Angelimuhuwa tu ili apunguze wanafki na machawa wasio jielewa kwanza huyo bb levo kapona tu afikishie Habari na H baba siku akihingia anga za harmonize atakula shoot 🔫
Acha ushamba ww watu wakigoma unawajua vzr jinga ww fatilia vzr wanao ongoza kwa record ya kr kitu niwatu wakigoma, Mondi mwenyewe kigoma,kiba, linex, dipoz, makam wa rais ,zitto Aya nenda ktk list za wachezaj ndo utajua sio unalopoka tuuuu tena ugomvi wa mtu mmoja usiwe unahusisha makabira au jumla ☠🤏💬👋👋👋👋👋✌👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋✌✌👋✌✌✌✌👋👋✌👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋
Chips ni zile kete..zenye thamani ya 10M. Siyo chips kama chips..jamaa alirusha hizo chips za 10M, wakawa wanagombaniana.. Harmonize ile siku aliliwa 40M na Baba Levo kama unavyomfahamu akawa na tamaa nazo, Harmo alimkaba roba kweli.
Mawakali wa Harmo nao wafungulie kesi ya kumtukana Harmonize mpaka akatoa nyimbo Harmo Mavi. Na babalevo ka release huo wimbo. Kamdhalilisha harmo Kila wati. Harmo afungue kesi naye. Damage kwenye biashara yake.
Niva njaa kazi kula kwa washikaji tuuu, huna makazi maalumu, Waha ndio watu wa kazi acha ukabila muongelee mtu sio ukabila, watu wa pwani tunawajua kazi kucheza ngoma hampendi kazi Umefilisika kimawazo, hapo penyewe muandishi kakukurupua mtaani tuu , NJAA MBAYA