Тёмный

Nyisake Chaula_Sadaka kama kipimo 

Nyisake Yuda  Chaula
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Somo: Uhusiano wa Madhabu hekalu na waabuduo

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 3 месяца назад
Mungu akubariki sana nimekupata vizuri Niko Niko marawi
@lyn254
@lyn254 8 месяцев назад
Nakupenda mama unafundisha ukweli kabisa.
@daughterofzion276
@daughterofzion276 Год назад
Nimebarikiwa mtumishi wa Mungu. Napenda jinsi unavyomtumikia Mungu. God bless you in Jesus' Name.
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj 4 месяца назад
Amen 🙏🙏 nimejifunza from Saudi
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c Месяц назад
Hallelujah
@ceciliakatumo3787
@ceciliakatumo3787 9 месяцев назад
Watching from Kenya - This message has greatly blessed my heart! Asante Mtumishi wa Mungu!
@elizabethchiwamba8372
@elizabethchiwamba8372 8 месяцев назад
Mbona mimi mtumishi wa Mungu nimeokoka ni mwaka sasa ,naabudu kanisa la kipentecoste, lakini unajitahidi kumtolea Mungu SADAKA, anasinama mtumishi madhabahuni wakati wa KUOMBA anaanza kusema wengine wanajidai kutoa sadaka, fedha nyingi kuwarubuni watumishi wa Mungu, maneno hayo huwa yananiumiza sana, unashindwa kumuelewa huyu mtu ana maana gani?
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 8 месяцев назад
Shetsni anaweza kumtumia.yeyote kukukatisha tamaa lakini wewe angalia kuwa je umetoa kwaajili ya kitu gani?
@CostansiaIsdory
@CostansiaIsdory Месяц назад
Nakuelewa sana mama
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Год назад
Tunajivunia kuwa na watu kama ninyi ktk hii Inchi yetu ya Tanzania Mungu akubaliki sana Mtumishi uje na Kigoma nako tumekumis
@happneswiliam1499
@happneswiliam1499 Год назад
Amen mtumishi wa mungu nimekuelewa kwa upana zaid. Barikiwa sana
@giselemwenge6225
@giselemwenge6225 Год назад
Amen sasa mimi ninapo pata hela napenda nitoe moja, ya kumi ndani ya moyo wangu kunakuwa vita kali nashindwa kutoa sadaka ya moja ya kumi, Mungu aniwezeshe kabisa.
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 Год назад
Kemea hiyo ni roho ya adui
@zelda9450
@zelda9450 10 месяцев назад
Barikiwa
@zinatyben
@zinatyben Год назад
Amina barikiwe mama
@borasimukindje9633
@borasimukindje9633 Год назад
Amen kubwa mama Asante mungu kwa somo nzuri hinayo tufundisha mtumishiwakò tumepatakuju mungu azidi kukuweka mahisha marefu mama
@glorydenis5111
@glorydenis5111 Год назад
Mimi ni mch Nimekuelewa mama
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 Год назад
Ubarikiwe na Bwana
@godfreycheyo3396
@godfreycheyo3396 Год назад
Nabarikiwa sana na mafundisho Yako. Mungu azidi kukutumia tuzidi kujifunza. Ubarikiwe sana.
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 Год назад
Ameni ameni
@DannyChiza-zj8hl
@DannyChiza-zj8hl Год назад
@@nyisakechaula9433 ubarikiwe sana mtumishi Kalibu uku kigoma wilaya ya kakonko, wakusikie wasio na simu kubwa.Amina.
@christineadongo1833
@christineadongo1833 Год назад
Asante nmebarikiwa sana kwa hili neno
@jumakanuda-mg4lc
@jumakanuda-mg4lc Год назад
Amen mama
@mussatete2618
@mussatete2618 Год назад
Nilikuwa naangalia Matendo Makuu aliyowatendea Mungu wakati wa kwenda na kurudi Congo, sasa wakati nataka kurudia niangalie tena nikiwa nimetulia nakuta siioni tena, nimeenda kwenye History nimekuta HAIPO. Nikajua pengine mmeiondoa...!
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 Год назад
Inafanyiwa marekebisho
@mussatete2618
@mussatete2618 Год назад
@@nyisakechaula9433 🙏🙏🙏🤝
@glorydenis5111
@glorydenis5111 Год назад
Konk
Далее
ХИТРАЯ БАБУЛЯ #shorts
00:20
Просмотров 1,4 млн
КОСПЛЕЙ НА СЭНДИ ИЗ СПАНЧБОБА
00:57
Nyisake Chaula -mwanamke mwenye nguvu ya kubadilisha mambo
1:01:51
Nyisake Chaula_Roho ya uchungu inakuja kwasababu
1:24:42
Rev. Abiudi Misholi
41:20
Просмотров 2,1 тыс.
Nyisake Chaula_Thamani ya mwanamke
1:41:59
Просмотров 9 тыс.
Nyisake Chaula_Nguvu ya kusikia
47:12
Просмотров 4,2 тыс.
Nyisake Chaula_Mambo unayotakiwa kufanya unapokuwa vitani
1:16:42
Nyisake Chaula_Gharama ya kuwa wanafnzi wa Yesu
36:11
Nyisake Chaula_Kongamano la Pentekoste
1:23:12
Просмотров 2,8 тыс.