Our Love story Podcast is a love genre chat podcast where two love birds chitchat on ho they met and their journey so far, including how they made each other in love
Kweli mwanaume akikupenda anakutengeneza😊uwe kma anavyotaka na mkafika mbali Seim to women akikupenda atakuvumilia tu na lazima mfike mbaliiii🌹❤️🥰😍love is beauty thing this interview imenijenga pakubwa sanaaaaa😢😢😢😊🎉❤ Mungu awalinde mfike mbali zaidi
Kijana usijisahau sana mmpendesana mungu nakumtegemea yeyetu maana mungu ndio mtoa uhai mtoa afya mtoa rizki pia mnyan'gaji wa rizki nayeye pekeyake ndio anajua atakuhifazi wapi siku utakayo kufa na kufufuliwa yeye ndio anajua kwamba utaenda peponi au motoni yeye pekeyake ndie atahukumu wewe na viumbevyake vyote wakiwemo malaika na mitume yake kwahiyo waaminitu tume wake na malaikazake ila usiwaabudu. walakuwategemea kwa chochote kwaniwao niviumbe kama wewe ila waami kwayele waliokuletea kutoka kwa mola wao hapo utauna ufalme wa Mungu kupitia wao yesu sio mungu wala sio mtoto wa Mungu. Mungu hazai wala hakuzaliwa wala hana anaefanananae hata mmoja yeye pekee ndio wakuombwa na kuabudiwa na kutegemewa na viumbe vyake vyote. Wabilahi taufiq assalamualaikum.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Am Elias from +257 Watching from +27 hilo swali la kucheat kajibu vizuri sana siyo eti amesema hakuachi nop but trust alionayo juu yako na anavyojua jinsi mnavyo mtanguliza MUNGU hivyo anaamini unahofu ya MUNGU na ukicheat basi utakuwa umaharibu kila kitu coz mnaishi kwa Neema ya yule utakuwa umeenda kinyume nae hakika umebarikiwa mke mwema amenifanya niendelee kuwa sahabiki yako and now ntakuwa shabiki wa familia yako siyo Asangwile wa BSS stay safe and blessed
Nikweli na ila Kuna kitu ninaendelea kuelewa zaidi ni vibaya kuoa mwanamke ulio kutana nae mwezi mmoja au chini ya hapo unajikuta unaoa mwanamke anampenda msela wake mwingine kutokana na matukio walio wahi kufanya japo haikuwezekana kuoana