Тёмный

Nini maana ya Hakika na Kwanini tunatakiwa Fanya Hakika 

Kalamutz
Подписаться 149 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 4 месяца назад
Shukran sana shekh kwa elimu Kuna baadhi ya watu hawana maarifa hufanya hakika baada ya miaka 2 kisa tu babake yupo safarini kwahivyo anangojewa arudi ndio mtoto achinjiwe mnyama
@hawaazizy5071
@hawaazizy5071 Год назад
Navip kumyoa kwenye siku ya 40 haifai?
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 года назад
Yafuatayo ni mambo ya kizushi na Itikadi za kutungwa ambazo huenda zikasababisha shirk: 1. Nyama ipikwe kwa kuchanganywa na sukari au vitu vitamu au kuliwa na asali kwa madai kwamba mtoto awe na tabia nzuri. 2. Mifupa ya nyama isivunjwe, eti na mifupa ya mtoto huenda ikapata ajali ya kuvunjika, n.k. 3. Mifupa ya nyama ifukiwe baada ya kuliwa, au ikazamishwe baharini. Huwezi kupata aya wala hadithi wala aathaar inayoamrisha mambo hayo matatu.
@hawaazizy5071
@hawaazizy5071 Год назад
Bc tuambie tufanye vp mnatuchanganya jmn
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 Год назад
Sheikh shukrani kwa mawaidha lkn siungetolea darsa sehemu iliotulia kama mskitini?
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Год назад
@@hassaniidrissa5916 Ndio Huwa natoa
@drimaz2692
@drimaz2692 Год назад
wew toa aya au hadithi inayo kataza maan kila jambo shirk na sijui kama shirk inajulikana au unazijua vizur kwa upana wake shirk? kaziyetu ni kukufurishana na kuingizana moton na kutoana au kuchagulian milango yapepo na milango ya mto nikam tumeimilik hiyo pepo au moto je kunashirk kubwa zaid ya hii?
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Год назад
@@drimaz2692 Wewe ni pocho Hapo sijataja motoni wala Peponi na wala sijamuita mtu kafiri wala mshirikina, bali nimevitaja vitendo tu. Sasa wewe endelea kushajahisha ujinga na upumbavu.
@hawahassan1623
@hawahassan1623 2 года назад
I love the restaurant
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 9 месяцев назад
Shukraan 🙏
@maryamhamad494
@maryamhamad494 2 года назад
Shukran sana
@malcommshana3955
@malcommshana3955 3 года назад
Asalaam alaikum, Je kama wakati huo uliotaja hakuwa na uwezo wa kuchinja?! je unaweza ukamfanyia hata kwa badae mathalani mtoto akiwa ametimiza miaka 2 au 3?!
@kalamuMedia
@kalamuMedia 3 года назад
Innamal aamal bin niyyat... Ndio unaweza
@hassansalimmntjjggk9403
@hassansalimmntjjggk9403 2 года назад
Hata akiwa na miaka50 anafaa kufanyiwa
@mufdatabdallah7341
@mufdatabdallah7341 2 года назад
Mtoto mwisho miaka 6
@hawaazizy5071
@hawaazizy5071 Год назад
@@hassansalimmntjjggk9403 atakaa na nywele zauchanga mpk cku40 ?
@AzizaNzovu
@AzizaNzovu 7 месяцев назад
Mimi anamyaka 7sasa naweza kumfanya lini​@@mufdatabdallah7341
@othmanabdalla5295
@othmanabdalla5295 2 года назад
Mbona hutoi Salam
@husnasalehe6452
@husnasalehe6452 2 года назад
Je unaweza ukfnya kabla ya 40 yake
@ommytoza6971
@ommytoza6971 7 месяцев назад
Ni uzushi tu hauna dalili kua usivunje mifupa si laxima iwe ndani ya siku saba ni muda wowote utakaponafasika nywele aziitwi akika akika ni kichinjo kile kinachochinjwa ndio akika kwa lugha ya.kiarabu
@YassmiYassir
@YassmiYassir 4 месяца назад
Jee akifikia umri wa balegh naweza kumfanyia
@mohamedyahya1677
@mohamedyahya1677 3 месяца назад
Ni AKIKA, sio HAKIKA.
Далее
Hurricane Milton Extreme Surge Wind Slams Sarasota, FL
03:59
Mumeo asipokupa haya Usimchelewesha
4:56
Просмотров 2,7 тыс.