Тёмный

KUMEKUCHA SHK.WALID ALHAD ATOA NENO MZOZO WA ARAFA AWATAKA WAUMINI WAMSKIZE KWA UMAKINI MKUBWA 

Riyadh Tv Online Znz
Подписаться 290 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

#riyadhTvZnz #zanzibar
Follow Us On:
INSTAGRAM: / riyadhtvznz
FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
RU-vid: www.youtube.com/@RiyadhTvOnli...

Опубликовано:

 

12 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 26 дней назад
Asante sana sheikh wangu M.mungu akubari. Watukubalie dua zetu. Na aturehemeshee marehemu wetu ishaallah
@vicentpantaleo5837
@vicentpantaleo5837 Месяц назад
Mimi apo nashindwa kuelewa kwan makka na uku nisiki Moja au ni tofaut
@user-tq4bv6gq5d
@user-tq4bv6gq5d Месяц назад
Allah akuongoze
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 25 дней назад
Nakupnda sheikh waleed kwa ajili ya Allah ila hilo jambo la arafa rudi darsa zaidi ukasome!
@AhmadYusufu
@AhmadYusufu Месяц назад
mashallah dawaa zinaitajika siku wataelewa,shekh usichoke kutoa darsa.
@ZuberiAbasi-ee2vr
@ZuberiAbasi-ee2vr 28 дней назад
Mche mola wako kwa wewe unapotosha watu harafu naomba ujibu kaongeze elimu na mungu ni nani / kama tumia neno allah harafu hayo matumbo yenu na uchu wa madaraka arfa siku ya tisa katika mwez wa zur,hija makwata allah aongoze viongoz wake
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚
@HossenAlly-xr6kb
@HossenAlly-xr6kb Месяц назад
Mwenye elmu hawezi kutuma sms kwa kumkosoa mtu katika jambo la hitilafu la wanazuoni
@adamjutto5849
@adamjutto5849 Месяц назад
Wee sheikh walidi weee hapo kwenye takbiiraah😂😂😂😂 aloo jamaa tusome lasivyo tutadanganywa saana na masuufiii😂😂
@saidissa8273
@saidissa8273 29 дней назад
NENO SIKU.INA MAANA TUPO NA SIKU MOJA DUNIA NZIMA(YAUM). MM SIKOROGEKI KWA SABABU NIPO SIKU NA MWEZI MMOJA NA SAUDIA
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Месяц назад
Mimi sijaona pia palipoandikwa hivyo IDULHAJJI
@user-su7eu5yn6q
@user-su7eu5yn6q Месяц назад
Hapo kweli umechanganya mambo kwasabu haziwezi kufanana arafaya kukusanywaloro na arafa ya kisimamo cha mahujaji nakukumbusha arafaya sasa ni ileya kusimama mahujaji sioya kukusanywa roho hataukizunguuka ukatoa mifano ya china hainamaanayoyote
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i Месяц назад
Ww kwl zuzu ndo uneongea nin apo
@suleymanmohd3418
@suleymanmohd3418 29 дней назад
Mnatuumiza vichwa kuwaeleza, kaeni chini msome kwanza kabla ya kuhoji au kujibu, unazungumza halafu hueleweki unazungumza nini. Sheikh anatoa mazungumzo ya Siku ya arafa maana yake nini wewe unazungumza mambo unayo yajuwa wewe. Unaambiwa funga imeanza kabla ya hijja bado huelewi. Kasome kwanza.
@masjidjamiyatulmusilimn
@masjidjamiyatulmusilimn Месяц назад
Jamani jamani jamani mmmh
@hanspop6961
@hanspop6961 Месяц назад
😂😂❤❤
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 24 дня назад
hahaha.... hapo kwenye mchanganuo ndio umeniacha hoi sheikh. nlikuwa sinampango wa kucheka
@babukhamis1246
@babukhamis1246 Месяц назад
Mashehe wetu wamekuwa KAMA wachungaji makanisani
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 Месяц назад
Waislam wanachoka kwa mizozo hiyo masheikh kila mwakaaaaaa
@NammanaMobile
@NammanaMobile 27 дней назад
Unaweza kuwa sawa na unachokiona... Lakin hoja ya msingi ni kupishana kwa siku mbili tofauti... Ikiwa Mungu aliewaambia wafunge kwa kuuona na wafungue kwa kuuona ni waislam waliopewa quran na kuipokea na ni walimwengu mzima siyo wa location fulan kwann unapoandama mwez dunia popote pele tusiufuate ikiwa wale ni waislam na wameuona mana Mungu aliposema fungeni kwa kuuona hakuweka matabaka ya kusema kwa sehem flan ila wangine wasubiri mpaka wauone au watimize maana yake hii sunna kuna baaz itawakosa I kwa wote wa dunia nzima atashindwa kufungua et mpaka uone...... Sawa tuachane na ayo kama hatutaki kuifanya maka iwe uongozi wa dunia kuandamisha mwez ili tufuate... Mbona kibla tunafuata... Na mbona hijja tunaenda hiji kule
@saidilikananowe1446
@saidilikananowe1446 25 дней назад
Kwa fikra zako umeona huyu sheikh hakuna anachojua kwa huu msimamo wake ila ww ndio unataka umfundishe sio?
@NammanaMobile
@NammanaMobile 25 дней назад
@@saidilikananowe1446 ww ubongo wako umeganda... Walioambiwa apa ni waislam.. Wote.. Quran haikulenga location... Inaposema yaaayuha nnasu au yaaayuha nlazina amanu ni kwa wote maana yake unapisikia sehem flan umeandama wote sisi ni waislam tunatakiwa tuabalishane
@sijartv9554
@sijartv9554 Месяц назад
Sheikh walidi hapo umekoea kdg hija na arafa zilikuwepo, kwani muanzilishi ni Ibrahim baba wa mitume na wewe mwenyewe umesema hapo punde kua mambo ya kuchinja na hijja yameanza zama za nabii Ibrahim , na ndiomaana kabla ya mtume Muhammed watu walikua wafanya ibada ya hija ila kufaradhishwa hijja ni zama za mtume Muhammed swallahu alyhi wasallam. Ila arafa imebaki kua ni sunnah
@SafiaHaji-fo3sl
@SafiaHaji-fo3sl 27 дней назад
mstowe mawaidha kwa kujionesha
@nassorsarahan8334
@nassorsarahan8334 28 дней назад
Suali alipo amrishwa kumchinja yy slikua ana miaka mingapi
@tibabilashirki3712
@tibabilashirki3712 Месяц назад
Munatakiwa mumfate mumfikishie Sio kusema humu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 28 дней назад
Akaaa!Imchuzi mwekundu!kwrli jmniii huyu ni kituko na sio kichekesho!
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
SUBHANALLAH! MADAARAKA HAYA NI MTIHANI KWELI! HIVI MIAKA MICHACHE ILIYOPITA WAKATI UNASEMA ARAFA INAENDANA NA KISIMAMO CHA ARAFA ULIKUWA UNA CHANGAMOTO GANI???MUOGOPENI ALLAH NYIE BAKWATA!!
@maufoung
@maufoung Месяц назад
Hakuwa na helimu labda
@kisanganyakiswanta1379
@kisanganyakiswanta1379 Месяц назад
Alikua amelewa labda😅
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps Месяц назад
Tuletee hiyo video aliosema hivyo
@user-fb8ng4zu4r
@user-fb8ng4zu4r Месяц назад
Mbona hii clip ni ya muda kabla hata hajawa sheikh WA mkoa
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
@@SelemaniSelemani-bw4ps YAANI SHEKH ANAISHI TANZANIA ALAFU ANAKUJA NA HOJA YA CHINA UTADHANI NA YEYE NI MCHINA!
@majidkhalifa3250
@majidkhalifa3250 28 дней назад
kwahiyo shekhe yeye kasoma sana kuliko wenzake wanakopi mh elim nipana
@HamiduAbdallah-hd8wt
@HamiduAbdallah-hd8wt 25 дней назад
Shekhe walikid muogope mungu wako kwa fatwah unazozitoa kwa waisilamu wa tanzania hakuna tarehe 2tofauti kati ya saudia na Tanzania ingia kwenye word krock tunajua kinacho waangaisha maslahi ya dunia hakuna Asiye jua kuwa BAKWATA.Aliiasisi Raisi Nyerere huko Iringa mwaka 1968
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b Месяц назад
Endelea hivyo hivyo kuwachezea wasiojielewa wavivu wasio soma na wasiofuatilia uislam
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад
UMESOMA WAPI ? MBONA MASHEKHE WA SAUDIA NDIYO FATUWA YAO HIYO MAWAHABI WA TZ HAMWISHI KUJIPENDEZA KWA WASAUDIA WAKATI WASAUDI HAWANA HABARI NA UPOTEVU WENU MAWAHABI ALLAH AKUONGOZENI NYINYI PAMOJA NA SISI AMIN
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo Месяц назад
kwa nini mifano ya arafa unatolea china .kwa nini hamtolei tanzania
@braqutourssafaris4672
@braqutourssafaris4672 Месяц назад
Kwan uislamu ni WA tz pekee ndugu ?
@bihayisefu8810
@bihayisefu8810 Месяц назад
Nam shekh: tofauti nini kt ya kufunga taraerhe na tukio la arafaa?
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 Месяц назад
UPO VIZURI SHEKHE MWEZI NDO UNAFATWA.ANAGALIA ULIPO.WANASIMAMA ARAFA WE SOMA DUWA ZAKO KAMA KAWAIDA NA SIKU YAPILI ENDELEA MUHIM ANGALIA MWEZI NA TRH ULIPP
@zubedaallymuhammed8465
@zubedaallymuhammed8465 27 дней назад
Sheikh walid allah akulipe kheri .na hawa majahili wanaofuata uzushi achana nao sisi twakuombea dua .na allah akulipe kheri
@maufoung
@maufoung Месяц назад
Duh! Shekh Warid we kiboko😆umeifanya vipi hii?
@salehthesword
@salehthesword Месяц назад
Yaani Waislamu msipate tabu ukishamuona Shee anamipete imemjaa ujue hamna kitu.
@abakibibi9917
@abakibibi9917 Месяц назад
USISAHAU KUMFAHAMISHA KADHI WA KENYA MASAA YA CHINA YEYE AMETOFAUTIANA NA TANZANIA KUHUSU ARAFA
@makenaOG
@makenaOG Месяц назад
Mashekhe wa huko kenya tayari washamkosoa
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b Месяц назад
Hana Aya wala hadithi ndo anachanganua hivyo
@MariamHamad-cd6hy
@MariamHamad-cd6hy 29 дней назад
Hebu jiulize nafsi yako je Ile siku ambayo watu wote duniani pamoja na ndugu zetu watanzania pia wanaposimama arafa makka sio yaumu arafa ?na hii siku yetu ya kitanzania Tu ndio siku ya arafa?tusiburutweee ndugu zangu na watu wasio na elmu Bali tuwasikilize watu wenye ilmu ahlulilmu.tuitukuze ibada ya hijja tusije tukapinga nguzo ya kiislam.unajifananiza na watu wa marekani na China wakati wewe uko karibu na Makkah umepishana nao Makkah Kwa dakika Kumu na tano tu.waangalieni hao mashehe zenu hao ubwabwa wanatoa mawaiza ya Stori za paukwa pakawa kisha wanakushanya hela hapo halo mbele yenu , ndugu yangu amkaaa!
@HassanAhmedAbdallah
@HassanAhmedAbdallah 27 дней назад
Jibu la kua hakukueko simu wala tv wala radio,hao walikua na udhur na ajabu unae jigamba msomi kama wewe, ukaiponza hii kaida " ما جاز لعذر بطل بزواله.Lenye kuruhusiwa kwa udhuru, ruhusa inabatilika kwa kuondoka udhuru. Imam suyuti katika kitabu chake, Al ashbah wannadhaair
@majidkhalifa3250
@majidkhalifa3250 28 дней назад
mbona hakukua na gari enzi ya mtume kama haifayi kuangalia tv
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
ALAFU MBONA NYIE HUWA MNAPENDA KUTOA MFANO WA CHINA AU AUSTRALIA? KWANI TANZANIA AMBAYO MNAISHI INATOFAUTIANA NA SUUDIA MASAA 6??? WEWE TNZANIA UNAPASWA KUZUNGUMZIA MACHWEO YA TANZANIA NA SI CHINA MAANA SISI SIO WACHINA!
@shamzone388
@shamzone388 Месяц назад
Wanazungumzia china maana tumeambia ndani ya quraan itafutieni elmu japo china Mfano mwengine tu suudia ni arafa uk australia canada na nchi nyengine bado haijafika hiyo siku upo ndugu yangu
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
@@shamzone388 Sasa yeye aache kupotosha umma kwa kutetea maslahi yao aizungumzie Tanzania na Suudia kwmba je tuna tofauti ya maasaa 6 kiasi kwaba tuwe na trh mbili tofauti??
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 Месяц назад
​@@shamzone388hakuna qur'an ilotwambia tafuta elimu mpaka China mnapata dhambi shauri yenu
@makenaOG
@makenaOG Месяц назад
Hivi unajuwa saudia wanaswali alfajir saa tisa kama nusu hivi je tz wanaswali alfajir saa ngapi kwa hiyo hata kama masaa yako sawa ila kwa Saudi jua liko mbele sana
@user-km7xi4ev9j
@user-km7xi4ev9j Месяц назад
​@@makenaOG kutofautiana masaa na mawio na machweo co hoja. Mtume allaah amfikishie rehema na amani ametufahamisha tufunge cku ya arafa. Hvy alie mbele au nyuma ya saudia (TUKIO LA ARAFA) ataanza swaumu kwa mujibu wa alfajiri ya mahali alipo lkn siku ni hii hii jumamosi kwa maana hakuna nchi iliozidi masaa 8. Kwa sbb huko china saa hii saa kumi na nusu hvy yumo ndani ya siku ya Arafa (JUMAMOSI) na huko canada saa hii ni saa kumi na nusu Alfajiri wanakula daku kwa ajili ya swaumu ya arafa ndani ya jumamosi hii hii. HVY TOFAUTI YA MASAA, MAWIO NA MACHWEO C O HOJA Y MSINGI Kw nn tuwe na siku 1(JUMAMOSI) lkn tarehe zitofautiane? Tafakari
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 28 дней назад
Mtume alisema"HIJA NI ARAFA"sasa hizo porojo za nini?au hii hakuipata?hapa sio pahala pa vichekesho ni pa kutoa hoja za kielimu!huyu kweli ni kiongozi wa waislamu?
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 28 дней назад
Hatutaki manrno kujifanya unahua kuongea et kuchanganua Ni kinachotakiwa ushahid na wa qur'an na hadith Sio mabeno utoe kichwan Huyo unae mtaja nurdin humuwez Ubishi tu lkn nafsi inakusuta
@mohammedabdallahalazri3238
@mohammedabdallahalazri3238 Месяц назад
Sasa kama hiyo siku ya arafa ndiyo siku zilizoumbwa roho zote.Jee hizo roho za Wanzibari wa Oman wa Saudia wa Tanganyika ziliumbwa siku tofauti na hii Iddi tunayosali mwezi kumi haihusiani na hijah ya huko Makka?
@abdulabdulathumani5992
@abdulabdulathumani5992 Месяц назад
Allah ndo anavojalia wakat awa wamepumzika wengine wanafanya ibada na siku anavohesabu Allah na sisi sizanikama sawa kwa elimu yangu yakusoma qur'an
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 29 дней назад
Haya maneno ni mazuri na ni matam lkn sasa atupe rejea tupate kusoma zaid
@TijosHaba-xi8vy
@TijosHaba-xi8vy Месяц назад
Sija kuelewa
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 29 дней назад
Acha kubabaisha waislamu kuna siku inaitwa arafah? Dalili yako ni nn eti hiyo siku yaitwa hivyo muongo sana we shekh Allah anakuona
@hldysnlk
@hldysnlk Месяц назад
Matumbo yatawapeleka Mashekhe Pabaya... Hayo ni kwa wale mapoyoyo.. Illa kwa watu wenye akili sawasawa na kuchanganua haqiqa ya dini hamuwezi kuwapoteza kizembe haiwezekani. Saudia na Tanzania....swasawa tuu.. Tuliopita ktk darasa la Geografia...tunawaona mnapiga tiktaka tuu illa mwajua ukweli..
@abdulabdulathumani5992
@abdulabdulathumani5992 Месяц назад
Hakukuwai kuwa na hoja suudia na tz bali duniani na ikiwa dunia wakat suydia saa12 kwengin saa9 usiku awajapat taraweh awajatia nia awa watafung sawa na saudia
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 Месяц назад
Jiheshimu
@SharifuKombo-rb6vk
@SharifuKombo-rb6vk 28 дней назад
Hy ww ndy umeongoka jmn
@HassanAhmedAbdallah
@HassanAhmedAbdallah 27 дней назад
Mbona hutuambii Tanzania watwambia chaina? Alafu hujambiwa swamu ya siku ya arafa, hivyo hata tukitafautiana masaa 10 ikabaki masaa2 tu bado yupo ndani ya siku ya arafa. Haya ww hapo na maka mnatafutiana matlai?
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
PIA HAIINGII AKILINI ETI TANZANIA NA SUUDIA ZINAPISHANA TOFAUTI YA DK.CHACHE ZIPISHANE TAREHE YAANI NA TRH MBILI TOFAUTI!!! NYIE ENDELEENI KUTETEA MASILAHI YENU KWA GIA YA DINI
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад
ARAFA NI MWEZI INAO ANDAMA DUNIA NZIMA NA SWAUMU YA ARAFA HAIYUSIANI NA HIJJA HATA KAMA HIJA HAIPO ARAFA IPO PALE PALE
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i Месяц назад
Tarehe gn na mwezi mbn kifuu tundu ww
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 27 дней назад
Baada ya kuteuliw aumebadili msimamo ? We si ulisema tuende sawa na arafa ? Wape wafuasi wako hadisi za mitaani uongo ukiwakolea wacheke Wakishacheka watakuona ww bonge la shehe Kumbe hamna kitu ni ilmu l falaq tu
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx Месяц назад
Huna lolote
@AllyAlmiskry-yy3xk
@AllyAlmiskry-yy3xk Месяц назад
Bora wewe mwanawazuoni kama yeye Hana lolote soma kwanza usimkosoe tu
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd Месяц назад
Ww unalo tuambie somo yngu
@eddiqota
@eddiqota 29 дней назад
hiyo siku ni moja ama mbili sasa kama Allah aliwauliza watu siku 1 ina maana gani mnapotaka kuwepo siku tofauti ?
@user-su7eu5yn6q
@user-su7eu5yn6q Месяц назад
Waislamu wote nindugu sasa unapungukiwa Nini ww muislamu watanzania Ambae masaa,siku zinaendasawa namji mtukufuwa maka ambako ndipo inapotekelezwa ibadatukufu ya hija ambayo ndaniyake inapatikana kisimamocha arafa unakossnini ukifuata tareheya mahujaji unakossnini na tangazo la Allah tushikamane kwenyekambamoja sasa ipi mnang,ang,ANIA tarehezenu tuwekeni wazi mnapata faidagani mkitengeneza hitilafu sahemu ambayo ipowazi sana?
@checkcheck5191
@checkcheck5191 Месяц назад
Kweny vitu vyenye dalili usitumie akili.
@braqutourssafaris4672
@braqutourssafaris4672 Месяц назад
Shida yenu mkishindwa hoja mnatia huruma na kusoma Aya nyengine 😂😂jibun hoja kwenye sunna na hadith uislamu sio WA Tanzania peke yake na Wala wacha Mungu hawako hapa peke yake
@makenaOG
@makenaOG Месяц назад
Changanua utapata jibu sahihi
@abdulabdulathumani5992
@abdulabdulathumani5992 Месяц назад
​@@braqutourssafaris4672saa wakati makka wanaon mwezi kuna nchi huko saa9 usiku awajapata taraweh atania awakupat je dunia nzima twende sawa . Kwasab atasaa za kizungu akuna anaengalia kwa mwenzie anaangalia masaa na dkk zake zitimie cku ibadilike
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 Месяц назад
Arafa siyo kisimamo arafa ilikuapo kabla ya hijja tusomeni hadithi za mtume
@SafiaHaji-fo3sl
@SafiaHaji-fo3sl 27 дней назад
kwan Tanzania na kenya si nichi tafauti kabla palpokua hapana mawasliano kila nchi ilikua inafunga peke yake nn kilchowafanya sasa hv kufunga pamoja kama si mawasliano
@HassanAhmedAbdallah
@HassanAhmedAbdallah 27 дней назад
Na ndio siku Mtume swa alishukishuwa Aya alyawma akmaltu lakum diynamum akiwa katika Kisimamo cha arafa,waambie nahilo. Hadithi ndani ya bukhari na muslím
Далее
skibidi toilet multiverse 039 (part 2)
08:58
Просмотров 4,9 млн
Mahujaji wa Tanzani wakiwa Jamarat kutupa  Mawe
25:51
Просмотров 17 тыс.