Тёмный

NIMEWACHA KUWEKA MAANDIKO VIRAKA - NASAHA YA UPOLE KWA MWINJILISTI NDACHA 

Straight Path Dawah
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 105 тыс.
50% 1

Mwinjilisti Francis Ndacha anayewasumbua Waislamu kwenye viwanja vya dawah ameanza kurekebika. Hii ilikuwa ni nasaha kwake. Kwa maoni au mapendekezo tafadhali piga simu zifuatazo: +254722600533 au +254777600777

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 934   
@athmanyusufkea3405
@athmanyusufkea3405 Год назад
Ewe Mwenyezi Mungu uliyetukuka kwa jina lako, rehema zako na nguvu zako nakuomba umuongoze Ndacha. Aameen
@threebrothers..
@threebrothers.. Год назад
Wewe ndie inafaa kujiombea
@saidimgeni9096
@saidimgeni9096 Год назад
Ndacha nimjajanja tu ila she unabusara iliyo pitiliza mashaalah shekhe mungu akuzidishie
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Sante Ndachaaa leo Papa Francic kawa mpinga Kristo 😮😮Hahahha haleluyaaaaa 😅😅. Alhamudilah umethibitisha ilo.
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Год назад
Allah akulipe kheri sheihk Ramadhan unatufunza mambo mengi tulivokua hatuyajui juu ya ndugu zetu wa ki binaadamu. Allah akuzidishie afya njema na akuwezeshe zaidi kuzitangaza haki na akakukutanishe na kipenzi chetu mtume Muhammad (s. a. w)
@faizabbas4620
@faizabbas4620 Год назад
YA RABB NAKUOMBA UMUHIFADHI SHEIKH RAMADHAN...AKULINDE NA AKUHIFADHI ...KWA HAKIKA TUNAELIMIKAA KUPITIA KIPINDI CHAKO..SHUKRAN SANAA NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH SHEIKH RAMADHAN ..
@BonifacseverianOfficial
@BonifacseverianOfficial 5 месяцев назад
Ndacha mwenyezi Mungu mtukufu akuzidishie zaidi mapenzi yake yatimizwe.
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Год назад
Allah akulipe kher shekh wetu nipo mbagala tz nakufatilia ikhwan
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Год назад
Aamin thumma Aamin
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Год назад
Mbagala yetu hiyo
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 10 месяцев назад
Alhamdulillah alhamdulillah alhamdulillah nashkr sana kw neema ya waislam n nachukia kua mtu asiyejua Mungu wa kweli
@mussamohamedmohamed7048
@mussamohamedmohamed7048 Год назад
Wallah Thumma Wallah,,waislam,tumshukuruni ALLAH,, TABAARAQ WATA'AALA,,Kwani hii NE'EMA ALLAH ametupatia ya UISLAM,,,Hakika,,hata uwe TAJIRI,kiasi Gani au Uwe MASKINI,Kias Gani ila NE'EMA YA UISLAM NIKUBWA KUSHINDA,,Chochote utakacho kuwa NACHO,, WALLAH ALHAMDULILLAH,,,
@BonifacseverianOfficial
@BonifacseverianOfficial 5 месяцев назад
Napenda namna mnajadiri kwakuelewana Mungu awabariki nyote
@martinzacharia6888
@martinzacharia6888 Год назад
Hoja za mwislamu ni zilezile tangia miaka nenda rudi,Ndacha Mungu akubariki sana unawafunza waislamu japo mioyo yao ni mawe
@abubakarmohamed9567
@abubakarmohamed9567 Год назад
Umesema kweli hoja zetu ni zilezle miaka nenda miaka rudi kwa sababu quran yetu haibadiliki kama bibilia zenu
@AbdulRahim-rl2df
@AbdulRahim-rl2df 2 месяца назад
Mungu awasaidie waje katika njia iliyonyooka inshaallah
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 Месяц назад
Ulidanganywa na muhamadi ukasema ni maneno ya mungu pole sana
@MahangaYakub
@MahangaYakub 11 месяцев назад
Alhamdulillah mwenyeezi mungu akuzidishie elimu na hikma katika mijadala yote na wa Pasteur
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Год назад
Maa shaa Allah sheikh MWANYEZI MMUNGU aquzidishia
@masoudkassim2106
@masoudkassim2106 8 месяцев назад
Mashallah Shekh wtu Allah akulipe ujira wa pekee pia Allah amjalie ndugu ytu awe Miongon mwetu cc Waislm Allah humma Ameen
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 Год назад
Huyu Ndacha Mwenyezi Mungu ampe hidaya. Tusiwakejeli tafadhalini mtu kama Ndacha ni Ujahliya tu wako nazo
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis 3 месяца назад
Ndacha mungu akubaliki sana amina
@janekariuku8181
@janekariuku8181 Год назад
Wow I like the interpretation of Ndacha .evidence from Bible en evidence from Quran .then I like Conversation.may God have mercy on our Muslim brothers in Jesus mighty name.Ramathan be facing such professional the same way you r professional
@abubakarmohamed9567
@abubakarmohamed9567 Год назад
May Allah have mercy on you to.
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 6 месяцев назад
Mungu akubariki Ndacha
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 Год назад
Masha Allah TabarakAllah, Shukran ustadh Ramadhan kuria
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Hana Elim
@Yesunimwokozi1
@Yesunimwokozi1 Год назад
Pastor ndacha uko on fire... Sheikh ameshakubali YESU NI ROHO WA MUNGU..CASE CLOSED
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
Ndacha yupo kimasilahi ndugu, anaijua haki, hawez toka atapoteza vingi....
@omarshaban4735
@omarshaban4735 Год назад
Masha Allah sheikh ramadhan debate nzuri
@swadiknassirmwanasi
@swadiknassirmwanasi Год назад
Mwenye kurithiwa nimwenye sifa ya kufa. Je,Mungu anaitaji mrithi tupeni maandiko.
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
Jazaka Allah kwenu nyote wa wili In sha Allah tutazidi kuwafuatilia!
@boscomhenusi7844
@boscomhenusi7844 Год назад
Ndacha upo vizuri sana,endelea kutufundisha
@boscomhenusi7844
@boscomhenusi7844 Год назад
V
@HassanJabir-g2e
@HassanJabir-g2e 7 месяцев назад
Allah akujalie afya na uzima akuzidishie Elimu uendelee kulingania Atakulipa mema kwa kazi yako ya dawa ushamfikisha mbali ndacha kuna ciku atairoa shahada t inshallah
@husha6372
@husha6372 Год назад
MashAllah MashAllah Ndacha anakuja Pole Pole Sana Inshallah inshallah Mungu ata muonyesha haki NA uongofu inshallah Inshallah
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Aje kwenye majini ama?
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Ameen aameen
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
@@madetetv6576 majini gani wewe bhana wacha propaganda zako.
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@nooor1120 kwahiyo unakataa majini sio waislamu?
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@jkewl999 hahahaha majini Ni waislamu
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Год назад
Astaghfirullah Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab.Alhamdulilah Rabbil Aalamiin kwa neema ya Uislam. Mwenye Enzi Mungu amhidi huyu ndacha
@gadafiismail8126
@gadafiismail8126 Год назад
Assalamualaikum walahumatulahi wabarakatu..Allah swt doesn't share his name with his creatures, he remains the most powerful, most merciful, most forgiving.
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Yesu kristo ni nguvu yamungu. Roho mtakatifu ni nguvu yamungu lilitumwa neno .neno hilo lilitoka mdomoni mwa MUNGU. HUNIITOI HAPO
@husha6372
@husha6372 Год назад
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh ikiwa kunayo Mtu atamuongoza Ndacha Inshallah inshallah itakuwa Ni wewe Kwa Sababu Wewe hum sikiliza na NaFikiri ndio na yeye hukuheshimu inshallah Inshallah Ndacha ata silimu Chini Ya mkono Wako Inshallah inshallah Mungu amjaaliye
@richardchuwa4402
@richardchuwa4402 Год назад
Hamuzi ndacha wewe
@stephenmaina4406
@stephenmaina4406 Год назад
Yesu ni neno la mungu,kuna tofauti ya neno na roho.
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Год назад
Tupe tofauti kimaandiko
@ufafanuzi4382
@ufafanuzi4382 Год назад
Ndacha umebadilika . Hapo mwanzo hukuwa wa kutaka kuelewa ilikuwa ubishi tu. But sasa kweli unataka kuelewa na kujifunza. Mashehe wamekutoa kwa utatu wakakuleta kwa mungu mmoja pekeee. Neno la mungu akitaka lolote ni kuwa nalo linakuwa. Yesu ni neno la mungu kama vile kwa genesis mungu alisema iwe nuru ikawa nuru. Nyoka ya musa iliitokana na fimbo ni kwa neno la mungu. Kondoo alioshushiwa ibrahim kuichinga ni neno la mungu. Mungu anasema kuwa lina kuwa. Maria pata mimba akapata!
@hamisajumanne
@hamisajumanne 9 месяцев назад
Swadakta❤
@petergoyandi5699
@petergoyandi5699 6 месяцев назад
God bless ndacha anafunua watu macho
@farajiawadhi8558
@farajiawadhi8558 Год назад
Allah akupe kila lakheri shelh
@FauziahNambaka-bn2ln
@FauziahNambaka-bn2ln 5 месяцев назад
Huyu ndacha anafaa kuambiwa kabla mungu atamke hilo neno yesu hakuwepo
@ianhassan1116
@ianhassan1116 Год назад
Masha Allah MashaAllah Good job Ramahda
@ufafanuzi4382
@ufafanuzi4382 Год назад
Waruuhun minhu kwa ayaah haimanishi ni rooho ya mungu, bali inamanisha ni roho kutoka kwake. Roho ya mungu ingesema waruuhuhuuu! منه minhu ina manisha kutoka kwake bana
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Год назад
Mashaallah mashaallah ndacha mdg mdg ataingia ktk din ya haki inshaallah
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Uislam ni din ya hak ya shetan
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Год назад
@@zaburi2386 pole sana tumia akili yangu sasa ww fikiria mungu akuumbe halaf atahiriwe ivi yanaingia akilini yesu sio mungu mpka dunia inaisha
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Год назад
@@zaburi2386 na Ukristo ni dini ya nani?
@reubenmwagisa4380
@reubenmwagisa4380 6 месяцев назад
Ndacha wewe ni mwalimu, na unafanya kazi nzuri sana.
@hashimabdi
@hashimabdi Год назад
Mashallah ustadhi
@ramadhandawuudalbertmachan6726
Mashallah ramadhani ,KAZI nzuri Ila kwa ndacha unajikasa kwa mafundisho Ila ,tenga sifa za mungu ndio ueleze aliye muwezesha yesu kuwa na miujiza hizo sote ,na baada ya hapo yesu alituaiti kuwa kama yeye ikiwa tuna Imani kama yeye.
@isayalemberua9195
@isayalemberua9195 Год назад
hakika wa tumishi wa mungu mnajitahidi sana kufundisha mungu awabariki sana
@abdullrahmanwazir4603
@abdullrahmanwazir4603 Год назад
😂⁶1
@Leo-xc1nh
@Leo-xc1nh 10 месяцев назад
Mashallah mafunzo mazuri shekh
@safiakara1868
@safiakara1868 Год назад
Subhanallah... May Almighty Allah guide us to straight path
@gahunguleonidas2606
@gahunguleonidas2606 Год назад
Katika some hili Ndacha amemuvulia sana huyo muislame sijuwe ni kwa sababu walimpiga mawe amejilinda sana ndiomaana akasema wafanye mujadala kuhusu maada hiyo ya Uungu wa Yesu. Mungu akubaliki sana pastor Ndacha.
@farajiawadhi8558
@farajiawadhi8558 Год назад
Maashallah shekh mfundishe huyu
@chikandajr.1051
@chikandajr.1051 Год назад
Pastor Ndacha anaijua vizuri sana biblia👏👏
@Directorkalama
@Directorkalama Год назад
Ndacha Mungu akuzidishie
@experiencetours5037
@experiencetours5037 Год назад
Amzidishe au amuongoze....?
@FatmaDoha-k2k
@FatmaDoha-k2k 8 месяцев назад
Masha Allah tabaraka Allah Allah jazakha aAllahu kairani
@husha6372
@husha6372 Год назад
Naomba NDUGU Zetu waislamu sote tu muombee Ndacha sio Kwa kumkejeli kumtusi Inshallah inshallah
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Yaa Allah ,muongoze mja wako huyu katika njia ilio nyooka.
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Yaa Allah mlainishe moyo wake bwana Ndacha aingie ktk dini yako ya haki uislam.
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Год назад
Huyu ndacha ni mbaya huyu, Allah ndo anajua
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@habibasalim3092 ubaya wake ni upi
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@mamawamoya3344 Allah mwenyewe kiama ana kesi ya kujibu
@blackchair_chairman1307
@blackchair_chairman1307 Год назад
Ubarikuwe sana mtumishi Ndacha ... Umebarikiwa
@sabrialabri5350
@sabrialabri5350 Год назад
وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِنْ دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. AL AN'AM 108
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Shukran
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Yes na ndio wana mtukana sana ila Mungu atawaonesha njia ilio nyooka In Shaa Allah tukaingie peponi sote kwa pamoja na wote watao amini ukweli
@JamesOdhiambo-wu2pj
@JamesOdhiambo-wu2pj 11 месяцев назад
Mwalimu Ndacha ubarikiwe
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Год назад
Uyo ndacha ukweli anaujua ila maslahi tu ya maisha ndo yanamfanya asiuweke ukweli bayana ila Allah ajaalie imani katika kifua chake nasisi atuzidishie imani katika vifua vyetu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Aamin yarab
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Amiin
@bakariomari3692
@bakariomari3692 Год назад
Ramadhan hongera sana, naomba umulize swali hili ndacha,,mwanadamu aliumbwa kwa udongo, shetani aliumbwa kwa moto na malaika kwa Nuru, je yesu aliumbwa material gani? Kwa sababu hio point yake ya kuwa yesu aliumbwa kama vile alivyoumbwa HAWAA ndio hainiingii kwa akili.
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Aamiin yaarabb
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Год назад
MUNGU NDIO AWAONEKANIE NYINYI MTOKE GIZANI MJUE KUNA MUNGU MMOJA KUNA ROHO MTAKATIFU NA KUNA MWANAWE AMBAYE NI YESU KRISTO BILA HIVYO MTAPOTEA NA MAFUNDISHO YENU MNAYOKATAA YESU NI MWANA WA MUNGU
@fadhilshafi2947
@fadhilshafi2947 10 месяцев назад
Sheikh Omar upo smart sana kichwani... hujakubali kabisa janjajanja zakuweka viraka maandiko
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Год назад
Shida wa wakristo wanamueleza yesu kuliko yeye mwenyewe
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 Год назад
Huyo ni NDACHA Muislamu .Mungu mmoja tu hana mwanzo wala mwisho .
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Год назад
Ndacha karibu tena Ku pikwa,....
@Israviwa7777
@Israviwa7777 Год назад
Pole Francis ndacha kwa vurungu pole my broh
@ameirjuma8425
@ameirjuma8425 Год назад
Nimemuona Mwalimu wa kiislam hakubali qur an iwekewe kitab chengine juu Mashaa Allah mwenyezi mungu akulipe kila lenye kher na ww
@sharifnassor4417
@sharifnassor4417 Год назад
Wakristo hawanyoshi maneno
@duncankanu8815
@duncankanu8815 Год назад
Ndacha akubariki
@mwanakombokalamu7009
@mwanakombokalamu7009 Год назад
Allah amuongoze maana bado haeleweki au pengine alilipwa mara anakubali kisha anapinga tena kwetu dua zetu inshAllah aone haki
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Amiin
@mwanakombokalamu7009
@mwanakombokalamu7009 Год назад
@@jkewl999 Thuma Ameen
@mwanakombokalamu7009
@mwanakombokalamu7009 Год назад
@@mamawamoya3344 Thuma Ameen
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Год назад
Ndacha anacheza mchezo wa kulipwa,
@mwanakombokalamu7009
@mwanakombokalamu7009 Год назад
@@habibasalim3092 inshAllah Allah ampatie hidaya awe muislam 🤲🤲🤲
@SammyMuimi-xi2ql
@SammyMuimi-xi2ql 4 месяца назад
Hawa waislam hawa Mungu hanawaona
@shueb123
@shueb123 Год назад
This guy is intelligent,,,and his intelligence is really confusing him . I will pray for him inshaAllah. . .
@richardmuita4339
@richardmuita4339 Год назад
Exactly he is confused
@melchizarn
@melchizarn Год назад
Nimeipenda mjadala huu sana. Kujifundisha tu kwa upole na maneno ya upendo.
@hiimbinaimmuslim3041
@hiimbinaimmuslim3041 Год назад
Mungu aumba pepo na moto ndacha kajichagulia moto kwa hiyari yake
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Usimuingize motoni kabla hajafa maana pengine yeye anaweza akasilimu ikawa kuna ukaribu zaidi wa kuingia peponi kuliko me na wewe tulie zaliwa kwenye uislamu, maana yeye akisilimu leo anakua msafi kabisa na anasilim anakufa apo apo unafkir nini kinatokea
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Hukumu tumuachie mwenyewe Allah
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 Месяц назад
Ndacha hajasilimu wewe umesilimu kwa hivo ndungu ya jini kwa hivo wewe na jini ambao ni mapepo njia moja
@piusmwinzi178
@piusmwinzi178 Год назад
Ndacha mwalimu wao wa kushusha na kumaliza wivu shikilia hapo mtumishi wa Mungu 🙏
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Год назад
Bado kidogo anakuwa Muislam huyo niamini mimi.,
@robertwilson1133
@robertwilson1133 Год назад
Pongezi Sana Pastor Francis Ndacha.
@asokulualimasi8391
@asokulualimasi8391 Год назад
Ramadhani uwezi level ya ndacha, ubarikiwe sana mwinjilist ndacha kwaku mfundisha, wata mjuwa Yesu tu
@joycestivini677
@joycestivini677 Год назад
Kweli ndacha anajielewa,,
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Ndacha kakubali kama Mungu ni mmoja
@Sharrif456
@Sharrif456 Год назад
Uyu dacha ni mshidani kweli
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Год назад
MUNGU NDIO AWAONEKANIE NYINYI MTOKE GIZANI MJUE KUNA MUNGU MMOJA KUNA ROHO MTAKATIFU NA KUNA MWANAWE AMBAYE NI YESU KRISTO BILA HIVYO MTAPOTEA NA MAFUNDISHO YENU MNAYOKATAA YESU NI MWANA WA MUNGU
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Abdala ata mie nimefuatilia vizuri uko nami
@Rastermirish
@Rastermirish Год назад
Ameen barikiwa mtumishi wa mungu
@humanitydensity8974
@humanitydensity8974 Год назад
AL IMRAN 58-61. "Haya tunayo kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima.Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanao fanya shaka. Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie: Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana ya Mwenyezi Mungu iwashukie waongo."
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Год назад
Umeuawa
@IbrahimAli-vi9ep
@IbrahimAli-vi9ep Год назад
Ndacha anakuja pole pole katika dini ya haki
@mutomubaya
@mutomubaya Год назад
Ndacha anajichanganya. Anajaribu kujitoa kwenye ukatoliki lakini hatoki. Hawa watu waliingizwa na Mzungu kwenye mafundisho ya uwongo kwamba Mungu anaitwa jina la kizungu, Jesus. Sasa wanajaribu wawezavyo wapotoshe watu wengi. Kuhusu Mungu anazua mambo ambayo hayapo kabisa. Manano aliyotumwa nayo Mtume, Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ndio sahihi, bila shaka. Hakika Hakuna apasae kuabudiwa kwa HAQQI ila Allah na (hakika) Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ni Mtume wa Allah. Na Qur'an ni ushahidi wa kutosha na Sunnah. Na Allah ndiye anayejua zaidi.
@qerysir4410
@qerysir4410 Год назад
Warabu wamekufanya mtumwa wa fikra zao
@richardmuita4339
@richardmuita4339 Год назад
Uislamu haujatoka kwa Mungu...waislamu wasipo okoka na kumuamini Yesu kama Korani inavyowaamuru ...Yesu ni mwanzo na mwisho...na waislamu na binadamu wote watasimama mbele yake siku ya kiama... mmkatae Yesu kwamba si mwana wa Mungu na si Mungu lakini Hilo halitawasaidia...mtaangamia jehenamu ya moto msipo badili.. kumuamini mtume Mohammad SAW badala ya Issa/Yesu.. Mashehe na MA Imam wenu ndio wanaopotosha waislamu kwa kukengeuwa ukweli kwenye Koran na biblia.
@horemow9832
@horemow9832 Год назад
Bila Yesu hauwezi ingia Mbinguni ngangania dini tu hakuna mtu yeyote atakaye kufa akiwa Muslim ataingia mbinguni ukitaka kujua hilo kufa kwa hiyo dini ndipo utakapo juwa
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Год назад
@@horemow9832 Basi leta aya iliyosema Wakristo wataingia Mbinguni aya moja tu basi
@horemow9832
@horemow9832 Год назад
@@emanuelkyomo3772 John 14:6
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Год назад
Njia ya kwenda mbinguni ni Yesu kristo hakuna dini ya haki ya kumpeleka mtu mbinguni Ndacha ubarikiwe sana unafanya kazi nzuri
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Unajua kama hujasoma shida inakua ndio hii nyie si munasema yesu alitabiriwa na manabii sasa kitu kinacho tabiriwa kinakua hakija tokea ila kitatokea sasa kama yesu wakat uwo ambao hajatokea jee hao manabii walikua wakifata njia gani
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Год назад
@@mudighurayra ni Yesu siyo yesu jifunze kuandika kwanza maana naona huelewi kila kitu
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
Ndacha tuambie hapo Methali 8:1-....YESU ALIZALIWA JE?
@msafiriibrahim5104
@msafiriibrahim5104 Год назад
Ipo siku itafika na Ndacha ataacha kabisa kuhubiri uongo aache kabisa kuweka maandiko viraka na kutafsiri Hadidhi za MTUME MUHAMAD SAW Visivyo. ndacha Nakuombea sana mwenyezi Mungu akuongoze kwenye njia ilioyo nyooka na Upige shahada ya kuwa hakuna apasaye kuabudiwa kwa haki ila MwenyezimMungu mmoja asiye na Mshirika na Muhammad saw ni mtume wake na pia Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu utasilimu tu Inshallah
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 Год назад
Asalam alykum uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Uislam ni giza Totoro
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Год назад
Nuru Alanuur
@aminamachudemachude2992
@aminamachudemachude2992 8 месяцев назад
Mashallah sheikh Ramadhan Ndacha no Ferrahon
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
Mneno matupu tu ya Ndacha na Paulo!
@KevinBulime-ed4ik
@KevinBulime-ed4ik Год назад
Nacha upo vizuri wafundishe wote wasiomjua mwana wa mungu
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
SIJAONA AYA HATA MOJA MUNGU AKISEMA YESU ALITOKA NDANI MWAKE!
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Na huwezi kuiona milele kozi majini yameziba ufahamu wako
@mobutu3884
@mobutu3884 Год назад
@@madetetv6576 Tatizo lilianzia tu pale Mohamad alipomsilimisha shetani, so hamtaelewa kamwe.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
@@madetetv6576 majini si yameumbwa na yesu. Kwa nini yesu asiyatulize kupoteza watu
@sama-_8368
@sama-_8368 Год назад
Ndugu yangu Assalaam alaykum Kumbe upo huku pia Maashaallah.
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
Nipo huku pia.
@saidchombo5952
@saidchombo5952 Год назад
Nafurahi sana kuona watu wakifundishana na kufurahi pamoja, InshaAllah mchungaji ipo siku ataujua ukweli.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Poor him 😢 anatapatapa kwa tamaa za kidunia. Allah amuongoze Ndacha asimame kwenye haki.
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Год назад
Kabisaa
@countercheck887
@countercheck887 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@countercheck887
@countercheck887 Год назад
Nyinyi ndo mliopotea. Achaneni na Dini za majini
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
@@countercheck887 tutokee hapa . Nenda kamuulize Mchungaji wako ivi ! Wapi Andiko ukristo ni Dini ? Nani kawaambia muwe wakristo? Je kwanini Yesu hakuwai kufanya ibada ktk kanisa? Je wapi andiko wakristo mtaingia paradise? Iweje mnaimani tofauti na wote ni wakristo? Kwanini hamtahiriwi na Yesu alitahiriwa? Kwanini mnakwenda kanisani uchi ? Mchungaji wako akikupa majibu njoo ukoment hapa .
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
@@countercheck887 Nenda muulize Mchungaji wako ivi !! Kwanini kiti cha enzi cha shetani kipo kanisani? Kwanini mnakula nguruwe na Mwenyezi Mungu amesema msile nguruwe? Kwanini mnaabudu siku tofauti na wote ni wakristo? Kwanini Biblia zipo tofauti? Kwanini mnakunywa pombe kanisani ( DIVAI)?
@ramamadunda2361
@ramamadunda2361 Год назад
Kwa habari ya Mungu, muwe kitu kimoja maana Mungu ni mmoja tu
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 Год назад
Inakuaje yesu alikuwepo mwanzo alafu aje azaliwe
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Balaa
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Ulitaka aje Kwa njia hapa Dunian
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Год назад
@@zaburi2386 melkesedeke alikujia njia gani hapa duniani?
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 Год назад
Inakuwaje mtume Mohammed karogwa n nimtume wa mungu?
@davidkomba616
@davidkomba616 Год назад
Kwa Mungu hakuna jambo linashidikana acha kuuliza swali ilo mbele za Mungu
@aminamahamud9333
@aminamahamud9333 Год назад
MashaAllah MashaAllah Allah akuzidishie ustadh Ramadhan
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Год назад
Hahhaaaa 🤣🤣 ndacha eti.....wasikate nusunusu
@zainaal-nabhani9034
@zainaal-nabhani9034 Год назад
Mashallah sheh ramazan mungu akubariki sana
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
Jesus is God according to Ndacha.. When you come to the Scriptures it's different from what he is saying. God is not a human. Trinitarians don't agree with him at all .. they are his biggest fans when he talks to muslims.
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Год назад
Thanks Ustadh, walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh.
@bacteria5184
@bacteria5184 Год назад
Huyu ndacha anajua ukweli tumwombee Allah awe muislamu.
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Kuwa muislam ni hasara kubwa
@mobutu3884
@mobutu3884 Год назад
Ukweli ni kwamba wewe na Mohamad wote mnasubiri Yesu siku ya kiama aje kuwahukumu kwa dhambi zenu.
@bacteria5184
@bacteria5184 Год назад
@@mobutu3884 kazi ya kuhukumu ni ya mwenyezi mungu sio ya nabii yeyote.
@samuelmwauragichuhi6568
@samuelmwauragichuhi6568 Год назад
majini walislim wakawa waislam...sijaona mahali majini walislim wakawa wakristo
@bacteria5184
@bacteria5184 Год назад
@@samuelmwauragichuhi6568 mungu aliumba watu na majini,wapo watu wazuri na wabaya na majini hali kadhalika.
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Год назад
Allah amfanyie wepesi ndacha asilimu
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
Kisha utaendelea kudai mdahalo nami? Muonee huyo Ramadhani Kaguo anayekupa maziwa hakupi chakula kigumu! Waebrania 5:12.,13.,14. 12. Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu. 13. Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga. 14. Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.
@emanueliyohanayohanasiit-fo9oq
Anakuuliza maswili ya kejeli t mbona yeye anauliza maswili apayo ayamo kwenye kitabu
@isaacotieno7900
@isaacotieno7900 9 месяцев назад
mungu haja andika kitabu kiliandikwa na mwana damu
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Mr Ndacha bado hajasilimu?Allah akujalie usilimu kwani uislam ndio dini ya haki.
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Yani aache neema ya Yesu afate majini ya Muhamadi haiwezekani kamwe
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
@@madetetv6576 mbona majini yapo kanisani kila siku munakemea majini huko wala hayeshi yanazidi kuzaliwa huko kanisani. MUHAMMAD majini ya kazi gani, hebu soma usilimu na wewe wacha ushabiki.
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@nooor1120 Majin ni maislam Kwa mujibu wa Quran 72:14
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
@@zaburi2386 ikiwa jini muislam ndio kaslimu huyo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
@@madetetv6576 majini ni ya muhammad au ya yesu aliye yaumba?. Muhammad hajaumba kitu. Aliyeumba ndiyo mwenye vyake
@JumaaYzungufya
@JumaaYzungufya Год назад
Mungu akutie nguvu ndacha
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
KURITHI ASILI HAKUMFANYI KIUMBE AWE MUNGU! SOTE TUMERITHI ASILI YA MUNGU! { وَإِن مِّن شَيۡءٍ إِلَّا عِندَنَا خَزَآئِنُهُۥ وَمَا نُنَزِّلُهُۥٓ إِلَّا بِقَدَرٖ مَّعۡلُومٖ } [Surah Al-Ḥijr: 21] Ali Muhsin Al-Barwani: Na hakuna chochote ila asili yake inatokana na Sisi; wala hatukiteremshi ila kwa kipimo maalumu. JE, HATA MBUZI AITWE MUNGU MWANA MAANA NAYE NI ASILI YA MUNGU? NDACHA👉🎤
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Год назад
Huyu ndacha anajua anapinda uliki anajua kila kitu kwamba uislamu ndio dini ila amepotosha watu atakwenda motoni pamoja nao na kuwahonga kuwanunua watu na kuwadanganya na vitu va kifahari Laanatullah
@kinawaka6858
@kinawaka6858 Год назад
Ukiata kuelewa biblia uliza waalimu wanao ijua biblia vizuri ukisoma tuu mwenyewe kama gazeti kwa nia ya kutaka kuikosoa hutaielewa
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
Hakuna mwalimu wa Biblia awezaye kukuelewesha Biblia! Maandiko kuyaelewa hakuombi Mwalimu,bali kwa hitaji Akili! Waweza kuwa na akili zaidi hata ya huyo Mwalimu naye akajikuta anasoma kwako! Achana na dhana hiyo potovu kuwa kila kitu ushikiliwe ufamu na walimu!
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Год назад
HIVI HAUJUI KUWA HAO WALIMU WENGI WAO NDIO WAPOTOSHAJI WA KONDOO? FIKIRIA AYA HIZI ZA BIBLIA: Mathayo 15:15.,16.,17. 15. Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. 16. Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? 17. Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? TAZAMA PIA: Yeremia 50:6.,7. 6. Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea, wachungaji wao wamewapoteza; wamewapotosha milimani; wamekwenda toka mlima hata kilima, wamesahau mahali pao pa kupumzika. 7. Watu wote waliowaona wamewala; na adui zao walisema, Sisi hatuna hatia, kwa kuwa hao wametenda dhambi juu ya BWANA, aliye kao la haki, yaani, BWANA, tumaini la baba zao. Umeona!
@kinawaka6858
@kinawaka6858 Год назад
@@samsiakassakangeta1780 Kama kuwa na akili ndio kujua na kufahamu mambo basi waislamu wenye akili wangetambua na kuacha ibaba ya sanamu ya kuabudu sanamu, imagine dunia nzima imedanganywa heti kuna Mungu anaitwa Allah na kumbe ni ibada ya sanamu tuu na wenyewe hawajui maskini
@isaacotieno7900
@isaacotieno7900 9 месяцев назад
jina ya mungu sio alah mungu hana jina usidanganye
@SOLARTALKTV
@SOLARTALKTV Год назад
From the look of things, Bro Ramadhan is asking very pretty questions. His statements beats clearly beats the logic.. 🤣 LAW vs FAITH
@athumanikibamandu7863
@athumanikibamandu7863 Год назад
Allah akulipe kheri sheikh
Далее
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 116 тыс.
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
Просмотров 81 тыс.
Je! Nabii Issa wa Qur'an ndiye Yesu wa Biblia?
1:16:57
Просмотров 43 тыс.
Wachungaji kumi walemewa kujibu swali ya Mazinge
51:56
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 116 тыс.