Тёмный

Ona Wasanii wa Zamani BongoFleva Wakiimba NYIMBO zao pendwa kweli Muziki Ulikuwa Mtamu Aiseee.... 

Msasa Media
Подписаться 210 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@MusaRamadhani-sm3pz
@MusaRamadhani-sm3pz 5 месяцев назад
Hizo NDo nyimbo,hachana na HIZI vimataptapu vya Leo God bless the gender of music ❤❤❤❤❤❤
@peterkimondo6146
@peterkimondo6146 2 года назад
Wakati bongo ilikuwa bongo. Big up to these legends. Mchango wao uliweza kuweka msingi mwema na mafanikio ya bongo Kwa kizazi kipya. Bravo guys from+254.SALUTE!
@MusaRamadhani-sm3pz
@MusaRamadhani-sm3pz 5 месяцев назад
Heshima ya TANZANIA ilikuwa katika mziki wa bongo flava yakale ,wengine Kama paka hayupo panya ni kelele tu,I need the old 🗝️
@josephmohamed2339
@josephmohamed2339 2 года назад
Dah jmn old is gold adi nawaz nafing mbali
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 года назад
Vzr Sana tumepata bongo fleva oroginali kutoka kwa vijana wetu nilikuwa nashaur sponsa mjitokeze kusaidia vijana hawa wengi wao hatujawaona hapo mfano T I D Q CHILA .GK . NECHA .DULI SAX . SNARE. FA. SUGU. NIGA J. HARD MAD. BLOCK RIHNO . KAL P. JOSE MTAMBO NURA .NK Tungependa wajumuike kwenye matamasha ili turudishe bongo fleva yetu
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 2 года назад
Umeiona ee
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 2 года назад
Stara Thomas dah dada yng wa milele
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 2 года назад
hawando wasaniii wa kufundisha jamii. Hawa wasasa wanaimba matusii matupuuu
@African511
@African511 2 года назад
Muziki wa zaman ndio muziki mzuri wa kipaji,sio sasa muziki huu wa skendo zaid.
@japhetjohnson8493
@japhetjohnson8493 2 года назад
unyama mwingi saaanaaaa mwaka 2002'' watu wanachonga saana juu yangu daaaaaah💪💪💪noma saaana
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 года назад
Mliozaliwa kipindi cha Benjamin Mkapa mtuache hapo hamuwezi elewa
@legawayz6093
@legawayz6093 2 года назад
Huu niupendo tu hakika wanaenjoy na burudani itakuwa 🔥🔥🔥🔥 "muziki & maisha ☺️
@shabanigeluka8646
@shabanigeluka8646 2 года назад
Dah mmenikumbusha mbali sana, sio poa tuliinjoy kinoma kitambo icho
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 2 года назад
Kambuzii meme ka kolo mwamwa daaah kitambo sana
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 2 года назад
Hawa ndio walikuwa wasanii siyo wasasa wanaimba vitu havieleweki bg hap
@davidwambura5915
@davidwambura5915 2 года назад
Hii miamba tumeimiss Sana kwanini isianzishe tour tz nzima
@ismailmsagama5439
@ismailmsagama5439 2 года назад
Siamini nakumbuka mbali sana waalahi nabata ushungu natamani siku zirudi nyuma naumri pia
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 года назад
Stara Thomas hazeeki jamani sijui alipotelea wapi jamani
@realdone
@realdone 2 года назад
Stara Thomas nomaaaa
@masoprotas6197
@masoprotas6197 2 года назад
Walikuwa ataliii San kizazi sanaaaaaaa
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 года назад
Mkianzisha tour ya waimbaji wa Zamani mnaweza piga pesa sanaa
@shamilamuhamedi7904
@shamilamuhamedi7904 2 года назад
Jamani mmetu furahisha sana embu ludini kwenye gemu
@manchesterunited6076
@manchesterunited6076 2 года назад
Mupewe heshima zenu maana mumeitowa mbali Sanaa bongo music legends
@boniimsokwa8627
@boniimsokwa8627 2 года назад
dah nzur iwe kila mwaka
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 года назад
Kumbe stars thomas yupo
@emanuelelias2082
@emanuelelias2082 2 года назад
Stala Thomas my God
@halimahalima1984
@halimahalima1984 2 года назад
Nyimbo yazamani zilikuwa nzuri sana
@suleymanisalum2361
@suleymanisalum2361 2 года назад
Noma sana
@machoghumwita6723
@machoghumwita6723 2 года назад
Wazee mnatisha kazen kamba.kuna kitu nakiona ndan yenu
@kamaromatiri5038
@kamaromatiri5038 2 года назад
Nyimbo zuri san mnastahiri kuzi plomoti ilituzione vidio zake manana zimetukumbusha tulipotok
@rehemavictor481
@rehemavictor481 2 года назад
Darh!!
@nhlnaturehumanbeingsandlif9780
@nhlnaturehumanbeingsandlif9780 2 года назад
Aiseh mmetisha sana
@MohdmabadihajiMohdmabadihaji
@MohdmabadihajiMohdmabadihaji 2 года назад
Safi sana
@ibranajackson1042
@ibranajackson1042 2 года назад
Msikate tamaa katika hili naomba muweke tamasha jingine
@laickmwakijale9287
@laickmwakijale9287 2 года назад
Namba ya stara Thomas please
@nasrahamisi9266
@nasrahamisi9266 2 года назад
Yani nyie bora mludi tu wahenga wezangu
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 2 года назад
Kama umesikia kila siku vitu vinapanda bei
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 года назад
Tatzo zaman haikua kma kaz ilikua niburudan tu
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 2 года назад
Wamenikumbusha mbali sana, Music ilikua zamani for sure.
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 года назад
Mpaka nimemkumbuka ngwea naomba mumuombee Dua iyo siku kabla ya kuimba najua angekuope hai asingekosa ongereni sana
@abdulmpunjo1241
@abdulmpunjo1241 2 года назад
Yule angekuwa anaendelea kuimba
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 года назад
Nyimbo zao ni nzri sana
@geraldnjau7186
@geraldnjau7186 2 года назад
Hawa ndio waliieta bongo fleva
@sumbujumanne7496
@sumbujumanne7496 2 года назад
nawapenda sana wao ndio wasani bana wnajuwa so ss hivi matusitu
@charlottempangala3881
@charlottempangala3881 2 года назад
Kweli mmepigika aaaah
@shamilamuhamedi7904
@shamilamuhamedi7904 2 года назад
mme tisha
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 2 года назад
daah nimekumbuka mbali sana
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 года назад
sijamuona Kala Pina wadau
@leahally4618
@leahally4618 2 года назад
😂😂😂😥wanajifarij jaman dah
@judithjulius6848
@judithjulius6848 2 года назад
Jamani Hawa Kwa nini waliacha kutoa ngoma enzi hizo Niko form two
@beatricshadrack321
@beatricshadrack321 2 года назад
Tutakuja, aisee muzik ulikua zamani
@MrDonshady99
@MrDonshady99 2 года назад
Kweli kabisa Mwanangu
@primeniyoyampaye9298
@primeniyoyampaye9298 2 года назад
Mbona huy akaogopa kuimba
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 года назад
ferooz
@mansooranam831
@mansooranam831 2 года назад
Daah enzi hizoo...!!!
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 года назад
Stara Tomas nakupendaga bure, sauti bado bomba
@suleymanisalum2361
@suleymanisalum2361 2 года назад
Msimalize uhondo
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 2 года назад
Eti malegend wakati ata miaka 50 bado,
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 2 года назад
Unawaza 50 tu
@libandaonline5358
@libandaonline5358 2 года назад
baba yako yupo hai au kafa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Zama zenu zimeshapita,,,,,
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 года назад
Hujazaliwa ww bwege tulizq kinyeo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@samwelimoshi5614 kuma la mamaako,,,,,Zama zenu zimeshapita!
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 года назад
Wewe mtoto wa 96 utaelewa nini hapa! Kakojoe ulale,kisha ukasikilize amapiano zenu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@rehemamkalawa3801 mwehu wewe,,,,ushapitwa na muda
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 2 года назад
Nyie mwendo Mmesha maliza hakuna maajabu ten
@revinamachele2709
@revinamachele2709 2 года назад
Ila unanichekesha kwl😂😂
@fatimalamathan9372
@fatimalamathan9372 2 года назад
Izi ndo nyimbo acha izo ww
@stn4873
@stn4873 2 года назад
We mtoto wa 2002, huna unachojua.
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 2 года назад
Hizi ndo nyimbo sio Hizo nyimbo za dai matusi yupu
@masala8099
@masala8099 2 года назад
ww mtoto huwezi kuelewa
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 57 тыс.
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 2 млн
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 30 млн
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 165 тыс.
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 2 млн