Wabongo huwa wanapenda vitu vizuri tu bila ya kutambua huwa vinaandaliwa....ndio mana wengi wao huwa wanagongwa manyu kwa kupenda vitu vizuri wasivyovitolea jasho.....well done mwakinyo..tukizidi kuendelea na maandalizi mazuri hatimaye tutafika...#ukiona cha elea ujue................
@@EmmanuelMassawe huwex mfananisha floyd na mwakinyo ila nimesema mbinu alizotumia floyd hazina tofaut sana na mwakinyo,iko wazi wafilipino ni wepec sana kwenye box ukiiga tu mchezo wao umeisha bablai....nafikir utakua umeelewa
Mwakinyo bado sana wallah usijaribu tena kuomba pambano kubwa utatuaibisha bure mm nashangaa eti hpo mwqkinyo ndio mshindi sio kweli most of the time mwakinyo amelemewa alikuwa ukutan kila wakat jifue sana mwakinyo kwa sasa hauitaji pambano kazaa kwanza
Bro wewe tunaongea lugha moja.. Wengine wanasema kwamba Mwakinyo alipigwa, wakati wengine hata points za Boxing hawazijui, kila ngumi inayorushwa na kutua hata Tumboni kwao ni Point wanadhani.... Kudos kwa Mwakinyo..👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@@frankkataraiha607 hata ukiangalia kwa watu ambao hatukwa uwanjan muda wote walikuwa awaonyeshi pambano walikuwa wanatuonyesha tu watu walivyo uwanjani sote ni watanzania kiwango chake hata mm naweza pambana nae mwakinyo japokuwa sijakuwa muda mrefu kwenye boxing
Nyie mnaosema Mwakinyo Hakushinda mnajua ngumi au mnaropoka tu Ingieni nyie basi Ulingoni ww u adhani Asingekua umahiri Angefika round ya 10 big up Mwakinyo umeonesha kua ww Ni Mwamba tuwakilishe Baba achana na Masnitch
Tinapay ameshindwa kuprotect USO wake zidi ya ngumi nzito za Mwakinyo, hicho ndicho ambacho kimempa mwakinyo ushindi! Tukumbuke Kuwa point kubwa ziko kichwani sio kwenye tumbo. Kwahiyo kitendo cha Tinapay kupiga ngumi nyingi tumboni hainatofauti na kupiga chenga nyingi kwenye Mpira alafu mwishowe unatoa pass mbovu! Hongera sana MWAKINYO kwa ushindi mnono!
Wew jamaa unaujua vzr mchezo wa ngumi,nimeona comments za baadhi ya wat, wao wanahis kurush rush tu ngumi bila mpangilio ndo point, inanikumbusha ngumi za utotoni eti atakayekua ametolewa dam au Kuangushwa chini ndo kapigwa ,hizi sio ngumi kama za mitaani hko mnakopigana hii
Mwakinyo pambano lijalo hutoboi man kwa jinsi unavyorudishwa nyuma na ww unaenda tu hutafka mbali jitahidi uwe unakaza sio unarudirudi nyuma muda mwingi sana unabananishwa kwenye kamba
Mchezo nime uwelew sana yan mwakinyo yup vzr sana maan ngumi zak ni za kupangilia uy jamaa anarush ovyo tu ushindo mzur kabis 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii ni changamoto kubwa. Mwakinyo ameingia kujihami zaid kuliko kushambulia. Hii ni version nyingine ya weather na paquiao. Binafsi mwakinyo karuhusu jabs nyingi sana na kadondoshwa pia. Mfilipino kaibiwa kura. Huu ni mchezo ishu za uzalendo mm hua sijali sana.
Huyo mfilipino mwenyewe pamoja na kushindwa lakini kwao wanamtia moyo na kumpa nguvu ya pambano jingine, ila sisi wabongo alietuloga kashakufaga hatuna zuri
ulishawah kucheza ngumi? au unazijua sheria za ngumi? shida la wabongo kila mmoja anajua ndio maana tunafel mambo mengi kwa ujuaji wetu halafu kumbe kichwan empty like a bottle
Mwakinyo badilika usiwe unakubali kurudi rudi nyuma na kulalia kamba unampa adui nafasi ya kukushambulia na kukuzoe unapiga ngumi vzur body safi kabsa mwangalie wilder anavyofanyaga kazi pambana uko vzr.
Sio mbaya, ila ngumi nyingi sana ya huyu Tinampay hazikufika sehemu husika kwa jamaa yetu. Kwa point Mwakinyiko yuko juu kuliko huyu mfilipino. Ila kiukweli mfilipino yuko pw sana. Mwakinyiko itabidi ajaribu kufight kwa haraka, asipende kurudirudi sana nyuma kwani ukifanya hivo unaruhusu ngumi nyingi sana kwako, kwa namna yoyote unaweza ukazidiwa.
*bila ya kupepesa macho mfilipino yupo on top yaaani kama ili pambano lingefanyika sehemu nyingine mwakinyo ange pigwa kifo cha meee majaji wa tanzania wamembeba*
Mungu akubariki sana Mwakinyo sikuwahi kifikiria kuwa unapigana kwa akili kiasi hiki. Mtaalamu sana ndo ataweza kujua umeshindaje Ila Mfilipino umemchapa vitasa vizuri tu na tumeona game ya mafundi sana
Mwakinyo hayupo vizuri sana na anahitaji mazoezi, mfilipino amemzidi wepesi, ujanja, Mwakinyo akiwa away nahisi ngumu kushinda, unyumbani umembeba sana
kashinda kihalali ila afanye mazoezi ya pumzi kidogo kwake ni tatizo ila hongela sana mana mtu alie pigana nae ni mtu mzoefu sana ila nashukuru mwakinyo kapga za point nyingi na hicho ndo cha msngi
Nimepitia comment chache, naona wengine wanasema mwakinyo kapendelewa. Mimi naona huu mchezo Tanzania ulikuwa umepotea kwa hiyo tulio wachache tunafuatilia sana, wengi wetu hatufuatilii ndio maana hatujui point za hizi game zipo vipi. Mwakinyo atufanye kuanza kufuatilia mapambano mengine ili kuona point zinakuwaje. Mwakinyo anasitahili ushindi. Ila aongeze stamina kama mpinzani wake asingekuwa na sitamina ni wazi ngumi alizopigwa angeenda chini tu! Hongera sana Mwakinyo
Pambano zuri sana! Hongera Mwakinyo kwa kupeperusha bendera ya nchi yetu vema. Hili pambano lilikuwa wazi zaidi kwa Mwakinyo angefungua macho yake kwenye uso wa jamaa. Angempiga mapema sana. Ayo mkamera wako anazingua anajisahau pambano likiendelea kuonyesha mashabiki wa nini? Picha za angani za nini wakati wa pigano? Hapana kabisa. Kuna hilite kibao kwenye utub hizi ajifunze! Otherwise anakuangusha
Kiukweli wa Tanzania wengi hawaufahamu mchezo wa ngumi Point inapatikana pale ngumi inaporushwa na kumpata mtu kichwani ngumi za tumbo hazina Point yule mphilipino alikuwa anarusha ngumi lakini hazimkuti mwakinyo.mwakinyo tumboni yupo vizuri yani kwa bondia mwengine kwazile ngumi zatumbo mphilipino alizo zirusha Kwa mwakinyo bondia mwengine angekuwa ameshusha mikono na kupigwa kumi nyingi za husoni.hongera kwa mwakinyo komaa Damu yangu To gether Aluta continua usiwasikilize hao watanzania wengi wakunjaji.
Wbongo tusiponde kila k2 points sio kumludish mtu nyuma au kupg tumboni points nkupga usoni.mwkinyo ndo kpga sn usoni ten zimefika kbsa jmaa analysis kupg tumbon n mikonon2
mwakinyo kapigwa mwili mzima... ila nashangaa sijui kashindaje... ukimuangalia mwakinyo utahis km anajifundish ngumi leo... mwakinyo ameshinda na njaa na VAR
Pambano limesndaliwa mwezi mzima, lakinn leo hii mtu anapigwa afu anakua mshindi au kwa sababu yupo Tz basi yafanyike marudio tofauti Tz au Ufi tuone nani mbabe, yaani hapa bongo mwakinyo kabebwa
Hapa mwakinyo anatakiwa kuboresha ile jab jab then unaileta Ngumi,,,pia asikae kwenye kamba,,akikutana na bondia bora kdg atammaliza ,,,mwak ana reach advantage,,, angetumia jab kuhakikisha mpinzani harushi ngumi kwa ukaribu
Mwakinyo achu kuludi nyuma nyuma utampa MTU ushindi mkuu usiwe unaludi nyuma sana umesahau lile pambano lako uljlo enda nnje ulishidwa kwasababu kama hii kuludi ludi nyuma ila APA umejitahidi mkuu usiludi nyuma tena mkuu
Mm ni shabiki wa boxing, lakini kwa hapa Mwakinyo unahitaji ukaze zaid, ulimiss confidence ndo mana ulicheza nusu ya mchezo pembeni jamaa anaonekana pia ni mahiri sana naomba Mwakinyo asitake marejeo😎
Hii game mwakinyo kacheza vzur Sana,katumia mbinu nyingi na akili sana. Angekurupuka kurusha ngumi nyingi Kama huyo mfilipino angepigwa mapema. Ila kiukweli wafilopino wabishi kinoma mwanzo mwisho kijamaa kinatupa mikono...😃😃😃hongera mwakinyo umeshinda kihalali na nimegundua kwa nini ata Mayweather alimpiga paqiao.
Nyumban ni nyumbani lakn mwenzenu sijui mwakinyo kashindaje maana Kama kutafutwa katafutwa kushushwa chin kashushwa kwenye Kama kaish Sana siku akienda kwao watamnyoosha,Ila tuache uongo huyu mfilipino yupo vizur.
Sagwa Shebila brother Mimi mzalendo, ila kwali itabaki kua kweli2, inatakiwa aongeze Bidii, msikilize hata yeye mwenyewe amekiri kwamba ajafurahiswa na Yale matokeo, Mimi kosa langu lipi ,kusema aongeze Bidii, kama umekwazika na hilo nisamehe, usitukane plz
Kizuri hakijengwi namna hii, mwakinyo kashinda ndiyo ila kuna vitu kadha wa kadha vinavyomuondolea ushindi maana kapendelewa mnoo na refaree kwani naona amecheza foul mara 3 kama sio nne na wala refa hamkanyi. Nadhani kama lipo pambano LA pili ambalo litafanyika ufilipino basi ndo tutapata kujua uwezo mzuri wa mwakinyo....
Inakuaje kweli mie mshamba sijui nielekezeni mbona mwakinyo kapigwa nyingi au wao wanatizama point zipii msaada plzzzzz nipo mataa kwakweli sifahamu huu mchezo
Ukitaaka kuwa shabiki mzuri wa mchezo kwanza elewa masharti yake vizuri. Ushindi katika boxing unahesabika basing on landed punchies.....sio kushambulia kwingi. Kama isingekua hivo basi Maywhether angekua ameshindwa pambano nyingi sana. The only way unaweza kushinda kwa kushambulia kwingi bila wingi wa landed punchies ni Knockout baas!!! Mwakinyo chuma. Pig up mdogo wetu💪