Wangapi wanasinywa na tabia za brown 😢xx mwenye anamtaka yuko kwa ndoa yake yy bado anatuboesha 2 si uwe na Tina kwani yy ni mwanamke pekee anaempenda kwa kweli
Mapenza kama haya yalinikuta yani nilihis kama nitakufa braun na levnass poleni sana haya mambo hata mm yalinipa shida kubwa ila musikate tamaa mutafanikiwa kuwa pamoja
shagazi wa loveness munyama yani kinoma yani eee kweri babu yangu hakukoseya kuni ambiya kwa mba wa nyama wapo Namimi sikumu amini yani nashaga yani kinoma yani 😢😢😢 nariya baba muzi ma ndaaaaaaaa😢😢😢😢😮😮😮😮
Watazamaji wa donta TV mwaijua Ile nyimbo ya fadhili bora hufàdhili mbuzii binadamu hafadhiliki, ndo huyu brown sasa, kila anavyo pewa ushauri yeye kwake sivyo, achananaye bro Nelly Maneno anakuchokesha akili bure