Тёмный

ONA NGUVU YA HAYA MAFUTA YA SILVER OIL WACHAWI WANAVYO CHEZESHWA NGOMA MCHANA KWEUPE 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 59 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#drsulle #health #islaamic #trending #tanzania

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@muhamouduhassan-py3xl
@muhamouduhassan-py3xl Год назад
Karibuni Rwanda
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 Год назад
Subhanallah Aya mambo jamani Kama hayajakukuta utakata na utawaona waongo
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Год назад
Mbona anatabia ya kiklisto?
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 Год назад
Ndugu zangu waislamu mmeshafikia kwenye maji ya upako😂
@jonasimwanzi3632
@jonasimwanzi3632 Год назад
Kazi imehanza iteni jina la YESU apo muone miujiza acheni uganga
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Nyie mnaliita hilo jina la Yesu na mnafanya haya haya makanisani???😂😂😂😂
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Hii si uisilam na hii si tiba! Tuache kuiga mambo y kikafiri
@ELLYJ24
@ELLYJ24 Год назад
Waislamu siku hizi mihadhara yenu mnaweka hadi wachungaji si wachungaji mashekhe si mashekhe ila mi nahisi huyu yuko kwa ajili ya pesa tu hajasilimu bali amesalimu na hapo alipo anawasalimia tu ila atarudi alikotoka😂😂😂😂
@madynadjuma2851
@madynadjuma2851 Год назад
asalm. alaikum warahmtullah wabarakatuh. nayataka jameni. naweza kuyapata aj?
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 Год назад
Piga simu hii ±255764111616
@salimbabu-sbtv1870
@salimbabu-sbtv1870 9 месяцев назад
@@islaahislamictv9085 Asalaam alaikum Sheikh. Nipo Kenya hayo mafuta naweza yapata vipi?
@hichayasin7244
@hichayasin7244 Год назад
HIVI HUYU NINANI?!MGANGA WAKIENYEJI AU!😂HAWA WANAVIBALI VYA TIBA ASILI AU!!,
@Sauda-e1y
@Sauda-e1y Год назад
Mimi nipo Zanzibar nayataka Ayo mafuta
@apostlesammymutachicfc.3744
Mambo na madawa mara ya sliver au Nini ni uchawi tu, hebu it's jina LA Yesu Kristo uone muujiza WA kweli.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Makanisani mnataja majina ya Yesu na matokeo yake mnayafanya haya haya
@apostlesammymutachicfc.3744
@@Fear_Allah394 Bora kulitumia jina la Kristo kuliko ushirikina na majini
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
@@apostlesammymutachicfc.3744. Ttzo lako hujui nn uisilam. Mana huko kutumia majini/ushirikina hakuna tofauti na ww kafiri unaetumia Kristo. Na nyote makaazi yenu ni mamoja motoni mana nyote ni washirikina.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
@@apostlesammymutachicfc.3744. Ttzo hujui nn maana ya uisilam. Mana ww unaetumia jina la kristo na mwenye kutumia majini/ushirikina nyote ni washirikina na makaazi yenu ni mamoja motoni.
@apostlesammymutachicfc.3744
@@Fear_Allah394 Mimi nisijue uislamu? Ni kwavile humjuibunaejadiliana nae. Ila pia kwa taarifa Yako, uislamu na majini kitu Moja, kamuskize huyo Sule utaelewa.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Год назад
Huyu mtoa mafuta naye mchawi
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 Год назад
Uchawii mtupu
@ellamsakafu60
@ellamsakafu60 Год назад
KWA HIYO NA KANISANI KWA MWAMPOSA ANATUMIA UCHAWI? ACHA UJUHA KENGE WEWE 😂😂
@apostlesammymutachicfc.3744
Hehehe, uganga tu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Huu si uisilam na hzi si tiba za kiisilam msituletee ukafiri
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 Год назад
Yaani wewe umeacha ukristo na kujiunga na waabudu majini hakika umekwisha umemuacha YESU naye kwake matizo yote yanaisha ,alafu kweli wewe una mtumikia shetani hivyo mpaka unachana koo lako sauti limekufa kwa kelele ,yaani hapo u afanya uganga na uchawi wala hakuna mambo ya dini hapo,halafu mbona unaiga iga unakuwa kama unahubiri kama wakristo wanavyofanya hapo wenzako wanakupigia taimingi simda mrefu watakutoa nduki hapo
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 Год назад
Dini imegeuka kwa mganga wa kienyeji kweli wajinga ndio waliwao mimi sikujua kama uisilamu na uganga ,na madawa yakichawi vinaendana kwahiyo uislamu kwa picha hii tunayo iona nisawa kabisa na uganga wa kienyeji ndugu zangu ukimbieni usilamu ,kama mnavyo ona sio imani bali ni uganga wa kienyeji kwahiyo hii siyo imani ya kweli maana inajihuzisha na vitu vya iswahili swahili vya kigiza giza
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Waisilam hawaabudu majini bali makafiri km ww ndio mnaoabudu majini si mnaona mnavyoenda makanisani uchi na mikuche ya kubandika pamoja na mikope na minywele??? Hamjioni km mnafanna na mashaitwani ya kijini mnayokwenda kuyaabudu na kuyafurahisha???
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
​@@Fear_Allah394😂😂😂 umemaliza yoote sinalakusema
@aliiddi4268
@aliiddi4268 Год назад
Dah mungu akuongoze ktk njia ilonyooka ndugi yang yani unaoneshw uongo unaofanyik makanisani bado tu unasem uganga kwaio na nyie kanisan kumbe mnafany uganga😂
@MYME-u5d
@MYME-u5d 5 месяцев назад
😂😂😂😂embu pata pepsi mkubwa wao bariiiiid nakuja kulipa
@jaymeskilonzo8179
@jaymeskilonzo8179 Год назад
Nataka hii mafuta Niko Kenya nitaipata vibi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Jana talehe 2 Dr. Sulle. Kaja huko na hayo mafuta ukitakampigie sim ukachukue
@abdiabdullahi2937
@abdiabdullahi2937 Год назад
Nenda kwa duka iloyo karibu na wewe
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Год назад
Huyu jamaa eti alikua mkristo akasilimu kumbe kavamiwa na Majini yanamtaka akawe mganga na saizi badala ya kumtaka Mungu eti anatoa giza ndani ya giza wajinga hawataisha hii Dunia😂😂😂😂
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
His right,ww unaumia juu kasilim😅kanisani mnayatumia Tena yakutoka kuzimu,mnadondoshea watu,kanisani watu wanaanguka,mnasema eti,ni jina la yesu ndilo linaponya,mnasimamia kimvuli cha Yesu ,na siyo kweli,baadae tunasikia ushuhuda jinsi mnafanya ujanja kanisani,Afazali sisi waislam tunasema kweli,mafuta hayo,yanasomewa dua,unatumia tu kawaida kwa uwezo wa Allah unapona.hatundanganyi.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Hii si uisilam na hii si tiba ya kiisilam wasituletee mambo ya kikafiri
@ELLYJ24
@ELLYJ24 Год назад
​​huyo ni mchungaji aliyesalimu uislamu siyo aliyesilimu ktk uislamu yupo kwa muda tu ila baadaye atarejea alikotoka ndiyo mana anaitwa mchungaji aliyesilimu hana tofauti na Mwamposa ambaye ni kipenzi cha waislamu wengi na kwanza biblia hairuhusu Watu kutumia mafuta kwa sababu ni kinyume na Maagizo ya mungu ila watu hutumia mafuta kujipatia pesa si mashekhe wala si wachungaji wa mchongo wote ni kundi moja
@الصالحيالصالحي-ل2ظ
Mh mbona unahubil kikanisa😂😂😂😂 kwer muslm wewe
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 17 тыс.
MKE WA MCHUNGAJI AUKANA UKRISTO
29:57
Просмотров 21 тыс.
DR.SULLE JINSI YA KUSOMA SURAT FATHAH ILI IKUSAIDIE
35:01
DR.SULLE AWANYOOSHA WAISLAMU BADILIKENI ACHENI/
16:30
Vilema FEKI waumbuliwa na aliyekua MCHUNGAJI
9:02
Просмотров 21 тыс.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн