Тёмный

PART 01 HISTORIA YA ASKOFU MOSES KULOLA/KUFUNGWA GEREZANI/ALIPOFANYIA BIRTHDAY YAKE YA MWISHO. 

Pazia Tv
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Live On Live Kutoka Hapa Chanika,Wilaya Ya Ilala,Jijini D’salaam,Nyumbani Kwa Hayati,Askofu,Dk Moses Kulola,Muhubiri Wa Kimataifa Aliyefahamika sana Hapa ndani na Nje Ya Tanzania,Aliyezaliwa June 1928 huko Mkoani Mwanza,Mwanzilishi Wa Dhehebu La EAGT,Alifariki Tarehe 29 Aug 2013.
Historia Ya Maisha Yake,Idadi Ya Watoto,Maisha Ya Kihuduma ,Kufungwa Gerezani,Nk anayaleza Mtoto Wake Wa Tatu , Eng. Willy Moses Kulola @willykulola
Interview Hii Inapatikana Yote Kupitia RU-vid Channel Yako Ya @paziatv usisahau Ku-subscribe Ili kupata Habari Kubwa za Gospel Kutoka Kila Kona Ya Mitaa mbalimbali Duniani.

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@elizabethchiwamba8372
@elizabethchiwamba8372 2 месяца назад
Mungu awatunze familia ya Baba yetu wa Kiroho Mzee Kulola, Tujitahidi sana kuingia MBINGUNI, si lelemama ,MUNGU ATUKUMBUKE
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Mungu tusaidie kizazi hiki kusikia na kuelewa mambo ya Rogoni
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Ushuhuda huu unanaliza ila nimejua kitu kimoja ukiwa na Yesu wa kweli utapita mengi mitume waliuwa pamoja na dhiki na taabu za dunia bado hatutanyamaza kusema kweli ya Mungu ushuhuda huu umeniliza sana
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Mungu awabariki sana watoto wa mozes kulola
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Kwa huduma zuri sana
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Ushuhuda huu umenitoa machozi hakika nawaza injili ya leo pesa pesa na watu hawataki kutukanwa au kudhalilishwa kwa ajili ya kristo
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Tunaomba namba samahani tuwasiliane
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 26 дней назад
Kweli injili ya Baba Yetu moses kulola ni injili inayotoa machozi sana ila mwenye sikio na wasikie
@carenhilary8067
@carenhilary8067 2 месяца назад
Hallelujah
@graceabednego1257
@graceabednego1257 5 месяцев назад
Da Mungu akubariki saana Jonh P kwa ushuhuda huu nimepokea na kujua mengi mno🙏🏽
@matthewbwanga395
@matthewbwanga395 5 месяцев назад
Asante kwa ushuhuda huu mzuri
@ministermalili342
@ministermalili342 5 месяцев назад
pazia, ubarikiwe kwa kazi nzuri brooo
@SumaiyaAbed
@SumaiyaAbed 5 месяцев назад
Chanika sehemu gn nimeokoka kwazia ss
@samwellemula9964
@samwellemula9964 4 месяца назад
Mkabidhi maisha yako. Yeye ni unbeaten katika vita, ni giver ni mlinzi, zaidi ni mwakozi wa maisha yetu. Mungu akusaidie katika safari yako ya kumpenda Mungu
@mcharoun8483
@mcharoun8483 5 месяцев назад
Nakubali
@vivajerry8728
@vivajerry8728 5 месяцев назад
👏👏👏
@ndigwako
@ndigwako 5 месяцев назад
❤❤❤
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 5 месяцев назад
Wakristo kiboko kwakweli😂
@ministermalili342
@ministermalili342 5 месяцев назад
pazia, ubarikiwe kwa kazi nzuri brooo
Далее
Wait for winner 🏆 😂 #shorts
00:42
Просмотров 6 млн
Unique deep painful back massage for Lisa #chiropractor
00:11
MOSES KULOLA NA MKE WAKE WAUBILI INJILI BURUNDI
38:33
FREEDOM of LESS: One Man's Minimalist Journey
15:49
Просмотров 149 тыс.