Тёмный

OGOPENI UMOJA HUU NI HATARI EV PASCHAL 🇹🇿 CASSIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 142 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

#0766998994 #call0688199370 #call0688199370 #0788871769

Опубликовано:

 

25 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@newschannel1558
@newschannel1558 7 месяцев назад
inasikitisha sana kuona sasaiv Kila mtumishi wa Mungu unatumia picha yake kufundisha mafundisho ya wanaotumika na shetani. Nakuomba sana mtumishi Muombe Mungu akupe ufunuo wa kiroho kuwajua lakn sio kueka Kila picha. Mfano pastor Chris ni mtu wa Mungu kabsa na anasimamia kwa nguvu sana injili ya Mungu daah inaumiza sana kuona umeeka picha yake hapa. lakn pia waambie basi na watu watumishi wakwel unaowajua Leo maana watu unawaacha njia ya panda na ukwel hata Sasa bado wapo watumishi wa kwel Mungu anawatumia
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 4 месяца назад
Amen nasikiza maubiri yako yananifuza mambo mengi sana
@mercymamuya7844
@mercymamuya7844 7 месяцев назад
Haleluyah ni ukweli kabisa laiti ningejuwa hili tokea ujana wangu. Mungu akulinde sana mtumishi wa Mungu.
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 7 месяцев назад
Aisee kumbe kila anaefanya miujiza sana kwako ni Mtu wa Shetani, akina Pastor Chris mafundisho Yao Yako strict ni injili ya Kristo sema kila ukiona miujiza ni mingi unaingiwa na mashaka ❤❤❤
@KayingaJailos
@KayingaJailos 6 месяцев назад
Na hiyo ndio doubt yangu kwake
@evelinadodie9443
@evelinadodie9443 6 месяцев назад
Wanafanya kazi kwasiri sana hadi uwe na Roho wa Mungu Ili akufunulie au utawatambua hata kwa matendo yao ya mwilini mpendwa
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 6 месяцев назад
@@evelinadodie9443 Mimi Nina roho mtakatifu na ananishuhudia pamoja nao, kuwa wao ni Wana wa Mungu sawa na Mimi na wanatenda miujiza sana
@GamalieliMusembi-wv6sg
@GamalieliMusembi-wv6sg 7 месяцев назад
Daaah.. Muirsael kweli kweli.. Kifua kilichobeba chepeo ya wokovu. Umesimama kama mwanasimba... Wacha tuchangie huduma
@neyjames7529
@neyjames7529 7 месяцев назад
Sema mtumishi sema wenye masikio na wasikie Mungu afungue masikio ya walio wake yaisikie sauti hiii
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 7 месяцев назад
Ubarikiwe Mtumishi WAMUNGU ALIYE HAI JUU ZAIDI MBINGUNI AkutiyeNguvu Zaidi
@romanusmasanja115
@romanusmasanja115 7 месяцев назад
Ubarikiwe Sana mtumishi.
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 7 месяцев назад
Mtumishi pascal, Bahati bukuku yupo kupotosha watu, et urembo ulimfanya mwanamke kahaba apate kibali kuingia mbinguni, yaaani kwamwita Bwana YESU, et jamaa alipoona urembo wa yule kahaba alishawishika akasema wewe over mbinguni moja kwa moja. Please fatilia
@agnessima5032
@agnessima5032 7 месяцев назад
Lakini Yesu huyohuyo alisema mwisho wa siku kutainika mitume na manabii wapinga Kristo....mmojawapo ni wewe.😢
@evelinadodie9443
@evelinadodie9443 6 месяцев назад
Mungu akusaidie
@evelinadodie9443
@evelinadodie9443 6 месяцев назад
Mungu akusaidie
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 7 месяцев назад
Asante somo nzuri rakini watu walikuwa wanapendana arafu wakifika kuwowana razima ikiwa wako dini tofawuti muke alikuwa amugewukie mwana wume abatiziwe dini yamume ndo wanakuwa pamoja kwasababa imani tayari nimoja.
@SifaMwakisambwe-kn3yl
@SifaMwakisambwe-kn3yl 6 месяцев назад
Mtumishi hatutakiwi kuwasema watumishi wa MUNGU. Hubiri neno acha ngano na magugu viote pamoja MUGU anawajua waliowake.
@neyjames7529
@neyjames7529 7 месяцев назад
Mungu azidi kukutumia na akulinde hakika
@DeborahMugisha1
@DeborahMugisha1 5 месяцев назад
Shetani aliyekutuma kutupoteza Hana nafasi Wakati huyu Acha kupoteza muda wako kwenye mitandao
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 7 месяцев назад
Amen amen. Amen😂😂😂nikweli mungu atulide naulimwenfu😢😢
@user-ts8po9rz1n
@user-ts8po9rz1n 7 месяцев назад
Kwakweli Mungu mwema sana Mtumishi Mungu atusaidie sana
@user-ji2ks9ex9s
@user-ji2ks9ex9s 6 месяцев назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi Mungu akupe maisha marefu
@user-sv4rf2rz1y
@user-sv4rf2rz1y 7 месяцев назад
mungu akutiye nguvu mtumishi
@agnessima5032
@agnessima5032 7 месяцев назад
Mhhh! Mama wa dini zote...ACHA UWONGO PASCHAL....unatafuta waumini kwa nguvu....😢 halafu kuhusu walokole enzi za kina Paulo walitoka wapi na ukatoliki ndo ulikuwa umetawala?? .....Hata Nebukadreza aliua, akakufuru na akaongoka.
@DonDesdery
@DonDesdery 5 месяцев назад
Kwan umelazimishwa kuamin?
@user-mn2hb7xt9k
@user-mn2hb7xt9k 7 месяцев назад
KAZI unayo kasian waombee sasa wa mungu utakuwa umewasaidia kuliko kila CK maneno yako
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 6 месяцев назад
Mimi namkubaligi sana huyu mtumishi,,lakini kitunbacho nashindwa kumwelewa mbona watumishi wengine wote anawaona waongo.Hata Kama ilitabiriwa watakuja Nabii wauongo,lkn Sasa ndiyo wote waliopo waongo?
@FurahaExpress
@FurahaExpress 7 месяцев назад
Mungu akubariki mutumishi
@sarahamri1620
@sarahamri1620 7 месяцев назад
Mungu anatupenda jamani
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 6 месяцев назад
Lakini sasa kwann umewaweka hao watumishi picha zao hapo,mbona kati yao hapo wapo wanahubiri vizuri hawatoki nje yaneno,mimi nakukubali sana,lakn kwakiweka picha zawezio nahuku ukihubiri mambo yanayowadanya waonekane wao niwauongo wote mimi hapo hapana mtumishi,siyo sahihi.Kama weww unafanya hivyo hauoni unachukia nafasi ya Mungu,Mungu afanye nn sasa.Wapo wanaosimama katika neno pekee kufundisha watu,lkn kwann unawaona waongo wote mkweli peke yako,mmmmh Mbingu sote tunaitaka lkn Mungu tusaidie,maana unavyowasema vby watumishi wengine kunawashirika wanaamua kuondoka nakuacha lmani mara baada tu yakisikia kiongozi wake kasemwa vby,ama kawekwa picha yake hapo,katika mapokeo ama uelewa wakulipokea jamno tumetofautiana.
@hadijagoyandi7603
@hadijagoyandi7603 6 месяцев назад
Tunachangia huduma
@DonDesdery
@DonDesdery 5 месяцев назад
Anazungumzia umoja na umoja huo utataka kuwaunganisha na wale wazuri ,
@DanielMichael-fq6br
@DanielMichael-fq6br 4 месяца назад
Uyu Sasa ndo mtumishi wA kwel mi nawambieni tusome neno kwenye bibilia
@frankbeyanga9841
@frankbeyanga9841 7 месяцев назад
Barikiwa xana mtumishi wa kweli wa mungu
@DeborahMugisha1
@DeborahMugisha1 5 месяцев назад
Uyo ni wivu unakusumbuwa ndiyo Sababu unapiga Kelele kwenye mitandao Na kuingiliya Mayisha watumishi wa ukweli wewe umechanganikiwa na sura Yako inaonyesha kabisa wewe ndiye mutumishi washetani na wa kristu wote wamekukimbiya
@BerylSeer1
@BerylSeer1 7 месяцев назад
Mimi Nika Dhani mnyama ni Joka, haaaa mimi sio mpagani
@JohnstoneMutunga-hb3xn
@JohnstoneMutunga-hb3xn 7 месяцев назад
Mungu akutie nguvu mtumishi
@gmbrown1429
@gmbrown1429 7 месяцев назад
Sasa mtumishi paschal sizani kama utakua ujaona video ya bahati bukuku. Amedai kua urembo unaitajika mbinguni, yaani ata makalio navyote kama make up. Chtistina shusho, umemupa vidonge vyake 👍tamaa iilikua imemzidi. Bahati kakulipa mbona ujamripua?staki unipe wasi wasi mtumishi
@oficialtebo896
@oficialtebo896 7 месяцев назад
Mtumish wAmbiee watu wamegeuza mungu Kama kityu Cha kawaida sku ipo
@JohnstoneMutunga-hb3xn
@JohnstoneMutunga-hb3xn 7 месяцев назад
Hiyo hapana mnajidanganya wenyewe
@adamjulius9782
@adamjulius9782 7 месяцев назад
Camanda paza. Sauti yako wambie tumekaribia nyumbani,. Maasikofu wamenyamaza hawajawa waawazi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 7 месяцев назад
Jamani jamani,,,,hakuna kugandana ika chapa ilale,,,,eeee MUNGU tusaidie
@prof.normanking7319
@prof.normanking7319 7 месяцев назад
Hongera sana
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 7 месяцев назад
Du Asante saaana
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr 5 месяцев назад
Hivi pastor Chris unamweka apo kwenye picha ni mtu wa shetani au unabahatisha tu
@mageselusambagula4258
@mageselusambagula4258 7 месяцев назад
mungu atusadie
@Pendopasilika
@Pendopasilika 7 месяцев назад
Ni hayari sana siku hizi hata makanisa ya kiroho yanaungana makanisa matano ila ni dhehebu moja hapo inakuwaje mtumishi ni vema au si vema
@DanielMichael-fq6br
@DanielMichael-fq6br 4 месяца назад
Mim
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 7 месяцев назад
Injili zipo mbili,ya Paulo yawasio tahiriwa na ya Petro ya waliotahiriwa,wewe unaifua ipi? Wagalatia 2:7
@user-ki6hk1wb2g
@user-ki6hk1wb2g 7 месяцев назад
MUNGU akupe ujasili zaidi ili ukweli uhubiliwe watu wapone kipindi kigumu hiki
@pastorbonifacenjiku2955
@pastorbonifacenjiku2955 7 месяцев назад
Kwanini umeweka picha za hawa wahubiri??
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 7 месяцев назад
😂😂😂 ndoa kamari. Nilidhani nitaoleka Tanzania, kumbe sio maana imani yangu haitaambatana nao. Itakua sijafungiwa nira sawa sawa. Mungu kwa mapenzi yako naomba usaidizi wa kukaa na marafiki wa imani maana hakuna shirika wa giza na nuru.
@esterpeter8556
@esterpeter8556 7 месяцев назад
Msema ukweli
@marcodavid4183
@marcodavid4183 7 месяцев назад
Sasa ndo umuweke askofu gwajima kwenye hilo genge ndugu yangu?....mbona wamchukulia poa sana....huyu ni mjoli wa Bwana...hata kama wamuona kakosea jambo muonye ila sio kumuweka kundi moja na magugu...usifanye hivo next time maana unakuwa unaushambulia mwili wa kristo....haitakuacha salama hata wewe.
@stephanomkongo4668
@stephanomkongo4668 7 месяцев назад
Imeandikwa ijue kweli nayo kwel itakuweka huru
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 7 месяцев назад
We huoni picha yake na yeye amejiweka?
@user-bt9cm4cj4i
@user-bt9cm4cj4i 7 месяцев назад
Sika unachokisikia unakiamini, na sikila ushawishi unakuja mbele Yako unautendea kazi,zijaribun hizo roho
@agnessima5032
@agnessima5032 7 месяцев назад
​@@magdalenapeter6106😂😂😂😂😂
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 7 месяцев назад
unaowasema ni makafiri wenzako ,maana wote sio waislam,kama nimoto wote mtaingia
@NUHUONLINETV
@NUHUONLINETV 7 месяцев назад
MTOTO AKILILIA JELA MPATIE
@user-hf9ei6oj7r
@user-hf9ei6oj7r 7 месяцев назад
Huyu mtumishi amenifungua nakweli anaushuhuda mkubwa
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 7 месяцев назад
Ubarikiwe Mtumishi WAMUNGU ALIYE HAI JUU ZAIDI MBINGUNI AkutiyeNguvu Zaidi
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 7 месяцев назад
Ubarikiwe Mtumishi WAMUNGU ALIYE HAI JUU ZAIDI MBINGUNI AkutiyeNguvu Zaidi
Далее
Would you help?!😳
00:32
Просмотров 5 млн
UONGO MTUPU MIUJIZA  EV PASCHAL CASSIN
26:01
Просмотров 12 тыс.
KANUNI ZA KUSOMA BIBILIA
56:12
Просмотров 40 тыс.
Would you help?!😳
00:32
Просмотров 5 млн