Тёмный

Nyimbo pedwa na Bora zaidi za Bikira Maria // The Best and beautiful songs  

Mawaridi Media
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 179 тыс.
50% 1

Asante sana Kwa kufungua na KUSIKILIZA nyimbo za Bikira Maria naomba usisahahu kugusa alama ya SUBSCRIBE ILI kuweza kujumuika nasi na kupata TAARIFA ZOTE na mkusanyiko wa nyimbo MBALIMBALI kutoka KATIKA channel yako pendwa ya #Mawaridimedia
Nawakumbusha kuendelea kusali Rozari ya Fatima kwasababu huu ni mwezi wa Rozari mwezi wa 5 na mwezi wa 10 kwasababu tunajipatia neema nyingi kupitia kusali Rozari takatifu
Mama Maria muombezi wetu tunaomba uweze kutujalia neema na baraka tele kutoka Kwa mwanao Bwana Yesu Kristu
NB: NAOMBA USISAHAU KUGUSA ALAMA YA SUBSCRIBE ILI TUWEZE KUINJIRISHA KWA PAMOJA

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@albertsimwela2163
@albertsimwela2163 6 дней назад
Ninakushukuru san mama yetu Maria kwa kuendelea kuniombea kwa Mungu baba,ninakuomba uniombee kwa Mungu baba anipe mwanamke sahihi wa kuoa Amina 🙏.
@julianakilonzo4326
@julianakilonzo4326 7 дней назад
Asanteni very beautiful songs I like them
@valerieallexynah7351
@valerieallexynah7351 4 месяца назад
Kimbilio La..wakosefu Utuombee..
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏
@user-oh1hj7ku1e
@user-oh1hj7ku1e 10 дней назад
❤MAMA MARIA ulie jaaneema utuombee Sisi wakosefu Sasa nasaayakufa kwetu AMINA❤❤❤❤❤
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 3 месяца назад
Niongoze vema mama maria mimi na watoto wangu wape muongozo mwema wakumjuwa mungu na bwana wetu yesu kirstu amina
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@NataliaGabriel-hv8dj
@NataliaGabriel-hv8dj 4 месяца назад
Hakika mama huchoki kupigania maisha yetu wenye dhambi
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Hakika amen 🙏🙏🙏
@michaelmasigo7284
@michaelmasigo7284 3 месяца назад
​@@Mawaridimedia😊😊😊
@EsterCharles-r6n
@EsterCharles-r6n 2 дня назад
Mama maria mama wamkombizi uniombee kwamungu wetu nifate nwenendo wako
@user-bo8hb2qj4v
@user-bo8hb2qj4v 3 месяца назад
Mama Maria naomba niombee kwa mwanao hii njia nilioiendea iwe ukamilisho wa kufika mbinguni na kuisha maisha ya mfano kwa Jamii AMINA.
@michaelvictor843
@michaelvictor843 2 месяца назад
Mama Maria mama wa mkombozi wetu utuombee sisi wanao tunaosumbuka hapa duniani tufike saĺama mbinguni kwa Mungu❤❤❤❤❤❤❤
@MercyJemeli-wv1ye
@MercyJemeli-wv1ye 15 часов назад
Mama maria mtakatifu sana uniombee kwa mwanao yesu kristu 🙏🙏🙏🙏
@jackyanyango8355
@jackyanyango8355 3 месяца назад
Mama Maria nakupenda na moyo wangu wote
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@CiciliaKilonzo
@CiciliaKilonzo 3 месяца назад
Mama wa rosali takatifu tuombee ee mama❤❤❤
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@lucyndungu6133
@lucyndungu6133 Месяц назад
The joy of having a mum as Queen of heaven and earth gives all Peace and strive to do good always
@reginahwaa2385
@reginahwaa2385 День назад
Mama Mpendwa, hasante kwa mapenzi yako kwetu. You are always our caring and loving Mother.
@TinaAzama
@TinaAzama 18 дней назад
Je rend grâce à dieu de nous avoir donnée marie de l enfant jesus comme mére de toutes l humanité marie intercede pour nous auprès de ton flis Jesus amen 🙏 ♥️ ❤️
@julietokuba
@julietokuba 4 месяца назад
Mama Maria mama mwenye huruma nyingi uniombee mm mkosefu Kwa mwanao YESU Kristo 🙏🙏🙏
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@josephineamandi766
@josephineamandi766 3 месяца назад
Msaada wa wakristo... utuombee ☺️💕
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@DianaKimai
@DianaKimai 2 месяца назад
Mama Maria umuombee mama yangu apone atoke hospitali
@lenymutisya9714
@lenymutisya9714 25 дней назад
Mother Mary our Mother intercede for us Mom, there's no Mother who will be happy to see her children suffering, be with s Mother, we love you mamman
@securitysmallfivevet
@securitysmallfivevet 3 месяца назад
Mama maria mwezi wa sita ni mwezi wako naomba unikumbukie nyumba yangu ikaee na amani
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏 na iwe ivyo
@user-tg7xh5tt1m
@user-tg7xh5tt1m 4 месяца назад
Ahsante mama kwa kutuombea kwa mwanao sisi wakosefu.
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@AbudurNiyomwungere
@AbudurNiyomwungere 2 месяца назад
Heri wale wakiaminio kama mzazi wao
@MukioMalusi
@MukioMalusi 2 месяца назад
Twakusihi ee mama maria hutuombee Kila wakati .
@user-fb9rx4mb4n
@user-fb9rx4mb4n 2 месяца назад
Maama is malia niombee nifanikishe mahitaji yangu amiina
@maryachuma3491
@maryachuma3491 Месяц назад
We thank God for the sweet voices , Am proud to be a catholic
@flex8173
@flex8173 23 дня назад
Mama Maria tuombee sisi wakosefu
@ElizabethDenis-lw3zg
@ElizabethDenis-lw3zg 24 дня назад
Ee mama bikira maria msimamizi wa wenye kuzimia roho na kimbilio la wanyonge utuombee
@thethenyemba6247
@thethenyemba6247 4 месяца назад
Utuombe kwa mwana wako❤Mama yetu wa mbingu.
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@user-db6ml1um1q
@user-db6ml1um1q 4 месяца назад
Amen
@user-jj6zx1vw9m
@user-jj6zx1vw9m 4 месяца назад
❤❤❤ mama mfariji wenye uchungu utuombee.amina.
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@clararebero1827
@clararebero1827 4 месяца назад
MAMA MTAKATIFU SANA, MAMA MBARIKIWA, MAMA YETU MARIA, Ututie nguvu wanao wakosefu; Utusaidie kudumu katika sala kwa Uchaji, Ibada na kuishi Kitakatifu. Unyenyekevu, Upole na Utii viwe ngao na miongozo kutufananisha na KRISTO MWOKOZI. MAMA MTAKATIFU UTUOMBEE. Amina.
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@ScholasticaMakokha
@ScholasticaMakokha 3 месяца назад
Pongezi Kwa mama maria🙏🙏🙏
@user-zi4ok1td7o
@user-zi4ok1td7o Месяц назад
Tuombee wote mother maria wote tulio kufa mioyo hapa Dunia ila wote tuwapita njia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AbudurNiyomwungere
@AbudurNiyomwungere 2 месяца назад
Eeh mama Maria usituchukie sisi tunajiuliza kwa maovu tunayotenda bali izidi kutuombea tupate kuokoa amen Vianney parokia ya cendajuru Burundi
@Mawazo-vp1vi
@Mawazo-vp1vi Месяц назад
Niku shukuru san mama yetu mlezi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😢
@SimonSamwel-c9h
@SimonSamwel-c9h 4 месяца назад
EE Maria mwombezi wangu leta baraka juu yangu❤❤❤❤
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@magdalenemativo3142
@magdalenemativo3142 26 дней назад
Maria mama utuombee kwa mwanao Yesu. ❤❤
@user-li3kc6tf3o
@user-li3kc6tf3o 2 дня назад
Ee mama bikira mtakatifu wa MUNGU utuombee
@mariayvonne5435
@mariayvonne5435 4 месяца назад
Kimbilio la wenye shida utuombee mama
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@CLMDataCollectorMwanza
@CLMDataCollectorMwanza 25 дней назад
Uwe mdhamini wangu mama yetu mwema
@aumoneriecatholiquepolicee8783
@aumoneriecatholiquepolicee8783 4 месяца назад
Leo siku kuu ya Bikira Maria Malkiya wa FATIMA. Tuwaombeye wasiyo amini Yesu. .... Mungu ni mwema. / Padri Kizito Barungu, Diocese ya Kindu RDC
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏 Mungu na akajidhihirishe kwao
@JulianNzilani
@JulianNzilani Месяц назад
Mama maria tukumbuke kila wakati
@josephineamandi766
@josephineamandi766 3 месяца назад
My favourite ❣️
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@cynthiamwongeli6030
@cynthiamwongeli6030 3 месяца назад
Thanks Lord for the gift of life
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@Leonews-Jr
@Leonews-Jr 4 месяца назад
Mama wa Rozari takatifu UTUOMBEE ❤❤
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@DorothMlaponi
@DorothMlaponi 3 месяца назад
Tusali rozari ili tuwe na amani . Mama MARIA ni mwombezi wetu. Mbarikiwe kwa wimbo mzuri wenye maongozo mazuri
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@catherinemoraa1276
@catherinemoraa1276 3 месяца назад
Mama maria wewe uliye mwingi wa rehema naomba uponaji wa mwili wangu magonjwa yanayonisumbua Kila kujao😢
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@jacsongitonga
@jacsongitonga Месяц назад
mama Maria niombee niwe msafi kamaww
@hellenjemeli4971
@hellenjemeli4971 2 месяца назад
Mama maria utuombee
@BinamunguPastol
@BinamunguPastol 2 месяца назад
Mama maria umejaa neema
@user-es3jy2wq9l
@user-es3jy2wq9l 3 месяца назад
Mama maria mama yetu utuombee kwa mwanao YESU .
@musafirimusafiri7178
@musafirimusafiri7178 2 месяца назад
Kwa watunzi wote wa nyimbo za Mama Bikira Maria, asanteni kwaku tupatia wakati waku tamani kusogelea utakatifu ijapokuwa uzaifu wetu sisi wanadamu.
@scholachannel158cheptoo7
@scholachannel158cheptoo7 Месяц назад
Thank you God for waking me up up
@user-fu9rs5vj3f
@user-fu9rs5vj3f 2 месяца назад
Mother Mary, pray for me and my entire family and friends who are sick to get healed. Amen.
@lencerotieno2255
@lencerotieno2255 Месяц назад
Asante sana Mama Maria,, zidi kutuombea kwa mwanao
@reginandungu
@reginandungu 2 месяца назад
Mama mwenye huruma utuombee
@KulwaMwashi
@KulwaMwashi Месяц назад
Asante mama kwa sala nzouri
@ChristineMithiarukendichristin
@ChristineMithiarukendichristin 3 месяца назад
Asante sana mama Maria kwa kuwa msaanda wangu na familia yangu
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
@ziporakamalakamala5903
@ziporakamalakamala5903 2 месяца назад
Ee mama maria nashukuru kwa maombezi unayo niombea nakuomba utuombee kwa mwanao tujifunze kuomba nakushukuru.
@Zeddy_antony
@Zeddy_antony 2 месяца назад
Maria Mama wa Mungu utuombee🙏
@connieshirima583
@connieshirima583 3 месяца назад
Ee Mama tunaukimbilia ulinzi wako
@hildaelilaki9600
@hildaelilaki9600 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@ReinaldaMapalala-b4m
@ReinaldaMapalala-b4m Месяц назад
Kwaya
@DianaKimai
@DianaKimai 2 месяца назад
Asante mama Maria kwa 17:58 maombi yako
@RithaPascal-vz6xz
@RithaPascal-vz6xz 3 месяца назад
Bikira maria mama wa huruma utuombee sisi wakosefu
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@EmilianaLameck-e4p
@EmilianaLameck-e4p 26 дней назад
🎉🎉lovely mother
@JuliyWekesa
@JuliyWekesa 16 дней назад
Mother of God pray for me 🙏 and my spouse Davis odhiambo
@marygatiji5576
@marygatiji5576 3 месяца назад
Mama maria uniombee Mimi na familia yangu 🙏🙏
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@Namwonja
@Namwonja 10 дней назад
Amina 🙏
@MushiVicent
@MushiVicent Месяц назад
NICHOLAUS NIKO ZAMBIA NASEMA ASANTE.
@YvaKalembe
@YvaKalembe 4 месяца назад
Niombee mama wa yesu, ni mwezi Yako mama Maria
@user-oe7mu4me7h
@user-oe7mu4me7h 2 месяца назад
Mama nakusihi niombee Kwa mwanao Yesu Kristu anijalie maisha mema
@michaelnzyoka8702
@michaelnzyoka8702 2 месяца назад
Nyimbo tamu hapa. Nani kama mama
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 2 месяца назад
Asante mama Maria tuombe kwa mwanao xixi wakosefu
@seimaimbuhira8604
@seimaimbuhira8604 3 месяца назад
Mama marai utuombe sisi wakosefu
@zibwaru
@zibwaru Месяц назад
Utuombee Mama
@AnnoyedCartoonCat-xt9ic
@AnnoyedCartoonCat-xt9ic 3 месяца назад
Asante Sana mama wa mwokozi, tuombee tuwe na upendo na umoja kwa Familia.
@cyrilanalwelisie1531
@cyrilanalwelisie1531 11 дней назад
Mama maria,utuombee
@SimphorosaLibonge
@SimphorosaLibonge 3 месяца назад
Bikira Maria afya wagonjwa utuombee na utusaidie
@Catherine-k3p
@Catherine-k3p День назад
Amate mama wa uruma
@LightnessRaphaely
@LightnessRaphaely 2 месяца назад
amin tunakupenda mam yet wa kiroh
@herinitiative4789
@herinitiative4789 2 месяца назад
❤❤❤you Mamy
@kenyanwalles
@kenyanwalles 24 дня назад
amen
@harerimanajohn8011
@harerimanajohn8011 3 месяца назад
Akisati sana.Nyimbo nzuri kwa Mama Mariya
@RoseMbwawa
@RoseMbwawa 4 месяца назад
Amina
@jameskiarie-se9pd
@jameskiarie-se9pd Месяц назад
Mama Marie tuombee tupate nguvu yakuoba
@FrutunatusMuyango
@FrutunatusMuyango 2 месяца назад
Amina❤❤❤
@AnneJepkmoi
@AnneJepkmoi 2 месяца назад
Amen and Amen ❤❤❤🙏🙏🙏
@KitambalaAnwarite
@KitambalaAnwarite 2 месяца назад
Proud of being a Catholic, thanks guys
@AbudurNiyomwungere
@AbudurNiyomwungere 2 месяца назад
Heri wale wakiaminio kama mzazi wao 39:02 39:08 39:12
@TatuOmar001
@TatuOmar001 3 месяца назад
🤲🤲🤲🤲🙏🙏
@babuumasaki638
@babuumasaki638 3 месяца назад
Tuombe mama wanao amina
@maryachuma3491
@maryachuma3491 2 месяца назад
The songs are soul soothing
@Namwonja
@Namwonja 10 дней назад
Mama Maria tuombee🙏
@NaomChumbaa
@NaomChumbaa 2 месяца назад
Eeh mama yangu mama mwenye huruma na neema utuombee....
@reginandungu
@reginandungu 2 месяца назад
Tuombee mama for our transition here
@FloribertKayoya
@FloribertKayoya 16 дней назад
Thank you Mamy.
@AbudurNiyomwungere
@AbudurNiyomwungere Месяц назад
Ee mama wa Mungu usituchukie kwa maovu tunayotenda bali pamoja nawe chini ya msalaba utuombee tupate kuokoa amen
@ambrosekoech5390
@ambrosekoech5390 Месяц назад
Mama wetu utupe amani na ufanisi katika maisha yetu pamoja na familia zetu.
@dominicandomba6
@dominicandomba6 4 месяца назад
Afya ya wagonjwa utuombee
@Mawaridimedia
@Mawaridimedia 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@gloriaooko4997
@gloriaooko4997 3 месяца назад
Amen
@alainkitenga7005
@alainkitenga7005 26 дней назад
❤❤❤ maman wa moyo safi utombee kwa mwana wako siko zote tutembee ku jia yake ku nehema yake 🎉
@alainkitenga7005
@alainkitenga7005 26 дней назад
Maman Maria uniombehe kwa mtoto wako yezu ju ya mtoto wangu azale muzuru .
Далее
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA | BIKIRA MARIA SONGS MIX
42:09
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.
Мой телеграмм: v1ann
00:14
Просмотров 51 тыс.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
NYIMBO ZA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU - 2024
22:56
Просмотров 63 тыс.
LITANIA YA BIKIRA MARIA-BAHATI ZENA FT KENNYRUSH MUSIC
12:08
NYIMBO ZA BIKIRA  MARIA | Valeriana Mayagaya
38:00
Просмотров 94 тыс.
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA
57:34
Просмотров 765 тыс.
CATHOLIC  BEST MUSIC  MIX BY DJ BONNIE M
35:22
Просмотров 76 тыс.