Тёмный

Nyota yenye NGUVU zaidi? 

Rakims Spiritual
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 4,2 тыс.
50% 1

Ipo nyota katika makundi nyota 12 ambayo ni nyota yenye nguvu zaidi. Je nyota hii ni ya kwako?
Fuatilia video hii kuweza kujitambua.
NYOTA YENYE AKILI ZAIDI
JINSI WALIVYO
WASICHOPENDA
Kuwa wapweke, kubanwa, na kutokuwa na maamuzi
WANACHOPENDA
Mziki, Vitabu, Magazeti, kuchati karibu na kila mtu, mizunguko mifupi mjini.
UDHAIFU WAO
Aibu, kukereka kirahisi, kuchelewa maamuzi.
NGUVU YAO
Wema, kupenda watu, wadadisi, wenye kwenda na hali zote, uwezo wa kusoma haraka na kubadirishana mawazo
RANGI ZAO
Light-Green, Yellow
USAWA WAO NI NYUSO MBILI
SIKU YA BAHATI NI
Jumatano na Jumapili usiku
Sayari yake ni Atwarid
Ruler: Mercury
Greatest Compatibility: Sagittarius, Aquarius
Lucky Numbers: 5, 7, 14, 23
Dates: May 21 - June 20
NENO LAKO LA SIRI NI FIKRA
Ukiwaangalia wanaendana sana na mshale
WANYAMA WA NYOTA HII
Ndege wenye rangi za kung'aa na vipepeo
HATARI YAO
Ajali katika safari hasa za anga, Asili yao pia huwa na nguvu ya kuamsha hasira za wengine kwa maneno yao hasa yakiwa ni kuwafikiria vibaya
Je, nyota gani hii?
• Nyota yenye akili zaidi?

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@MariamBura-p5m
@MariamBura-p5m 6 дней назад
Asante mungu
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 24 дня назад
AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa 🙏
@RamadhanSalimu-ez4ok
@RamadhanSalimu-ez4ok Месяц назад
Thanks teacher good education
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Месяц назад
You are welcome
@RukiaMdide
@RukiaMdide 5 дней назад
Mimi jina ni mashuke tarehe ni ng'ombe je hapo nijihesabu ni nyota gani?
@decentboyafrica
@decentboyafrica Месяц назад
Mwalimu naomba utuelezee kuhusu nyota ya mashuke
@NaomiProfit
@NaomiProfit Месяц назад
Ni nyota yangu hii😊 punda na niko hv napitia mengi lkn natoboa Mungu ananitangulia ishallah ❤
@shamimuramadhani6622
@shamimuramadhani6622 Месяц назад
Team punda pia
@IbrahimGome-gi8lz
@IbrahimGome-gi8lz Месяц назад
Shee je niipi hiyonyota
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 Месяц назад
Ndio mwalimu nakufuatilia
@masterfodingo9413
@masterfodingo9413 Месяц назад
Mwalima mim kweny mkono wang na helufi M kweny viganja vyote kinaoch nchangany mim ni hadi nyuma ya kiganja M ipo
@MusaMandalu
@MusaMandalu Месяц назад
Na mmi nna m mikono yote
Далее
Jinsi ya kusafisha nyota | Kung'arisha nyota yako
17:19
Nyota yenye pesa zaidi?
2:02
Просмотров 3,9 тыс.
Jinsi ya kusoma AURA | Nguvu za Miujiza
5:43
Просмотров 2,4 тыс.
Jinsi ya kujua nyota | Unajimu
9:30
Просмотров 3,4 тыс.