Тёмный

NYAMGUNDA AWAJIBU MASALAFI KWA USHAHIDI WA HUTHAYMINI JUU YA KUTOKA JAWLA KUANZIA SIKU 3, 7.40.90. 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 230 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@salimmbwana6926
@salimmbwana6926 Год назад
Ndugu yangu Bani Hashim umesema maneno mazito sana jerekebishe.
@amourmattar773
@amourmattar773 Год назад
Mashaallah Allah akupe kila lakheri Allah akupe kila lakheri Allah akupe kila lakheri Allah akupe kila lakheri
@aswabikimaro3033
@aswabikimaro3033 Год назад
Ww Allah akupe elimu yenye faida wallah nakuonea San huruma,,, njoo nibox nikupe majb alojbiwa na masalafy na audio zaid ya 10 ambazo zinamajb mazuri yakukinaisha nafsi yakoo,,, hzo fatwa za huthaimin amezisoma vipandee
@muqbilissah9800
@muqbilissah9800 Год назад
Mie Bado cjaona hoja kwa nyamgunda watu wanauliza nakuhoji juu yakitabu Cha muasisi wakundi ambaye no muhmmadi ilyaasa ambaye aifungamamnisha hiyo kazi nautaratbu wakisufi atete kuhusu like kitabu hayo maneno yauthaymin kaongea kwahali yakuonyesha kuwa hajajua undani juu yahicho kitabu chausufi
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Год назад
Mwenye channel hii nae ni mpumbavu
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 Год назад
Toa hoja ndugu, Vipi na wewe ukitukanwa utafurahia?
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 Год назад
MashaAllah sipingani na hio, hakuna umuhimu wa kuzungumzia siku za kutoka lengo ni kutoka na sio hizo siku
@mudiomari3007
@mudiomari3007 Год назад
Jahazi ni moja
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Msikilize sheykh Mbwana Abdi ..,kama kweli mnataka dini. Masharti ya kukataza munkari yako kwenye sherh ya 40 nnawawiy walikuznguka wengi wala hawakijui
@ahmedmohammed9622
@ahmedmohammed9622 Год назад
Siku ya kujibiwa huyu jamaa nataman kuwepo nione hokazake mboz zikijibiwa
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Ujue kinachofanywa ni uovu kwa dalili za kisheria... maana yake nini ? Maana yake elimu mwanzo ndio ulinganie
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela Месяц назад
Elimu kias gn kwa vipimo vya kisheria ?
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Год назад
Kutoka hata siku 366 inafaa na hakuna shida kisheria.
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Год назад
Saaaaaafi kabisa na wala hawatokupeni dalili ya kukatazwa mpaka Kiyama kitasimama.
@aswabikimaro3033
@aswabikimaro3033 Год назад
Ww Allah akupe elimu yenye faida wallah nakuonea San huruma,,, njoo nibox nikupe majb alojbiwa na masalafy na audio zaid ya 10 ambazo zinamajb mazuri yakukinaisha nafsi yakoo,,, hzo fatwa za huthaimin amezisoma vipandee
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Atayetakiwa kuulizwa dalili ni wewe kwasababu huo utartbu hakuwepo kipindi cha mtume na nyie mnadai ni utartubu mzuri na mnajikurubsha nao kwa Allaah...Msingi ni hivi “Anayetakiwa kuleta dalili (ubainifu) ni yule anaye dai na anayekataa yeye analazmika kutoa kiapo tu”
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Год назад
Mawahabi mnasemaje hapo?
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Maskini Ahal bidaa ...Allaah anawanyima fahamu hata akizungumza ukimsikiliza tu vizuri una baini..uongo uliopitiliza vipi wakati vimesomwa vitabu vyenu?
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Sheykh ibn uthaimin hajatoka hata siku mmoja mnamzingatiaje nyie tabligh?
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Год назад
KUMBE MAWAHABI NI JAMAAT TABLIIGH?
@mhrmahir3410
@mhrmahir3410 Год назад
Hawa watu sjui wakoje kwan uliambiwa utoe dalili au umtafte ibn uthaymeen kwa yeye c mja hakosei
@jumaalfani6680
@jumaalfani6680 Год назад
Hata walio kua wanawakosoa waliwatumia mashekh zao
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Msiache kusemaa kadiri mnavyosema ndio mnakuwa wazi
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Mwanzilisha wa kundi hasemi ni wasila tu ...aliwaambiaje watu wamewati kuhusu kutoka siku tatu
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Год назад
Makurafi wanajifaragua,
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Год назад
Yaan swala la msingi ni kuwa je huyo ibn uthaymin mnakubali kama ndio mnamkubali kwa misingi ipi jee kwa msingi hiyo hiyo mnayomkubali nayo wako masheykh wengi mfno wake?
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Год назад
Kilakitu Kwao Nibida'a. Mpaka Tunaanza Kupata Nasi Wasiwasi Nabila Shaka Bidaa Niwao.
@Wastara001
@Wastara001 Год назад
Ukisema "kila kitu" wamaanisha nini? Hivi washakwambia swala ni bid'a???
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty Год назад
Wasiwasi ni bure tu soma sio unadhani dhani
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Год назад
@@Wastara001 Ndio Tunapoelekea Kilakitu Kimamwanzo. Nahiyo Nijamii Yakinaya Kilakitu Uchambuliwe Naamini Tatizo Lenu Sikatika Kusoma Inawezekana Mnajitahidi Kusoma sana Lakini Uelewa Ukawa Mdogo Au Anakusomesheni Ikawa Nayeye Anahitaji Kusoma Nasi Kusomesha. Kilakitu Sio JAM'UU Bali Niyabaadhi. Nasikila Samaki Mmoja Akioza Wameoza Wote. Tukasomeshwe Kwa Wanaostahili Kutusomesha Sio Mnajisomeasomea.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Год назад
@@MB-yq3ty mimi Sizanii Bali Ndio Hali Halisi. Watu Wakuzania Nihao Wanaozani Kila Wasichokijua Wao Nibidaa.
@khatoromuarabu858
@khatoromuarabu858 Год назад
Muondelezoo wa sauti sauti zakee
@hamisikimbutee8088
@hamisikimbutee8088 Год назад
Jamaatu tabligh nijamaatu bidaa
@junaidsaid6144
@junaidsaid6144 Год назад
Leta DALILIIIIIII
@banihashim5347
@banihashim5347 Год назад
Hao si masalafi hao ni mayahudi
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Год назад
Nyinyi pingeni ila jamaat tabligh ni katika mapote ambayo yanaingia katika makundi sabiina na tatu litafuteni kundi ambalo ni swahihi lakin tabligh halimo kwenye kundi lilo okaka
@mazingatio
@mazingatio Год назад
Nyinyi sisawa na walokole mnajifanya mmeokoka amna u salafy wowote nyinyi ndo katika makundi 73 kwa kujitakasa kama kweli mpo katika usalafy njoeni tufanya mnakasha kama mtatoka wewe na wenzio ni waongo abuu mussa kiza alishindwa mnakasha temeke abc hoja ana kaambiwa uliza swali hana kaja na vitabu vingi watu wamevihifadh atukusumbuka kubeba mizigo mingi
@mazingatio
@mazingatio Год назад
Alafu kijana hauna elimu njoo nikusomeshe ili ujue usahihi wa dini yako akuna salafy wa aina iyo tabligh itaendelea kufanya kazi salafy wa mchongo acheni uwongo njoo tujadiliane kama mnahoja
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 Год назад
Ujinga umemzid huyu jamaa mpaka anashndw kuelew anachokisema...katk kiarab hakuna Alif bee tee thee
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 Год назад
Unamwambia mtu mjinga kwa jambo ambalo si hoja? Wewe ndio mjinga ama Sisi wengi tulifundishwa hivyo Alif bee tee...baadae ndio unajua Alif baa taa thaa etc...zungumzia why masalafi wanakataa kutoka siku tatu n.k??
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 Год назад
@@tareqhilal6750 Alif bee tee thee..ni kiarabu cha wap..???
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
@@allyjaffar7072 ipo ktk qiraa cha warshi
@abiabi9353
@abiabi9353 Год назад
@@tareqhilal6750 hivyo ndo mawahabi walivyo.anaweza kujenga hoja juu ya kitu ambacho hakina uzito.eti mtu anauliza alif,bee tee nikiarabu gani.Hiyo siyo hoja sheikh anayo ijibu
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 Год назад
تعلم ثم تكلم Jifunze kwanza baadae ndio uje uongee sasa unaposema kama ktk Qur'an hakuna Alif Bee Tee Thee nikuulize umesomea wapi? Hebu naomba isome Suuratul Baqarah nione utaanzaje kusoma herufi yakwanza Halafu hebu waulize hao wanaokulisha matango pori jee kusoma Wallaili Idhaa Sajee. Maa Wadda'aka Rabbuka Wamaa Qalee. Walal Aakhiratu Khairullaka Minal Uulee ....... inakuaje izo herufi zamwisho zisomwe Hee, Jee, Lee, .... Au pia neno Kaafiriyn kusomwa Keefiriyn inakuaje Kaaf kusomwa Keef?
Далее
Интересный наборчик 😀
00:12
Просмотров 11 тыс.
MSHINDI WETU NDIYE HUYU KUTOKA ALGERIA
9:37
Просмотров 4,9 тыс.
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Просмотров 9 тыс.