Arrogance and opulence has brought UDA down. This is public money that should be used kujengea mapolisi nyumba nzuri za kukaa na magari ya kazi. Suddenly, Sudi et al are going around the country flashing wealth they didn’t have prior to 2022 elections.
The Hon who makes technical appearances in parliament, busy on streets but says nothing for Kenya....Mulu, Bargaretuny, Nasir, Okiki Amayo....Salat were all powermen in their days...Now, lying in kaburi la sahau..😂😂😂
Kwa kikamba ni two way,day one unamalizana kulipa agreement na unapikia familia ya Bibi chakula usiku kucha,ishara ya kusema pole Kwa kuiba msichana wao,then day 2 ni public na kupea newly weds zawadi sio Harambee haswa,got the piont
Sudi. Sasa ndio anatumika kumwaga pesa ya uma. Ruto amemulikwa sasa anatumia sudi, makanisani, mashuleni, kwa ndoa....one man one shiling one vote ili hii mambo ya kununua watu iishe. EACC fanya kazi
@@titus1846 wenye wanachagua mbunge na kura elfu tano na kupata idadi sawa ya matoleo lakini wakati wa mafuriko serikali saidia. Hizo pesa hupeleka wapi