kila siku tunamsalia mtume lakn hatujui nikwanamna gan tunamsalia wakati kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe... Yesu aliwaambia wayahudi wasipo amini maneno yake waamini vitendo vyake .. Yesu hakutenda dhambi aliishi kama binadamu lakn hakutenda dhambi na ile ilikuwa ishara ya kutufundisha sisi..lakn anatokea mtu wa kawaida kabisa mtenda dhambi mwenzetu anakwenda kinyume nae.
@missmontana856
@missmontana856 Год назад
We kakojoe ulale umeandika usenge tu hapooo mtoe mtume kweny kichwa chako sifia imani yakoo acha kutunga uongo mbwa wwe adam mkundu wazi
@adam.cmaginga.4114
@adam.cmaginga.4114 Год назад
@@missmontana856 imani yako ndo hiyo inayokuruhusu utoe maneno ya hivyo😃 hakika hamna ushawishi hata kwa mtu ambaye anataka kujiunga na nyie Mungu akusaidie tu
@missmontana856
@missmontana856 Год назад
@@adam.cmaginga.4114 kwani mmi shekhee ushawishi wannni ? Siko hapa kushawish mti aingie kweny dini yan niko hapa ku defend unavyoo ongea usengee eti mtume alitudanganyaa so wakwenu aliwaambia ukweli😅😅😅🖕
@adam.cmaginga.4114
@adam.cmaginga.4114 Год назад
@@missmontana856 yan nakuonea huruma saana mtume Muhamed mwenyew anamjua vizuri Yesu ni nan na anaamini kuwa atarudi tena japo kuna mambo anayapotosha ila anamjua vizuri kabisa na alisema Issa bin mariam amkumbuke siku ya kiama cjui nikwanamna gan
@missmontana856
@missmontana856 Год назад
@@adam.cmaginga.4114 nakuonea huruma wwe unaelazimisha mtume amjue yesuu wakati kwetu ni nabiii issa jione huruma nafsi yakoo sio yangu we chini nnn🤣🤣🤣waislam ata awanaga time nanyiny lkn kutwa kushoboka imagine makanisa hadi watu wanachezea porn unaona mungu anavyo ilinda nyumba yakee🤔byeee kijana ishi maisha yako
@nawaliabdou4950
@nawaliabdou4950 Год назад
Macha Allah Jamal God bless you 🙏🙏 and see you soon very day
@LuckyBoy-pp2md
@LuckyBoy-pp2md Год назад
Mungu akubaliki sana
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Год назад
Kwanini tusi mche Allah jamani😓 hebu sikilizeni hayo mazuri yaliopo huko peponi Wallahi 🙇 yaaa Allah tuwezeshe kuipata pepo yako. M kiukweli sina shaka yakuingia peponi Allah ananipenda ataniweka peponi🙏🙏🙏
@albanusmuli9959
@albanusmuli9959 Год назад
Jamal mustapha always 🔥🔥🔥
@SunguraShabani
@SunguraShabani Год назад
Hongera sana kwa kazi yako nzuri Yesu alitoka mbinguni na karudi mbinguni lakini akuambia watu mbinguni tutaongea lugha gani YOHANA 3 13 Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni,ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani Mwana wa adamu. Mbinguni hakuna kuowa wala kuolewa LUKA 20 34 Yesu akawaambia, wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa 35 Lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi. ifahamu Kweli nayo Kweli itakuweka huru Kweli Kweli
@sheemwakuyumba2969
@sheemwakuyumba2969 Год назад
From kenya🇰🇪 nkukubali sana jamal Alllah akuomgoze na akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
@kelvinsinyinza1659
@kelvinsinyinza1659 Год назад
Ukweli ni Ukweli ata kama ni dini zawatu, Peponi gani Inalusiwa sex, wanawake 70 mtu mumoja?
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 Год назад
@@kelvinsinyinza1659 swali lako zuri ndugu rejea quran utanufaika sana
@jumakibe5032
@jumakibe5032 Год назад
Km nitabadilika kuwa mwema zaid, basi jamal umehusika. Mungu atakulipa kwa hili. 🙏
@beatricejackson9833
@beatricejackson9833 Год назад
I really like this story just keep going my God bless you one love ✍️
@abdullasali4773
@abdullasali4773 Год назад
#Jamal April, akitajwa mtume au unapomtaja usiache kufatanisha na kumswalia.Mwenyewe amesema asiemswalia yy ni Bakhili. So ukisema Mtume Muhammad unafatisha na maneno yasemayo (SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM).
@tundeepemuvivelarevolution5261
Nyiye washika dini, acha niwape ukweli , mjuwe kitu wakristo amta changiya pepo na waislamu na nyiye waislamu amta changiya pepo na wakristo ... Kwa iyo apo kuna kusuka ama ku nyowa , kama kwali uko peponi kwenu patakuwepo bila shaka kati ya waislamu na wakristo wamoja awata ingia kabisa... Sisi watu weusi ambaho utakukubali utumwa waki imani , ambaho tumebaki katika imani zetu za zamani kabla ya uislam na ukristo kufika afrika , kwa kweli izo abari za peponi atuzi amini ...
@shiningOrgTv
@shiningOrgTv Год назад
walikuwepo watu kama wewe tangu enzi na enzi wew sio mpya kukanusha yale yaliosemwa na manabii kwahyo kama hauamini hakuna atakaekushika shati baki na imani yako ya ki afrika tutajua mbele ya safari
@tundeepemuvivelarevolution5261
@@shiningOrgTv , ila pamoja na ayo wamoja kati ya waislamu ama wakristo awata ingia uko peponi kwenu kama iyo pepo ipo ...
@farajamwashiuya1804
@farajamwashiuya1804 Год назад
Sawa mkushi
@hatiburamadhani9875
@hatiburamadhani9875 Год назад
Hizi Dini za wazungu na Waarabu zimetuharibu sana sisi watu weusi. Wakitaka kujuwa kama hizi dini siyo za kweli wazifuatilie waone zinavyopingana huku unaambiwa Mungu katuumba kwa mfano wake. Kule mungu hafananishwi na kitu chochote alafu mtu bado tu ashtuki kama hapa tumepigwa za uso na watu weupe!!
@nurulight177
@nurulight177 Год назад
@@hatiburamadhani9875 umeambiwa Mungu hafananishwi na kitu chochote sio mtu yoyote na hilo andiko linamaanisha hakuna Kihumbe au kitu chochote kipasacho kuabudia bala Mungu pekee
@eliasedward3973
@eliasedward3973 Год назад
this man is very genius your so amazing yaani ukisikiliza hii story unajipata umeacha kutenda dhambi
@uhr5437
@uhr5437 5 месяцев назад
By lj alla akuweke ❤❤❤
@uhr5437
@uhr5437 5 месяцев назад
Your the best teacher allah akuweke BY LJ❤❤❤❤❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Mashalah mashalah mashalah mungu namimi anijalie niwe wa peponi inshallah Mimi na kizazi changu mwanangu wanangu wazazi wng na familia yangu walahi..
@BadCountry-yq1ln
@BadCountry-yq1ln Год назад
asante bro kwa huu ujumbe tutajitahid me na wengine kutend mema
@al_hashamneymah1340
@al_hashamneymah1340 Год назад
Respect to you prof
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 4 месяца назад
Eee YESU nipe mwisho mwema ili niweze kuishi na wewe mbinguni milele na milele 🙏🙏
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 Год назад
Daaah nimeisubiria sanaa
@VeronicaMayemba-q7y
@VeronicaMayemba-q7y 5 месяцев назад
Eee mwenyezi mungu nijalie mwisho mwema
@theycallmewesse
@theycallmewesse Год назад
Kutoka mombasani am watching 💥
@kasimumughuna201
@kasimumughuna201 Год назад
Inshallah Mimi na kizazi changu na familia yangu tutaingia peponi bila ya hisabu
@losocarsoundsystem1133
@losocarsoundsystem1133 Год назад
Hey bro salama..napenda story sana na kuna nyingine kaka bdo ujazisoma,nakuomba UTUPE story ya Namba na lugha zetu zimetokea wapi kaka mkubwa.
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 Год назад
Yaa Rabi tupe mwisho mwema utujalie miogoni mwa waja wa peponi
@abdulkarimyusuf5506
@abdulkarimyusuf5506 Год назад
Mimi huwa na jiuliza je! Bwana Kamal kameza vitabu vya historia ao je?Allah azidi kumjaalia ilmu na fahamu za hali ya juu.
Далее
The Story Book : Ukweli Usioujua kuhusu  YUDA MSALITI
30:48
We finally APPROVED @ZachChoi
00:31
Просмотров 6 млн
История Hamster Kombat ⚡️ Hamster Academy
04:14
Я ИДЕАЛЬНО ПОЮ
00:31
Просмотров 574 тыс.
JESUS (Swahili: Tanzania) 🎬  (CC)
2:07:54
Просмотров 10 млн
KILICHOMPONZA YONA KUMEZWA NA SAMAKI : THE STORY BOOK
29:26
We finally APPROVED @ZachChoi
00:31
Просмотров 6 млн