Nakuletea mtiririko hatua kwa hatua ninavyobuni nyumba kwa ajili ya wapangaji.Video hii inaeleza kwa mtiririko mpangilio wa nafasi na nafasi na mambo ya muhimu yanayopaswa kuzingatiwa.
Ungana nami.
Usisite kuwasiliana nami kwa namba +255765046644 (whatsapp) na 0717903089(ina whatsapp pia)
5 сен 2024