Hakika mziki ni shida..... Mungu anisaidie ila kwasasa namshukuru Mungu sana kama vile nimeanza na mimi kupambanuapambanua hivi vijimiziki vya shetani vikijivisha maneno ya Mungu. Mungu nisaidie mziki ulinitekaga sana. Asante pastor!!! Ubarikiwe
Namshukuru Mungu kwa kuwa nimejifunza mengi kuhusu muziki angalau ninaelewa sasa bora nionekane mshamba ila nisilize nyimbo za Fanuel Sedekia, Godwin Ombeni, Jackson Benty, Paul Mwangosi,Boaz Danken kuliko hizo za akina Mgogo,Gozbert,Zabron singers,Shusho,Rose,Lwaga wanaimba burudani siyo injili
Fact, naona playlist yangu. Ila umemsahau John Lisu, Upendo Nkone, Essence of Worship, Bahati Bukuku old album, Christina Shusho old album, Martha Mwaipaja old album, Sifael Mwabuka old album, Daniel Mgogo old album, Rose Mhando old album na wengineo wengi ila old au first album huwa ndiyo nzuri sana.
Safi sana mtu wa Mungu, ujumbe wa muhimu sana huu. Jitahidi wakati mwingine wakati wa kurecodi ala za muziki zipungue katikati ya mahubiri/ mafundisho ili ujumbe usikike vyema. Barikiwa mtumishi
Yaani mimi namshukuru sana Yesu Kristo kwasababu alishanionesha siku mingi kuwa huo mziki ni wa kidunia tu. Huo mziki unaoitwa yerusalemu. Sikuwahi kuupenda huu wimbo hata siku mmoja. Jirani yangu mmoja alikuwa anaupenda vibaya sana mno zaidi. Yesu ni mwema, alinifunulia. Yesu Kristo asifiwe sana.
@@RaphaelMsangi kijana acha kuwa mjinga. Maarifa ni neno la Mungu. Kwahiyo tunajua miziki ya kidunia na kwaya au tenzi au nyimbo za injili. 1Yohana2:15. Warumi 12:2. Soma hizo mistari za Biblia. Oky?
@@RaphaelMsangi sawa, jifunza sasa, usije ukajuta baadae. Fuata neno la Mungu tu. Ukiweza hivyo bac utatambua kama mtu ni mwongo au sio. Kuwa mjanja kijana.
Sasa nikulize yelusalemu alio kua anaimba unajua alikua anamanisha nini au kwakua alisema yelusalemu mkajua ni wimbo wa dini ule wimbo wa kidunia afu mchungaji alijuaje mambo ya kuzimu au ndo mambo ya kufikilisha anatuletea sisi
much blessings man of God,kweli kanisa limechanganyikiwa,linahitaji uamsho nena kama Mungu anavyokujalia nguvu kutamka,mwenye sikio asikie neno hili ambalo roho ayaambia makanisa
Amen man of God you have really answered a question that has been disturbing me for a very longtime that why is it that some songs when i feel like singing them they vanish in my mind and all of a sudden a new song from just comes into my mind from the bottom of my heart ,thank you so much speak it into Christians because we have lost sense of belonging
cosimus Mwache Mungu aweze kuhukum Unachokifanya ni kujimaliza ktk kupigana Na Mungu Let God judge Time Will tell kuwa Ametokana na Mungu Au rahaa TANZANIA AMKA MTUMISHI WA MUNGU ALIE JAA ROHO MTAKATIFU HANA MDA WAKUHUM MTU MAANA MDA UPO KATIKA KRISTO YESU TU NDIE MUHUM KUMBKA LUKE 11:49 ZABURI 105:15 GOD BLESS YOU ALL
Amina, mtumishi, Mimi nakuomba uniombee, nyimbo ninazoimba, ziwe zilizotokana na Mungu wa kweli yani Yesu Kristo wanazareti alie hai, na Yesu anikoe mikononi mwa shetani, Yesu nikoe
Daaaa..kweli hii dunia ilipofika pabaya..mm nimekuelewa lakin kicha kinaniuma ninapoona asilimi 80 za vijana ndio nyimbo zetu hizo... nashukur ubalikiwe sana mtumishi
Continuez à dire la vérité serviteur, et n'arrêtez pas de dire la vérité, vous en sauvez beaucoup, je prie pour que Dieu continue à vous bénir parce que vous dites la vérité, que Dieu bénisse votre service. Amen Endelea kusema ukweli mtumishi, na usiache kusema ukweli, unaokoa wengi, naomba Mungu aendelee kukubariki maana unasema kweli, Mungu abariki utumishi wako. Amen Keep speaking the truth servant, and don't stop speaking the truth, you save many, I pray that God continues to bless you because you speak the truth, may God bless your service. Amen
Shida kubwaa umebaki mkosowajji kila kilichopo hapa dunian bado utasema hata kunya nizambi tushike lipi baba tuache lipi dah Tusubir hukumu ya Mungu tu
Pia kuna mziki umeenea makanisani wanasema sengele ya Yesu wanashonea mawigi kichwani watingisha kichwa wanakizungusha na bila kushonea hilo wingi anasema awezi kucheza
Kama kuzimu nako wanamuimbia Mungu, ni ushindi mkubwa. Yesu alisema, kama nyie wakina Paschal mlioacha kumuimbia Yesu na kugeukia kiki za mitandoni, Yesu atainua mawe na ndo akifanyacho. Acha wivu
God bless you, nimeerea sasa kwa nini iyi nyimbo imezunguruka fasi nyingi Duniani ,hata uraa bazungu bausikia banaupenda nashangara, kumbi ninguvu za giza.