Maskni brown utapAta wa kukupenda ndio maisha smtym sisi wanawake tunapita maamuzi magumu haswa hili la kulazimishwa kuolewa kwa ajili ya umskn nyumbn wazazi wanaona utapAta maisha mazuri ukifka huko ni mateso tu
Af cjui ni uko TZ kuko ipo ama ni nn ....uku kenya kwetu wadada wana manguo mingi na smart smart .....mfano ona loveness hana nguo za maana za kuvaa ama ni dini ya uko TZ .....swali tu wadau
@@andwelegemwasyakele3512 ata mimi namshangaa badala yakuangalia alicho fata anaangalia nini mtu amevaa kumbe..pengine hana uwezo ampelekee hizo nguo bc abadalishe badilishe km atakavyo