Тёмный
No video :(

Pamewaka!! CHADEMA WAIVURUGA CCM KAMSAMBA //WANACCM 100 WAHAMIA CHADEMA //WAFUNGUKA BAADA YA KUHAMIA 

Baharia TV
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeendelea na mikutano yake huku kikiendelea kuhamasisha wananchi kuendelea kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili kuchagua viongozi bora.
Gideon Siame ambaye ni katibu wa chadema wilaya ya mbeya akizungumza na wananchi wa kamsamba amesema wao kama chadema watahakikisha wanaendelea kutoa elimu kwa wananchi namna ya kujiandikisha huku akiwaonya ccm kutowapatia pesa wananchi ili wawapigie kura.
Naye FRANK MWAKAJOKA ambaye ni makamu mwenyekiti wa kanda ya nyasa amesema wamejipanga kushinda uchaguzi ujao kwa kishindo kwani amesema wao kama chadema hawataka kuona wananchi wa kamsamba wanapata shida ususani katika miundombinu yao.........
Hata hivyo mwakajoka amesema miundombinu ya barabara maji imekuwa ni changamoto kwa wakazi hao ambayo inahatarisha usalama wao na kuahidi kulifanyia kazi.
Baada ya kumtano huo kumalizika chadema wamewapokea wanachama wapya 100 ambao wamejiunga na chadema wakitokea ccm

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@SedekiaIsrael
@SedekiaIsrael 15 дней назад
Nakubaliii
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤CHADEMA OYEEE
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Safiiii sanaaaaa
@rogersiddy
@rogersiddy Месяц назад
Duh huyu jamaa wa kwanza hatari sana kichwa sana akili mingi✌️💪
@user-oq6dx8mf9x
@user-oq6dx8mf9x Месяц назад
Sela safi kijana uko vizuli
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Hongereni chadema
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Месяц назад
Hongeraa sanaa ndugu kwa maneno yenye mashiko na yana machungu makubwa kulingana ma uovu wa ccm
@TarimoMangi
@TarimoMangi Месяц назад
CHADEMA OYEE❤❤❤❤❤
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 Месяц назад
Jamani huyu jama mwambaaa huyuu jamani vivaaa mwakajokaaa
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 28 дней назад
Kazi ipo
@jitulakaleboymastr6477
@jitulakaleboymastr6477 Месяц назад
Pow vipi
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Месяц назад
Makamanda wako wengi usilime
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu Месяц назад
Siame nakuona ukipambania wana Kamsamba Kijana,Nakukubali acha kabisaaa Kijana wa Sheria Nakukumbuka Unavokuwaga Mbeya
@ErickAlipipi
@ErickAlipipi 29 дней назад
Chaguen chadema kwa maendereo ya taifa letu kwasababu kodi zetu ndio zinazoJenga miundombinu huduma zote zakijamii ccm imechoka watanzania tuamke
@user-uy4oi1pk4j
@user-uy4oi1pk4j Месяц назад
chadema piya matapeli tena wakutisha acheni porojoo
@estachengula3902
@estachengula3902 4 дня назад
Wapumbavu wengi hawakuelewi wenye akili tunakuelewa
@AthumanDauda
@AthumanDauda Месяц назад
Akili kubwa sana
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад
Kaaaa!,!
@FestoLalata
@FestoLalata Месяц назад
Naomba swala la maji hatuna maji hapo chilulumo likemeeni Jambo hilo
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Месяц назад
Kuna mzee alikuwa anahamia CCM kila anakokwenda, kila akiona kiongozi wa CCM amefika kijijini. Kahamia CCM mara 23 ndani ya miaka 7 na analipwa kila akihamia CCM.
@evaemil856
@evaemil856 Месяц назад
Siunajua CCM wanajua kukupa lugha Tamu hivyo anachuwa kadi Ya CCM then anagundua kadanganywa, mambo waliahidiwa ni hewa basi anarudisha kadi, baadae viongozi wa CCM wanakuja na ahadi nyingine kwa sababu Ya njaa na pombe aliyonywesha, anaingia laini tena, inakuwa ni kamchezo Sasa.
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 Месяц назад
Anaongeaa pointii tuuu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Anajua wajibu wa kiongozi ni nini
@evaemil856
@evaemil856 Месяц назад
Hizo za Nape Nnauye na wenzake kuwanywesha watu pombe ili wamchague.
@jamesmasome359
@jamesmasome359 Месяц назад
Nyinyi mnahoji ofisi kuu...
@MichaelJonas-v5o
@MichaelJonas-v5o Месяц назад
🙏🙏🙏
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Месяц назад
Wenye akili timamu tu ndio. Watakuelewa misukule tu ndio itarubuniwa kwa chumvi
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Shida ya nchi hii misukule isiyo na akili ni mingi iki gongewa hodi na kupewa efu kumi-laki moja- milioni inapokea na kwenda kuchagua ccm na hii yote kwasbabu ya kuleweshwa moshi wa mwenge maisha yao yote
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t Месяц назад
Ccm utopolo hamna kitu
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Месяц назад
Huna lolote ccm hata kama anajua kuogea ccm iko mbele
@salumsimai642
@salumsimai642 Месяц назад
Hao vijana unaotaka wawe na hasira kwa viongozi wao iyo ni nidhamu ya wapi hiyo na kama chama mmefeli
@LusiaThom
@LusiaThom Месяц назад
Nawewe utakuwa Ivo mwakajoka alogoza alileta nn nyie chadama matapeli sanaaa awoooo
@user-dg3qi9yf6h
@user-dg3qi9yf6h 4 дня назад
Wewe unaakili ccm ndio matapeli
@deohank5995
@deohank5995 Месяц назад
Hizi ndo siasa tamu na chungu zisizoumiza
@kyungualbetina8739
@kyungualbetina8739 Месяц назад
Hizo kelele tu mbona mmeshindwa kujenga ofisi. Zenu yasio wahusu mtayaweza
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 28 дней назад
Umezaliwa mwaka gani ofisi za CCM na viwanja tulikuwa tunakatwa kwenye mishahara yetu penda usipende unakuta makato kwenye salary slip
@FestoLalata
@FestoLalata Месяц назад
Naomba mnijibu wadau hapo nikamsamva mjini au chilulumo au mkulwe au ivuna au wapi ?
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Ccm miaka 60 jaman bado Kuna shida ya maji?
@Anordgration
@Anordgration День назад
Mmeshindwa kujenga ofisi yenu mnataka jambo? Poleni sana wapuuzi nyie wewe utampa nani chakula mzee? Polojo tupu mmepewa mkakimbia saivi mnahamasisha ngeo tunawajua hamna sera nyie waambie wananchi mlichofanya nyie?
@FestoLalata
@FestoLalata Месяц назад
Kiongozi mi nipo Dar hapo nikamsamva sehemu gani ?
@Anordgration
@Anordgration День назад
We acha uongo dogo mshamba wewe, unatukana watu kwamba wao ni walevi sana? We mjinga tuuuu
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l Месяц назад
Ccm hawataki mdomo mtupu.
@FestoLalata
@FestoLalata Месяц назад
Kamsamba sehemu gamu gani hapo ?
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Месяц назад
Mbozi huko ndio wanaongoza kulima Michele mzuri sana Tz
Далее
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 19 тыс.
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 19 тыс.