Тёмный
No video :(

Nyie Masheikh mnatisha tisha watu Tushawachoka 

MuniraOnline Tv
Подписаться 4,8 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Sheikh Othman Khamis maneno haya

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@fadhilimatano3213
@fadhilimatano3213 2 месяца назад
Mtume amesema tukumbuke kinachokata ladha ya maisha ambacho ni kifo.kifo ni haki na lazima tujue kipo na tuishi kwa mafundisho ya Allah
@fadhilimatano3213
@fadhilimatano3213 2 месяца назад
Tunapo coment tuwe na heshma hawa masheikh wetu na tusikose heshma wanafanya kazi kubwa kama huwezi kuwa heshimu tafadhali usiwadharau
@musayosia4081
@musayosia4081 2 месяца назад
Nikweli nduguzangu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Maashaallqh shehe❤❤
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 2 месяца назад
Mashallah jazakallah lkheiry sheikh Othman khamis umetupa fundisho xur mana wajinga wenye maswal haya wapo wengi
@ibrahimphanuel2284
@ibrahimphanuel2284 2 месяца назад
Hapa wapo waelewa na walinaojitoa fahamu mtu kama anaona vitisho na sio ukumbusho subir umaut umkute kama unahis hii dunia umeletwa ule na kulala tu basi ishi ivo unavoona iko sawa
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 2 месяца назад
Maisha ya duniani ni mfano wa mtu alielala kufa kwetu ndio kuamka kwetu
@MUHSINSALUM-cc4tg
@MUHSINSALUM-cc4tg 2 месяца назад
Maa shaa Allah
@samiaphilipo3474
@samiaphilipo3474 2 месяца назад
Swali aliloulizwa shekh ni kubwa kuliko uwezo wake ndio maana katoa majibu mepesi sana.
@EmanuelyMbagalla-rt2vm
@EmanuelyMbagalla-rt2vm 2 месяца назад
Shida sasa anaona ametoa majibu konki kinyama, hadi aibu wanaona wengine yaani.
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 2 месяца назад
Kaamjibu kwa hekima
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 2 месяца назад
Subhanallah
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 2 месяца назад
Mbona wanao comments wengwa dini nyengine wacheni makasiriko subirini kanisani mkabembelezwe
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
Lkn kweli mmezidi sana kwa vitisho! Kwani hakuna mawaidha ya neema ya kufurahisha kuliko haya ya vitisho???
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 месяца назад
Kwani mawaidha wanayatunga au yapo kwemye vitabu?. Mala ngapi wanazungumzia NDOA na ufafanuzi zake, neema za peponi, vyakula tunavyotakiwa tule na tusile, mwezi wa ramadhani n.k Mbona wanazungumzia mengi tu. Tatizo ni binaadamu tunafanya dhambi sana na hatutaki kukumbushwa kuwa ni makosa. Lakini mambo ya hela hauchoki kuambiwa...
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
@@DonMooSTUDIO_Express vitisho vikizidi dini inakuwa ngumu kama jiwe
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
@@DonMooSTUDIO_Express vijana wadogo wakisikiliza mahubiri ya wakristo wanakuta yanaongelewa kusaidiana ,kusameheana , kupendana na mengi mazuri mazuri tu ila kwetu wanasikia adhabu za kaburi kukubana mpk utapike maziwa uliyonyonya kwa mama yako mara moto wa adhabu mara hili mara lile vitisho vitupu! Haya sio mawaidha ya mtume hata kidogo! Wanakosea sana hao maustaaz wenye ilmu chache
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 месяца назад
​@@maase2023we kafiri tushakujua hii dini haikuhus cc tuna akili zetu tunajua ili iman iongezek lazim uzungumziw maut
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 месяца назад
@@maase2023 wewe ni muisilamu au mkristo?. Maana wakristo kwao ndio hakuna vitisho ni uzima wa milele, Yesu katukomboa hatuna zambi, Yesu atarudi kutuchukua twende mbiguni, Yesu yu hai n.k Kwa waisilamu Mtume (S.A.W) anasema Yatosha Mauti kuwa ni mawaidha tosha. Yaani habari za mauti ni mawaidha tosha kuliko mawaidha mengine.... Haya mengine tunafundishwa namna gani tukifa twende sehemu salama. Lakini mawaidha makuu ni MAUTI tosha. Kama hautaki kutishwa achana na dini fanya mambo yako kwa fikra zako...
@user13375
@user13375 2 месяца назад
Fundisha acha jazba,kwani asiyejuwa jambo si afundishwe ,ovyo kabisa hata mifano bado haifundishi ni kashfa tuu.
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 месяца назад
Njooni mufundishe nyinyi musiokua na kashfa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Sqsa hapo kakasfu nini jamani walimwengu
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Hakuna vitisho adhabu zipo,ubembelezwe kwn wewe nani
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
Ustaaz mnakosea sana mawaidha yenu hayo kwani mnakimbiza vijana kabisa! Vijana mnawatia khofu sana na vitisho vyenu na kinyume na mafundisho na mawaidha ya mtume! Acheni sifa zenu kwani mnaharibu dini tu😊
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 месяца назад
Tafuta dini kwanz Halaf ndo uanze kucomment
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
@@FeisalDoctor-wr8ws dini ni hii islam na mtume hajafundisha vitisho na adhabu ila mtume alifundisha huruma kusameheana na kusaidiana na msamaha pindi unapoka lkb sio mafundisho haya yasio na mwelekeo ya kutisha
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
@@FeisalDoctor-wr8ws mtume alisema ilmu chache ni udhia na haya ndio tunayaona
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 месяца назад
@@maase2023 ww tafuta din kwanz nd uanze kuongea
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
@@FeisalDoctor-wr8ws dini ni hii hii yetu ila uelewa wetu hatupo sawa kwani hatuwezi kuwa sawa aliyesoma na asiyesoma!
@MUHSINSALUM-cc4tg
@MUHSINSALUM-cc4tg 2 месяца назад
Maa shaa Allah
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 2 месяца назад
Kaamjibu kwa hekima
Далее
NYIE WALEVI NDIO MNATUHARIBIA NCHI YETU
43:40
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 20 млн
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Просмотров 3,7 тыс.
HASIDI HAKUCHUKII WEWE TU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
34:01
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 20 млн