Тёмный

Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish 

KAPOTIVE
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 918 тыс.
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

19 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 261   
@jeremiahjahulula7868
@jeremiahjahulula7868 10 месяцев назад
Kadri ninavyousikiliza mwili unasisimka❤ Mungu ambariki mtunzi na kwaya hii bila kumsahau Baba Askofu Kilaini
@user-vj5mo1xf6r
@user-vj5mo1xf6r 17 дней назад
The bit hits differently ❤️It both touches the heart 🎉
@frankmhoja2460
@frankmhoja2460 Месяц назад
HAKIKA BENARD MUKASA... Kipaji mungu kampa...n tunu ya kanisa katolik... Hongereni wana kwaya.. Hongera ake kwa miaka 50 ya upadre
@JASSONEVARISTER-sz2bi
@JASSONEVARISTER-sz2bi 4 месяца назад
Hatunabudi kusema asante mungu kila wakati
@ATANASCHOBARIKO
@ATANASCHOBARIKO 4 месяца назад
Hongera Sana mtunzi wawimbo huo naupenda sana
@evancefesto
@evancefesto Месяц назад
Bernad Mukasa na kapotive nzima mnafanya kazi nzuri ya utume Mungu awabaliki sana wimbo mzuri I a'm proud to be roman Catholic ☺️☺️
@bestamsumange9289
@bestamsumange9289 10 месяцев назад
hakika bernard mukasa.,mungu akuweke miaka mingimingi, hakika wewe ni hazina kubwa kwa kanisa katoliki,tunakuomba kwa uwezo wako tengeneza au ibua warithi wako kuendeleza karama hiii kubwa. mungu awabariki wanabukoba.🎉
@alphoncerutumo1644
@alphoncerutumo1644 4 месяца назад
Safi sana mbarikiwe wimbo Mzuri sana .
@paulinalusazi3560
@paulinalusazi3560 20 дней назад
Mungu awabariki sana KMK kwa kutuinjilisha
@manyorifrancis8348
@manyorifrancis8348 Год назад
Nilifunzwa kuwa mkatoliki na mama yangu mkubwa na ndiye aliyenileya nikiwa mdogo. Aliupenda sana huu wimbo nikiwa na miaka mitano. Mpaka sasa nina miaka 34. Nimeukumbuka juzi tarehe 4 mwezi huu. Sikujuwa kama kumbukumbu zangu zilikuwa namshukuru kwa maisha yake kwangu na pia kwa maisha yake hapa duniani. Tarehe 8 ameaga dunia na leo tumempumzisha kwenye nyumba yake ya milele. Asante Mungu kwa maisha yake kwa kunikuza kimwili na kiroho 😤😤
@josephlango5591
@josephlango5591 Год назад
Pole sana. Astarehe kwa amani Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
@aurorabenedicto3197
@aurorabenedicto3197 Год назад
Pole sana dear, Mungu ampokee katika utukufu wake mbinguni ❤
@user-ex5yk2oz5o
@user-ex5yk2oz5o 7 месяцев назад
6:11 ❤😢😢
@mosesokeyo2824
@mosesokeyo2824 Месяц назад
Nisemee ninj.ewe.bwanaaa❤🎉
@JoyceMkeka
@JoyceMkeka 3 месяца назад
Hakika tuseme nini kwa mungu mapito nimengi lakini anatuvusha tunashukuru Sana 🙏🙏🙏🙏😢
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Месяц назад
Kwakweli niseme nini, Mungu wangu sina cha kusema bali Mungu wangu nakushukuru kwa ukarimu wote ulio nitendea. Na Barikiwa sana na huu wimbo 🙏
@roseasimwe827
@roseasimwe827 9 месяцев назад
Proud to be a Catholic Bernard Mukasa Mungu azidi kukulinda kazi yako ni njema
@velonicacharles-6124
@velonicacharles-6124 2 месяца назад
Asanteni mbarikiwe wimbo mzuri sana
@nassorotryphonenassoro2542
@nassorotryphonenassoro2542 Год назад
Asante sana kwa wimbo huu mm niliuimba nilipotoka ulinzi wa amani kongo mt mikael kawe
@christinacharles1955
@christinacharles1955 6 месяцев назад
Mungu akupe amani ipitayo amani
@deuskasege3021
@deuskasege3021 3 месяца назад
Nakumbuka sana Ile siku na gwanda zenu
@tinomasangia5511
@tinomasangia5511 Месяц назад
🔥🔥
@paulmutoro2687
@paulmutoro2687 9 месяцев назад
Wow! Sauti zimepangwa zikapangikwa.Mungu awape afya nzuli mzidi tena na tena
@johnmwakipongo3536
@johnmwakipongo3536 4 дня назад
Nyimbo nzuri sema kuna sehemu wameingiza maneno yao
@BahatiAdam-lo6xx
@BahatiAdam-lo6xx 6 месяцев назад
Nakumbuka mwaka 2020 nikiwa chuoni tukiwa ktk mashindano ya kwaya 16
@yohanadeus1292
@yohanadeus1292 Месяц назад
Nimeneemeka na baraka kusikiliza wimbo huu
@user-qn7ug6pz6p
@user-qn7ug6pz6p 5 месяцев назад
Nafarijika Sana nikisikia wimbo huu
@theresiapatrick7860
@theresiapatrick7860 Месяц назад
TYKRISTU. NAMI NAUNGANA NA WIMBO HUU KWA MATENDO MAKUU ALIYONITENDEA MUNGU TRH 10.5 MAANA NILIPATA MTIHANI MGUMU SN LKN MUNGU KANIVUSHA NISEME NINI EEE BWANA. UBARIKIWE SN MKASA WA WIMBO HUU UMENIGUSA MOJA KWA MOJA KBSA.
@petrobenson2932
@petrobenson2932 9 месяцев назад
Smart song,inanipa nguvu hasa hapa Mandera mpakani mwa Somalia
@ChristerShao
@ChristerShao 9 месяцев назад
Benard Mkasa,hekima ya wazazi wako Mzee Wlllia na Mama Revina Mkasa,wanavyoipenda dini.Benard ubarikiwe na familia yako.Mungu aeatunze,wimbo mzuri sana.
@devidkingu2439
@devidkingu2439 Год назад
Nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoriki la mitume.. Niseme nini ee Bwana?🤲
@BetraminoJulius
@BetraminoJulius 2 месяца назад
Nahuyu mzee kwa unyenyekevu wa kukubali ajimwage hivi mbele na wanakwaya ni muujiza. Nitaomba wimbo huu ùwe maalumu kwa waimbaji wetu na wtu woke
@jamesnyamwaya1841
@jamesnyamwaya1841 10 месяцев назад
Kazi nzuri mwalimu mkasa pongezi wote na baba askofu kwa wimbo huu bora
@mariemeni5939
@mariemeni5939 3 месяца назад
Aksante waimbaji.Nimebariki kupitia hii nyimbo. Bwana awabariki.
@solanuskomba82
@solanuskomba82 8 месяцев назад
...Proud of being catholic ...wimbo mzuri sana kwakweli jaman, be blessed ...ila nataman sku moja nikutane na mukasa nipige nae hata picha tu
@prospervedasto4366
@prospervedasto4366 8 месяцев назад
Ahsante Baba Askofu Kilaini kwa umahiri wako
@marylyimo6519
@marylyimo6519 Год назад
Hongereni sanaa Wanakwaya kutoka Bukoba
@AvelineKiria-np9mn
@AvelineKiria-np9mn 11 месяцев назад
Asante ubarikiwe umeniokoa Sana jaman mungu amfikishe mbali zaid my dear friend neema umesharudi
@gracefeldinandi838
@gracefeldinandi838 Год назад
Nawapa vyema wanyumbani nikiwa kenya jirani yangu kalaudi w kyelima nakuona
@user-wy7md3kg7q
@user-wy7md3kg7q 6 месяцев назад
Ahsant San jaman nakupenda San hii nyimbo
@user-dt2tc2gb4l
@user-dt2tc2gb4l 5 месяцев назад
Asante sana kwa wimbo wenye mguso ndani ya moyo asante sana
@victorishengoma5724
@victorishengoma5724 Год назад
Napenda Baba wimbo huu umemjaa hkika umeibeba safari yke ya wito
@geofreynyakana
@geofreynyakana 9 месяцев назад
Mukasa mukasa mukasa nimekuita mara 3 hakika mbinguni malaika wanakusubiri ukaongoze waimbaji
@okrasamson4137
@okrasamson4137 2 месяца назад
Nimeguswa sana na mapito ninayo pitia
@user-ix8qr4bn9z
@user-ix8qr4bn9z 6 месяцев назад
Asante sana kwa wimbo nzuri sana hongera sana
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk 11 месяцев назад
Hakika nyimbo nyimbo hii imegusa watu wengi kwa jinsi ilivyopigwa vizuri na ilivyodansiwa vyema kwa Kiutukufu sana wa wa KIMUNGU umegusa wengi hasa mimi naomba uendelee kufunguliwa ktk douwiloding tukiwa popote unatupatia kutafakari leo nakuta umezuiliwa nimeuzunika ponyeni Roho kwa tenzi Kama hii Asante Mungu katika sifa Unashuka na kutuponya mbarikiwe sana
@user-ix8qr4bn9z
@user-ix8qr4bn9z 5 месяцев назад
Asante sana kwa wimbo nzuri, niseme Nini
@graceandrew3988
@graceandrew3988 8 месяцев назад
Asante Mungu kwa kipaji cha Mukasa..Askofu Kilaini you're the best..nakumbuka utoto wangu ukiwa askofu mkuu msaidizi jimbo kuu la DSM late 90's..ulifanya kazi kubwa mno katika jimbo..umeuvaa uhusika katika huu wimbo.Mungu azidi kukutunza..Hongereni wanakwaya Bukoba mpo juu mmeutendea haki wimbo...kuanzia mavazi,sauti,mandhari..So proud of you all..God bless❤
@alexngovi
@alexngovi 3 месяца назад
WE,,,,Kiswahili
@furahajames4085
@furahajames4085 10 месяцев назад
Hàkika wimbo huu unatuongoza hata sisi kumwambia Mungu asante. At 58, I really appreciate the unrestricted love from My good God.
@ConsolathaUpendo-po5tf
@ConsolathaUpendo-po5tf Год назад
So proudly to be CATHOLIC
@josephkulija293
@josephkulija293 Год назад
Benard Mkasa kazi unayoifanya ya uinjilishaji malipo yako mikononi mwa Mungu, hakika Mungu akubariki na uzao wako. Wimbo una maudhui mazito sana.
@geofreynyakana
@geofreynyakana 9 месяцев назад
Daima nitaiishia imani KATOLIKI milele na milele
@BetraminoJulius
@BetraminoJulius 2 месяца назад
Namba niandike Barua rasmi kwa Idara ya Katekes utunukiwe cheti cha Doctor of catholic miusic
@user-ge4gy6ly5l
@user-ge4gy6ly5l Год назад
Safi sana mungu awalinde zaidi mzidi kutuinjirisha Kwa nyimbo nzuri kama huu
@beatricemichael6376
@beatricemichael6376 18 дней назад
Mungu awabariki sana Kwa wimbo huu.
@oliversangawe-cn2jj
@oliversangawe-cn2jj Год назад
Hzi nyimbo hatuwez zipata kupitia boomplay music
@michaelmwembezi5998
@michaelmwembezi5998 Год назад
Hakika am proud to be catholic,,ujumbe mzur kwe
@georgekazaula3123
@georgekazaula3123 2 месяца назад
Kapotive you are the best. Nawakubari sana na sio mimi tu bali watu wengi
@glorypeter1194
@glorypeter1194 Год назад
Nyimbo inabariki na kusisimua mbarikiwe wainjilist wote muendee kutupatia nyimbo nzur zaidi
@benmbwilinge2816
@benmbwilinge2816 Год назад
Hongera Sana kwa wimbo mzuri wajina wangu
@maggiemalingila7342
@maggiemalingila7342 3 месяца назад
What emotional song it's mwa❤🎉🎉🎉
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Год назад
Wimbo huu unabeba ujumbe wa shukrani Kwa zawadi ya maisha ya Mhashamu Baba Askofu Kilaini anayeimba kwa hisia kali katika maadhimisho ya Jubilee yake ya miaka 50 ya upadre. Hongera sana Baba.. na hasa ubeti wa "changamoto nilizopitia" namwona Baba anashika kichwa....inanikumbusha uhalisia wake. Hongera sana Baba, hongera sana Bwana Bernad Mukasa na wanakwaya wote!
@josephkulija293
@josephkulija293 Год назад
Hongera Baba Askofu Kilaini Mungu azidi kukubariki kwa kazi yako ya kutuongoza sisi kondoo wa Mungu. Pia pongezi sana ndugu Benard Mukasa kwa kipaji ulichopewa na Mungu uzidi kutuinjilisha.
@kirighawilberd6351
@kirighawilberd6351 Год назад
Nice to hear from you niseme Nini bwana thank you may God bless u mniombee pia Mimi Niko chuo Cha mziki arusha
@ranveelkamsanga745
@ranveelkamsanga745 6 месяцев назад
8:47 9:48 9:48 ahsnteni mbarikiwe sana watu wa mungu mwimbo mzuri sna na mungu awape nguvu aman na baraka za kumtumikia yeye daima
@jacklinemadirisha7737
@jacklinemadirisha7737 6 месяцев назад
Hata Sasa Mungu anatupenda sana🙏
@claudekalimbirirontabaza7467
@claudekalimbirirontabaza7467 9 месяцев назад
Kiukweli nimemwaga machozi ya furaha. Hongera sana mwalimu Bernard Mukasa, Mungu akuongezeye nguvu tele. Hongereni pia kwa wana kwaya wote. Kazi nzuri sana
@user-pb3db2rl7d
@user-pb3db2rl7d 10 месяцев назад
Amina wimbo huu umenibariki sans mpaka nimetokwa na machozi ya furaha
@user-kf6sl1zn4p
@user-kf6sl1zn4p 5 месяцев назад
huu wimbo amazing sana😘😘
@ceciliaotwane3906
@ceciliaotwane3906 11 месяцев назад
The bishop! wow! he must be in charge of liturgy. The song itself, wah, for real, asante mungu nakushukuru!
@sadiguillaumesadi7345
@sadiguillaumesadi7345 Год назад
Kweli huwa nabarikiwa sana nawimbo huo mahalum wa jubile ya baba kilaini
@GaudenciaKija-ji9qs
@GaudenciaKija-ji9qs Год назад
Nimeguswa Sana na huu wimbo kulinga na mapito niliyopitia
@KAPOTIVE
@KAPOTIVE Год назад
Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
@marytairo4981
@marytairo4981 10 месяцев назад
Proud to be a Catholic! Nice song Mungu awabariki sana
@claudekalimbirirontabaza7467
@claudekalimbirirontabaza7467 9 месяцев назад
Really
@jenifadaniel7752
@jenifadaniel7752 Год назад
Kati ya nyimbo za kushukuru ninazozipenda huu wimbo ni wa kwanza, maana naweza kuusikiliza huu wimbo siku nzima bila kubadilisha wimbo mwingine. Mbarikiwe sana wanakwaya pamoja na mtunzi hakika mmeutendea haki
@eliudi
@eliudi 9 месяцев назад
Nimependezewa nawimbo naommba notazake
@jsifuna
@jsifuna 9 месяцев назад
My daily song!! The Bishop is amazing I tell you!!
@juliethsanga5660
@juliethsanga5660 8 месяцев назад
Asanteh Mungu wangu, nakushukuru
@EudosiaTango-pu7jg
@EudosiaTango-pu7jg Год назад
Jaman imenibarik Sana mungu aendelee kuwalinda nakuwabariki waimbaji Hawa..
@EnockBureta
@EnockBureta 8 месяцев назад
Atukuzwe mungu milele,
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 19 дней назад
Niseme Nini
@josephelias7364
@josephelias7364 2 года назад
Asanteni Sana wanakwaya kwa utume wenu. IAM proud to be a Catholic
@josephinekessy1994
@josephinekessy1994 2 года назад
Nyimbo nzuri sana jamani nimesikiliza zaidi ya mara kumi...nimebarikiwa sana na nyimbo hii. Kati kati ya safari changamoto kubwa nilipitia,lakini kwa wema wako ukanivusha nikavuka salama🙏🙏🙏
@gracewamaitha7382
@gracewamaitha7382 9 месяцев назад
I love this song to the moon and back 💕 ❤️ 💛 💖 💓
@jeromemushaijaki6354
@jeromemushaijaki6354 Год назад
Hakika ni wimbo mzuri mno
@judithkerengi5517
@judithkerengi5517 5 месяцев назад
PROUD TO BE A CATHOLIC
@marthauisso5803
@marthauisso5803 Год назад
hongereni sana jaman kwa kumuimbia Askofu wetu vizuri sana
@benedictaroman1074
@benedictaroman1074 8 месяцев назад
Huyu baba mungu aendelee kumbariki ,nyimbo zake Ni maudhui tosha ,wapo na wengine waje wasijifiche Ni kipaji tosha .
@fatumamaiga8496
@fatumamaiga8496 Год назад
Baba Askofu ubarikiwe Sana. Ujaliwe utume mwema baba
@marylyimo6519
@marylyimo6519 Год назад
Wimbo nzuri sanaaa Mungu awabariki Sanaaa... Nimepata ujumbe nzuri kutoka kwenu
@elijahtonnie147
@elijahtonnie147 2 месяца назад
Oh my Baba asikofu mwimbaji mungu akubaliki Baba pamoja na choir hogera very sweet song🎉🎉🎉
@annamushi7758
@annamushi7758 Год назад
SO WONDERFUL BE BLERSSED ALL
@candymarandu2230
@candymarandu2230 Год назад
Hongereni Sana wanna bukoba furaha kw a kweli nawatakia uinjilishaji na utume mwema was kwaya
@alphoncempiti9505
@alphoncempiti9505 Год назад
Askofu kilaini,man of the match, Kiufupi hongereni sana waimbaji ,mmeimba vizuri sana
@user-lq2be9sb7q
@user-lq2be9sb7q 10 месяцев назад
The song elevates me every time I listen to it. This is God given straight from heaven. God bless you all.
@user-dw4mb4bx1i
@user-dw4mb4bx1i 8 месяцев назад
Kwakwel wimbo nimzur. Sana
@davidomuya1779
@davidomuya1779 Год назад
My family fevorite song👍👍
@FelisterFabian-qz3qq
@FelisterFabian-qz3qq Месяц назад
Wimbo huu nikiimba tu machoz yanantok nakumbuka mungu aliyonitendea mungu awabark san wanakway
@carolnderi5004
@carolnderi5004 Год назад
Get addiction to this song najipata nikiimba zaidi ya mara 10 kwa siku mbarikiweni sana kwa kazi nzuri👏👏👏
@tempochoir
@tempochoir 6 месяцев назад
Hello i am watching from USA nawapenda wote 💕
@joycengolly547
@joycengolly547 2 года назад
Hongereni sana Wana Mt. Don Bosco Kwa kazi nxurii😍😍😍Mungu awabariki sana.🙏🙏🙏
@valentinavenance4258
@valentinavenance4258 4 месяца назад
Mimi niseme nini bwana kwa baraka na neema unazonijalia, nasema asante..
@florapeter6810
@florapeter6810 2 дня назад
Wimbo Mzuri unasisimua
@EsterPaNga-em8eq
@EsterPaNga-em8eq 9 месяцев назад
Mungu Akubariki sanaaa
@henrykimani1664
@henrykimani1664 11 месяцев назад
Roho yangu imefurahishwa na uimbaji wenyu zaidi, nyimbo tamu na zenye uinjilishaji mkubwa. Proud to be catholic
@user-yv1lw2sn4i
@user-yv1lw2sn4i 11 месяцев назад
Hakika wimbo uko vizuri sana hongereni kwa kuutendea haki.organist ni fire mko vizuri
@bibianarugaimukamu4095
@bibianarugaimukamu4095 8 месяцев назад
We really all of us need to thank God together with our Bishop Kilaini for his mercy
@AgnesMwita-nb3cx
@AgnesMwita-nb3cx 7 месяцев назад
Ama kwel Bernard mukasa ulitunga wimbo huu kwa weledi mkubwa sana mungu awe kiongoz mwema kwenye familia yako na kizazi chako
Далее
TUNAISHI NAYE By. Shimanyi FM (Official Video)
4:35
Просмотров 1,2 млн
Penalty: Portugali - Slloveni
02:03
Просмотров 1,2 млн
NENO LITASIMAMA // MSANII MUSIC GROUP
4:34
Просмотров 11 млн
Bernard Mukasa - Niseme Nini (Official Video)
6:54
Просмотров 1,4 млн
Mt. Kizito Makuburi - Hamkujua? (Official Music Video)
7:57
Bernard Mukasa - Mungu Nimekuita (Official Video)
11:38
БОЛЬШЕ НЕ ВАЦОК
1:43
Просмотров 1,6 млн
JANAGA - Интервью (Official Music Video)
2:38
Просмотров 439 тыс.
Асфальт
2:51
Просмотров 963 тыс.