Тёмный

NIMEISHI UFARANSA MIAKA 26  

Witness Vlog
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 2,4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@Abbakhan.
@Abbakhan. Год назад
dada witness napenda the way unavowapa watu maskio ya kuwasilikiliza wakat ukiwa unawauliza maswali ni jambo zuri hauwakatishi mazungumzo yao ila pia huyu dada anaongea taratibu na anachambua vizur kwa vituo so ni jabo jema ila ivi ufaransa kuna fursa gani iwe kimasomo (scholarship) au kazi, internship and all of that maana hakuongea kiundani aligusa tu kidg kwenye masuala ya kazi🙂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante sana mpendwa kwa feedback yako nzuri sana. Nashukuru sana Ni kweli inabidi nimlete tena aje atwambie.
@fredmagge9247
@fredmagge9247 10 месяцев назад
Interview ya namba yake kwa kweli
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Habari wapendwa. Naombeni mumsapoti dada yangu kwa kusubscribe kwenye channel yake ya youtube . Ili ujumbe uwafikie wengi kuhusu kazi ya jamii anayofanya. Link hii hapa youtube.com/@mauaasc3750
@rachelmtemange5206
@rachelmtemange5206 Год назад
❤️ Nimejifunza kitu, kuhusu kuchangamka , Kwakuwa najuwa kusuka na kushona kumbe naweza changamka hata na ufundi wangu huu, 🙏 Ubarikiwe cic Witness, God bless you all thanks
@mwanonomohamed4688
@mwanonomohamed4688 Год назад
Mimi nimekaa ulaya miaka 30 naongea bado kiswahili safi na nina watoto wakizungu 3 wanaongea kiswahili kidogo
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante sana mpendwa kwa kushea nasi. Tuna la kujifunza sisi wa miez miwili afu tunajifanya tumesahau😂😂. Ulaya nchi gani kama hutojali?
@mauaasc3750
@mauaasc3750 Год назад
Merci beaucoup Witness, c'est un grand plaisir❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Thank you for your time. I do appreciate
@mauaasc3750
@mauaasc3750 Год назад
@@Witnessvlog Always a pleasure
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 Год назад
Nimekuwa Wa Kwanza Leo mambo mazuri
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante sana dear kwa sapoti yako kila siku
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 Год назад
@@Witnessvlog usijali tupo pamoja
@MariaNkaga
@MariaNkaga Год назад
Hongera dear... Kaujumbe kazuri
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante sana
@halimaally23
@halimaally23 Год назад
Congratulation dear you growing up every day God bless
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Thank you dear . Sure God is good. And thank you for your support.
@halimaally23
@halimaally23 Год назад
@@Witnessvlog it's my pleasure t
@mariamathuman4237
@mariamathuman4237 Год назад
🙏❤️❤️
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Thank you dear Mariam
@missnamwambemomentstv7753
@missnamwambemomentstv7753 Год назад
Asante witness...😍🙏
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Thank you dear❤️
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 10 месяцев назад
Kwanini watanzania mnaongea changinga sana na kizungu ??? tafadhali jivunieni kiswahili
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Asante
@rachelmtemange5206
@rachelmtemange5206 Год назад
❤️ Nimejifunza kitu, kuhusu kuchangamka , Kwakuwa najuwa kusuka na kushona kumbe naweza changamka hata na ufundi wangu huu, 🙏 Ubarikiwe cic Witness, God bless you all thanks
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Haswaa Rachel. Kujituma muhimu sana. Hizo skills zako hakika zitakusaidia mnoo. Thank you
@rachelmtemange5206
@rachelmtemange5206 Год назад
@@Witnessvlog Kwahiyo hata Kama najuwa lugha kidogo naweza ingia ughaibuni na kujifunzia huko? Na kama kipato changu Cha kawaida naanzaje kuja na mdogo mdogo na mwisho kupata paper za kazi, ukaazi na kundeleza ujuzi wangu huko? Naomba idea kipenzi
Далее
Good deed #standoff #meme
00:15
Просмотров 407 тыс.
Danskprøve A2 part 4
19:48
Просмотров 4,7 тыс.
Kleinfelter XX Male and Infertility
27:24
Просмотров 1,2 тыс.
Marufuku ya buibui Ufaransa
3:40
Просмотров 7 тыс.