Papa Benedict wa XVI amezikwa hii leo katika Kanisa la Mtakatifu Petro. Kwa mujibu wa makadirio ya mamlaka za Kanisa Katoliki Duniani Vatican, takriban watu 50,000 wamehudhuria ibada hiyo ya mazishi.#kurunzi
27 авг 2024