Тёмный

OHOO! HUYU HAPA MHASIBU WA DALADALA SHABIKI WA SIMBA SC/ TUNAMTAKA MGUNDA/MAX,AZIZ HATARI,KAPOMBE 

Mpenja TV
Подписаться 537 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mpenja TV tumezungumza na Kondakta wa Daladala ambaye pia ni Shabiki wa Simba SC, aliyejizolea Umaarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa jina la Mhasibu wa Daladada @mhasibuwadaladalatz ,Rais wa Makondakta Tanzania kutokana na aina yake ya Uhamasishaji wa Abiria kusafiri na Daladala analofanyia Kazi,linalofanya Safari za Mawasiliano -Tegeta.
Pia Mhasibu wa Daladala amesema anaamini Simba kesho itamfunga Power Dynamos na kutinga hatua ya Makundi ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na kikosi bora alichonacho.
Hakusita kusifia ubora wa kikosi cha mtani wake Yanga SC na kuwataja baadhi ya nyota anaowakubali akiweno Max Nzengeli Mpia

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@josephkibasa6926
@josephkibasa6926 11 месяцев назад
Huyu jamaa yupo vizuri
@-pu1ts
@-pu1ts 11 месяцев назад
Huyu jamaa anakitu atafika mbali
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 11 месяцев назад
Aziz k leo amecheza rede hamna kitu amezunguka kiwanjani kama ng'ombe imekata kamba.
@yambessarajab8401
@yambessarajab8401 11 месяцев назад
Uyo jamaa yupo poah Sana ana maarifa mazuli msafi maana makonda wengi hawa fui suti zao wakati wateja wao wasafi wanaenda kazini lakini makonda walio wengi hawafui.congole kwake mr abdallah anajitahidi ktk kazi yake hongera zake kwa usafi makonda wengi wananuka jasho wamuige rais wao
@hanceraphael5455
@hanceraphael5455 11 месяцев назад
Hii imeenda yuko poa huyu jamaa👏👏👏
@user-km6mw8yz3q
@user-km6mw8yz3q 11 месяцев назад
Huyu ndomwamba hapendi shobo zabangi😂😂😂😂🦁🦁
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 11 месяцев назад
saut yako bro uko vizuri sana
@FRANSKALITUSI4937
@FRANSKALITUSI4937 11 месяцев назад
Nakubr Sana brother
@JeladMahenge
@JeladMahenge 11 месяцев назад
Kauaa maua yake tumpe❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abelimaganga417
@abelimaganga417 11 месяцев назад
Siku nilienda dar lazima nipande gari la huyu jamaaa amechangamka kinoma ni rohaaa sana
@bernaberna4159
@bernaberna4159 11 месяцев назад
Mnyama huna baya mhasibu 😂😂🦁🦁
@husseinkahapa
@husseinkahapa 11 месяцев назад
Uyo nijoti dada
@KareemMandela
@KareemMandela 11 месяцев назад
Huyu dada nae ni utopolo hajifichi
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 11 месяцев назад
😂😂😂
@bernaberna4159
@bernaberna4159 11 месяцев назад
😂😂😂
@eduuu3022
@eduuu3022 11 месяцев назад
Real
@jumanayopa
@jumanayopa 11 месяцев назад
Pongezi Kwa usafi japo ni kolo ila uko smart sana na ifike mda uvae suti kazini
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 11 месяцев назад
Et kolo usipende kukalilisha maneno utafirwa
@stanastana3199
@stanastana3199 11 месяцев назад
Jane uko single?
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 11 месяцев назад
pambana mwamba
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 11 месяцев назад
Kaka si unajuwa tena ? Wana dada akikubai mapema si utamuona kitaa yaani ni malaya lazima akuzungushe mpaka saa wazee wamesha lala nani atamfungulia mlango baba yake haiwezekani basi hapo ndio atakuambia sawa basi lakini leo tu jamaniiii
Далее
Faites comme moi
00:14
Просмотров 1,1 млн