Тёмный

NIMEKUJA KUYAFANYA MAPENZI YAKO II J. MGANDU II SACRED CHORAL SINGERS DSM (OFFICIAL MUSIC VIDEO 4K) 

The Galaxy Pro
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 190 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@joyce-yt2of
@joyce-yt2of Год назад
yan bhas tu sina cha kusema ..maana rahaaa mpaka sijui ufanyaje..kama mbinguni vile..kumbe mwendo bado.. jaman Mungu awabariki sana na mzidi kudumu katika kazi hii njema ya Bwana
@ViolethRaymond-f1u
@ViolethRaymond-f1u 27 дней назад
nice nice sanaaa mungu awabariki sanaa
@YohanaDeogratius-o2e
@YohanaDeogratius-o2e 7 месяцев назад
Napenda sana the way unaimba sauti nzuri dada na unaimba Kwa utulivu Mungu awe nawe katika utume pamoja sana 🙏
@odettevianney3026
@odettevianney3026 Год назад
Tupatieni mawasiliano yenu. Tunaweza wahitaji katika sherehe zetu. Hongereni sana
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 6 дней назад
Hongera sana Pandre.
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Год назад
Ee Mungu wangu nionyeshe kufanya mapenzi yako kwenye maisha yangu
@suzannakipapy5951
@suzannakipapy5951 Год назад
Waaaaaoooo!? Mmenikumbusha my special day for my Vows!! Hakika mmehubiri. Utume MWEMA WATUMISHI
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
One of the catholic masterpiece hymn from Tanzania!
@macharosandra9467
@macharosandra9467 Год назад
Despina kipaji ulichopewa na Mungu.. hakika unakifanyia kazi.. Mungu akubariki Sana
@justermugure663
@justermugure663 8 месяцев назад
❤❤❤
@Kagamastephen
@Kagamastephen Год назад
mmenifurahisha kwenye noti tazama nimekuja ( so so mi fa mi re mi)....correctly done mbarikiwe
@josephlorri431
@josephlorri431 2 дня назад
Ufunguo upi
@edinajohanes4596
@edinajohanes4596 Год назад
Wow!!!kanyimbo kazuri Sana natamani cku moja nijiunge na nyie tuimbe wote.mungu awabariki Sana🙏🙏
@ambrosemichael-nv6qq
@ambrosemichael-nv6qq Год назад
@omrikolnk9920
@omrikolnk9920 Год назад
🇮🇩 trima kasih buat teman teman di tanzania telah mempersembahkan kidung kidung indah. salam kenal dari saya di indonesia, pengagum lagu lagu rohani dari Tanzania, walaupun tak mengerti, namun sangat indah di dangar. trima kasih, Tuhan Yesus memberkati.
@carolinechepkosgei5630
@carolinechepkosgei5630 8 месяцев назад
Today's psalm, thank you Despina and the team for this wonderful piece
@peterlulu8639
@peterlulu8639 Год назад
Nice,mbarikiwe ,abarikiwe mtunzi Mungu aitunze roho yake kwa kazi aliyoiacha azaliwe upya huko mbinguni
@rogatkisanga7496
@rogatkisanga7496 Год назад
Asanteni kwa wimbo mwingine mliouimba vizuri mno. Keep up the good work.
@lilianalara8007
@lilianalara8007 Год назад
Aki plz naomba digits za Despina plz ,Congratulations The saint's 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@lilianalara8007
@lilianalara8007 Год назад
I want to send her something for new year plz help with her number,she always make my day
@vinsentlyimo5285
@vinsentlyimo5285 Год назад
Nije jamaaa mmejua kuniteka aisee na nyimbo zenu! Mbarikiwe sana sana
@oderoellymikwaya7011
@oderoellymikwaya7011 6 месяцев назад
I love this song may God bless you all amen
@InnocentKumburu
@InnocentKumburu 5 месяцев назад
💐💐💐💐💐🌷🌷🌷🌷🙏🙏
@maxwellmax3939
@maxwellmax3939 Год назад
Aminaaaa ❤️❤️❤️ hata babu mwenyewe anafurahia huu wimbo mbinguni na malaika 🎶, Hongera Sana Patiu mcherazi, Despina Mimi nakupenda ❤️❤️❤️💕 Mungu awatimizie haja zote za nyoyo zenu ,na Jina la Mungu lihimidiwe.
@lilianalara8007
@lilianalara8007 Год назад
Amina nawapenda sana pia sauti nyororo 🍇🍇
@scholaemanuel7677
@scholaemanuel7677 Год назад
Hadi mwili wote unasisimka kuisikia hii nyimbo Hakika mnatubariki sana
@mariej6962
@mariej6962 Год назад
Hope mnafanya utaratibu wa kuimnba nyimbo zote za John Mgandu, utunzi wake ulikuwa na upako kama Mt. Paulo. Imbeni kwa ukamilifu kama alivyotunga ili kulinda kile ambacho Mungu alimshuhudia.
@lukekarunde143
@lukekarunde143 6 месяцев назад
Masterpiece ❤👌
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 4 месяца назад
So nice. I need to join with you.
@andrewmgonja3893
@andrewmgonja3893 8 месяцев назад
Kweli malaika wa mungu wanausikiliza
@PILICHIGILO-fm3yo
@PILICHIGILO-fm3yo 8 месяцев назад
❤❤❤hongeren sana mmeimba vizur sana mungu azidi kuwainua katika utume wenu❤❤❤❤
@OrganistjamesKtZ
@OrganistjamesKtZ Год назад
Good one
@Amatha_K
@Amatha_K Год назад
💞🎶💞🎶💞🎶💞🎶🔥🔥🔥pumzika kwa amani mwl wangu Kazi yako uliyoiacha duniani ni njema mnoo
@albertngunga7012
@albertngunga7012 Год назад
Thanks God you are back, I really missed the blessings from your gospel songs
@ruthwambia
@ruthwambia Год назад
Thumbs up
@lukakivamba7245
@lukakivamba7245 Год назад
Hamjawaihi feli
@getrudawillison6929
@getrudawillison6929 Год назад
Wimbo nimzuri hongera sana Dada Despina Muema, umenikumbusha kufanya mapenzi yake MUNGU
@rogatkisanga7496
@rogatkisanga7496 Год назад
Huyu mwimbaji siyo Despina Muema!
@despinae.mdende
@despinae.mdende 2 месяца назад
Ni Despina Mdende siyo Muhema.
@janem3806
@janem3806 Год назад
Have been waiting. Amina
@user-eg5tj1qz2r
@user-eg5tj1qz2r Год назад
Am blessed 🙏
@liberatuskamugisha9775
@liberatuskamugisha9775 Год назад
Amazing 😍 🔥🔥🔥🔥🔥
@paulineoyugi2758
@paulineoyugi2758 8 месяцев назад
Soo nice
@piuskalokola6343
@piuskalokola6343 Год назад
Nabalikiwa sana na ww
@NaomiMatera
@NaomiMatera Месяц назад
Nice 👍
@adriansebastian6899
@adriansebastian6899 Год назад
Mungu awabariki 🙏🙏🤝
@lucykinsi948
@lucykinsi948 10 месяцев назад
Nice 😘
@marianathomas720
@marianathomas720 Год назад
Mbarikiwe sana♥️
@bujunebusanya3966
@bujunebusanya3966 Год назад
Mbarikiwe sana
@leahjilya5137
@leahjilya5137 Год назад
Mbarikiwe Sana Asee,,,, Wonderful Song
@revaniakataga8070
@revaniakataga8070 Год назад
Mbarikiwe sana, wimbo mzuri sana na nawapenda sana
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
Mungu awabariki sana wana kwaya pia niombe sapoti yenu
@celinacelina6117
@celinacelina6117 Год назад
Best song ,gud job
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 Год назад
Uimbaji uliotukuka, hakika Mungu aendelee kuwabariki.
@jamesmwangi7455
@jamesmwangi7455 Год назад
Amazing Team !!!(Blessed Despina and The Men of GOD). Here I am to do Your will My FATHER. Wonderful Song. Blessings upon you for this and much more ahead.
@edwardmasembe5061
@edwardmasembe5061 Год назад
......Hmmmm..... Already BLESSED......
@cecilianzilani5773
@cecilianzilani5773 Год назад
I really love this song❤🎉🎉🎉🎉🎉
@gamalielantamikevyo7216
@gamalielantamikevyo7216 Год назад
mungu awambariki
@petrochundu9702
@petrochundu9702 Год назад
Mungu awatie nuru katika utume wenu
@jamesjmnzava
@jamesjmnzava Год назад
Safi👏👏👏👏
@christophermariwa9034
@christophermariwa9034 Год назад
💛💚💚💚💛💛
@hamzajohn-qm2fi
@hamzajohn-qm2fi 2 месяца назад
Asante,kwa,utume,mungu,awabariki
@jacksonakwenda7838
@jacksonakwenda7838 Год назад
Tazama nimekuja, this song thrills for real.
@NicodemusMasanju
@NicodemusMasanju 4 месяца назад
Wimbo mzuri sana ,mimi hubarikiwa sana ninapousikia
@jamesmurugajymo6251
@jamesmurugajymo6251 Год назад
Kazi mzuri sana🔥
@emanueledson2398
@emanueledson2398 Год назад
Kongole Sana brothers and sister
@JuliusMunyao-g7g
@JuliusMunyao-g7g Год назад
Napenda nyimbo zenu sana MBARIKIWE sana
@stellamrema8994
@stellamrema8994 Год назад
Nice
@sirdickens
@sirdickens Год назад
Beautifully done.
@willisobuya5425
@willisobuya5425 Год назад
Have waited for this,,be blessed
@masanjamayunga163
@masanjamayunga163 Год назад
Asanteni kwa wimbo
@victoriamoses3830
@victoriamoses3830 Год назад
Wooohh,so nice♥️
@beatusshayo2037
@beatusshayo2037 Год назад
Be blessed
@yohanambano872
@yohanambano872 Год назад
Hongereni sana
@estherwanjiru6001
@estherwanjiru6001 Год назад
Good work ❤
@AnnastaciaSafarin
@AnnastaciaSafarin 9 месяцев назад
Beautiful voices.
@hanningtonmsinga9837
@hanningtonmsinga9837 Год назад
💪
@henrickbalinzigo455
@henrickbalinzigo455 Год назад
Kongole kwa wimbo mtamuuuu
@etsareliza6687
@etsareliza6687 Год назад
Thank you so much My Dear
@jacquelinekahamba7872
@jacquelinekahamba7872 8 месяцев назад
Dominika ya 2Mwaka B wa kanisa ❤
@christophertarimo3044
@christophertarimo3044 Год назад
Special thanks to all choir especially Lazarus patiu
@despinae.mdende
@despinae.mdende Год назад
Amina sana
@catherineminza4548
@catherineminza4548 Год назад
Your amazing my sister..
Далее
ГОЧА ПРО NISSAN 400Z
00:51
Просмотров 38 тыс.
SHAMBA LA MIZABIBU By MWITA ISACK  || DATIVA & ODETHA
4:04
TWENDE MEZANI KWAKE BWANA II  John Mgandu II
5:51
Просмотров 150 тыс.
Rock of Ages - Migori - Kaza Mwendo
5:45
Просмотров 10 млн
HESHIMA KWA MSALABA - MTUNZI:  A.S MASOKOLA
7:57
Просмотров 4,6 тыс.
ENYI WATU WA GALILAYA  -  J D Mkomagu
4:55
Просмотров 191 тыс.
EE BWANA USIKIE - J. MGANDU
5:48
Просмотров 226 тыс.