Kamari anayo cheza baba levo ni ile ya hela kubwa ukicheza kamari ya hela kubwa kubwa ina lipa ndomana matajiri wengi duniani wanacheza kamari na hawaachi kwasababu inawalipa. kamari ambayo hailipi ni izi za mia tano mia tano hizi ndo zinatajirisha makampuni ya kubet
Sasa mnijibu swali, vijana wakikutwa kwenye kamali wanakamatwa mtaani, kamali wanayo cheza mtaani na ya kwenye casno,ipi yenye uhalali kwa nchi yetu na kwa serikali , nipi halali?