Тёмный
No video :(

ONANA AITWA HARAKA KAMBINI SIMBA|MZEE WA SALUTE AGUNA MPANGO WA KOCHA HUU HAPA 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@coolsinare8824
@coolsinare8824 Месяц назад
onana wa nini bwana..tushamwona anacheza soft sana
@user-ld6fy2fi5s
@user-ld6fy2fi5s Месяц назад
Onana sio mchezaji wa kusaidia timu aondoke ajui mpira utoto na ubishoo mwingi tafuteni mchezaji mwingine
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Месяц назад
labda huo upumbavu wko wazan bila onana ht hio robo final tungeingia acha ufala
@user-ld6fy2fi5s
@user-ld6fy2fi5s Месяц назад
@@halidimgonza5945 Kamwambie mama ako kufunga sio tija yeyote anaweza kufunga ila currently anafanya nini
@raphaelnovatus7085
@raphaelnovatus7085 Месяц назад
Onana anakipaji anaitaji usaidizi wa makocha tu na atakuwa star
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Месяц назад
Sarut umeongea ukweli wachezaji utoto utoto mashabiki hatutaki
@jumaali9243
@jumaali9243 Месяц назад
Bora kramo kuliko onana . Kramo abaki simba
@romanambelle6356
@romanambelle6356 Месяц назад
Onana wa nn tena jamani mbona ilitakiwa streka wa maana hapo mbele
@MungaSanga-i8o
@MungaSanga-i8o Месяц назад
Jaman mbona simba hawako siriaz na usajili kama wanababaika vile maneno tu ndio mengi
@flova7022
@flova7022 Месяц назад
Nyie mnataka mfanyiwe nn ila
@iddyiddy7358
@iddyiddy7358 Месяц назад
Onana hapana kramo abaki
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Месяц назад
Inachekesha, inasikitisha hivi Onana na Jobe wanatofauti yeyote? Nashauri tumrudie Kramo badala ya Onana. Onana hajawahi kunivutia anaubishoo uliopitiliza
@user-qw9zu3ly8m
@user-qw9zu3ly8m Месяц назад
Jamani Kramo namkubali sana Obama mhh sijui
@coolsinare8824
@coolsinare8824 Месяц назад
mbona simba inarud nyuma onana tushamwona jipya lipi
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Месяц назад
Onana ni mchezaj hodari ndye aliyetupeleka robo final acheni upumbav
@iddyiddy7358
@iddyiddy7358 Месяц назад
@@halidimgonza5945 pumbav ni wewe na yanga wenzio
@user-ld6fy2fi5s
@user-ld6fy2fi5s Месяц назад
@@halidimgonza5945 kutupelekq robo fainali ndo nini
Далее
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 5 млн
Bishop Jacob Wamwea guborwo mbeca ciake ciothe ni mikora
1:08:46
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 5 млн