Тёмный

INTERVIEW Na Mzee MALEBO/Safari Ya Maisha Yake/ Kuhusu Kukataa Kuokoka/ Urafiki na Pastor Munishi. 

Pazia Tv
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 138 тыс.
50% 1

Anaitwa Wilfred Hassan Munisi maarufu Kama Mzee MALEBO Kutoka Kijiji cha Kindi Muyuni Mkoani Kilimanjaro,Hii ni Interview ambayo anafunguka Mengi Usiyoyafahamu Kuhusu Mzee Huyu.

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 349   
@UpeoMinistryofMedia
@UpeoMinistryofMedia 5 месяцев назад
Kama umerudi kusikiliza Ngoma ya malebo baada ya hii interview gonga like
@SauloMwakalinga
@SauloMwakalinga 4 месяца назад
33:31
@Esthermordecai
@Esthermordecai 6 месяцев назад
Nina huzuni rohoni nikimuona malebo,kumbe ilikuwa ni real story,God bless you malebo
@symonwycliff8049
@symonwycliff8049 6 месяцев назад
Aaah..huyu ndio alimtesa munishi kukatalia wokovu!😆😆😆. True friends these ones
@njeripk1066
@njeripk1066 6 месяцев назад
Aaaah...sikujua wimbo ulitungwa kutoka mafanyiko ya kweli😂😂😂. Simulizi nzuri hiyo. Shukran kutoka 🇰🇪
@bonfacemwangi1666
@bonfacemwangi1666 7 месяцев назад
Malebo alibadilika sasa na kua mtu mwema.Asante kwa kutuletea malebo,twaku watch hapa Kenya
@charlesmoshi1983
@charlesmoshi1983 4 месяца назад
Baba yangu alikua ni msikilizaji mzuri wa caset za Munishi na nilikua nazijua Volume zote ,,Baba angekua hai ningemsikilizisha hii interview angefurahi sana..Keep Resting in Peace Dady
@nickngunjiri4282
@nickngunjiri4282 6 месяцев назад
Munishi should support this man fully in terms of monetary.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 6 месяцев назад
Why should support full, why don't you say munish may support him? Dear brother to support a person is not obligation, it is willing, and that willing comes from living heart
@nickngunjiri4282
@nickngunjiri4282 6 месяцев назад
@@romanamassawe814 He made a song out of his unfortunate situation, the song hit the airwaves and became an International chorus. On the other side of flipping the coin, Willis Raburu is being paid 6.5 Kenya shillings by Airtel just because his brand name Bazuu was used, and Samuel L Jackson 2200 dollars for his name in the movies. We can't be Cynical in our school of thought.
@johnochieng9500
@johnochieng9500 6 месяцев назад
He should thank Munishi for preaching to him, now that he is leaving a changed life
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@romanamassawe814😂😂😂❤
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@johnochieng9500😂😂🎉🎉🎉❤
@DavidKimula
@DavidKimula 7 месяцев назад
Watching from kenya 🇰🇪🇰🇪namlilia malebo is just a blessing and life turning song
@matthewbwanga395
@matthewbwanga395 6 месяцев назад
Asante sana Ndugu John Pazia kwa mazungumzo hayo pamoja na Ndugu Malebo, nimefurahia sana. Tutawasiliana na Malebo hapa karibuni.
@oscarmushy7250
@oscarmushy7250 5 месяцев назад
Fundisho kubwa na lakujifunza amempokea Yesu na amevaa chepeo ya wokovu. Glory to God
@SophiaKamauTVShow
@SophiaKamauTVShow 6 месяцев назад
Wow, Mzee mcheshi sana, nimefurahia masimulizi yake. Pole Mzee kuvunjwa vidole na Wakongo na pia kukatwa mguu na mmaasai. Nafurahi sana kuona umeokoka ndo maana uko Salama. Munishi Ni rafiki wa Kweli. Salamu kutoka Canada.
@malimanyanja562
@malimanyanja562 6 месяцев назад
Naomba no Yako dada samahani
@zacharymose7102
@zacharymose7102 6 месяцев назад
Nilidhani malebo ni utunzi tu kumbe ni true story.hongera sana munishi.Nairobi.
@chalamilalicky7335
@chalamilalicky7335 5 месяцев назад
Hongera Mr Malebo. You are a live testimony to other people. There is no late-coming to Christ Jesus.🎉 Glory to God..!!
@Jackie-x9u
@Jackie-x9u 6 месяцев назад
Malebo wa ma-label, Asante sana kaka kumleta ,kamuona na nikashukuru.
@Habibshazy2
@Habibshazy2 6 месяцев назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪😞😞 Finally Malebi is here
@calidadworks1223
@calidadworks1223 8 месяцев назад
Mzee ana enjoy sana maisha yake
@TALLUBOY
@TALLUBOY 6 месяцев назад
Mzee marebo duh kumbe Ndiyo wewe du! Una big story Of life father
@ericndahiro4804
@ericndahiro4804 6 месяцев назад
Eric kutoka Rwanda haaki na furahi mzehe Malebo Yesu akutende mema
@elastikportfolio3736
@elastikportfolio3736 6 месяцев назад
Amakuru
@YohanaMathayo-r7p
@YohanaMathayo-r7p 6 месяцев назад
Mambo kaka
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@elastikportfolio3736😂😂🎉🎉❤
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@YohanaMathayo-r7pgreat❤❤
@jastinemwambi2307
@jastinemwambi2307 2 месяца назад
Nafurahi sana kuona malebo ameokokà Hongera Mtumishi wa Mungu Munishi kumzalia Mungu matunda yanayodumu
@carollenin5152
@carollenin5152 5 месяцев назад
Am happy to see the real guy Malebo. So he's the one. Watching from Kenya
@Fursa3000
@Fursa3000 7 месяцев назад
Hongera Sana Mbwana Mdogo Pazia. Endelea na kazi yako kwa Bidii na Mungu Atakuonekania. Muda Wote Nilijua ni Wimbo Tu! Kumbe ni mtu ambaye yupo real. 👍👏
@anastanciajebichi975
@anastanciajebichi975 6 месяцев назад
🎉. Hii mzee anachekesha sana. Visanga kila sentence au tamko
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 6 месяцев назад
Mulisema et Malebo hataokoka! Huyu ni nani sasa 😅😅
@lucyouma1021
@lucyouma1021 4 месяца назад
Hapa n wapi hahahaha
@manyandatimoth7
@manyandatimoth7 2 месяца назад
😂😂😂😂
@MpajiAlisoni
@MpajiAlisoni 5 месяцев назад
Mzee mcheshi sana. mungu akubariki sana mzee
@paulchegele2678
@paulchegele2678 6 месяцев назад
Duu...hatimaye nmemwona malebo,ubarikiwe
@stevekato1511
@stevekato1511 6 месяцев назад
Sasa Munishi aimbe kuwa malebo sasa ameokoka....more ❤from🇰🇪🇰🇪
@princebigboss5606
@princebigboss5606 6 месяцев назад
Alishaimba kitambo sana
@victoryjohn4179
@victoryjohn4179 6 месяцев назад
Ipo malebo ameokoka
@janemuthoni723
@janemuthoni723 6 месяцев назад
Alishaimba hufuatilii
@deogratiusvalentino6248
@deogratiusvalentino6248 6 месяцев назад
Ipo nyimbo ya malebo kuokoka
@romanamassawe814
@romanamassawe814 6 месяцев назад
Amekwisha imba malebo ameokoka
@DavidMalimbegu-dq8tp
@DavidMalimbegu-dq8tp 6 месяцев назад
Du! Mzee amenifulahisha sana huo wimbo zamani sana du! ebana kumbe si niwahenga
@simpassagrace6907
@simpassagrace6907 29 дней назад
Hongera sana mtumishi Munishi hata Mimi nimefurahi kuona Malebo ameokoka
@pascodickson3052
@pascodickson3052 6 месяцев назад
Hii inatakiwa itengenezewe muvi kabisa 🙌🏽
@deogratiusmfoy1989
@deogratiusmfoy1989 6 месяцев назад
Kweli kabisa Mimi nipo tayari tuwachangie tuwatafute Pastor Munishi na Malebo watengeneze movie.
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@deogratiusmfoy1989kabisaaa
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 Месяц назад
Asante Pazia Tv umeitendea haki interview mkuu! Hongera. Asante pia Malebo story yako inatia moyo wengi
@walterpreacher2600
@walterpreacher2600 6 месяцев назад
Kwa hivyo sio hadithi tuu Munishi alikuwa akitunga, chochote alichokuwa akiimba kumhusu baba huyu Malebo ni ya ukweli.
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 6 месяцев назад
Malebo yuko vizuri. Asante sana Pazia
@HITAMUNGUJeanDamascene-r2x
@HITAMUNGUJeanDamascene-r2x 6 месяцев назад
Nafurahi sana kumuona mzee Marebo .kwanza kabisa kusikia wimbo wa Pastor Faustini Mnishi ilikuwa mnamo mwaka 1994 nikavutiwa sana na wimbo huwo ingawaje sikujuwa bado lugha ya kiswahili nikaufuata kwa makini baadaye nikaelewa kilugha.Damascene kutoka Rwanda tena mnyarwanda msalendo nawapenda nyote.
@samkabayiza6212
@samkabayiza6212 6 месяцев назад
Kbs nimekuelewa pia mi ni ndugu yako munya Rwanda niligifunza Kiswahili mbio mbio kbs
@Wakopessssa
@Wakopessssa 6 месяцев назад
Damascene ❤️
@annetetopiste6800
@annetetopiste6800 5 месяцев назад
Finally have seen malebo thanks for social media for easiest way, I really liked the song since 1997 until now 2024 mar 31 glory be to God Almighty for life he had given us
@HITAMUNGUJeanDamascene-r2x
@HITAMUNGUJeanDamascene-r2x 5 месяцев назад
I really like your comment ,may God bless you.from KIGALI Rwanda
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@samkabayiza6212 nice one
@betramjustine4023
@betramjustine4023 6 месяцев назад
Wazee wetu wametoka mbali sanaa
@pastorjameskalekwa
@pastorjameskalekwa 8 месяцев назад
Interview nzuri sana... kuna masomo mengi ndani yake. Kwa tuliusikia wimbo wa MALEBO, inafurahisha zaidi.
@paziatvtz
@paziatvtz 8 месяцев назад
Asante sana Mchungaji Part 02 inakuja
@OckendenMkandawire
@OckendenMkandawire 8 месяцев назад
Malebo alikuwa jirani Yangu Arusha... Alikuwa na Ghorofa la Matope pale kwa Mollel.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 6 месяцев назад
​@@OckendenMkandawireghorofa la matope ndo linakuaje
@dennismakori-ef8ul
@dennismakori-ef8ul 5 месяцев назад
😂😂😂 ety ghorofa la matope?​@@OckendenMkandawire
@okemwaempire
@okemwaempire 5 месяцев назад
​@@paziatvtznice
@FloridaSyombua
@FloridaSyombua 6 месяцев назад
Hallelujah,,atimaye aliokoka,Glory be to God
@kondelenews
@kondelenews 7 месяцев назад
kweli nimecheka sana, eti amebeba Bibilia tatu kichaa imepanda. e baba we,..hii ni kazi safi kaka
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 6 месяцев назад
😂😂 na mm ndio nipo kipande hichi nimecheka sanan
@abelomanga1999
@abelomanga1999 6 месяцев назад
What a narration! Listened twice
@paulkamete2947
@paulkamete2947 6 месяцев назад
Kwa kweli John Pazia uko vizuri hadi umempata Malebo
@Bizmind472
@Bizmind472 7 месяцев назад
Much love from Kenya malebo😊
@erickcheruiyot1320
@erickcheruiyot1320 5 месяцев назад
Amazing interview. This guy has impeccable memory. Malebo is such a funny man. Mcheshi kweli 😂😂😂
@michaelstephano8514
@michaelstephano8514 8 месяцев назад
Assnte kwa interview hii nzuri na ya kujenga
@thebufallos
@thebufallos 6 месяцев назад
Wah! Buda ulikuwa mgaidi kweli! 1959_1983 ndio uka okoka🤔🤔🤔
@NsengiyumvaEmile-xu3ir
@NsengiyumvaEmile-xu3ir 8 месяцев назад
Mimi ni murundi napenda sana malebo.
@evertheobald1811
@evertheobald1811 5 месяцев назад
Yesu azidi kukutunza Mr Malebo, hakika Mungu ni mwema kila wakati
@alicekamau486
@alicekamau486 6 месяцев назад
Asante kutuletea malebo,tutafutie marefu,aliyeokoka kabla ya malebo
@elogevyizigiro1157
@elogevyizigiro1157 7 месяцев назад
Shukrani sana bro. Kutuletea mzee malebo
@leonardsimiyu83
@leonardsimiyu83 5 месяцев назад
Hi mahojiana ni Bora Sana kwa hawa wazani wa kidambo
@joelndungu2631
@joelndungu2631 6 месяцев назад
I am inspired by faustin munishi he touched my life daily
@erastosanga1694
@erastosanga1694 6 месяцев назад
Na tunakuomba uendelee kutunga nyimbo Mtumishi malebo
@Geoffrey-x7m
@Geoffrey-x7m 2 месяца назад
Waoo leo nimejua malebo ninani I remember those days 90s nime furai sana mimi niko mombasa kenya ❤❤
@MussaSongo
@MussaSongo 6 месяцев назад
Hizi ndo stori sasa yaani hadi raha
@ThomasHamisi-qm7wy
@ThomasHamisi-qm7wy 6 месяцев назад
Asante ndugu PAZIA.nakufuata na interview yako na ndugu MONISHI.
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 6 месяцев назад
Bro Pazia tutafutie na Mrefu,aliimbwa pia.
@victorhabonimana9055
@victorhabonimana9055 6 месяцев назад
kafa
@EmmanuelNaibei-tk7cd
@EmmanuelNaibei-tk7cd 6 месяцев назад
My fren umefanya vizuri saaaana kutupa story za Malebo. Tulijiuliza mengi sana kumuhusu
@PetroTsaxara
@PetroTsaxara Месяц назад
Kumbe ni wewe yule malebo uliekataa kuokoka ❤❤❤
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 6 месяцев назад
Mzee jina Lake ni maarufu kuliko sura yake,,ila nmependa ni mcheshi sanaaaa 😂😂
@RichardNhulage
@RichardNhulage 6 месяцев назад
Saafi sana mahojiano mzuri sana,ningependa siku moja namm nimtembelee mzee Malebo
@WinnieWamaitha1
@WinnieWamaitha1 4 месяца назад
Malebo seems like a happy soul.❤️..mungu alimhurumia akajitambua🙂
@godfreytuey8586
@godfreytuey8586 5 месяцев назад
Kweli nyimbo ni kio cha jamii...❤❤🇰🇪 15:06
@claudinelola3894
@claudinelola3894 4 месяца назад
Munishi nii rafiki mzuri.
@ombenimunuo4259
@ombenimunuo4259 6 месяцев назад
Inafaa iwe movie hii Nataman kuziona hizo santana na vasco dagama na kiatu cha mchongoko na huo mwondoko mixer kaunda suti hapo daa hakika itakuwa movie yenye uhakisia mzur wa maisha ya harakati za mtu mweusi
@ombenimunuo4259
@ombenimunuo4259 6 месяцев назад
Nani apushi huu ujuembe hii stori nikama naona movie 😁😁
@albertmaneno
@albertmaneno 6 месяцев назад
Maisha ni darasa kubwa sana...Malebo maisha aliyopitia mpaka anakuwa tena mtu na familia... Kapitia mengi na ni msimulizi mzuri sana
@itiamekimbui722
@itiamekimbui722 6 месяцев назад
malibooooo imenikumbusha rafiki wangu wa kitambo kule malindi alikuwa anaitwa dr singa alikuwa anapenda kuniita malebo
@ThomasHamisi-qm7wy
@ThomasHamisi-qm7wy 6 месяцев назад
Nawashukuru sana ndugu wa Tanzania. Na wafuata sana.kwenye mtandao wa RU-vid .na furahi sana.nakumuona MALEBO aliyeimbwa na Faustin Monishi.
@noahmadali7150
@noahmadali7150 6 месяцев назад
❤ baba ubarikiwe Yesu yuko moyoni hasa kwa ukiri wako tu
@davidmichael96
@davidmichael96 29 дней назад
Kindly bring Pastor Munishi to the bench also to get to know his story too
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 месяцев назад
Arooo risimamishe ilo litowee risiti la surualeee
@OkondaLopez
@OkondaLopez 5 месяцев назад
Uyu malebo hawesitoa Wimborne nyingine
@kelvinfasili44
@kelvinfasili44 6 месяцев назад
Mungu ambariki Mzee wetu
@bijaporaelias4280
@bijaporaelias4280 6 месяцев назад
Asante sana umenikumbusha mbali sana Big up
@annaombay9417
@annaombay9417 5 месяцев назад
Wahoo hongera Malebo.Mungu akubariki
@kianda973
@kianda973 6 месяцев назад
Very interesting. God bless you Mr. Malebo
@EzekielDiyame
@EzekielDiyame 6 месяцев назад
Nimefurahia Sana story za malebo.
@alainkanobayire2078
@alainkanobayire2078 5 месяцев назад
Alain Mnyarwanda🇷🇼 kutoka US 🇺🇲, nakutakia mwisho mema mzee Malebo. Kwa Yesu ni Amani tupu. Mungu azidi kubariki Munishi kwa kuweza kukuombea mpaka ukaokoka. True friend kabisa!
@tobbykahindi9208
@tobbykahindi9208 6 месяцев назад
Hongera sana bro mr pazie ,nitafutie pia pili na tatu
@lambertfulgence8965
@lambertfulgence8965 6 месяцев назад
Na murefu😊
@fredrickkakila9392
@fredrickkakila9392 6 месяцев назад
notorious ma-label alikuwa mtata sana
@Li0n_007
@Li0n_007 6 месяцев назад
Good story teller, Malebo
@makalema
@makalema 4 месяца назад
I reccomend the song to 2000 generation. A must listern
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 5 месяцев назад
Dah hawa ndio wahenga bhana story ni interesting sana
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 6 месяцев назад
Jamani nyimbo niliisikia nikiwa mdogo sana nikawa namuhurumia huyu malebo aliekataa kuokoka, kumbe ni huyu
@KigaboFelix
@KigaboFelix 5 месяцев назад
Nafurahia sana kuona muzee akiwa ameokoka sasa
@AbeliIrikaeli
@AbeliIrikaeli 6 месяцев назад
Nimefurai kumuona malebo Mimi napenda sana ushuda wake
@thagondale9041
@thagondale9041 6 месяцев назад
Finaly I have see the famous MALEBO and the fact that we are from the same clan now alot of things makes sense now 😂😂😂😂😂 Anyway PIGA MAJIII 😂😂😂😂😂😂
@edomyusuph5361
@edomyusuph5361 8 месяцев назад
😂😂😂 “umelalia masikio “ iko ndani ya verse 😂 kumbe ni kweli alimwambia hivyo.
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 6 месяцев назад
Friji la Munishi haligandishi 😅😅😅 anaongea yote
@sammymugo9398
@sammymugo9398 3 месяца назад
Happy to see malebo salvation is for us
@AthumaniHusein
@AthumaniHusein 5 месяцев назад
Mungu ni mwema sana kwani nilijua ni wimbo tu kumbe ni utunzi halisi hakika neema ya mungu ni kubwa sana.
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 5 месяцев назад
Jamaa ana kumbukumbu sana kwa kifupi ni mwamba
@dalaliharunikigamboni6703
@dalaliharunikigamboni6703 6 месяцев назад
Kibugumo iko dar es salaam vkigamboni geza ulole
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 6 месяцев назад
hii stori nruri Sana inafundsha pyaaaa
@joelmanirakiza
@joelmanirakiza 5 месяцев назад
Haya nami nafuraha kukutana na ushuhuda huu wa mzee malebo. Nami mtu akiokoka mara nyingi natumia jina la malebo nakusema "Malebo ameokoka; Furaha moyoni". Na nivizuri kwangu kumuona malebo
@reubenonsando1148
@reubenonsando1148 6 месяцев назад
Wah mi nilikua nadhani ni utuzi tu kumbe ukweli
@fredricksikukuu2743
@fredricksikukuu2743 5 месяцев назад
Nimefurahia sana huku Kenya Kwa ajili hadithi ya malebo
@Geoffrey-x7m
@Geoffrey-x7m 2 месяца назад
Nafurai sana kusika isitoria nikiwa kenya 🇰🇪 mombasa
@damariskamau7399
@damariskamau7399 6 месяцев назад
Good story. Inspirational. Please someone help him to write his autobiography....
@simionkiplagat903
@simionkiplagat903 6 месяцев назад
Watching from Kenya good interview
@GoodluckGodfreyNgomuo
@GoodluckGodfreyNgomuo 5 месяцев назад
Kumbe ndoo huyu malebo nimepata kumfahamu vizuri Sana
@erastosanga1694
@erastosanga1694 6 месяцев назад
Ngumi ulikuwa unajuwa sana bwana
@deogratiusmfoy1989
@deogratiusmfoy1989 6 месяцев назад
Aisee imenigusa sana....Kindi muyuni, Kindi Juu ni nyumbani. Sikujua kama Malebo na mwenzi Pastor Munishi wamepitia hapo.
@KashuEngeyaroi
@KashuEngeyaroi 5 месяцев назад
Hadithi na stori nzuri sana! Pole Malebo😂
Далее
Распаковка #MonsterHigh Potions №5
00:55
Просмотров 172 тыс.
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Просмотров 4,7 тыс.
BEST OF MUNISHI 2024 MIX
46:00
Просмотров 1,3 млн
Munishi  (Extended Interview)
11:08
Просмотров 367 тыс.
Распаковка #MonsterHigh Potions №5
00:55
Просмотров 172 тыс.