Тёмный

Omieri, nyoka alielindwa kama mgeni, Nyakach  

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Mwaka wa 1989, kisa cha kupatikana kwa nyoka mkubwa katika eneo la Nyakach kiligonga vichwa vya habari. Hata hivyo nyoka huyo aliyeitwa Omieri alitoweka miezi minne baada ya kupatikana na hakuonekana tena. Laura Otieno alizuru eneo hilo ambapo nyoka wawili walifanya makao na kulindwa kama wageni kabla ya kutoweka.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya

Опубликовано:

 

23 авг 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@carolinewangui6803
@carolinewangui6803 5 лет назад
Mimi nyoka awe mzuri ama mbaya hatuezi kaa pamoja
@abdirahmanyaya3969
@abdirahmanyaya3969 5 лет назад
Hhhhhh mwoga ivooii
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Duuh hatareeee hiii joka ulipe chakula na maji wewe mama jamani hata huogopi.Angekuwa Binadamu mwenzio amekukujia ungeishi naye Kweli.
@filamupictures9349
@filamupictures9349 5 лет назад
only in kenya
@aaeaa2926
@aaeaa2926 5 лет назад
Hahaa...y conclude that way.
@kidhakristina2769
@kidhakristina2769 Год назад
I just saw my late grand pa...rest in PEACE ogai Japuonj Meshack Orieny..
@africanbeauty8014
@africanbeauty8014 5 лет назад
Snakes and human beings have no relationship ,, , this is crazy
@linetotsieno8883
@linetotsieno8883 5 лет назад
yees
@susannjeri7852
@susannjeri7852 5 лет назад
African Beauty is more than crazy 😜 my dear
@estherwambo1667
@estherwambo1667 5 лет назад
Shetani ashindwe
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 5 лет назад
Nyoka na binadamu Ni Wapi na Wapi Huu Ni Ushirikina Tangia Lini Nyoka Akawa Na Urafiki Na Binadamu Acheni Ushirikina
@mercyferguson4720
@mercyferguson4720 5 лет назад
Mara alitoweka,Mara mabaki yake.Confusing AF.
@fauzishma8033
@fauzishma8033 5 лет назад
Watu walio soma lakin akili ikawekwa chini ya kiatu utamini vipi nyoka ni mmoja wenu Na waona kabisa huyu ni nyoka
@maryjonh7962
@maryjonh7962 5 лет назад
Saitan is real kweli
@dinademona7375
@dinademona7375 5 лет назад
Hehehe hii ni Afro cinema 4D waaa
@apynesnzisa5045
@apynesnzisa5045 Год назад
Wonders shall never ends in Kenya.... sasa nyoka na binadamu wapi na wapi 😅
@jamesalvin8615
@jamesalvin8615 2 года назад
Your sceptical comments are very funny in general 😂😂
@KB_ventures
@KB_ventures 8 месяцев назад
2023, we still talk of honouring a snake or whatever it is, that died in 1987. God forgive us !
@ednakwaboka1201
@ednakwaboka1201 5 лет назад
watu wamepotoka kuabudu nyoka wah mungu saidia watuwako.
@amenahimbwaga4696
@amenahimbwaga4696 5 лет назад
Subhana Allah,,,usirikina huo
@kenlubisia7045
@kenlubisia7045 5 лет назад
Shindwe kabisa, shetani huyo.
@elizabethvukusi4523
@elizabethvukusi4523 5 лет назад
hakuna kitu utataja bila jina la baba😑😑
@danieldaniels4744
@danieldaniels4744 5 лет назад
Ushetani huo
@jotaya
@jotaya 5 лет назад
Daniel Daniels So is praying to mugumo tree, and the belief that facing mount Kenya while praying is sacred???
@agripinaindeche4629
@agripinaindeche4629 5 лет назад
aki ukisoma bibilia ata mungu mwenyewe alilahani nyoka na akasema tutakua mahadui,heri nifuke simba kuliko shetani
@sharzadhis141
@sharzadhis141 5 лет назад
AGRIPINA INDECHE yeah
@paulkibet1361
@paulkibet1361 Год назад
Lora otieno... The transformation 😂
@veeverah3948
@veeverah3948 5 лет назад
Uweeh!
@georgemish5380
@georgemish5380 5 лет назад
Ushetani kabishaaa!!!
@sharlinanyanje4065
@sharlinanyanje4065 5 лет назад
Dah
@christineokwiri4720
@christineokwiri4720 5 лет назад
My country my ppo
@cirushish5858
@cirushish5858 5 лет назад
Uchawi huyooooooo!!!
@gibsonkivinda177
@gibsonkivinda177 5 лет назад
Nyoka na mazuri zina uhusiano kweli?
@mwazikitoko3937
@mwazikitoko3937 5 лет назад
Ngoja hiyo nyoka itamugeuka
@kamellincitizenkenya129
@kamellincitizenkenya129 5 лет назад
Hayo n mapepo aki
@nyambukenyangal1383
@nyambukenyangal1383 5 лет назад
Nonsense
@marygatinda5309
@marygatinda5309 Год назад
kawsida nyoka n shetani
@lydiahwacuka7235
@lydiahwacuka7235 5 лет назад
only the worshipers can believe dat
@aishaomari1881
@aishaomari1881 5 лет назад
Napita
@miriamwait1714
@miriamwait1714 5 лет назад
Nyoka apana!
@housekeeping977
@housekeeping977 5 лет назад
Siwezi ishi na nyoka mie
@millywangari8375
@millywangari8375 5 лет назад
Wah sina la kusema😷
@marynjema8258
@marynjema8258 5 лет назад
Pepo Shindwe!! Nonsense
@avlinmoloj4902
@avlinmoloj4902 5 лет назад
Saitan
@monicahwachirah2185
@monicahwachirah2185 2 года назад
NONESENCE , UJINGA MTUPU
@mwikaligloria8074
@mwikaligloria8074 5 лет назад
hii ni uchawi
@SmartVictor
@SmartVictor 5 лет назад
nonsense
@jamohmwas3279
@jamohmwas3279 5 лет назад
Demonic of the highest quality...cant visit western 😎
@Bree-Awino
@Bree-Awino 5 лет назад
nanialiku invite western nkt..tuwache na omieri wetu
@erastusbartaine9440
@erastusbartaine9440 6 месяцев назад
Shindwe
@naomimogen9236
@naomimogen9236 5 лет назад
Nkt ushenzi
@rosewairimu1217
@rosewairimu1217 5 лет назад
Majabu ya ulimwengu
@rabukaraumwa9131
@rabukaraumwa9131 5 лет назад
uganga
@peterobore8437
@peterobore8437 2 года назад
Vulosi
@emmienyarnoah5039
@emmienyarnoah5039 5 лет назад
Nkt nonsense
@eva9119
@eva9119 5 лет назад
Utaskia hawa ni relatives wa Baba..
@abdirahmanyaya3969
@abdirahmanyaya3969 5 лет назад
Hhhhhh I swear umenimake ni laugh louder aki wewe vile alisema baba Obama was relative wake
@wanjamaria9911
@wanjamaria9911 5 лет назад
Ni wana mutheri 🙄🙄
@Emaki-o3k
@Emaki-o3k 5 лет назад
Satanic 😳😳😳😳
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 5 лет назад
saitan riswa
@nancyanzemo782
@nancyanzemo782 5 лет назад
Maureen muhonja. Rhiswa 😅😅😅😅
@alicesamuel4224
@alicesamuel4224 5 лет назад
Snake Satan this is their god
@shilawagare205
@shilawagare205 5 лет назад
oh my God sida kabisa jaluo jiga jeuri😅😅
@sophiesam7392
@sophiesam7392 5 лет назад
You didnt just say that am not jaluo but that is not OK.
@naiskaurrai2464
@naiskaurrai2464 5 лет назад
So tribalist. We all come from different African cultures,and our traditions are different. No need to throw shade at cultures huelewi please.
@marymuthoni1810
@marymuthoni1810 5 лет назад
ukweli aki
@happysoul5356
@happysoul5356 5 лет назад
Idiot
@belindaisdohry5266
@belindaisdohry5266 5 лет назад
Shila Wagare ngonymeru modhiek kifuogo kaguok gingonyimotimopino
@carolmwendwa9828
@carolmwendwa9828 5 лет назад
Shindwe
Далее
Каха бизнес-класс
00:48
Просмотров 1,1 млн
Wanajeshi wanawake Somalia
5:04
Просмотров 28 тыс.
Gikuo kia Waweru Mburu
3:40
Просмотров 13 тыс.
Mĩnyonyo ya Moses Kuria Kitui
3:17
Просмотров 202 тыс.
A mother speaks on the pain of burying 10 babies
1:28:47
Каха бизнес-класс
00:48
Просмотров 1,1 млн